Kama unataka recipe ya sambusa, bonyeza haya maandishi ya blue Ili upate recipe: kzbin.info/www/bejne/fqiQZmaeYrijpNE
@leonardkilili52435 жыл бұрын
Mapishi rahisi samahn kuna chapat uliipka miez miwili iliyopta chapat mayai ,,ulitmia masala pale lakn hukutoa direction ile masala ya nn maana zko nyng au tutumie yeyotw
@maryamsaleh71635 жыл бұрын
Mapishi rahisi manda
@liliankabui17214 жыл бұрын
How many minutes should the oven preheated?
@arafatahir58484 жыл бұрын
Tunaomba utuekee recipe ya triangle
@stephenmlindakumbi99614 жыл бұрын
Nimeielewa
@aksamayuni9113 жыл бұрын
mashalla ume pika simpo tuu ila zimetoka vizur namie ishall nita jarib risp hii nime ipenda kweli mungu akujalie ufanikiwe dad kwa mapishi yako mazur
@joyce12345505 жыл бұрын
Nmependa recipe..nlikuwa nahangaika kweli kutengeneza manda..keep up the good work ma'am
@fatmasuleiman53764 жыл бұрын
Mashaallah process easy straight forward Allah barik kwa kutuelimisha
@rahmasanga27803 жыл бұрын
Nakupenda Sana dia nimejifuza vingi kupitia video zako
@FatmaMohamed-yv2vl5 жыл бұрын
Kweli haya ni mapishi rahisi.. napenda unavyoonesha options mbalimbali kama mtu hauna oven unaweza tumia gesi na manda zikawa sawa sawa... jazaka Allah kheyr!
@jokhamohamed91365 жыл бұрын
mashaa Allah hodari sana kwa kutengeneza manda zimetokea perfect. Hutuonyesha style ya 2 ya kukunjaa
Wow nice and easy thanks dada wetu, mungu abariki kazi ya mikono yako xx
@rabiyamussa6412 Жыл бұрын
Mashaallah nimeipend kwn lazm iyo lak i
@megoj51794 жыл бұрын
Wooow, very nice 👍🏽 Well done and Thank you for sharing Uko vizuri sana
@ashurasalum11404 жыл бұрын
Mashaallah unafundisha vizuri sana
@tunuyaomar50175 жыл бұрын
Asante sana yaani we dada uko vizuri sana katika kuelekeza.. God bless you.
@mohammedhusssein87344 жыл бұрын
Unafundisha vizuri sana nimekuelewa
@damarisnduku9654 жыл бұрын
I like your styles of cooking...Kwanza chapati za kuchambuka😍 Sasa nitajaribu hizi Manda za sambusa. Thanks for teaching me how to make food at home delicious.
@HusnaSalehAbdula Жыл бұрын
Mashallah nimependa sana upishi wako wa manada na mm nimepata ujuzi shukran sana
@nadusohrab16915 жыл бұрын
Ma"Sha"ALLAH Nzuri Saana Uko saawa kabisa
@rhoidajengela27495 жыл бұрын
Nadu Sohrab.
@tambwefatuuma5378 Жыл бұрын
Mashaallaah shukrani acha nijaribu in shaallaah
@abajunilady82333 жыл бұрын
Mashallah....nimejaribu one of the best method ...thank u.
It's sooo beautiful, I've got to know how those layers of sambusa come from. It's amazing 😍
@anthonymaina22155 жыл бұрын
Great, I wonder why we have 61 thumbs down!! This video is one of the best I’ve seen. Simple, to the point and the step by step explanation is superb. Keep up the good work. May success follow your ambitions.👍🏾👍🏾
@sandrasandrine30272 жыл бұрын
Exactly
@daazuu70562 жыл бұрын
Wow n nzur
@janethfelix67383 жыл бұрын
Wow simple and clear video ,, your so great
@beatricekamenge70004 жыл бұрын
Waooo nzuri mnoo
@hadijamuhamedy42693 жыл бұрын
Upo vzr dada
@leticiabunyecha46015 жыл бұрын
Nimependa sana
@SophiaYacoub-h9o25 күн бұрын
Nmependa sn shukran
@mwerochindoro29102 жыл бұрын
MashAllah,, jazzakah,Allah Khair
@animator36572 жыл бұрын
Mungu akuzidichiye dada 😘😘
@lifeislove87733 жыл бұрын
Asante sana dada nimependa ufahamisho wako mzuri 😍
@keyshia_francesco242 жыл бұрын
Omg God I used to buy samosas and just fry while living in Mombasa today i missed samosas and i decide to try mapishi rahisi recipe lemme tell her recipes they've never fail me simple and 🔥🔥🔥🔥Am enjoying my samosa keep it up I won't mind even paying for your channel so that i can get the recipe♥️♥️♥️
@Mapishirahisi2 жыл бұрын
Thank you so much 💖💖
@mariamjumamariamjuma43314 жыл бұрын
Kiukweli nimejaribu na nime weza . Asanteeeeee ... mungu akubarik. Wapenz karibuni tuleee..
@zawadiissa34624 жыл бұрын
Shukrani dear. Barikiwa
@beatricekamenge70004 жыл бұрын
Unga uliotumia,kwa juu ni wa mchele au ngano my
@devothadonaldsimbi34995 жыл бұрын
Ahsante Sana na shukrani kwani muda so mrefu Sana nilikuwa nawazia njisi ya kutengeneza hizo Manda,hakika umenifurahisha Sana.
@Mapishirahisi5 жыл бұрын
❤❤❤
@ongowi57013 жыл бұрын
Asante sana. Umeelezea vizuri sana. Sikujua km naweza tengeneza manda kwa oven. Nitajaribu.
@shadiahnelimah39055 жыл бұрын
MashaAllah Ramadhan Kareem
@neemamjema10673 жыл бұрын
Asante sana umekuwa mwalimu kwangu sana
@zuwenahamad-lz1xm Жыл бұрын
Mashaalah nzr sn
@halimakhalfan60334 жыл бұрын
I like your vedios
@SashoRight6 ай бұрын
Walykm salaam baada ya mwaka Maa shaa Allah nmekuja kukoment tena shukran dada Mungu akujalie afya akupe umr mrefu uzid kutupa ma recepii hayo In shaa Allah mana tunajipikiza nyumban uku ad rahaa ❤❤❤😅
@aminahassan26264 жыл бұрын
Safi kweli ,asante
@sandrasandrine30272 жыл бұрын
hongera dada nime jifunza kwako
@bertozzmusiq31932 жыл бұрын
Nice one
@mwajumamsangi81484 жыл бұрын
Unaeleweka vzr sana. Thanks
@daulphinekokidi39115 ай бұрын
Superb!
@zayanahassan87704 жыл бұрын
Mashallah ni rahisi sana😍❤️
@Kasamina4 жыл бұрын
I was today years old when I realized I dont have to burn my fingers all in the name of making manda😅. Shukran , Mungu akuhifadhi.
@maryammct39674 жыл бұрын
Mashallah nzurisana
@umiabubakar83275 жыл бұрын
Masha allah nzuri sana
@Mapishirahisi5 жыл бұрын
Shukran❤🌹
@graceemma50194 жыл бұрын
Vizur xana
@maryamoman59265 жыл бұрын
Mashallah hodari nimependa sana
@سالمهالرقادي4 жыл бұрын
Asante sana kwa kuni saidia nilikuwa sjui
@zahramusa49175 жыл бұрын
MashAllah beautiful recipe. God bless.
@nshimirimanadjamilla72703 жыл бұрын
Shukran allah akulipe kheri
@juliethfrank66264 жыл бұрын
Asante sana nitajaribu
@mommary24245 жыл бұрын
Well done dear 😘,kweli umenifanya nianze kujipikisha leo hii😋😋
@asmahdundo39045 жыл бұрын
Mashaallah 😘😘👏 jmn wajua mapishi dada. Asante kwa kutupa ujuzi
@Mapishirahisi5 жыл бұрын
❤😘😘
@mkaziz54434 жыл бұрын
Masha Allah Allah yahfidhkum shukran
@sammylugwisha26842 жыл бұрын
I like it
@mayedmohammed55544 жыл бұрын
Maanshallah dada Allah akulipe mimi nimependa ile ya mraba ndefu
@sashoright82132 жыл бұрын
Yan sijui nsemeje nlikua napika lkn azifanni na iz imenisaisia nmepika Leo zmetokea nzuri zaid kwa msaada wako ubalikiwe Mana napenda kujipikishaa Ni subscriber mpya wako thank 😍😍😍😍😍
@jasmineathuman9656Ай бұрын
VIP kama hauna oven
@FatmaMohamed-zk6ml4 жыл бұрын
I like it marshaallah very simple
@zaharamussa Жыл бұрын
Waoooh nice
@hamisayasin2352 жыл бұрын
Bravo, nice art.
@shammoha52975 жыл бұрын
MashaAllah. Nzuri saaana🤗👏🏼🙌🏽👌🏽👍🏼 Shukran. Ramadhan Kareem wa Saum Makbul
Thank you so much for sharing this amazing video 🇺🇬😍💞😜😃😃😃
@rizikiswaleh9175 жыл бұрын
Waaleykum musalam habibty kikombe unachopimia hua hutuonyeshi ni kikombe aina gani twashkuru sanaa na mapishi yako mazuri Allah akujaze kheri inshaa Allah
@salomemhalule52132 жыл бұрын
Mimi pia ningependa kujua kiasi kwa grams.
@masoudsaada693610 ай бұрын
Nikile kikombe cha kupimia unga wa keki
@daisyrosey84475 жыл бұрын
Shukran sis ramadhan Karim inshaAllah kwa wote jami muslimin
@Mapishirahisi5 жыл бұрын
Shahr mubarak🌙 same to you❤
@aminajuma27785 жыл бұрын
JAZZAKALLAH KHEIR SISTER NMEIPENDA SANA NTAOMBA MUNGU NIFANYE KAMA。HIVYO
@aminaomari57763 жыл бұрын
Shukran nimeipenda sana
@siwajibkwelikabisaginga91894 жыл бұрын
Mashaallah l hope one day yeees
@nuwayraseif94572 жыл бұрын
Simple nitajaribu
@dennismusyoki80665 жыл бұрын
Waaaah. . . . .aki asante. . . ..ile kunisaidia umefanya Leo... . .mimi hukanda unga y'a samosa inatoka no-no kama mandazi. . . . . .leo nimeambia siri