SIRI NZITO ZA MANABII WA UONGO ZA FICHULIWA WAIBIKA HAZARANI EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 65,455

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

#call0688199370 #0766998994 #watsp_status #0788871769#

Пікірлер: 529
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Glory to God. Ev. Pascal, Mungu yehova akubariki sana. Hali ni mbaya, nyakati hizi ni za mwisho brethren. Bila neno la Mungu kujaza mioyo yetu katika hekima yote hatuwezi kushinda. Tunashida kwa damu ya Yesu na neno la ushuhuda. Biblia inasema, maana kila kilichopo duniani yaani tamaa ya mwili, tamaa ya macho na kiburi cha uzima hivyo havitokani na Baba, bali na dunia. Hawa manabii wa uongo wana viburi sana.
@Ezammwakisambwe
@Ezammwakisambwe Жыл бұрын
Amina mtumishi wa bwana yesu real ihubiri ilekweli napia ituweke huru na yesu akulinde sana mtumishi Mana umeamua kuubeba msalaba wako.Mungu awafungue macho vipofu wafungwa waliopotea wanao abudu Wanadam wakidhani ni Mungu wa kweli kwaajili ya ubatili wa tamaa zao Niko Makin my fellow brethren May the real blood of Jesus Christ protect you brother.Amen
@lilianwanjala8728
@lilianwanjala8728 Жыл бұрын
Ameen barikiwa mtumishi kwa kutufumbua macho tumekua tukitembea ilihali SS..n..vipofu wanapona..na..visiwi wnaosikia
@fnono4368
@fnono4368 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah mungu akubariki mutumishi wamungu tunakupenda Sana 🙏🙏🙏🎺🎺🎺
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Жыл бұрын
Watumushi wengine wa Mungu huwa wanawasema hawa juu juu tu na hawawataji majina. Kutowataja majina hao Manabii feki ni kuwafanya waendelee kustawi kwa kudanganya watu. Cassian anafanya vizuri kuwataja ili kila mtu awajue na watakaomwamini Mungu kwa Neema wasiende huko. Asante sana Mtumishi wa Mungu. Tutaendelea kukuombea na kukusapoti ili injili hii ya kweli ya Mungu iendelee Taifa letu lipone.
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Sema kweli Paschal, yaani wakinamama tutaangamia sana, tunataka miugiza tunamkataa mwenye miujiza amaye ni YESU. Utasikia mimi ni mfuasi wa nabii Dev, mara mi niwamwamposa lakin si wa YESU. Jamani tunaangamia kwa kukosa maarifa.
@laurentbulabo5002
@laurentbulabo5002 2 ай бұрын
Roho ya nambii Eliya mmoja wa manambii wa kale,Mungu ameijaza ndani ya mtumishi huyu. Ee Mungu wape macho ya rohoni Watanzani na dunia kwa ujumla wamwelewe mtumishi wako.
@SteveIlunga-qx8wi
@SteveIlunga-qx8wi 4 ай бұрын
Am jambon mtumishi wa mungu mkubwa aliye dju, Niko katika intchi ya Congo, nime penda saana mafundisho Yako mungu akulinde umalize kazi zake asante saana .
@mosimasatu8942
@mosimasatu8942 Жыл бұрын
sema kweli baba. kwani manabii wa sasa hawasemi kweli na kukemea uovu bali kutabiri fedha na kuuza vitu vinavyohusianishwa na imani katika Kristo Yesu Bwana wetu. Mungu akulinde unapotekeleza wajibu huo
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 Жыл бұрын
Asante Yesu kwa mambo makuu unayo yafunua kwetu kupitia mtumishi wako
@MasokaMwembe-vl2wf
@MasokaMwembe-vl2wf 28 күн бұрын
Jambo iyo ni kweli nikuomba Mungu atufunulie juu ni wengi sana
@Akinyisafi
@Akinyisafi Жыл бұрын
AMEN AMEN AND AMEN 🙏 🙌 HAPO NI UKWELI BROTHER WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAHARIFA BADALA WATU WATAFUTE MUNGU WANATAFUTA MIUJIZA ENDELEA KUTUFUNUA MACHO BROTHER MUNGU AZIDI KUKUTUMIA ZAIDI KWA KUENEZA NENO LAKE LA KWELI AMENA🙏🙏🙏🦶
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 Жыл бұрын
Huwezi kumtafuta na kumpokea Yesu bilà miujiza,Miujiza mkubwa kuliko yote Ni kumpata Yesu
@bienvenuelepelerin
@bienvenuelepelerin 4 ай бұрын
Amen nduku yangu Cassian mungu akulinde zaidi ,nimimi nduku yako bienvenue kutokapale Congo
@christalgrandberry9283
@christalgrandberry9283 Жыл бұрын
Tupo pamoja mchungaji ubarikiwe sana sana bwana yesu asifiwe na watu wote waseme Amina
@AironBlaston
@AironBlaston Жыл бұрын
mungu akubariki mtumishi wa mungu endlea kuongea ukwel na tutazidi kukuombea sana kutokana na vita unayokumbana nayo na pia tutazidi kuwaasa wenzetu ukwel waliofunikwa na imani hizo ili jina la bwana lihimidiwe milele
@MusaChipigo
@MusaChipigo 9 ай бұрын
Mungu akupandishe zaid kwasababu kweli ya mungu inaongelewa sana ila watumishi weng ni waoga wanaogopa kuisema kweli
@theresiakashumba3826
@theresiakashumba3826 Жыл бұрын
Sema man of God tupone Mungu kakuleta maksudi usaidie watu waMungu usiogope una ulinzi kutoka mbinguni
@elizabethfatuma9053
@elizabethfatuma9053 Жыл бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu Sema ukweli na Ukweli itakuweka uru
@annbrendanalech7429
@annbrendanalech7429 Жыл бұрын
Amen and amen mungu akubariki nabii wa mungu
@BedoniSanga
@BedoniSanga Ай бұрын
Amina mtumishi
@orestamkingakwamitandaoyot5309
@orestamkingakwamitandaoyot5309 6 ай бұрын
Mungu akulinde cku zoter nitajuaje hili ni kanisa la mungu
@benithomligo9074
@benithomligo9074 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU,, Naamini MUNGU Yuko upande wako. Lakin MUNGU amekuzingila kwa moto pande zote, Shetani anapigana na wewe koto kote uendako akitafuta namna ya kkuangamiza, lakin MUNGU Yuko pamoja nawe,. Usiogopee maneno Yao na vitisho vyao ,, nilazima iwe hivyo, tangu zaman za manabii na mitume ilikua hivyo, lakin hawakujari maisha Yao hata kufa ,, walimtazamia MUNGU pekee ,, wapo mitume na manabii wa kweli. Ila hawapo bado ila ipo siku MUNGU atawainu hakika ni heri tukanena ya kua wewe ni nabi au mtume kuliko hao wanao jiita manabii na mitume, paza sauti usinyamaze mtumishi,, Sauti ya mtu aliaye nyikani
@NeemaShayo-s5t
@NeemaShayo-s5t 2 ай бұрын
Yesu Akulinde mtumishi wa Mungu.
@sandrasandrine3027
@sandrasandrine3027 Жыл бұрын
Mtu atakaye ku chukiya wewe ajui uchungu wa injili ya kweli. Lakini kama aidhivyo Mungu uta ishi maisha marefu paka pale ata penda Mungu .
@mercymamuya7844
@mercymamuya7844 10 ай бұрын
Mungu akutunze, akulinde . Sema kweli na kweli itakuweka Huru. Hiyo ni sauti ya mtu aliye nyikani, tengenezeni njia ya Bwana.,hallelujah ❤huwa nabarikiwa sana kila Nikikusikiliza.. Barkiwa zaidi.
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Unaongea pointi mtumishi wa MUNGU,,,,ila waache hao watumishi na majina Yao makubwa ,,watakuumiza kichwa Bure,,,,,acha MUNGU atajua magugu na ngano mbeleni huko,,,,,wewe fundisha kweli ya MUNGU ili mwenye macho na masikio na asikie,,,,,,,,, watumishi mpendane jamani
@YvetteBafunyembaka
@YvetteBafunyembaka 4 ай бұрын
Alléluia, dunia haiku mupenda christo ata sisi tuliyo wa christo atuta pendwa naku sikiwa kabisa, pamoja na hayo sisi ni nima balozi wa christo na tuta itangaza kweli ya Mungu
@ThomasFabian-it3ij
@ThomasFabian-it3ij 3 ай бұрын
Hakika vyote vinapita ila neno LA mungu utimia kwa ktk nyanza tofauti
@emmanuelkiamba7783
@emmanuelkiamba7783 Жыл бұрын
Mungu akutumie mtumishi wa Mungu ili watu wajue kweli
@jeanefelix70
@jeanefelix70 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana, manabii na mitume wamejaa zaidi sana inchi ya Congo 🇨🇩 wanatapeli watu sana.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Na Tanzania pia
@davidedwardmwaisulumwakisu28
@davidedwardmwaisulumwakisu28 Жыл бұрын
Hanna kitu hapo nenda bible ,wanaokufadhili nakuambia hivi wawe hapa tz wawe ulaya,hawatazuia mpango was mungu ktk Africa naTz mungu anainua wengine tunawasubili soon so polojo zako
@mteulerichproduction9488
@mteulerichproduction9488 8 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akufunike na awe ngao ya kuzuia mashambulizi yanayorushwa kwako
@MussaJulius-vy9ks
@MussaJulius-vy9ks 3 ай бұрын
Pastor pascal naamini unacho kiubiri ni ukweli mtupu ila wasio amini uongeacho ni wenye akili ndogo sana ila naamn upo kwenye wakati wa kututoa kwenye njia mbaya unatuelekeza njia iliyo streat line naamn ktk nguvu ya mwenyezi Mungu ww ni mtu wa kipekee sana ktk uso wa anga la dunia watu kama ww ni nadra sana kutokea duniani ama kwel ❤❤ mwenyezi Mungu yupo upande wako pia hawezi kukutupa, ila sisi wanadamu ndiyo inatakiwa tuelewe ni wakat ambao ni finyu sana kwa sasa pia Mwenyezi Mungu akujalie awe nawe🙏🙏🙏🙏
@grace-oo1zl
@grace-oo1zl Жыл бұрын
Sana mtu wa Mungu Muda wao wa kuumbuka umefika wanatukera na miujiza yao ya kipepo
@elishandikumana4826
@elishandikumana4826 Жыл бұрын
Mtumishi acha kuvaa saa kwa mkono wa kulia tena acha kutumia hayo maua yakutengenezwa kwasababu hayo ni sanamu. KUTOKA 20:4-6 Acha kanisa mtumishi wa Mungu.
@godfreymlau4471
@godfreymlau4471 Жыл бұрын
Endelea ndugu yangu, mungu akulinde Sana.
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 Жыл бұрын
God bless you mtumishi...Asante kwakutufunua maana Tanzania Ina wajinga wengi sanaaaaa
@janetkazungu7795
@janetkazungu7795 Жыл бұрын
Mungu akulinde mtumishi
@CelestinoAntonio-jv7ch
@CelestinoAntonio-jv7ch 11 ай бұрын
Nipo Moçambique laki sijuwi vizury kishuaili laki mungu anasaidia sana nakupenda pastor pascoal Cassiano jina lako nimeadika kwenye kireno
@honestsoka2650
@honestsoka2650 4 ай бұрын
Mtumishi nashukuru kwa neno.Ila kinachonishangaza hawa manabii mbona wanatumia jina la Yesu???
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 Жыл бұрын
Ukweli. Lalini kuwatabuwa Manabi,siraisi. Mungu,atusaidie sana🇰🇪🇺🇬🤝
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia Жыл бұрын
Pascal hujui unachokiongea naona unabwabwaja tu na kuvuja jasho la buree ww si juzi ndo umetoka kuokoka halaf unajifanya saa hv mtumishi watu wako kwenye huduma miaka na wana ROHO MTAKATIFU halisi na hawajawahi kumsema mtu yoyotw mm sijamwelewa huyo roho wako anaktma uwaseme vibaya watumishi halisi waliokuzidi, yani wamekuzidi kifedha, kimali, hata kiroho wamekuzidi sana yan unapingana na andiko yakwamba usiwaguse masihi wangu wala usiwashuru manabii, kweli nimeamn andiko lisemalo watu wabaya wameandaliwa kwa ajili ya nyakat mbaya hz ndo nyakat ambazo watumishi wa kweli wa YESU KRISTO wanasemwa na washamba au watu wabaya kama pascal unajifanya unawajua watumishi wa YESU KRISTO kulikonwewe, wewe ndo uliewapa agizo au kuingia nao maagano ya utumishi mbona unateseka sana wewe, kinachokuuma ni nini mpk unavuja jasho mpka mishipa inakusimama kwa kuwachamba waliokuzidi huwez ukashindana nao, na utaadhirika wewe hapo wala sio wao
@gastondofra9151
@gastondofra9151 Жыл бұрын
Mungu atakupigania neno lake linavyisema katika zaburi 46:1,23:1
@TuzabacarBacar
@TuzabacarBacar 2 ай бұрын
Mungu akulinde sana mapinha kristo
@saidmatikiti1566
@saidmatikiti1566 Жыл бұрын
Barikiwa sana Mungu akulinde
@niyongaboserges6282
@niyongaboserges6282 Жыл бұрын
Barikiwa sana mungu azidi kukubariki
@bartolomeuhenrique1574
@bartolomeuhenrique1574 Жыл бұрын
Deus te abençõe servo do senhor amen
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 Жыл бұрын
Amen
@catherinenicander7468
@catherinenicander7468 Жыл бұрын
Atwambie nabii na mitume wa kweli ni yupi??ina maana wote niwauongo ila yeye Tu,sasa Tz nzima itakwenda kwake si itakuwa shida,atwambie tukaabudu wapi??asitupe Tu maneno,ndio kusema hakuna nabii kwa sasa??huyo wa Mungu anakuja lini sababu anasema yeye anapata taarifa toka kwa mungu:anatuacha njia Panda watu wa mungu
@zacheauskirathimo
@zacheauskirathimo Жыл бұрын
God bless you man of God
@irinechoi8204
@irinechoi8204 Жыл бұрын
Ameeeen..ameeeeen.lwatching.from.saudia
@TabisaDodo-wj5sx
@TabisaDodo-wj5sx Жыл бұрын
Amina
@annijulius4953
@annijulius4953 Жыл бұрын
Kuna watu mwaka Jana wametoa zaidi ya laki Tatu shilling kwamba mgonjwa apewe maji mafuta na maji Wakatoa na Mgonjwa akawa anavitumia still mgonjwa alifariki so sad.
@erickmmbando1909
@erickmmbando1909 2 ай бұрын
Nakupata kupitia Uingereza, aisee nimekukubali sana huu ukweli. Umepigilia Nondo za ukweli mulemule...38:25 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@faridashabanifaridashabani5950
@faridashabanifaridashabani5950 11 ай бұрын
Amina Sana Baba barikiwa Sana 🙏❤
@OdetteMacumu
@OdetteMacumu 9 ай бұрын
Nauliza manake mungu yeye atendake tena sasa wakweli wako wapi munatuchanganisha wale watabakiya bilalo shiye tunamtegemeya tu mungu
@AbisaiMwambene-fo9pt
@AbisaiMwambene-fo9pt 11 күн бұрын
Waambie baba haya tunayo yaona ni madogo ya akija makubwa kuliko haya. Watakiuja watakao agiza moto kutoka mbinguni nao pia watakuwa ni manabii wa uwongo
@pendombilali3956
@pendombilali3956 8 ай бұрын
Injili isonge mbele kama atakavyo MUNGU wa mbinguni barikiwa MTUMISHI
@faizafatu5695
@faizafatu5695 8 ай бұрын
Amen
@Estherabeti7654
@Estherabeti7654 Жыл бұрын
Nilazima wakuchukie kwa kuwa una waambia ukweli wamesha filisisha sana watu ongea mtumishi wa MUNGU usiogope mimi ni muombaji na Nina kuombea kwa BABA yetu YESU KRISTO akufunike wewe na familia yako yote kwa damu yake
@anthonyassenga2365
@anthonyassenga2365 3 ай бұрын
Mungu Akubariki na Usiache kumuhubiri Mungu Wa kweli. kzbin.info/www/bejne/f4CqqWCvn8yBjK8
@chengeson
@chengeson Жыл бұрын
Kabisa mtumishi tusiogope kusema kweli tuseme kweli Mungu achukue walie wake amina
@mwaminifumwakajinga563
@mwaminifumwakajinga563 Жыл бұрын
Inawezekana wewe die mbaya zaidi ya hao unaowasema Kwa sababu kabla hujaanza umeitambukisha ufuma yako na kutoa namba ya kuchangia hao wanaochangia kwako wanachangia mawe? Kama wanachangia pesa basi na wewe unashida tena Una roho ya uharibifu ndio maana umeacha kufundisha unashambulia watumishi Yesu alisema Sisi ni viungo katika mwili wa Kristo tumepewa kufaidiana wewe hutaki kufaidiana na wenzao zaidi ya kuwapiga vita je wewe ni kiungo kweli Mpendwa unaemfuatilia huyu Jamaa shika Sana ulichonacho asije mtu mwingine akaitwaa hiyo taji yako
@chengeson
@chengeson Жыл бұрын
@@mwaminifumwakajinga563 kuna huduma bila sadaka 😂😂😂unza nizingua jichunguze wewe ni wanani
@ruthnyanza1887
@ruthnyanza1887 Жыл бұрын
Acheni Mungu aitwemungu. hata wewe ni walewale kasoro maarifa tu ndo munatofautiana hivyo vidole munavitumia vya nini na maana zake ni nini unataka sadaka za nini mwisho wenu upo
@chengeson
@chengeson Жыл бұрын
@@ruthnyanza1887 acha mapepe
@NiyimbabaziRose
@NiyimbabaziRose 5 күн бұрын
Tunakubari kabisa
@queenesther2639
@queenesther2639 Жыл бұрын
Hutafuti Kik ww! Anayesema hivo amekufa ingawa yu hai,.. Endelea tulio wengi TUNAPONA
@ZuleiyaMagezi-s2t
@ZuleiyaMagezi-s2t 7 ай бұрын
Na. Ww. Fanya. Miujiza. Yako. Tuoone. Wewe. Ulie. Wakweli. Mnatuumiana. Bule. Uo. Ni be wivu. Wa kiroo. Watumishi. Wko. Sawa
@HhNn-f5s
@HhNn-f5s Ай бұрын
Amen
@PonsSalimu
@PonsSalimu 2 ай бұрын
Amen
@josephmnjeru1474
@josephmnjeru1474 Жыл бұрын
Sema ukweli watu wa Mungu tudumu katika Imani sahihi
@kefamsafiri1028
@kefamsafiri1028 Жыл бұрын
Endelea kutangaza ukweli na Mungu azidi kukuinua tunakusapoti 100/ nashetani ashindwe kwa damu ya yesu Amen, niko marekani
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 Жыл бұрын
Unasapoti ujinga wa Pascal kuwashambulia watumishi wa MUNGU,Pole sana
@andrewmmassy5204
@andrewmmassy5204 Жыл бұрын
Mbona wewe ndio wa kupewa pole!!!!???mana hapa ashambulii watumishi. Ngoja nikufundishe kushambulia ni vile kama angewaongelea vibaya kama kuwatukana lakini hapa anahubiri neno kupitia neno la mungu na anasoma vifungu vya neno la mungu ina maana hata kama Kuna nabii ambae alikuwa anatumiwa na shetani bila kujua akisikiliza anabadilika na pia wale waumini ambao wamekamatwa na shetani kupitia manabii wa uongo wakisikia wanafunguka na kuchukua hatua.
@Ufalme1
@Ufalme1 Жыл бұрын
HAKIKA NAKUBALI KUWA UMEITWA NA MUNGU,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,MAKE UNAJITAHIDI SANA,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,MUNGU AKUTIE NGUVU KUPITIA JINA LA BWANA YESU KRISTO,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,BAYA NI BAYA TU HATA UKILIPAKA RANGI NA ZURI NI ZURI TU HATA KAMA HALIJAPAKWA RANGI,,,,,,,,,,,,,,
@milcentachando1142
@milcentachando1142 Жыл бұрын
Akuna silaha itakayo inuka kenyume chako itakayo faulu,Cassian🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunakueka kw maombi mungu akufunike kw damu yake,keep telling the truth ata wakikuchukia n sawa unamungu
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 Жыл бұрын
Unajiingiza kwenye LAANA bilà kujua , Pascal Ni muongo kabisa,haujui Maandiko,anatumiwa na shetani kuwashambulia watumishi wa MUNGU,
@fatumaekabe8678
@fatumaekabe8678 Жыл бұрын
Kamasio wakweli basi tufanyeje?kamamimi na sumbuliwana hugonjwa wa presha natakanikimbilie hukokwao .sababu natakakupona.
@fatumaekabe8678
@fatumaekabe8678 Жыл бұрын
Nahomba msahadawako wamahombi,ilinifunguliwe kwahugonjwa huhu unaho nisumbua.
@barakayekonia7468
@barakayekonia7468 Жыл бұрын
@@patsonkyando1732 au na wewe ni mmojawapo ya manabii wa uongo nini,mbona uneguswa na huu ujumbe ndugu yangu
@milcentachando1142
@milcentachando1142 Жыл бұрын
@@patsonkyando1732 kaka pole sana kama haya mafunzo yajakugusa sehemu,kwngu Cassian amekua mwalimu wangu kupitia mafundishow yake,akika mm na mmoja wa wale tumefunga safari canani lazima tufiki
@LifeWaytv4287
@LifeWaytv4287 Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪Hapa Kenya mmoja aitisha pesa kati ya sh2000 na sh10,000 ili aongee na wee, kutoka sh500 na juu ili akuwekelee mkono, etc na hauwezi kubaliwa uende pale kama hauna hizo hela.
@djbless6201
@djbless6201 Жыл бұрын
Kwa watu ambao mnafuatilia aya mambo vzur mtakuwa mnaelewa kuna ushuhuda mmoja newahi kuuskiliza kwenye channel moja apa kuna nabii apa anarudiwa na alietoa simulizi alikuwa anatumikia kuzimu, kikubwa ni kusoma neno la Mungu na kuliishi kwa kadri tuwezavyo na ukifuatilia kiundani hawa manabii wengi hawakemei wala hawatoi mafundisho ya kuacha dhambi na kumjua Mungu bali wanaegemea upande wa mafanikio tu yaani utasikia "pokea baraka mwaka huu utajenga, utanunua gari" binafsi ninatamani injili ya kweli. Kwa nini upate mafanikio na roho yako iangamie kuzimu. Tuwe makini saana na Mungu atusaidie.
@gadielshedaffa3333
@gadielshedaffa3333 Жыл бұрын
Amina injili ya kweli ndio muhimu! Vingine ni mapambo na mbinu za adui tu!
@daudinyello4033
@daudinyello4033 10 ай бұрын
Uko vizuri Mtumishi ila YESU SIO MUNGU KWASABABU ALIOMBA CHAKULA TOKA MBINGUNI, ALISINZIA,ALITESWA NA KUVULIWA NGUO ILA MUNGU HAJAWAHI TESWA NA KUVULIWA NGUO, ALIKUFA ILA MUNGU HAJAWAHI KUFA NA HATAKUFA MILELE, ALIZALIWA ILA MUNGU HAJAZALIWA, YESU ALIKUTA ARDHI NA MBINGU VIMESHAUMBWA, ALIFUFUA WAFU NA KUUMBA UDONGO KWA MFANO WA NDEGE NA KUUPULIZA KUWA NDEGE ILA NI KWA IDHINI YA MUNGU SIO YEYE.
@lamecklugodi6472
@lamecklugodi6472 Жыл бұрын
Lidya tedy kasome upya biblia huyo ni wa uongo hukumbuki moshi walikufa ishirini kama angekuwa wa kweli wasingekufa lakini hiyo ni kaphara
@HellenaMky
@HellenaMky 7 ай бұрын
Mwamposa syo nabii hata madhahuni kwake. Kuna arama za eluminati. Imechorwa Kama nyota. Hata mafuta yake pia vichupa vyake. Vuna arama hyo. Eemungu. Tufunue macho wanao.
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 Жыл бұрын
Mathayo 10:8-10. Kwa nini na wewe unadai michango kwa njia ya simu,huoni unajihubiri mwenyewe au somo halikugusi?
@NeemaShayo-s5t
@NeemaShayo-s5t 2 ай бұрын
Ndio Injili tunayoitaka nyakati kama hizi.Tufungue fahamu mtumushi ,maana wengi wamefungwa
@ShimirimanaJolie-uo3wl
@ShimirimanaJolie-uo3wl 8 ай бұрын
Wamungu..watakukumbali..nawasiyo.wa.mungu..awatakuku.bali..nikweli..baba..mungu..akutiye.nguvu..wakweli..wanapigwa..wawuwongo..watawakubali..
@zakayomrutu
@zakayomrutu Жыл бұрын
ameeni unasema ukweli mtumishi na wengine wameshajificha wanaogoppa kuumbuka
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 Жыл бұрын
Amina kengele ya Bwana Yesu kristo aliye hai Mungu anayo sababu yakukuokowa mtumishi damu ya Yesu kristo ikufunike .
@cristianoprincegabrielles3951
@cristianoprincegabrielles3951 Жыл бұрын
Ubiri Kabisa Man Of God Cassian.... Ukweli utawaeka Watu wa Mungu Huru... Nae Bwana Mungu Wa Majeshi atakupigania
@juvenaryburchard719
@juvenaryburchard719 Жыл бұрын
Sipingi utumishi wako lakini unaposema ""Tanzania hakuna manabii"" umeyatoa wapi,umeambiwa na MUNGU au unatumia akiri zako.Nakushauri uwe makini sana.Nina mashaka sasa Haiwezekani Nchi nzima ya Tanzania kwamba hatuna nabii.Ebu muulize MUNGU vizuri.Sio kweri labda kama hauelewi maana ya NABII.
@YandesaSainge
@YandesaSainge 15 сағат бұрын
Na mi hilo limenishangaza. Kwa kweli hapana. Nashindwa kuelewa kama yeye ana Mungu wa kweli kwa nini asisimame na Mungu hawa wa uongo wote wakaondolewa na Mungu?😂😂😂😂Mungu anachukia sana hii kitu ya kanisa kupigana lenyewe kwa lenyewe baasi tu. Na kama ni kuonya ingependeza angewafuata mmoja baada ya mwingine akawaonya kwa hekima na upendo wa Christo na sio hivi. Japo mimi sio nna maarifa makubwa sana ila hii ya hivi mi hata sielewi.naonaje sijui.Ni huzuni kwa kweli😢😢😢😢
@lamecklugodi6472
@lamecklugodi6472 Жыл бұрын
Wewe rebeca nick ni lazima ujazwe Roho mtakatifu ndo utajua mapepo ya utambuzi,acha wafunuliwe waongo
@drazzadrazza4165
@drazzadrazza4165 Жыл бұрын
Makafiri mtaelew tyuu nyie c mnajufanya vichwa maji amtaki kusoma vitabu mnataka kubuluzwa buluzwa kama kondoo wa bwana acha awo kenge wawanyooshe bogas nyie hahahahahah🤣🤣😂😂 mtalipa sana Kodi za makanisa uku mnapoishi panatatanisha.
@ZuleiyaMagezi-s2t
@ZuleiyaMagezi-s2t 7 ай бұрын
Ninyi. nanyi. Ni wataka pesa. Ila. Mnapingana. tu. Na. Wwe. Unasitairi. Yako. Ya. Kuwatoza. Waumini. Pesa
@fredymghamba535
@fredymghamba535 Жыл бұрын
God bless you mtumish , sasa waambie na wale wanaowabatiza watoto
@giftjohn8198
@giftjohn8198 Жыл бұрын
Soma mahandiko matakatifu vizuli uelewe achakuwapotosha watu acha wake ngomeni wapokee uponyaji
@nelsonbreidon6600
@nelsonbreidon6600 Жыл бұрын
Nikweli kbsa mtumishi wa Mungu watu Wana angaliya hubiri ukweli tuponye
@bronsonkazungu2655
@bronsonkazungu2655 Жыл бұрын
Bomoa mtumishi mkuu ni Yesu pekeyake wamekula pesa za watu sikunyingi
@elirehemapallangyo9705
@elirehemapallangyo9705 Жыл бұрын
Mungu awalinde Manabii wa KWELI/////
@WiniSanga-py7bd
@WiniSanga-py7bd 8 ай бұрын
Mungu atakuwa nawe popote🙏🙏🙏🙏
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 9 ай бұрын
ONGEA KABISA MTUMISHI KWA.KUWA MUNGU MWENYEWE ANAJUA KABISA UKIONGEACHO. NINAJIFUNZA MIMI KUPITIA KINYWA CHAKO. ASANTE MUNGU AKUBARIKI.
@ApendekiMtambala-s8g
@ApendekiMtambala-s8g 9 ай бұрын
Mungu azindi kukubariki
@lamecklugodi6472
@lamecklugodi6472 Жыл бұрын
Wewe gift john unaposema hajui kuhubiri wewe unajua?Tafadhali acha watu wafunguliwe kupitia neno labda na wewe umepotezwa na hao waongo
@Simonikabalika
@Simonikabalika 10 ай бұрын
Umeshindwa maneno ya kumuomba Mungu wako? Muombe msamaha Mungu aliye kuumba
@MaryMnjamche
@MaryMnjamche 2 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu hakubariki sana Kwa kuhubiri kweli ya neno la Mungu bila hofu yoyote
@ThomasFabian-it3ij
@ThomasFabian-it3ij 3 ай бұрын
Nikipndi Cha chajimbuko la manabii na makanisa lakin ndokipidi Cha hanasa na magonjwa yasio tibika
@LUSIAKAVIRAMANGAZA
@LUSIAKAVIRAMANGAZA Жыл бұрын
Djambo mutchungadji asante kwamaubiri sasa tufanye nini ju U tujue ma nabii wauwongo?
@DeborahMugisha1
@DeborahMugisha1 8 ай бұрын
Acha kuingiliya maisha ya watu wengine , wewe kama ni nabii tukukubali kwa lipi umeisha fanya acha kubomowa ukristu hutaweza kubali matokeo, umejuaje kama watumishi wengine wanafanya kazi ya shetani na wewe hujakutana nao kwa shetani ? Hatuna shida kwasasa kwa talifa Yako hâta sura Yako inaonyesha wewe ni mutumishi wa shetani siyo bure
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu uko sahihi katika kuonya kwako. Bushiri hayuko Nigeria yuko Malawi. Mwanzoni alikuwa Afrka Kusini akatoroka baada ya kushitakiwa na washirika aliowatapeli. Ni kweli huyo ni Nabii feki. Kwa asili ni mtu wa Malawi.
@ACLESSJABRINE
@ACLESSJABRINE 2 ай бұрын
Mwamposa sio muongo mbona watu ni wengi mbona watu wanapona mbona anataja jina la Yesu na mtu akipona anasema aliyemponya ni Yesu ni Mungu ila kwanini unasema inayotumwa kwako ni sadaka kwa wengine sio sadaka shida ni wivu lakini pia wewe sikuamini kabisa nahisi wewe ndo umetumwa kuwapinga watumishi wa Mungu na unafanya promotion ya nyimbo zako tafadhali ubili maubili watu wakuelewe wakufate sio kuwapinga na kuwazalilisha wenzako usiwatukane wenzako kwa Kuwaita shetani hivi unamuitaje mtu shetani haueleweki na ndo maana hata Views zako ni chache sana
@BenardAndabwa
@BenardAndabwa 7 ай бұрын
ameeeen
@methodsilver8445
@methodsilver8445 Жыл бұрын
Mungu akulinde Kwa jina la yesu
@mediavumbi9243
@mediavumbi9243 Жыл бұрын
Mungu akutiye nguvu kabisa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Amin Amin, barikiwa sana
@agathakazimoto1890
@agathakazimoto1890 Жыл бұрын
Wewe ni Petrol na Paulo wa pili duniani, Mungu akutie nguvu,Yesu wa nazaret akubebe begani mwake mwili wako usione njaa,wala kiu,usione maumivu ya mwiba wala maumivu ya moto, kazana kuokoa roho za watu,ujumbe wako nimzito,usiogope kukataliwa maana hata huyo Yesu aliyekutuma useme kweli ulimwengu haukumpokea,wewe una nani ukubalike kwawanadamu wakati hata Mungu aliyetuumba wanadamu tulimkataa,.Neno lako nimbegu duniani zingine zitaangukia njiani,zingine miibani,zingine kwenye mwamba,zingine kwenye udongo mzuri zitazaa, Yesu kakufanya kuwa ndoano dunian kazana kuvua roho za watu,Mungu akitie nguvu ya mbingu
CASSIAN AWAGEUKIA&ROZI  NA PASTA EZEKIELHAKUNA ALIE KAMILIKA EV PASCHAL CASSIAN
39:30
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 2,5 М.
ORODHA YA WAIMBAJI WALIO MEZWA NA KUZIM TAYALI EV PASCHAL CASSIAN
38:00
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 10 М.
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2,1 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 5 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,1 МЛН
CASSIAN AWAGEUKIA MAASIKOFU TENA TAG EAGT WOKOVU%100 EV PASCHAL CASSIAN
1:11:20
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 2,4 М.
CASSIAN AWAEKA WAZI MACHAFU YA PIDIDI NA DAIMONDO EV PASCHAL CASSIAN
43:07
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 26 М.
CASSIAN AMKEMEA PASTA TON KWA KUPOTOSHA   MAFUNDISHO POTOFU EV PASCHAL CASSIAN
1:26:11
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 108 М.
BILA KUWA NA SIFA HII WEWE SIO MKSTO EV PASCHAL CASSIAN
30:56
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,4 М.
CASSIAN AMGEUKIA MBARIKIWA NI MJINGA SANA HUYU MCHUNGAJI
1:24:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 28 М.
KUHANI MSA NI MWALIM WA UONGO. NA NABII JODEVI NABII MKUU EV PASCHAL CASSIAN
30:26
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 67 М.
JAMANI AMKENI TAYALI SIRI IPO WAZI  KIFO CHAJA KWETU EV PASCHAL CASIAN
1:25:54
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 139 М.
HAWA NDIO WACHUNGAJI MAKAHABA WAKIJIUZA KANISANI EV PASCHAL CASSIAN
16:53
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 62 М.
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2,1 МЛН