Shout Out Zombie Mshkaji Yupo Peace Sanaa. Kama Bahati Kukutana Nawe CKu Unachukua Hizo Zulia Za Kwenye studio Zako. Much Respect. We Zombie Haujuiiii🔥🔥🔥Kuhusu Pesa Mzee Ninyingi Wanangu Haongopi.
@footystatx5 ай бұрын
Hongera sana s2kizzy nikiwa mkubwa nataka kua kama wewe
@dydavinman63745 ай бұрын
S2kizzy we ni hataree,,am your Kenyan Fan
@Commentiting5 ай бұрын
12:34 Aight, listen up, fam! So you sayin’, “$10 grand for a basic secession? Bruh, you wildin’! I ain’t droppin’ 10 bands just to learn studio production. Two bands at most, and that’s pushin’ it!” You feel me? 🎤🔥
@DjNkuthima100004 ай бұрын
Nimekubali babá
@erickAfricatz5 ай бұрын
We zombie 👁️🗨️☠️💀💀💀💀👽👽👽 Haujui🔥🔥🔥s2kizz ni moto faya ❤ Like back 🔙🔙
@Rayflix445 ай бұрын
Backing vocal za komasava uliua Sana, hiyo pia inakufanya uwe producer wa tofauti
@goldenstar39665 ай бұрын
Huyu jamaaaaaa nimnyamaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🦅🦅🦅🦅🦅
@ottiefx2555 ай бұрын
Hongera sana bro
@BuyTechWithMe-km2zw5 ай бұрын
what an inspiration 💥💥
@yuzzohmr45905 ай бұрын
Mungu azidi kukulinda broh umeni inspire kinoma hata mimi sitakata tamaa...one day yes
@YohanaCharles-ry1kh5 ай бұрын
Es2kizi ni nooma, huyu mwamba
@boscofidelis62235 ай бұрын
Huyu jamaa ni mnyamaaa
@MackameHassani5 ай бұрын
Skeezzy ni beatmaker mzuri sanaaa ila siyo producer km yy anavyosifia
@frankmsaki625 ай бұрын
Na wengi wakijua kutengeneza beat bas wanajiita ma producer...Produza ni wakina Mj,majani,Tudd tomas etc huyu anajiona kamaliza😂
@Godmaletz5 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅napita
@Kudonjoshow5 ай бұрын
Congratulation bt sio yakwanza EST AFRICA TEMBEA BRO
@emmalyanga37265 ай бұрын
Hamkosekanagi bro
@atenionesmo_A105 ай бұрын
leta fact
@agapemunyi20954 ай бұрын
Kuna ipi nyingine
@Baira2405 ай бұрын
Oya wee zombie limetoroka milembe Zombie hizi beat hazipigwagi We zombie watakurooga Zombie sikutaji humu Zombie zombie zombie utatuuwah
@flamingofmtz5 ай бұрын
KUMBE ZOMBIE NI MWAISAA
@yohanamnkande24165 ай бұрын
😢
@Baira2405 ай бұрын
@@flamingofmtz nimesahau ile ya lavalava Niko na zombie shetani 😅
@AmaniNasoni5 ай бұрын
hap ni vitendo to maneno tupa kule like za kutosha hapa twende sawa❤❤
@pascalmusana21375 ай бұрын
Wee zombi 🔥🔥🔥
@vladimirputn18095 ай бұрын
Ndokabaya hivi 😂nikajua ka hendsom
@Babamaploti5 ай бұрын
Amejaribu sana ela si east africa
@mgendihdellicy62102 ай бұрын
misifa inakuwa mingi...east Africa kabisa
@PhilipoMabula-ky9vs5 ай бұрын
Nakubali saaanaa brother big up sema kwa sisi wenye kipato cha chini tutarekord kwel brother?
@JoshuaEsrom5 ай бұрын
Ni noma
@Az__20125 ай бұрын
The focus is not about helping the youth,, unataka kupiga hela tu,, dollar elf kumi😂
@lilwiz54145 ай бұрын
Dah legeza hio cost angalau iwe affordable kwa maisha ya mtanzania
@Drey_tz5 ай бұрын
God bless 🙏
@zclassicfashionz15735 ай бұрын
Saidia wenzako ndo malipo na shukrani kwa taifa lako achana na makaratasi ya $ 10,000
@babalao32505 ай бұрын
Ila s2kizzy unajisifu zaidi kwani Mondi si ulimpata akiwa big au utupe mfano ni msanii gani umempeleka zaidi mwenye hujapata kwenye gemu tuelezee
@rashowshine78495 ай бұрын
Nitakanyaga hapo one day
@PrinceBonnyTz85 ай бұрын
Zombie kama Zombie 👊
@LizenMaker5 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌
@AwardBillb000ard5 ай бұрын
Bless up S2kizzy
@JustineOpala5 ай бұрын
Mwandishi anauliza swali la kitoto sana et dai anashare hapo😂
@frankmgunjimgunji92613 ай бұрын
Bora tumekuwa comfortable na interview sio yule mpumbavu alirekod hovyo kutwa kumchukiwa paji la s2kizzy tu pumbav
@Janubaba-rz2xs5 ай бұрын
Producer ghost🎉
@benjagaspar53045 ай бұрын
Pluto🙌🇹🇿💯
@kelvinimunishi33345 ай бұрын
We zombiii weee watakurogaaaa
@samolamsille39285 ай бұрын
Ukitaka kujifunza producer unatakiwa uwe na Dolla 10000 🤣🤣🤣🤣🤣
@africanbeatsound5 ай бұрын
Anakichaa huyu
@Ericksamweli-tt4ov5 ай бұрын
We zombi 🔥🔥🔥❤❤🔥🔥
@amostaita44295 ай бұрын
Lasima mondi ana isa zake humo
@zclassicfashionz15735 ай бұрын
Balaaa
@bossandingy4125 ай бұрын
Watutolee uongooo
@joshuakatumbo32555 ай бұрын
Dollar buku 10 😀😀😀
@Dipeson7005 ай бұрын
26M 😊
@rashowshine78495 ай бұрын
@@Dipeson700 Nilikuwa na mpango wa kufika hapo lakini siyo kwa pesa hiyo 😢
@Dipeson7005 ай бұрын
@@rashowshine7849 😌
@nellygmbeats52225 ай бұрын
IF YOU KNOW WANENE LIKE HAPA
@bovismbafumojaofficial5 ай бұрын
Niko DRC🇨🇩
@SHAIBUMWAMBUSI-s3y5 ай бұрын
SEMA S2KIZZY MIHADARATI INAMCHANGANYA SANA ANAJIONA KAMALIZA SABB MOND YUPO KARIBU YAKE SANA ANACHOCHTE KWENYE PROD. WA BONGO KWA HIT YUKO JUU SBB YA MTU ANAEFANYA NAE KAZI LAKN ANACHOCHTE WAKAWAIDA SANA MIHADARATI NDIO INAUHARIBU
@LeonardBadili27 күн бұрын
Sijakuelewa umeongelea nini hapo mafanikio yake au mihadarati
@feezdidthis22205 ай бұрын
apo kwny ada ya academy dollar 10000 ndo alipotuacha maskini... ma producer wa bongo wengi ni wachoyo sana
@Fadytunez5 ай бұрын
Angesema milioni moja si kungekuwa kama chekechekea hapo
@Youngmedi8065 ай бұрын
Likes kwa s2kizzy
@lazaromwambene45165 ай бұрын
❤❤
@dunstunnchimbi79945 ай бұрын
Ila Million 27 ni nyingi kwa uchumi wa watanzania tulio wengi. Atapata watu wa kuwafundisha ila wachache. Ila ametumia mbinu nzuri kupunguza watu
@BlackKing89-l1u5 ай бұрын
Wala Sio nyingi..hii itasaidia kuchambua na kutoa wale ambao wanataka Kunyonya..kumbuka anakufundisha Ajira ya maisha.
@dunstunnchimbi79945 ай бұрын
@@BlackKing89-l1u Ni kweli. Atawapata vijana wa kipato cha kati na juu. Sisi wengine tumeshaenguliwa.
@BlackKing89-l1u5 ай бұрын
@@dunstunnchimbi7994 Ndo maisha yalivyo..yeye afanyi msahada ni biashara. Hata mwenye Duka anataka mwenye hela ndo aingie dukani kwake.
@MTOTOWAvitoto5 ай бұрын
Kamati Yako ulonayo usijajaribu kuiacha zombie manake unayoyafanya tunayaona manake huko peke Yako kina watu wanatujua nguvu na akili Ili hayo yawezekane ,,hakika kazaa producers wapate funzo kutoka kwako
@zclassicfashionz15735 ай бұрын
Nolidhani mjengo ni wake😅
@soudytv74715 ай бұрын
Dollar afkumi kwa semister 😂
@Rauhiyaqueen5 ай бұрын
Mimi nakukubali miaka100
@luganojohn26735 ай бұрын
✅️✅️
@suleimankitango5 ай бұрын
we zombiiii
@jumaibrahim97735 ай бұрын
Diamond na ww upgrade wasafi lebel imekuwa old
@chui99official5 ай бұрын
Kumbe zombie mwaisa
@IshipalemyPasko5 ай бұрын
Hereni kwa wanaune ishakua kitu cha kawaida eti!?
@mohammedgumbo46334 ай бұрын
UNATOBOA SIKIO PUA MTOTO WAKIUME UNATAKA NINI KWAWNAUM WENZIO HUWO NI USENGE ALAFU UKIJA KUZINGATIA UNAJINA LA KIISLAM
@verbalverbal20195 ай бұрын
Sasa producer chipukizi 20k$ anazitoa wapi? Au anataka kufundisha watoto wa viongozi na na watoto wa wafanyabiashara wakubwa?
@bovismbafumojaofficial5 ай бұрын
HI niki taka ji funza beat nikiwa inze ya Tz, nita pokelea kama ndio tuta fanyaje..?
@robertempire95425 ай бұрын
Sawa umeivest zaidi ya 300m je?? Eneo la hiyo ofisi umelinunua pia au umepanga pia??
@nover80355 ай бұрын
Alijibu, rented
@Officialbabu_Beatz5 ай бұрын
bro yupo normal sana ila naamin akitoka yeye nafata mm coz technique ambazo anatumia na mm ndo natumia now.
@jilanimartin16205 ай бұрын
Weee Kuna mastudio hii ni chumba Cha kurecord tu usiseme east Africa ni kubwa.hio mixer kwanza ata bado.kuna studio Zina vifaa weee
@Bmtstudiostz5 ай бұрын
Analog mixer Anatakiwa atuletee digital mixer
@rashowshine78495 ай бұрын
Studio siyo vifaa ni uwezo na ubunifu wa producer unaweza kuwa na magitaa ma violin na hata saxophone lakini kupiga huwezi mwenzako ako na PC too akatengeneza mziki mkali
@rajumrecords7115 ай бұрын
Komasava ni wimbo wa kawaida . Account ya Diamond iko na subcribers 8M. Komasava haijafikisha hata 6M Views toka itoke. That means it's not a hit song
@wahshiy-dizzier-nm5rx5 ай бұрын
Toa yako mzee ifike viewers B mze
@SajoAbel5 ай бұрын
Duh ila watu wanachuki binafsii
@HeriRamadhan-q7m5 ай бұрын
We msenge Kuna msanii Gani bongo anaweza kama mondi , huna akili Kuma wewe, unachokiandika hata hauelewi , Komasava ndani ya siku kumi TU itafikisha views mi.10 tulia uone fala wewe