KUFULI FINAL

  Рет қаралды 21,530

KIM VEVO

KIM VEVO

Күн бұрын

Пікірлер: 115
@fridacharles4173
@fridacharles4173 4 ай бұрын
Daaaah Kim siamini nimekuwa wa kwanza leo kazi ya Moto sana lete Kali nyingine inshallah 🤲
@SGmamigos-v1j
@SGmamigos-v1j 4 ай бұрын
Tunashukuru sana kwa Kaz nzur mungu azidi kuwapa itaji la moyo
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 ай бұрын
Yani nimeikubali sana hii kazi hongera kim na timu yako nawapenda sa❤🎉
@shadyarif653
@shadyarif653 4 ай бұрын
Ila mwasi hilo tako❤❤
@joselynenizi9475
@joselynenizi9475 4 ай бұрын
Asante sana dakimu nimependa maneno ya mwisho ach Mungu apewe sifa milele
@sharifftwaha8882
@sharifftwaha8882 4 ай бұрын
Ila mwasi anatako jmn😅😅😊
@Edith-rq3mm
@Edith-rq3mm 4 ай бұрын
La kawaida san
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 4 ай бұрын
​@@Edith-rq3mmsindio...
@Gainoz27
@Gainoz27 4 ай бұрын
Mwasi ana nyashii wowowwooooo
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 4 ай бұрын
Wewe nawe macho hauna bro ebu kemba iyo ya Sarah ndo useme afu ameweza kuruka.
@MaryamSafi-vm6or
@MaryamSafi-vm6or 4 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JombaWay
@JombaWay 4 ай бұрын
Wakwanza leo munione
@LoolKing-z5z
@LoolKing-z5z 4 ай бұрын
Mwasiiiiii umejua hpo kwa the END😂😂😂😂 much love sister Kim🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 komaa na choziii sasa
@rashidgona1808
@rashidgona1808 4 ай бұрын
Waaaa mwasi amenifanya leo ni comment na anavyochezesha nyuma yake wwooooooii mungu tusaidie tusizini kupitia macho😢😢😢
@MasauShida
@MasauShida 4 ай бұрын
Kazi nzuri sana Kim vevo🇹🇿
@bonylstyles5907
@bonylstyles5907 4 ай бұрын
Perfect ending. Wahusika mumetenda haki kwenye filamu hii. Hongera
@FarajaBenitho
@FarajaBenitho 4 ай бұрын
Good job Fanya uendelee na chozi langu sawa Kim wetu
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 4 ай бұрын
#Kim na team-kubwa yote thanks for winding up this sweet series... Mungu azidi kuwapa upendo na nguvu mulete kazi nyingi ... Best brotherhood in the world
@MauriceAbushinani
@MauriceAbushinani 4 ай бұрын
Tuleteye mwendelezo wa CHOZI ,si si niwa penzi sanaaa wa films za mapenzi kuliko zaki chawi.... ! ! ! ! ! Please leta mwendelezo wa chozi On te suis depuis Congo ville d'uvira ❤❤
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 4 ай бұрын
Mwasi Mwasi Mwasi mashallah umenawiri kwa kweli mzigo upo uji ktk mfuko wa rambo umejaa kwa kweli hadi watikisika kama nyama ya kasa 🎉🎉🎉🎉🎉 hongera
@zuberiomar525
@zuberiomar525 4 ай бұрын
Shabiki kutoka kENYA walai nampenda mwasi
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 4 ай бұрын
Fellow 🇰🇪 sijui mbona Sarah haujamuona ama unapenda rangi ya thao aki Sarah ndo mambo best
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 4 ай бұрын
Nice music everything perfect #Sarah Macho mzuri zaidi nakupenda bure
@MuhammadJaffary-uu6zl
@MuhammadJaffary-uu6zl 4 ай бұрын
Kilicho Nicholas ni camera 📷 😍 mani alipenda saana makaliyo ya nani vile
@Akidiva-ih8yq
@Akidiva-ih8yq 4 ай бұрын
Leo mm wa kwanza wapi likes zangi
@juniorlungula9153
@juniorlungula9153 4 ай бұрын
😮😂dah uyo mwasi kaniboa kweli iyo zegebe anavyoitikisa jamani
@doublehenterprise2906
@doublehenterprise2906 4 ай бұрын
Siku Moja Nita wa tembelea kambini kwenu niwa one , mna kazi nzuri sana na zenye mafunzo !! Hivi KIM ume olewa? Malkia uko poa? Lakini Mwasi utembee vizuri sio poa😂😂!! Shukrani sana tuna pata mafunzo Asante director KAKOSO na team Yako!!
@dtv6734
@dtv6734 4 ай бұрын
Mwasi anavyohema kwenye hio scene yake, utadhani anapigwa mashine
@AmaniChari
@AmaniChari 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@moxco
@moxco 4 ай бұрын
From kenya
@DeboraLufingo
@DeboraLufingo 4 ай бұрын
Ushauri weni ni kwamba suluhisho ni pombe au😮😮😊
@AmaniNangerembe
@AmaniNangerembe 4 ай бұрын
Good nice one job kim vevo 🎉🎉🎉
@AnnaLea-lq6ob
@AnnaLea-lq6ob 4 ай бұрын
Hongereni nyote,Mungu awazidishie hapa mlipoishia
@Anwarmoh-p3x
@Anwarmoh-p3x 4 ай бұрын
Safi sana kim vevo kwa kazi zako nzuri sana tena zaidi maana unajua kuigiza kupitiliza ❤❤❤🎉🎉🎉
@ArmaniShabani
@ArmaniShabani 4 ай бұрын
Mwasi ❤❤
@AliMunga-c8n
@AliMunga-c8n 4 ай бұрын
Kazi nzuri Kim Big up sana love you so much
@manirakiza-y7v
@manirakiza-y7v 4 ай бұрын
Nawapenda sn kwakaz zen my zang mauw yen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 4 ай бұрын
At long last mkadunda...following
@OfficialAggy-p1k
@OfficialAggy-p1k 4 ай бұрын
Muv nzur Kim hongera kwa kaz na wenzio
@JanetSimiyu-j8o
@JanetSimiyu-j8o 4 ай бұрын
Kim unafanya kazi nzuri Ila kumbuka kumalizia chozi pia😅😅😅
@HalimaMuhidin-w6n
@HalimaMuhidin-w6n 4 ай бұрын
Namba moja hapa😅😅😅🎉🎉🎉
@jamesmutali4356
@jamesmutali4356 4 ай бұрын
hongera Kwa kazi zenu
@BothainaBothaina-k6c
@BothainaBothaina-k6c 4 ай бұрын
Kazi nzuri sana lakini muda muchache mbona hivo anyways congratulations 👏👏 good job watching from Kenya 🎉🎉🎉❤
@rhodamatinde4509
@rhodamatinde4509 4 ай бұрын
Asante sana kim lete nyingine kali kipenzi❤❤
@gadafimuemede2985
@gadafimuemede2985 4 ай бұрын
Kazi nzuri sana Kim from 🇲🇿🇲🇿
@Asma-hn1jk
@Asma-hn1jk 4 ай бұрын
Wow that's awesome ❤❤❤ congratulations 🎉
@Kakajammzke
@Kakajammzke 4 ай бұрын
Jamani hio the end ya leo, mwasiii apewe likes jameniniik😂❤
@OmarNassor-dy7ig
@OmarNassor-dy7ig 4 ай бұрын
Wa kwanz Leo kweny final Kim huna bay sister
@SuleimanSalim-q9j
@SuleimanSalim-q9j 4 ай бұрын
Ila mwasi mmmmmh 😂😂😂😂 denda hilo
@BatraohP
@BatraohP 4 ай бұрын
Wakwanza leo❤❤❤
@aishaomar2287
@aishaomar2287 4 ай бұрын
Asanteni kwa mafunzo kwamba Mungu Ndie nguzo pekee🎉🎉🎉🎉
@SimiyuWycliff
@SimiyuWycliff 4 ай бұрын
Mimi wa Saba
@alitante4279
@alitante4279 4 ай бұрын
Alieona km mm mwasi kachora nyonyo gonga like 🎉😂
@halimaali8732
@halimaali8732 4 ай бұрын
Mwasi uko vizuri 😅😅😅
@JacksonKasemengo-t6x
@JacksonKasemengo-t6x 4 ай бұрын
Haiichi vizuru kwanini? Sija furaichwa na mwicho wake 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@mhohomudzo5412
@mhohomudzo5412 4 ай бұрын
Jaman mwas unafanya kusudi 😂tako hilo mashallah
@rahmasaid762
@rahmasaid762 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅watu wa kwanza 😅
@FlancinaJohnson
@FlancinaJohnson 4 ай бұрын
Hatimae tyumemariza🎉🎉
@MandelaMwangome-q1b
@MandelaMwangome-q1b 4 ай бұрын
🎉🎉wakwanza
@omarbosiomar8608
@omarbosiomar8608 4 ай бұрын
Salute kubwa
@zeinabuAchiengOkara
@zeinabuAchiengOkara 4 ай бұрын
Kazi nzuri kim
@jamescarloss9671
@jamescarloss9671 4 ай бұрын
Jamani mwasi weeee umemalizia kufuli vizuri sana
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 4 ай бұрын
Nakosaje fainal kwa mfano ❤😂😂
@Katunicomedy
@Katunicomedy 4 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢aneuwa MToto wa batu mungu wangu 😢😢😢😢😮😮😮
@Shasho-Tv
@Shasho-Tv 4 ай бұрын
Mwenye namb y mwasi aikometishe chini apoo
@shabanrajabu1419
@shabanrajabu1419 4 ай бұрын
Jamani mwasi anatutesa na mshededwake
@AmaniChari
@AmaniChari 4 ай бұрын
Mwasi hilo titi
@swabiaa1489
@swabiaa1489 4 ай бұрын
Na mnapenda kuchukua makalio ya mwasi🙄
@Nikione11tv
@Nikione11tv 4 ай бұрын
mbna dkka chache jaman muweke ata 30dk
@abubakarkassimmwinyimwinyi6382
@abubakarkassimmwinyimwinyi6382 4 ай бұрын
Pombe sio suluhisho wacheni kupotosha watu
@machozimukucha
@machozimukucha 4 ай бұрын
🎉🎉♥️🔥🔥🔥
@Nairoboss
@Nairoboss 4 ай бұрын
Season two
@WilliamAnaklet
@WilliamAnaklet 4 ай бұрын
Sasa hii imeisha tuletee CHOZI
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 4 ай бұрын
Kweli hapo sasa... situa ufisi ety mara Mwasi na nyash #Director..Kim 📌 📍 William Anaklet
@shivobs4485
@shivobs4485 4 ай бұрын
Mbona imeisha faster hivyo
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 4 ай бұрын
Mungu wangu 😭💔😭💔 kimuwetu
@CHIFUILABONAKOREA
@CHIFUILABONAKOREA 4 ай бұрын
Kaz nnzuri sana
@AmaniChari
@AmaniChari 4 ай бұрын
Mwisho wake haukua mzur kwa kwel
@AnnaLea-lq6ob
@AnnaLea-lq6ob 4 ай бұрын
Sasa mwanji unakimbia nn?kama mtu ameonesha hakupendi hachana nae tu na sio kungangania,hona sasa umeuwa😢
@MwanakomboHassan-kp8vy
@MwanakomboHassan-kp8vy 4 ай бұрын
Mnachelewesha mwezi mchanga
@SuleshiStarwise
@SuleshiStarwise 4 ай бұрын
Mwasi anakitu nyuma😂😂😂
@Kabeya410
@Kabeya410 4 ай бұрын
😅😅Halafu mwandishi na mpiga picha ndo nini kumaliza na mtikisiko wa nyuma wa mwasi mnahatari mtaacha nimtafute mwasi 😅shauri yenu 😅
@Hardin464
@Hardin464 4 ай бұрын
Tako la mwasi 😂
@YuvessLeonard
@YuvessLeonard 4 ай бұрын
Kazi nzur
@MwajumaJuma-h4k
@MwajumaJuma-h4k 4 ай бұрын
😂 aka jaman mwas mbona unatutega
@fhugghi4109
@fhugghi4109 4 ай бұрын
Kim ungetuletea muendelezo wa chozi 🎉
@SimaojorgeManuel
@SimaojorgeManuel 4 ай бұрын
Naokubari huu wimbo
@MathayoSuwi
@MathayoSuwi 4 ай бұрын
Mwasi ziwahilo linatoka
@Rosemaryhamisi
@Rosemaryhamisi 4 ай бұрын
Nice movir
@MathayoSuwi
@MathayoSuwi 4 ай бұрын
Asa mbonakim tena jamani
@wasomitv8487
@wasomitv8487 4 ай бұрын
Ubaya ubwela
@RizikiZiki
@RizikiZiki 4 ай бұрын
Haya kufuli kwaheri yakuonana😢
@benjaminimwaki4374
@benjaminimwaki4374 4 ай бұрын
Mwenye number za mwasa jamani namuelewa sana i wish awe wanguu
@victor0mokol179
@victor0mokol179 4 ай бұрын
Kanzi nzuri sana Nezapata iyo nyimbo ya kifuli wapi?
@FabianoJumanee
@FabianoJumanee 4 ай бұрын
ongeleni inafundisha
@SafiaHamadi-vi4xv
@SafiaHamadi-vi4xv 4 ай бұрын
Malizieni na machozi
@kadirjb432
@kadirjb432 4 ай бұрын
Kim umejitahid sana
@Ahmed5Mambo
@Ahmed5Mambo 4 ай бұрын
Hiv Kim chozi umeshindwa jinsi ya kuiendeleza au tukuelewe vip😂
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 4 ай бұрын
Yeah hizo ndo swali nyeti sasa
@OmarShevo
@OmarShevo 4 ай бұрын
Screenshot apo the END
@DeokarySafary
@DeokarySafary 2 ай бұрын
Shetani amekuwa malaika
@ksaskaka
@ksaskaka 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@AminaBakari-oy9eb
@AminaBakari-oy9eb 4 ай бұрын
❤❤❤
@AaminAmin-m1z
@AaminAmin-m1z 4 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂
@NillyNilly-fm5pw
@NillyNilly-fm5pw 4 ай бұрын
Kim na utumalizie #CHOZI
@mahmoudnajad217
@mahmoudnajad217 4 ай бұрын
KWAIYO KIM VEVO UNATUSHAURI NINI JUU YA HII KUFULI AU TUFUATE MAELEZO ELEKEZI KUTOKA KWA BUTUA TUNYWE POMBE TUACHANE NA WANAWAKE WASALITI MAANA POMBE HAISALITI MTU.
@husnatjh5969
@husnatjh5969 4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 ай бұрын
😂😂😂
@ndagirojules1441
@ndagirojules1441 4 ай бұрын
Hei kim
KUFULI | EP 1 |
15:05
KIM VEVO
Рет қаралды 55 М.
MTUMWA (FULL MOVIE)
1:34:49
ELIZA MIDEKO
Рет қаралды 52 М.
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
DEVIL'S HOUSE | Full Movie |.
1:10:32
CHIBU TV
Рет қаралды 67 М.
MCHAWI WA KIJIJI 01
58:26
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 36 М.
pastor mchawi episode 1
9:40
Mtetezi Group
Рет қаралды 3,9 М.
UTAMU FULL MOVE I STARING MADEBE LIDAI
1:12:18
MPAYU FILM
Рет қаралды 89 М.
PENZI LA FUNDI VIATU 💞 Love Story | DONTA TV
24:56
Twizy Dady Tv
Рет қаралды 75 М.
KUFULI | FULL MOVIE |
2:38:45
KIM VEVO
Рет қаралды 328 М.
UJINGA BASI | Full Movie
56:13
Adam Leo Studios
Рет қаралды 49 М.
CHOZI | FULL PART 1 |
2:31:37
KIM VEVO
Рет қаралды 149 М.
KUFULI  / FULL MOVIE
53:01
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 48 М.