Alla akupe nguvu ya kutangsza suna kutukanywa ndo sunna ya manabii ndojumla ya misukosuko katika dini haki itakuja juu tu
@MbanoMrage6 ай бұрын
Maashallah ukweli wauma shekh nikweli maneno hayo yatawauma watu wanaowakumbatia mashia
@bagalucha6 ай бұрын
BarakAllahu feek,haya uliyoyasema ni kweli ndio yaliyokuweko kwa sasa,hızı ni dalili za Ahrul zamanı ,mtume aliyasema haya yatakuja katika zama za mwisho,ya udhaifu katika mioyo ya waislamu
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
❤❤nakupenda shekhe barahyani kwaajili ya Allah wachape hawo wanafiki wamevaa vazi la sunna kwa nje kwa ndani huficha usufi moja wapo kishki na kaka yake Abdul lkdadir anatowaga fatuwa za kupendwa na kuonekana wazuri mbele za watu wananyonga nyonga hakki ili masufi wawaone wazuri.
@JumaOmar-ku6cr6 ай бұрын
Wallahi namshuru Alla kuwa ni mtu wa sunna nantajitahidi sanna femilia yangu yote iwe ni watu wa sunna inshaalla
@ShaibMussa6 ай бұрын
Shekh mashaallah uko sahihi saan nawoote walochukizwa na nasaha zako niwanaafik tena tunawajua
@SamirKaba-u1c6 ай бұрын
Shukran sana sheikh wetu Allah akuhifazi sheikh Sehemu zote kuna ugonjwa wa masheikh walikuwa na sura mbili, Kama Burundi hivi sasa kuna sheikh alijificha siku nyingi nyuma ya sunna siku nyingi Aliibuka kuwa na maibazi na kwenda kwenye bidah ya maulid Congo
@kimchinakucha8346 ай бұрын
Allah akuhifadhi sunna umeitangaza sana Tanzania 🇹🇿
@MohamedAhmed-yi1yf6 ай бұрын
Sheikh salim shukran
@musarashid-xw1qm6 ай бұрын
Allah Akuhifadh
@sulemanealisaide2176 ай бұрын
Mashallah allah akuhifadhi na husda chekhe tuko pamoja na ww
@AliKhamis-j9z6 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh salim
@aminaosman33156 ай бұрын
,wewe uko juu Sheria kwa hayad uliyowanyia famili marehem said yatima na mjane Allah atawalipia hapa duniani insha'Allah haki
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
Marehemu alikuachia madai nini ukamda shekhe kamfungulie kesi mahakamani basi ndugu maana povu linakutoka ahahahahaha asalaala
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Nikweli shekhe,wapo mashekhe hao wanaojifanya wana sunna ndevu kubwa,ukaa na masufi na kuwahimiza waendelee kufanya bidaa❤❤ penda xana shekhe barahyani unalingania hakki
@hilalkhalfan14526 ай бұрын
WANA SUNNA NI NYIE MAWAHABI WEZI WAKUBWA. HAO WEZI KAMA BARAHIANI TU. HAPA HAPATOSHI MWAKA HUU, KARIYAKOO NYUMBA ITAPATIKANA ACHA WAHANGAIKE. HAPA HAKUNA SUNA NA BIDA'A NA SUFI NA UWAHABIYA ACHA UKHANITHI. HAPA MWENYE HAKI ASIMAME NA YULE MWANAMKE NA MWENYE DHAMBI ASISAME NA HAWA WEZI. HIKO TU NDIO CHA SASA. HATA YULE MWANAMKE ANAETETEA HAKI NI SUFI NA BABAAKE NI SUFI MWENYE HAKI. KWAHIO HATA WATOTO WA MITUME PIA WAPO WALIOPOTOKA NA TAMAA
@mnubisaidi6 ай бұрын
Allah akuhifadhi
@ashrafhashim21166 ай бұрын
Nimesoma coment nyingi nimeona mnamtukana huyu shaykh mimisijaona alipokosea nachokiona niushabikitu Nikweli mashekh wengi wanaficha misimamoyao.
@AbubakarAlly-th6op6 ай бұрын
Ndugu waislamu chungeni comment zenu kumbukeni mtume wetu swalallahu alayhi wasallam ametuhusia tuwaheshimu watu wazima
@abakibibi99176 ай бұрын
WAMEFANYA HAO MASHEIKH IBADA YA KUFUTURISHA KAMA MCHEZO WANAALIKWA NA WASIOKUWA WAISLAM NA WANAKWENDA MA WAFUASI WAO WANAONA NI SAHIHI WAKIMALIZA KULA SAMBUSA WANAOMBEA DUA WASIOKUWA WAISLAM KWENYE IBADA SIO YAO
@banihashim53476 ай бұрын
WEWE BABU USHAISHIWAAAAA
@hafidhwajina67186 ай бұрын
Ameishiwa nini?
@mohamednyuni26316 ай бұрын
Hikma
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
Aliishiwa unga kaja kuomba kwako maskinii mnafiki ww shekhe kaishiwa ndo adabu ulofunzwa na wazazi wako
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Ongera xana usijali matusi ya watu mtume alitukanwa xana na majahili ukweli unauma hawakuwezi hata hao kina mafuta na kikundi chao wanakuchukia kisa unabomoa kikundi chao cha kijadida na kueleza usalafi wa kweli
@aminaosman33156 ай бұрын
,haki na batili wa mayatima marhum said janjira kuongea utazani MTU wasuna kumbe hamna suna NI zulma kwenda mbelejua ungeijua usingewadhulumu 😮
@banihashim53476 ай бұрын
BIRIYANI WEWE HUJATAMAKKAN KATIKA ILMU. HILI LIPO WAZI SANA
@hafidhwajina67186 ай бұрын
Thibitisha kama umo
@banihashim53476 ай бұрын
TATIZO LAKO WEWE UNA HANGAIKA SANA NA SHEIKH KISHKI
@salumsimai6426 ай бұрын
Unauhakika kua anahangaika na Kishki wacha uchonganishi hakumtaja mtu hata ww kama unadalili alizozitaja basi la msingi ni kubadilika na sio kunyooshea kidole mtu
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
Ninyi hata mkimchukia shekhe barahyani ukweli utasemwa tuu na sunna itasonga mbele ansari sunna itazidi kustawi hapa tz na kunawiri nyuso za nuru
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly6 ай бұрын
Lakini MUNGU hana dini,huwa anaangalia IMANI tu 😂
@ellyndaprincess32356 ай бұрын
Kwahyo pepo imeandaliwa kwaaajili ya buruhuyan na genge lake la ki hizb la kihuni😂😂😂😂😂😂
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
Ahaaa tunawajuwa ninyi mnaoita watu mahizbi mmekuja na sura ya usalafi ila ndani yake amna kitu mmekuja kuvunja umoja wa watu wa sunna hizbi ninyi mloanzisha kikundi cha kujeruhi watu wa sunna mkivaa vazi la usalaf kama ngozi ya kondoo kumbe ndani mbwa mwitu wabaya
@hilalkhalfan14526 ай бұрын
UNAJILIWAZA BARAHIANI BAADA KUJIBIWA UTUMBO WAKO UNAJIDAI ATI MISUKO SUKO KWENYE DAAWA KUMBE JITU ZIMA HUNA HATA AIBU KWA UNAYO YA FANYA . WEWE UNA FEDHEHA NA SIO MISUKO SUKO. NA WANAFUNZI WAKO WOTE NI WASHENZI KAMA WEWE
@khamiskhamis99476 ай бұрын
WEWE USIPO MCHA ALLAH JUU YA MANENO YAKO MABAYA UTAKUJA JUTIA, ALLAH ANAHIFADHI UYASEMAYO. ACHA AU ENDELEA LAKINI ALLAH YUPO NAWE.
@hilalkhalfan14526 ай бұрын
@@khamiskhamis9947 na maneno ya BARAHIANI pia Allah sw anayahifadhi na ataukuta upotovu wake siku ya kiama
@khamiskhamis99476 ай бұрын
KWA HIYO NA WEWE UPO UNA BAINISHA HUO UPOTOFU WAKE AU SHAITWAAN ANAKUSUKUMA KUTAMKA MANENO MAZITO YA KASHFA? KILA MMOJA ATABEBA MZIGO WAKO, KWA HIO NA WEWE ANDAA MAJIBU KWA NINI SHEIKH SALIM NA WANAFUNZI WAKE WOTE NI WASHENZI, LAA UTASHINDWA KUNYOOSHA HOJA, BASI DHULMA UNAYOIFANYA KWA NDUGU ZAKO NI KUBWA NA NI HATARI KWAKO PINDI USIPO TUBIA.
@manixawadh71986 ай бұрын
Kuwa mtu Jahil ni shida sana... twawajua nyie ni wale mnaoomba makaburi na kuhuisha uzushi katika dini... mkiambiwa ukweli harara zawatoka... vumilia chukua dozz kwa Sheikh Barahyan.
@salumsimai6426 ай бұрын
Muogope muumba wako ww usitukane watu ww unamangapi maovu unayoyafanya
@@pavillioncry5241 alama yenu kubwa nyie Mawahabi mahizb ni watu wenye midomo kunuka michafu mnavaa sket za dada zenu mnaita suna kukata nguo 😂😂
@Zainabnoor0087-ze6 ай бұрын
ALLAH subhana akupe umri mrefu na afya njema na daawa iendelee shk Salim barahiyan, mufti wa majadida kipindi unalingania Sunnah yy alikua anaimba kasida tamta
@abdoumadiousseni48356 ай бұрын
Ww kweli nimujiga 😢😢😢 hunaakili atakidogo mpubavu
@Zainabnoor0087-ze6 ай бұрын
@@abdoumadiousseni4835 we kweli jadidah
@ellyndaprincess32356 ай бұрын
Yani ili roho ikuume vizur dunian nchi zinazoongoza sana kukua kwa dhehebu la ushia tanzania ni ya nne na hapa arusha wapo wengi sana kwa hiyo na bado hujasema 😂😂
@abdalashah32926 ай бұрын
Of course hatuwezi kushangaa na izo statistics coz ni kwa sababu ya njaa tu!
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
Utuume nini sisi na ushia ni mbalimbali kabisa kwani shia ni watu wa ahlu nnari ni watu wa motoni wale si makafiri tuu kama mayauhidi au mama jusi wanauislamu gani wale kudanganya watu kuvaa vilemba vikubwa kama tahili za gari ili watu waone ni waislamu kumbe moyoni wameficha ukafiri ww ukiwa shia ni motoni tuu hilo halipingiki mbona arafu ushia ulianza na watu weupe wafursi irani huko lakini kama ww wajiita mshia mswahili imekula kwako na afrika mashariki hii walikuwa mashia ni wahindi sabu leo ya njaa za waswahili mkajiunga uko wenyew wawachukulia wajinga .
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
Alokuambia ushia ni dhehebu katika uislamu ni nani kunadhebu katika uislamu la mtukana mtume na maswahaba shia ni makafiri tuu ni ahlu nnari ni watu wa motoni na ni dini kama dinni zingine mayahudi ,mamajus ukristo, budha au uislamu sasa kuvaa vilemba vikubwa kama tahili za gari haimaniishi ninyi ni waislamu hata wanafiki wakati wa mtume wakivaa vilemba na kama ww ni shia mswahili umeangamia ndugu pole yako.
@AbuuAnwar-hg8qw6 ай бұрын
Basi sisi twasema kuwa ANSWAR SUNNA ndo dhehebu pekee ambalo nisahihi hayo mengine yote nibatwil sawa? Maana kila kukicha nimambo hayohayo tuuuu hakuna mawaidha mengine kama mijinga vile 😡😡
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
Nikweli wanafata hakki ili kundi kadiri mnavyochukia ansari suna inanawili hapa tz na inazidi kuwa na nuru kama mbalamwezi
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
Kwahiyo pasukeni sasa ni uwezo wa Allah so sisi
@MkindiRama-lp6hy6 ай бұрын
Kwa hiyo sheikh ww wasubir tu kwenda pepon maana makundi yote ni ya upotofu ww upo sahihi
@AliKhamis-j9z6 ай бұрын
Ufahamu wako nimdogo kakaae nawapiga madufu
@saidimkwinzu91066 ай бұрын
Mzee WA bidaa unataka kusema MADA hujaielewa
@AliSalim-yu4mo6 ай бұрын
Wacha ushabiki ktk dini Fanya hivyo ktk mipira munayoishabikia
@MkindiJujan6 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi usome dini hutapata tabu kabisa kuwaelewa mashekh wa makundi yote nn wanachokisema lkn kwa sasa itakua ngumu sana kumuelewa Shekh hapo Tusome Ramadhani Mahmoud
@AliSalim-yu4mo6 ай бұрын
Jitahidi kusoma Kwa Masheikh tofauti na Kwa Nia ya kufahamu na sio Kwa kubishana,Kwa hakika utapata majibu sahihi ya haki na batil na ni yupi Yuko sahihi na yupi WA peponi(Allah atujaalie ktk kundi Hilo)na yupi WA motoni(Allah atunusuru na Hilo)
@aminaosman33156 ай бұрын
,haki na batili wa mayatima marhum said janjira kuongea utazani MTU wasuna kumbe hamna suna NI zulma kwenda mbelejua ungeijua usingewadhulumu 😮
@aminaosman33156 ай бұрын
,haki na batili wa mayatima marhum said janjira kuongea utazani MTU wasuna kumbe hamna suna NI zulma kwenda mbelejua ungeijua usingewadhulumu 😮
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
Alikuzulumu ww mkeo nyumbani kwako??
@aminaosman33156 ай бұрын
,haki na batili wa mayatima marhum said janjira kuongea utazani MTU wasuna kumbe hamna suna NI zulma kwenda mbelejua ungeijua usingewadhulumu 😮
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
Wew dada mbona umemuandama shekhe ww alimzulumu bwana ako nini kafungue kesi mahakamani basi povu linakutoka so lazima mumpende wote sabu ata mtume wakitokea watu kama ninyi kumpinga