Part1_KITABU CHA 1HENOKO Sura ya 1-15|Walinzi,Malaika walioanguka(Wanefili)na Hukumu ya Mungu

  Рет қаралды 8,212

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 41
@gracekinyaki2376
@gracekinyaki2376 2 ай бұрын
Tutengenezee hiki kitabu tafadhal.
@EDGARNDOSSI
@EDGARNDOSSI 2 ай бұрын
VERY VERY INTERESTING,,,,,,,,,,,,,,, Huwa napenda sana hiki Kitabu Nashukuru sana umekiweka hapa kwa Swahili,,,,,,, Wazungu walikitoa kisifahamike na wote ila Mungu anazidi kutumia watu wake kudhihirisha yote.... Thanks PROMOVER
@faithe4063
@faithe4063 2 ай бұрын
Amen nitapata je hiyo kitabu
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 2 ай бұрын
asante kutupa kitabu cha Enoko
@BerylSeer1
@BerylSeer1 2 ай бұрын
Amen hii lazima nitafatilia kujifundisha baadaye.
@user-fk2qh2yh9t
@user-fk2qh2yh9t 2 ай бұрын
Asante sanaila hata na kitabu hiki hakingekuwa upande wangu huwezi niambia mtu alietembea na Mungu myaka miya 300 ashindwe kuandika kitabu jinsi kuna vitabu vingi havikuingizwa kwenye Biblia piya kuna wa nabi wengi hatuvioni vitabu au unabii walioutoa.Barikiwa kbs
@Esthernyenyezi3
@Esthernyenyezi3 2 ай бұрын
I needed this in Swahili
@ZaifathAhmadnapokea
@ZaifathAhmadnapokea 2 ай бұрын
Ameeen barikiwa
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 2 ай бұрын
Amen
@julianamhenga1712
@julianamhenga1712 2 ай бұрын
Nipo kujifunza mwanzo mpaka mwisho..✍️✍️✍️✍️
@dionisithomas6765
@dionisithomas6765 2 ай бұрын
Una maneno mengi Sana, aaaghh
@truth7796
@truth7796 2 ай бұрын
The book of Enoch is in play store but in English version.. To those who need different version.. The message is same with this
@ambokilegwakisa3526
@ambokilegwakisa3526 2 ай бұрын
Tunashukuru kw ujumbe
@MteuleMabuku
@MteuleMabuku 2 ай бұрын
Jibu comments @promovertv namna ya kupata kitabu kwa lugha yetu Tz
@SelestinaHamis-dw1gs
@SelestinaHamis-dw1gs Ай бұрын
Mtafute private
@tynahopmollel5897
@tynahopmollel5897 2 ай бұрын
Nashukuru Sana kwa ujumbe mzuri je hiking hiking kitabu tuta kipataje???
@tumainigeofrey9702
@tumainigeofrey9702 2 ай бұрын
Asante.
@asanthlewanga3941
@asanthlewanga3941 2 ай бұрын
Asante ila ningependa nikisome
@DavidMwaiswelo-gl1sd
@DavidMwaiswelo-gl1sd 2 ай бұрын
How can i have this book servant
@gaitamaemmanuel
@gaitamaemmanuel Ай бұрын
Hiki kitabu ni mpango wa Shetani kuvuruga imani...enock wakati anaishi kulikua hakuna myahudi wala mgiriki na ukisoma bibilia 9nasema baada ya ghalika Mungu ndipo akaleta lugha mbalimbali pale alipozima jaribio la nimrodi kumuasi Mungu...kawaida ya uongo hauna consistency Hao WASOMI wanasema maandishi ya kwanza yaliandikwa uko Egypt ya kale miaka kabla ya kristo sasa inakuaje hapo kwamba Egypt ilikuwepo kabla ya ghalika!?.. Alafu wamepita watu wengi sana ambao walipelkwapaka mbinguni, watu kama wakina yohana, Paulo, lakini kwemye maandishi ya hawajawai kukitumia icho kitabu, na ata hawajawai kuonueshwa na roho kwamba palikua na iko kitabu na zaidi ata Yesu alikua na tumia maandiko sehemu nyingi kufundisha vipi iki kitabu hakuwa anakifahamu.....HUU NI MPAKA WA SHETANI USOMI NA WA DUNIANI HAUUSIANI NA NA HEKIMA YA MUNGU NA KAMA KUANDIKWA VITABU ANGEANDIKA ADAMU.... SOMA BIBLIA INAJITOSHEL3ZA
@marryshamale2882
@marryshamale2882 2 ай бұрын
Nitapata je kitabu cha Henock kiswahili?
@Joseph-tf8sc
@Joseph-tf8sc 2 ай бұрын
Brother umenenepa punguza kula
@derickrangimoto1709
@derickrangimoto1709 2 ай бұрын
Mmmh alikuwa anajua kuandika kweli? Na ilikuwa rugha gani
@ngombegeorge3577
@ngombegeorge3577 2 ай бұрын
tukipata play store au pdf leader
@acadatz
@acadatz 2 ай бұрын
Ninacho full pdf ( English )
@user-bz4xn4jy7s
@user-bz4xn4jy7s 2 ай бұрын
Tutumie sasa
@elizabethedwin6424
@elizabethedwin6424 2 ай бұрын
Biblia nzima ilikuwa na vitabu 80 pamoja na henoko. Miaka ya 1800 wakaviondoa watu weupe ili kuweza kuwakandamiza watu weusi. Maana vitabu hivyo vilivyotolewa vina kweli nyingi. Na kuonyesha wazi kwamba watu wote kwenye biblia ni watu weusi. Naamini biblia ni kitabu cha historia ya watu weusi
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 2 ай бұрын
Upo sahihi kabsa 🥂
@veronicanestory1662
@veronicanestory1662 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ni Mungu wa wote wenye mwili, hivyo neno lake halichagui linamgusa kila mwanadamu haijalishi ni langi gani au kabira gani, sema tu walitoa hivyo vitabu kwa agenda zao za uharibifu juu ya wote wanaomwamini Mungu na kushika sheria zake…. Tumuombe Mungu atupe mwisho mwema 🙏🏻
@MapangaleMusa-hp1ke
@MapangaleMusa-hp1ke 2 ай бұрын
Kaka napataje kitabu
@gaitamaemmanuel
@gaitamaemmanuel Ай бұрын
Dada kwa Mungu hakuna rangi wala lugha...ukiona unawza mambo ya rangi ujue Yesu hayumo ndani mwako...alafu ata ata hap wazungu wale walimpokea Yesu katikq roho na kweli, hawako ivyo unavyozani wapo, waungu waliookoka KWELI, ata nguo fupi na za ajabu hawavai so dhambi ni kitu universal kama unavyoleta ubinafsi kwamba biblia na ya watu weusi ata wao nao wapo wanaowaza hivyo...na ata ukienda Japan, wakatoriki wa kule wao wanamechora Yesu na maria wenye asili ya kijapani ata malaika wamewachora kijapani..
@gaitamaemmanuel
@gaitamaemmanuel Ай бұрын
VITABU VILIVYOMO KWENYE BIBLIA VINAJOTOSHELEZA VINA KILA KTU UNACHOTAKA KUFAHAMU...JICHANGANYENI ...ATA SHETANI HUJA KAMA MALAIKA WA NURU
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 2 ай бұрын
Mimi Naona Hicho Kitabu ni cha Uongo ingekuwa kweli Mungu angeruhusu kiwemo ktk Biblia au Yesu ktk Uinjilishaji wake angekizungumzia kila mara alikuwa anasema ktk Hamjasoma ,akimanisha Torati ,Zabuli na Manabii,au shetan mwenyewe alipo mjalibu Yesu hakutoa maandiko ktk kitabu cha Henoko bali Biblia,
@lucasmongo8462
@lucasmongo8462 2 ай бұрын
Hivi ww hujasoma maandiko ya kitabu cha mwanzo sura ya sita kuhusu malaika walioasi bado hujaona kama sura hiyo ilinakiliwa kutoka kitabu cha henoko
@lucasmongo8462
@lucasmongo8462 2 ай бұрын
Pia huoni maandiko mengi yanafanana na kitabu cha daniel na ufunuo.
@phinescah7353
@phinescah7353 2 ай бұрын
How would a God who is perfect in all things fail to include this book of henoch in the bible if this book is perfect as he is perfect ? I don't believe it but that is my opinion. If all scriptures are inspired by him being perfect, I don't think how he would leave this book not included in the bible.
@JosephBigabwa-wo2bf
@JosephBigabwa-wo2bf Ай бұрын
Kila kitu Mungu ana sababu...mbele yaku judge hakikisha Mungu ame Ku fungua macho
@avitusrwegoshora939
@avitusrwegoshora939 2 ай бұрын
Enoko aliishi kabla ya gharika. Baada ya gharika, vitu vyote viliharibika. Akaponea chupuchupu Nuhu na familia yake. Sasa, enoko aliandikaje kitabu hiki? Na umekwishasema kimeandikwa karne ya tatu. Huoni ni stori zilizotungwa na mapokeo ya wayahudi??😮😢
@patrickyuda3906
@patrickyuda3906 2 ай бұрын
Kumbuka Henoko alikuwa nabii na nuhu ni mjukuu wake
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 16 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 19 МЛН
HISTORIA USIYOIJUA JINSI MAREHEMU REMMY ONGALA ALIVYOKOKA KANISANI KWA ASKOFU GWAJIMA
35:12
Nyisake Chaula_Historia
47:51
Nyisake Yuda Chaula
Рет қаралды 7 М.
PART 4 MITEGO YA MANABII WA UONGO USHUHUDA WA KENZO ATSUSHI
32:41
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 13 М.
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 16 МЛН