Kuandaa mapema ni vizuri sana hasa wale watu ambao wapo Bize wiki nzima
@annaisrael7991 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana napenda sana kazi yako na nakufuatilia
@mynersaid67474 жыл бұрын
Wakati wa kuchoma sambusa mafuta yanapendeza yasiwe moto mpenzi ili kusaidia sambusa kuiva kwa kubabuka au kutoa hvyo vipele...jarib siku moja utaona zitakavyotoka soft sana but thnx you so much kwa mapishi mazur na simple
@debbymchau14684 жыл бұрын
Wooow...I love meal prepping... thanks for the added knowledge
@ednamwangalaba44316 ай бұрын
Asanteee dear barikiwa sanaaa
@juliethurio68404 жыл бұрын
Yaani ndo maana nakupendaga mrembo uko vizuri sana sana. Mungu akubariki
@sultanking99364 жыл бұрын
Asante umetupa somo ni vzr so kilasiku kukanda unga inachosha
@shyrosejaphet97954 жыл бұрын
You are a life saver.. love this 😍
@lizzydiy45904 жыл бұрын
Video nzuur na nimeipenda
@jasasny51534 жыл бұрын
Nimeipenda coz nakua bz sana
@maureensteven58984 жыл бұрын
Asante mummy. Video hii ni nzuri sana 👏👏👏👏👏
@MsBupe4 жыл бұрын
Hii nzuri sana inaokoa muda sana.
@noorayaqoot12944 жыл бұрын
Mashaallah nimeipenda sana idea hii na ramadhani ndio karibu itasaidia
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Am here dear 🥰🥰🥰
@samiraali55054 жыл бұрын
Nice taste of work!
@juliaayieta25784 жыл бұрын
Asante sana, mwanzo hapo kwa kachori nilikua sijui hata pakuanzia 😘😘😘
@ashuradaudi90134 жыл бұрын
Ukovizuri sana asante namba niulize icho kidude cha kubania sambusa kina itwaje navinapatikana wap
@RaniyahAnwar4 жыл бұрын
Thanks dear kwa kutuelimisha❣️❣️
@philininomhenzi3964 жыл бұрын
Asantee kwa somo ila unapika vitu vingi kwa wakati mmoja ni Bora upike kimoja ili tuelewe
@ikamalle4 жыл бұрын
Vitu vyote vimeshapikwa, kama unaangaliaga video zangu utakuaumeziona! Link pia ziko hapo juu!
@philininomhenzi3964 жыл бұрын
Asantee @ika malle
@jackyluns82244 жыл бұрын
@@ikamalle ooh
@zulfahhussein5054 жыл бұрын
MashaAllaah leo maelezuo powa sanaa
@magiefrank40984 жыл бұрын
U ar the Best💕 ika😘
@sarahwilson5864 жыл бұрын
Nice my Darling
@jasasny51534 жыл бұрын
Asante my
@claudiasekwa63894 жыл бұрын
Nakupenda bure dada angu😘😘😘
@NGOZISPACE.S4 жыл бұрын
Tabasamu...😍😍😍
@neemakitegile54863 ай бұрын
Habari,Mimi naomba kuuliza nikipika kacholi ni kwanini zinavurugikia kwe mafuta nakosea kitu gani mamii
@selwamohd13162 ай бұрын
Uchomeee mafuta yakiwa moto na usiweke kachor nying mwanxo anzianata tatu ktk karai
@zahraibrahim53384 жыл бұрын
❤️❤️
@maryjacob21794 жыл бұрын
Nice mamy
@israelsauli58074 жыл бұрын
Nakupenda bure mwalimu wangu Ika.
@faustinakitaly77594 жыл бұрын
Nakuomba namba yako ya simu nimependa kipindi chako sana