CHOZI | FULL PART 1 |

  Рет қаралды 163,701

KIM VEVO

KIM VEVO

Күн бұрын

Пікірлер: 115
@cargoboe
@cargoboe Ай бұрын
Am watching from Spain. Great job
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 7 ай бұрын
Inapendeza sana ukilewa cha pombe wa cla... Butua bro keep going
@hassansalim5263
@hassansalim5263 6 ай бұрын
Mwela, Tanu, Mwasi..tunawaalika. Toronto Canada 🇨🇦 Muje Angalau japo Mwezi Mmoja Mwatufurahisha Sana..Mbwela Twakukubalii Mzee Mzima
@FelixNyanumba-k7l
@FelixNyanumba-k7l 3 ай бұрын
Ni kama butua alikua amesota huku hakua na ya kadrink dm baba nikuekee ata faefu ukalewe kwa kuwa sijakuzoea hivi😂😂 Anyway kazi safi kaka
@hassansalim5263
@hassansalim5263 6 ай бұрын
Mbwela Ume Weza baba mola Akulinde Akuzidishie kipaji brother
@fredrickngumbao418
@fredrickngumbao418 3 ай бұрын
Mbwela kazi mzuri 🎉🎉🎉🎉🎉 mungu akuongoze na kazi unayofanya 🙏🙏🙏🎇🎇🌹🌹🌹
@mwinyijuma6567
@mwinyijuma6567 6 ай бұрын
Nawaftilia sana kutok Kenya coast oya mbwela Kim na gang nzima mpo fyttiii
@mariamnzemeri
@mariamnzemeri 7 ай бұрын
Kazi nzuri wote.nyote mpo vizuri.nawwpenda kutoka kenya❤
@SaideIssaAssane
@SaideIssaAssane 26 күн бұрын
Kazi mzuri nipo msumbiji Kim kaza my sister big up
@PeterChengo
@PeterChengo 7 ай бұрын
Congratulations Kim watching from Kuwait city much love big up
@suleimaanunda
@suleimaanunda 3 ай бұрын
amba kare udzamuhenza na kumanya uanzirehi tsawe 🌝
@fatihachingaja632
@fatihachingaja632 5 ай бұрын
Huyu simjui jina kazi kutafuna tu akwende
@ArletteTumusifu
@ArletteTumusifu 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 Ай бұрын
Si umeambiwa anaitwa mbonolwa😅 Yan Una wivu Hadi kweny kula
@salimkombora2742
@salimkombora2742 7 ай бұрын
Kazi nzuri sana watching from Qatar
@cosmasmatoke
@cosmasmatoke 7 ай бұрын
kazi nzuri sana bwela nani kaimba iyo song machozi yamebubujika
@esthercharles6118
@esthercharles6118 6 ай бұрын
PENDA SANA HII FILAM ..FROM KENYA 😊
@FatumaAtien0
@FatumaAtien0 7 ай бұрын
Kazi poa mbwera aim watching form 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦
@EusouCapaz-s4i
@EusouCapaz-s4i 23 күн бұрын
Kim unajuwa sana kipenzi changu❤
@nasraomary68
@nasraomary68 18 күн бұрын
Mzidole hiyo staili y kulabiskut nimeipend c km wale wanao.stail za kuvuta cigara
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 7 ай бұрын
Mbwela bro hivo hivo pepea afrika nzima na kwote duniani much luv from kenya 🇰🇪
@DerrickChege-j6i
@DerrickChege-j6i 2 ай бұрын
Kazi nzur
@ChristineAsifiwe
@ChristineAsifiwe 6 ай бұрын
Huu kaka naye vipi na mabiscuits
@PoleenNjeru
@PoleenNjeru 7 ай бұрын
Much 💚 from 🇰🇪,nakatika movie zote mlizo zifanya hii 🔥🔥🔥🔥hongera💐
@GeoffreyOnyango-ul6sn
@GeoffreyOnyango-ul6sn Ай бұрын
I'm watching from Kakamega, good trial
@KibuDii
@KibuDii 6 ай бұрын
Kazi nzuri dadaangu hongera san ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@harrysonwaya6517
@harrysonwaya6517 6 ай бұрын
Hii FILAMU safi na imetisha sana...baadhi ya kauli za mrisho mpoto mzee WA kutembea peku zimetumika na mndoro
@MaamakomboMkuluomar-pd6wn
@MaamakomboMkuluomar-pd6wn 6 ай бұрын
Pongezi sana kim uko vizuri daa mungu akuongoze
@PrincessNarfat
@PrincessNarfat 2 ай бұрын
Humu ndani kuna watu wanalia sana
@NoorEesa
@NoorEesa 7 ай бұрын
Congratulations 👏 kazi nzuri sana ❤❤❤❤
@PeterChengo
@PeterChengo 7 ай бұрын
Miza mmmmh paka natokwana machozi😢😢 hongera
@LydiamwakaBeja
@LydiamwakaBeja 5 ай бұрын
Hongera 🎉🎉,, ila Medick upo vzur❤❤
@RamsoHk-s4p
@RamsoHk-s4p 3 ай бұрын
Mbwera nakukubali Sana Broo🙏
@JohnKristophebigi-d8z
@JohnKristophebigi-d8z 3 ай бұрын
Good job 🎉🎉🎉🎉🎉
@BahatiAli-hl4je
@BahatiAli-hl4je Ай бұрын
Hi Kim muendelezo lini❤❤🎉
@ChristineAsifiwe
@ChristineAsifiwe 6 ай бұрын
Liza unanifanya nitowe machozi😢 ase maua yako dada 🎉
@RoseWakio-n7y
@RoseWakio-n7y 3 ай бұрын
Mumegoma kuendeleza kabsa number 8
@PrettyMarie81
@PrettyMarie81 7 ай бұрын
❤️❤️❤️Wa kwnz apaaaa
@mwinyijuma6567
@mwinyijuma6567 6 ай бұрын
Mbona part two inachlew jamaa mnatunyima urodaaa
@SharifaChepchirchirdh
@SharifaChepchirchirdh 6 ай бұрын
More love ❤️ from Kenya 🎉
@MUNGAMONGO-rl8gp
@MUNGAMONGO-rl8gp 7 ай бұрын
Kazi nzuri Sana bwele.mimi Niko kenya
@MuhammadJaffary-uu6zl
@MuhammadJaffary-uu6zl 7 ай бұрын
awamu ya pili chozi bado mbichi jamani❤❤❤🎉
@NadzuwaAmina
@NadzuwaAmina 6 ай бұрын
Mupo vizuri sana chukueni 🎉🎉🎉🎉
@CatherineMuema-k1b
@CatherineMuema-k1b 29 күн бұрын
Butula oo my
@GraceMwakalinga-jg4hh
@GraceMwakalinga-jg4hh 26 күн бұрын
😢😢😢ata cjui nalia nini
@AmzaOmarBacar
@AmzaOmarBacar 4 ай бұрын
Kazi mzuli sana
@Luvunokkabi
@Luvunokkabi 6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉mmeweza
@EvalinePaschal
@EvalinePaschal 6 ай бұрын
Kiukwel ipo bomba san
@MouridiNizigiyimana
@MouridiNizigiyimana 5 ай бұрын
Haki yako mbwela🎉❤
@BenjaminPhilimon-q7w
@BenjaminPhilimon-q7w 7 ай бұрын
Nmeipenda sana hongera sana
@faithchemutai-z2j
@faithchemutai-z2j 3 ай бұрын
Kazi safi
@joseambrosio1503
@joseambrosio1503 7 ай бұрын
Bom trabalho gostei🎉🎉
@ConstantlaisiConsta-d3c
@ConstantlaisiConsta-d3c 6 ай бұрын
Kim apo nisawa umesha kuwa sasa
@suleimaanunda
@suleimaanunda 3 ай бұрын
huyu wa kujililia biscuits naye anakera 😢kwani aliambiwa akitaka kuwa na hikma ni lazima utafunetafune kama mbuzi, si utafute njia m'badala ya kuwakilisha hiyo habari yako bw mdogo
@MinaniTharcisse
@MinaniTharcisse Ай бұрын
Biskuti hizo zimemkosea nini haswa?😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@damarisnjeri7820
@damarisnjeri7820 6 ай бұрын
Part 2 please
@emanuelshirima6092
@emanuelshirima6092 5 ай бұрын
Mbeela ninoma wew
@AJBabaMalik
@AJBabaMalik 4 ай бұрын
Kenya tunawapenda sana
@HappyMoses-rt1nv
@HappyMoses-rt1nv 5 ай бұрын
Kim kama Kim maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MamuuAli
@MamuuAli 6 ай бұрын
Jorge njoo unioe mm acha kujitesa
@DaudEmmanuel-fy8hs
@DaudEmmanuel-fy8hs 6 ай бұрын
Kaka mbwela unazingua tunaomba part2 ya chozi umetuacha na utamuu
@SalamaNtazigaya
@SalamaNtazigaya 7 ай бұрын
So beautiful ❤🎉😢
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 7 ай бұрын
Muddih- mjeshi maua pia pokea bro
@SwaumuJuma-d6t
@SwaumuJuma-d6t 3 ай бұрын
Ila wanaume nyie loh
@EnjoyPhilbet
@EnjoyPhilbet 4 ай бұрын
Pongezi kwa kil mtu kwa kaz san
@AllyShemela
@AllyShemela 3 ай бұрын
Kim unajua sana
@WilsonEmanuelly
@WilsonEmanuelly 5 ай бұрын
Jaman mbona hii muv ya choz part 2 hamtoi?
@AsuLaurent
@AsuLaurent 6 ай бұрын
Historia mbovu sana
@esthercharles6118
@esthercharles6118 6 ай бұрын
We unayako
@WilsonEmanuelly
@WilsonEmanuelly 5 ай бұрын
Jamn choz vp kimy had tuna sahau part 1
@KenzoBreezy-r8z
@KenzoBreezy-r8z 9 күн бұрын
Nisaidie kumpata Kim mana nampend
@MUNGAMONGO-rl8gp
@MUNGAMONGO-rl8gp 7 ай бұрын
Miza pokea maua yako kutoka Kenya mombasa
@WilsonEmanuelly
@WilsonEmanuelly 5 ай бұрын
Kim mbona muv ya chozi part part 2 hautoi?
@mkarekidhuku3473
@mkarekidhuku3473 4 ай бұрын
Mbwela muue huyo ni munyama
@ChristinaJonh-e5d
@ChristinaJonh-e5d 5 ай бұрын
Halii kwa sababu ya mdogo wake anaria kwa sababu yake
@benardkoech3818
@benardkoech3818 5 ай бұрын
Kweli akuna mwalimu wa mapenzi
@NeemaMOSES-v4g
@NeemaMOSES-v4g 12 күн бұрын
Kwani udindie nikirugha gani
@AmaniChari
@AmaniChari 6 ай бұрын
Sehem ya pili vip kim
@JMAXMEDIAKE
@JMAXMEDIAKE 5 ай бұрын
Part 2 Iko wapi
@kenphylosopher5199
@kenphylosopher5199 4 ай бұрын
💓💥
@MouridiNizigiyimana
@MouridiNizigiyimana 5 ай бұрын
Mbwela pasiwe wakukudanganya uweze kmuacha
@allyseguya
@allyseguya Ай бұрын
Wasoma comment tujuane
@Aisha-ld3ol
@Aisha-ld3ol 6 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🥰🥰💋💋💋
@RahoumAbdi
@RahoumAbdi 7 ай бұрын
Kwanini baadhi ya sehem mnaongea kilugha hatufaham wengine
@bettyaluz3524
@bettyaluz3524 6 ай бұрын
Part 2 iko wapi
@JanetSimiyu-j9h
@JanetSimiyu-j9h 4 ай бұрын
🎉🎉🎉
@antonina-w8j
@antonina-w8j 6 ай бұрын
Twataka part 2 tafathali
@Frola-ym2nq
@Frola-ym2nq 5 ай бұрын
Ila mapenzi yanauma we acha lisikie Kwa mwingine ila lisikukute
@JosephKiema-r2u
@JosephKiema-r2u 4 ай бұрын
Where is part 2
@assanibutoto9208
@assanibutoto9208 6 ай бұрын
So good movie
@WilsonEmanuelly
@WilsonEmanuelly 5 ай бұрын
Chozi part 2
@AmaniChari
@AmaniChari 6 ай бұрын
Ak nafrai Sana kim
@AllyQuicleEgain
@AllyQuicleEgain 7 ай бұрын
kim acha nikupe mahuwa yako
@josephmacharia530
@josephmacharia530 7 ай бұрын
🎉🎉
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 6 ай бұрын
🎉🎉
@suleimaanunda
@suleimaanunda 3 ай бұрын
mlisema eti 'mahuwa' ndio kusemaje vile 😅
@RamadhaniBupe
@RamadhaniBupe 7 күн бұрын
😂😂​@@suleimaanunda
@AlexMayoki-nb2qw
@AlexMayoki-nb2qw 6 ай бұрын
Part 2 inafika lini
@SwaumuJuma-d6t
@SwaumuJuma-d6t 3 ай бұрын
Mwakani
@MashakaMbaigwa
@MashakaMbaigwa 7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤
@JohnKristophebigi-d8z
@JohnKristophebigi-d8z 3 ай бұрын
Timefanyeje mapenzi ayana mipaka eti
@Aisha-ld3ol
@Aisha-ld3ol 6 ай бұрын
😢😢😢😢
@VictorGodfrey-lu2cv
@VictorGodfrey-lu2cv 7 ай бұрын
Nice
@GHgh-hq3zj
@GHgh-hq3zj 7 ай бұрын
❤❤❤
@OfficialOredi_Mweusi20
@OfficialOredi_Mweusi20 7 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉
@TantineZuzu
@TantineZuzu 7 ай бұрын
❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@MundhirBakar
@MundhirBakar 7 ай бұрын
🎉
@MalingaMaboko
@MalingaMaboko 7 ай бұрын
@CycloneOg98-Tz
@CycloneOg98-Tz 4 ай бұрын
𝚍𝚊𝚑❤❤❤
JOTO | FULL MOVIE
58:49
A7 FILMS
Рет қаралды 158 М.
MSAKO | FULL MOVIE |
1:08:44
KIM VEVO
Рет қаралды 279 М.
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
KUFULI | FULL MOVIE |
2:38:45
KIM VEVO
Рет қаралды 363 М.
CRAZY LOVE FULL MOVE NEW 2025
1:17:25
KAYUNI MEDIA
Рет қаралды 6 М.
FUMANIZI // FULL MOVIE // SWAHILI FILM
1:41:13
THIRD FILMS TZ
Рет қаралды 23 М.
MY LIFE FULL MOVIE
1:16:15
BHAILAM
Рет қаралды 725 М.
MWANAMKE FULL MOVE
1:32:45
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 394 М.
PETE YA AJABU 💞 FULL MOVIE #dontatv
1:41:18
KWISA ACTOR
Рет қаралды 51 М.
LESO FULL MOVIE
2:24:00
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 257 М.
KUNGWI MLEVI FULL MOVIE
2:51:37
BUTUA MAGINGA TZ
Рет қаралды 34 М.