Man Sha Allah Tabaraka Rahman 🙏Allah akuhifadhi sheikh wetu❤
@user-to6up4hg2w5 ай бұрын
My favourite sheik may Allah protect you amin❤❤❤❤❤
@IslamabuuIslamabuu4 ай бұрын
MashaAllah may Allah bless you sheikh inshaAllah 🤲
@jimjam-xg7rv5 ай бұрын
Maa Shaa ALLAH 💚💚💚
@user-to6up4hg2w5 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@swalehejuma66115 ай бұрын
Mimi nimesikia sheikh mmoja akimwita sheikh mwingine kuwa ni muwahabi hivo ni tawi la ukatoliki, alipojibiwa akatukana kuwa mzee ana laana na ni mhuni
@jimjam-xg7rv5 ай бұрын
Mambo yaku skiya skiya ayasaidi umma pili jiepushe kueneza mabaya ila uweneze mambo mema na ALLAH atalipa kwa mema INSHA ALLAH
@swalehejuma66115 ай бұрын
@@jimjam-xg7rv nimesikia kwa masikio yangu siyo kuhadithiwa, isitoshe sijaeneza ubaya bali nimemuunga mkono sheikh kuwa waislaam waache kutoa lugha za matusi wanapotoa mawaidha ndipo nikatoa ushahidi pasi na kutaja jina la mtu yeyote. Unasema kwa kuhisi/dhana sana, haya na wewe jiupushe na dhana.