Chanzo cha Madhehebu katika Uislamu - Sheikh Salim Barahiyan

  Рет қаралды 4,401

IHSAAN TV

IHSAAN TV

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 6 сағат бұрын
BARAYANI NINAWASWASI SANA KUWA SIO MSOMI. MAANA HATA KUSOMA IBARA ZA KIARABU HUWEZI WALLAAHI
@omargargaar5611
@omargargaar5611 2 күн бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah shukrani kwa kunipa mawaidha mazuri Allah akuhifadhi sheikh wg Salim Barahiyani Allah awahifadhi wte mlio jumuika
@ilyasmuhsin3285
@ilyasmuhsin3285 Күн бұрын
jazakallah khyra
@YusuphRashidi-b1j
@YusuphRashidi-b1j Күн бұрын
Dini ya haki mbele mungu ni uisilamu
@jamalkishangu
@jamalkishangu 2 күн бұрын
Historia hii ukitaka kuilewa vyema sikiliza historia ya maswahaba kama ilivyosimuliwa na al-alama sheikh Othman maalimu.
@hamynas
@hamynas 3 күн бұрын
hawa ahlu suna inaelekea ni watu wema saana,,lakini wapi wametajwa katika quran?
@universitylink
@universitylink 2 күн бұрын
Naombeni namba ya sheikh Salim Barahayaani
@Jabir-v7j
@Jabir-v7j 2 күн бұрын
Wew ni ndugu yake na yazid nin
@abdulrahmanrajab4369
@abdulrahmanrajab4369 2 күн бұрын
Ah hn mamboh
@aminaosman3315
@aminaosman3315 2 күн бұрын
,zungumzia zulma kiongozi WA zulma NI Nani warudishie yatima WA said jañjira haki ndio update kuzungumzi hicho unachoongea
@Jabir-v7j
@Jabir-v7j 2 күн бұрын
Kwahiyo mmeketi mnamskiliza sheh huyo au choko la kibaniumaiyya
@ShabaniWabiga
@ShabaniWabiga 2 күн бұрын
Ww hakili Huna Huna heshima
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 2 күн бұрын
Khurafi anaongea.
@Jabir-v7j
@Jabir-v7j 2 күн бұрын
Wale wote wanaoitakidi kuwa baadae ya mtume khalifa sio imam Ally na hawafuati maimam 12 wanaotokana na kizazi Cha mtume madhehebu zao ni bidaa tupu Wala hamna sofa ya kutujadili sisi mashia itikadi zenu ni mbovu mbovu
@faisaloaljabry6400
@faisaloaljabry6400 2 күн бұрын
Nashangaa unajina kubwa kuliko ubongo wako Unatakiwa kufanya heshma huyo anayeongea kielmu wewe huna hata 1/100 ya elmu yake
@ilyasmuhsin3285
@ilyasmuhsin3285 Күн бұрын
Shia kuffaar
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 2 күн бұрын
Huyu bwana kazi yake kukufurisha watu na taasubi
@MasoudChoum-pp1ob
@MasoudChoum-pp1ob 3 күн бұрын
Kamera man lengo ni kumuona mzungumzaji na kusikia kinachozungumzwa usioneshe mengineyo ushauri tu
@adamcity9441
@adamcity9441 Күн бұрын
Barahiyan hana anachokijua ni muongo katika waongo mwambieni asome kwanza historia kabla ya kukurupuka au inawezekana akili zake haziko sawa.
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 2 күн бұрын
Shekhe acha kutapatapa SEMA na utoe ya moyoni kwako
@ABUUALLYBARWANI
@ABUUALLYBARWANI 17 сағат бұрын
Huyuu sio sheikh huyuu ni mnafiki tu kazi yake kubwaa ni kupachika chuki baina ya waislamu
@binseif2216
@binseif2216 3 күн бұрын
Huyu bahariyan kanyimwa sadaka nawaupande fulani siwataji ndo kisa cha kuwachukia nakuwaponda
@hamynas
@hamynas 3 күн бұрын
mh sasa nakupata. kwamba kulupotokea muawiya kukataa utawala wa ali pakazuka shia...sasa mwanzilishi wa shari katika uislamu ni muawiya?mbona husemi wazi?
@SuperMtani
@SuperMtani 2 күн бұрын
😄😃😀
@hamynas
@hamynas 3 күн бұрын
huyu sheikh ukiachilia hizo hina za ndevu hamna kitu anajua kusema ukweli
@jamalkishangu
@jamalkishangu 2 күн бұрын
Kwa nini umemdogesha namna hiyo?
@emmadora7848
@emmadora7848 2 күн бұрын
😢
@universitylink
@universitylink 2 күн бұрын
Kwani hina zinasema ukweli
@hamynas
@hamynas 2 күн бұрын
@@universitylink yah hina tunaambiwa ni suna na maana masheikh matapeli wengi wanatia hina kudanganya watu
@universitylink
@universitylink 2 күн бұрын
Ndio maana nimekuuliza kwani hina ndio inatoa hoja au sheikh ndio anatoa hoja , hapo umechemka kama huja kaanga
@OfficialMutrah
@OfficialMutrah 3 күн бұрын
Nako kuna watu wanketi chini kumsikiliza huyu
@lucyvalentino9550
@lucyvalentino9550 2 күн бұрын
kwahiyo haya anayo yasema hayafai kuya sikikliza?
@lucyvalentino9550
@lucyvalentino9550 2 күн бұрын
haqi itabaki kua haqi ata kama kaisema nani ukiwa ww ni muislaam alafu unakejeli hadi maneno ya mtume alio yasema je watunasih tusikilize nn
@abdulrahmanrajab4369
@abdulrahmanrajab4369 2 күн бұрын
Tena ilo jina lenu la assuar sun mmelpt wap
KWANINI TUNAJENGA MASHULE? | Sheikh Salim Barahiyan
1:02:48
IHSAAN TV
Рет қаралды 452
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 20 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
KAFARA YAMLAZIMU ABDALLAH HUMEID KWA KIAPO CHAKE.
7:00
Sheikh Zeinul Abidin
Рет қаралды 3,7 М.
QISA:  YUPO MTU MWENYE NGUVU KULIKO MIMI  - SHK OTHMAN MAALIM
1:06:33
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 63 М.
ALLAH HUWAPENDA WANAO ITETEA DINI YAO SHEIKH MSELEM BIN ALI
1:13:42
OTHMAN MAALIM maisha ya ndoa #othmanmaalim #ndoa
1:22:51
umma bora خير امة
Рет қаралды 99 М.
SIFA ZA WACHAMUNGU  JEE NA WEWE UMO ? // SHEIKH OTHMAN MAALIM
53:20
arkas online tv
Рет қаралды 40 М.
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26