KUKWAMA KWA TRENI YA SGR, WATU 13 WADAKWA, WABURUTWA MAHAKAMANI, KAMISHNA ANENA “NI SHABA"

  Рет қаралды 14,106

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 118
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 8 сағат бұрын
Kazi nzuri jeshi letu la police 🚓🚨 Tanzania 🇹🇿 wote wanao hujumu mradi wa SGR ni wauwaji kabisa kamata wote mpaka wamiliki wa viwanda vya nondo na chuma.
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 7 сағат бұрын
Ongereni sana policy wetu mungu awabaliki piga kazi na mungu awabaliki ikiwezekana muwe munawauwa kabisa mana ni waalifu kweli
@martinchambala9399
@martinchambala9399 5 сағат бұрын
Tanzania bora tuanze kunyonga tu watu wanatoka kenya kujakutuibia sisi yani basi tu
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 8 сағат бұрын
Hao sio wakupeleka jera wanyongwe wote wapigwe risasi za kichwa wote iwe fundi kwa wengine
@CasmirKiwale
@CasmirKiwale 6 сағат бұрын
Wakenya wanakuja kuhujumu huku kwetu .. 😮😮
@SakinaValy
@SakinaValy 6 сағат бұрын
Wajichunge sana
@barackmoses7003
@barackmoses7003 7 сағат бұрын
Wakenya ndio zao hizo hata huku wanaiba sana wanaifilisi serikali sana
@SakinaValy
@SakinaValy 6 сағат бұрын
Ndio maana kwao Kila siku maanandamano hawataki kufanya kazi wanataka kulishwa na jamhuri
@MasesoGenya
@MasesoGenya 3 сағат бұрын
😂😂 ni wezi sana
@Zainab-f9w5x
@Zainab-f9w5x 3 сағат бұрын
Hapo nimchina na mkenya sio wakenya pekee
@AmaniMathod
@AmaniMathod 5 сағат бұрын
POLISI HAWA WEZI WA NYAYA NI WAKUPIGWA RISASI YA KICHWA
@damianmstambi848
@damianmstambi848 5 сағат бұрын
Sasa kwann hamjawaua hao watu mnazingua sana Piga risasi wote .Hawa majirani washenz sana na hao wachina pigen risas
@IanBoy-dk9li
@IanBoy-dk9li 6 сағат бұрын
Waharibifu wakikamatwa wanyongwe kabisa hawana msada hapa Duniani
@novatusabond9253
@novatusabond9253 8 сағат бұрын
Kenya wanaona wivu
@japhetjonathan-l8n
@japhetjonathan-l8n 6 сағат бұрын
Kenya mnashida gani😂😂
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 4 сағат бұрын
Wanafaa kunyongwa hao!!! Jamani Tanzania tuna shida gani
@jamesmsalilwa8733
@jamesmsalilwa8733 Сағат бұрын
Hawa jirani zetu, wanasumbuliwa na roho ya wivu. Hawapendi kuona Watanzania wanawazidi. Wanaamini wao kuongea Kiingereza basi ndiyo maendeleo. Huo ni ujinga na umpumbavu wa kiwango cha juu !
@emanueluroki6160
@emanueluroki6160 2 минут бұрын
Hawa wanatakiwa kushukikiwa kikamilifu zaidi
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 5 сағат бұрын
Angalieni sana Matajiri wa mabasi pia
@karimkinwary4668
@karimkinwary4668 7 сағат бұрын
Kumbe wakenya Wana roho mbaya Sana Hawa
@Tee-King
@Tee-King 4 сағат бұрын
Sio wakenya sema uyo mkenya kwani sisi wa Tanzania akuna anaefanya hvyo au kuchinja mwanadamu mwenzie kisa fedha.
@MaguguStore
@MaguguStore 2 сағат бұрын
Na wezi sana
@Josephtibu-l9e
@Josephtibu-l9e 4 сағат бұрын
AO WAKENYA PIGA RISASI WOTE ,KWASABABU HAWATUTAKII MAENDELEO
@danreckgodfrey4663
@danreckgodfrey4663 6 сағат бұрын
Mkenya huyo na mchina wanyongwe kabisaaaaa
@yusufuosman8966
@yusufuosman8966 3 сағат бұрын
muwekezaji gani anaiba inabidi serikali iwachunguze waekezaji kama hawa ..
@ALLYKILONGI
@ALLYKILONGI 8 сағат бұрын
Wafungwe maisha au wanyongwe maana ni kodi na majasho yetu hayo
@renatusrweyemamu4283
@renatusrweyemamu4283 7 сағат бұрын
Waheshimiwa. Police. Hao jamaa wawekeeni uwanja mahalum. Watandikwe Risasi hadhatani. Kama Sobibor. Hakuna atakayerudia Tena.
@dullyjabri8393
@dullyjabri8393 6 сағат бұрын
WANYONGWE HAZARANI.
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 5 сағат бұрын
sasa afande siku nyingne usitangaze watu hawa fanya kimya kimya halafu chukua mzigo rudusha wauwe2 piga risasi kama panya road
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 5 сағат бұрын
Waaribifu wa nchi hawapo kwenye reli tu..
@erastuskajuna812
@erastuskajuna812 5 сағат бұрын
Mwizi ni mwizi tu si suala la kabila au utaifa! Nyonga mahali pengine Sheria inaweza ikawaachilia
@Burner_Acc
@Burner_Acc 7 сағат бұрын
Nyonga wote.
@mohamedrajabu9055
@mohamedrajabu9055 7 сағат бұрын
Haji upo sahhi ndio waharibifu wa nchi jela maisha watakula bure tia kitanzi one bye one
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c 5 сағат бұрын
Naomba wafungwe pingu kisha wapigwe risasi wote kisha wakatupwe mtoni wawe chakula cha mamba. Maana hata kuzikwa pia haifai ni kujisumbua tu.
@MarryMkonyi
@MarryMkonyi 6 сағат бұрын
Sasa hizo nyaya zote jamani hapo kuna reli tena??? Tatizo washakamatwa ila utasikia uchunguzi unaendelea na wameshakamatwa laivu, badala ya kutoa tuu hukumu tena kifungo cha maisha
@yudatadeimdoe9215
@yudatadeimdoe9215 8 сағат бұрын
Treni ikipatwa na hitirafu au umeme ukikata serikari inatukanwa kumbe Kuna wajinga baadhi wanarudisha nyuma maendeleo,, wapigwe risasi wafe tuu ao🥺🥺
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 7 сағат бұрын
Kabisa ndugu
@BJMKANGALA1
@BJMKANGALA1 4 сағат бұрын
Ukicheka na nyani utakula mabua. Adhabu ya shaba mwilini ingekomesha hujuma hizi!
@aminattai2676
@aminattai2676 8 сағат бұрын
Hao jamaa hawafai kawapumzisheni jela maisha hakuna kutoka na iwe mfano kwa wengine,musiwaonee huruma ata kidogo,nchi zoote zilotuzunguuka wanasifia maendeleo yetu Tanzania,wao ndio wamepata njia ya kuuhujumu.
@chemstry409
@chemstry409 7 сағат бұрын
Uhujumu uchumi....
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 Сағат бұрын
Hawa watu ni wa kuwapoteza kabisa, msiwafumbie macho. Adhabu Yao iwe ni kunyongwa au kifungo cha maisha na kazi ngumu. Uhujumu uchumi ni sawa na mauwaji Kama mauwaji mengine
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 8 сағат бұрын
Piga risasi hao,hasa wakenya
@T_Darius
@T_Darius 7 сағат бұрын
Hasa wakenya au sio😂😂
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 7 сағат бұрын
Wanyongweeee
@AbdulmalikFredrick
@AbdulmalikFredrick 6 сағат бұрын
Ongela mueshimiwa afande mmefanya kazi nzuri sana Alha akujalie kilalaeli inshallah
@BlackKing89-l1u
@BlackKing89-l1u 8 сағат бұрын
Wakenya wanawivuuu🤣
@JofreyMsigwa-ok7hv
@JofreyMsigwa-ok7hv 7 сағат бұрын
Wivuu
@jamesmsalilwa8733
@jamesmsalilwa8733 Сағат бұрын
Sana tena sana.
@ahmadmasunda9892
@ahmadmasunda9892 5 сағат бұрын
HII NDIO NCHI YA KUSADIKIKA ALIEIANDIKA SHAIKH SHABAN ROBERT
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 8 сағат бұрын
Kazi nzuri jeshi la police mumefanya💪
@jamalkishangu
@jamalkishangu 9 сағат бұрын
Hao ni wahujumu uchumi, sio wakuwahurumia.
@nabeelghusub6274
@nabeelghusub6274 5 сағат бұрын
NYONGA HAO...Iwe fundisho kwa wengine.
@subiralema
@subiralema 6 сағат бұрын
Waukumiwe maisha gerezani iwe fundisho
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 8 сағат бұрын
Pga risasi
@SakinaValy
@SakinaValy 6 сағат бұрын
Wapewe adhabu yoyote ili kuipa heshma Tanzania mbona tunaonewa sana
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 7 сағат бұрын
Huyo MKENYA mnyongeni kabisa,Wakenya wanafanya makusudi ili Diesel Power Train lao lipate chati
@T_Darius
@T_Darius 7 сағат бұрын
😅😅😅
@blackity10
@blackity10 5 сағат бұрын
😂😂
@ericdaniels2608
@ericdaniels2608 2 сағат бұрын
Wanyongwe hao, ili iwe fundisho kwa wengine..
@kamazima11
@kamazima11 8 сағат бұрын
Hao wawe mfano maana wanafanya makusudi kuhujumu miuondo mbinu hasa ya SGR
@happyudoba4362
@happyudoba4362 6 сағат бұрын
Ila binadam kwahiyo polis waache majukum mengine wawekwe kila sehem kulinda jaman🙌mmpaka msimamiwe
@RamadhanMohamedi-j3d
@RamadhanMohamedi-j3d 5 сағат бұрын
Ni ajabu serikali inajitaahidi kujenga miundombinu wanajitokeza watanzania wenzetu wanaharibu na kuiba vifa kwenye treni ya mwendo kasi wahukumiwe haraka tena kifungo cha maisha iwe fundisho kwa wenyemawazo ya kuhujumu taifa letu
@gervaslukaya
@gervaslukaya 5 сағат бұрын
Mwendo kasi ina raha yake jamani lazima watu walipuke kwenye swala la wizi
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 4 сағат бұрын
Serikalin acheni biashara uzien campun binasfi lazimisha wasjiriwe watanzania wapeni mkataba bas
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 5 сағат бұрын
Imagine Mtanzania akaibe nyaya za reli ya China !? Wewekeni gerezani mpaka waoze hao wahujumu na wanunuzi ( matajiri) wao.
@emanueluroki6160
@emanueluroki6160 3 минут бұрын
Ila watanzania tuna changamoto sana kweli
@KhamisFeysal
@KhamisFeysal 8 сағат бұрын
Wauliwe
@LAZAROBOMANI-ex6bj
@LAZAROBOMANI-ex6bj 8 сағат бұрын
Safi sana
@KingMswati-i8e
@KingMswati-i8e Сағат бұрын
Mimi nilijua tu Kenya sio ndugu zetu
@JackKanyigo
@JackKanyigo 5 сағат бұрын
Mbona Afande kama anatetemeka au hata yeye imemstua kama mimi..kweli watu wana roho ngumu,.huu mradi unavyojengwa kwa gharama kubwa tena kwa tabu,alafu watu wanahujumu?!!duuh
@maltech40
@maltech40 2 сағат бұрын
itakuwa alikuwa anawawinda sana mpaka kawapata hiyo furaha mpka anatetemeka 😂
@MashauriBujanga
@MashauriBujanga 8 сағат бұрын
Sasa watu wa Kenya wamekutwa nani kama sio ushenzi tu
@yordanyona1234
@yordanyona1234 4 сағат бұрын
mkuu nakuelewa sana
@IsihakaYahaya
@IsihakaYahaya 8 сағат бұрын
Afande mbn unatetemeka xaxa😂
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 8 сағат бұрын
Wee unafikiri kuripoti mbele ya vyombo vya habari ni mchezo 😂😂😂 kumbuka hapo analiwakilisha jeshi la police 🚓ukicheza kidogo tu azabu ya kijeshi inakuhusu
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 7 сағат бұрын
​@@JK-uq1tvhalafu pia ni mtu mzima
@thomastemu3332
@thomastemu3332 6 сағат бұрын
Wafungwe hao 😢😢wanafilisi sgr
@AmosiLusu
@AmosiLusu 3 сағат бұрын
Kopa mnakamata ata bila kuambiwa wanaoteka watu.. awajulikani
@omarmnungu5364
@omarmnungu5364 3 сағат бұрын
Hao wanyongwe tu
@MasesoGenya
@MasesoGenya 3 сағат бұрын
Yaani hii nchii hii
@MohdJumaa-q3l
@MohdJumaa-q3l 3 сағат бұрын
Afafande awo faini kubwa km hawana pesa iuzwe nyumba zao
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt 7 сағат бұрын
Hio ni kuhujumu uchumi kifungo Cha maisha
@richardnganya2311
@richardnganya2311 4 сағат бұрын
Wadau wengine wa usafirishaji wamulikwe
@surusuru1994
@surusuru1994 8 сағат бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😠kenya china pubavu piga hao usikute unajuwa nilijuliza tz gani mjiga
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 5 сағат бұрын
Hawa watu Watauga maelfu ya watu mnawaweka wa nini
@JamesJamesbogwa
@JamesJamesbogwa 9 сағат бұрын
Mapigwe miaka mingi hao
@inocentlema5574
@inocentlema5574 7 сағат бұрын
Aiseee
@johnpeter3406
@johnpeter3406 3 сағат бұрын
Ilitakiwa risasi moja kwa moja ili iwe funzo
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 8 сағат бұрын
Watakua ndiyo tabia yao kujakutuibia muwaulize maswali huku mnavuta matunguje yao waseme yoote wabaneni hasaa kisha fungahao msiwatoe mpaka waxeeke pumbavu
@ALLYKILONGI
@ALLYKILONGI 8 сағат бұрын
Hao watakuja sababisha ajali wanapo haribu miundo mbinu ya reli,fungeni kamera pia
@boscoafikile4737
@boscoafikile4737 8 сағат бұрын
Hatari sana tuwe makini na wageni
@Jackson-n2c
@Jackson-n2c 5 сағат бұрын
Kila mtu anakula kwa urefu wa kwamba yake
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz 8 сағат бұрын
Wape heavy fine
@loningoletayo8453
@loningoletayo8453 8 сағат бұрын
Ila ifike mahali jeshi la police lisuie kabla halijatokea
@rasheedabby2871
@rasheedabby2871 7 сағат бұрын
mbona hawjachapwa risasi za vichwa wahujumu uchumi
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 6 сағат бұрын
Tumtimue balozi wa CHINA hapa TZ Hana kazi
@maharagendondo
@maharagendondo 8 сағат бұрын
HAO, FUNGA MAISHA, SHENZI KABISA MAISHA MAISHA IWAHUSU
@Kabwela776
@Kabwela776 8 сағат бұрын
Mngewatia chuma cha moto mkunduni weka pilipili mkunduni nyonga ila unatesa sana kabla ya kuuwa, na hivyo viwanda unafilisi vyote , ni maadui wa maendeleo mkubwa hao kumanina zao hao Wachina Na huyo mkenya nyonga wote !
@moddy8744
@moddy8744 6 сағат бұрын
Hao ni washenzi lazim waadhibiwe sana
@Tee-King
@Tee-King 4 сағат бұрын
3000KG 😮😢
@rabsonased7106
@rabsonased7106 6 сағат бұрын
Nileteen wale chuma wanahujumu inchi yetu
@HassanMwinyijuma-s8h
@HassanMwinyijuma-s8h 8 сағат бұрын
Hapo majaji pesa tayar police wafanye kazi wengine wanakula rushwa kilahis Mambo mengine yanakera nyie
@ArtworkArtwork-t8p
@ArtworkArtwork-t8p 8 сағат бұрын
Hao ilipaswa wapigwe risasi mchana kweupe
@madalanasri2226
@madalanasri2226 5 сағат бұрын
Utasikia wanapata zamana
@MaguguStore
@MaguguStore 2 сағат бұрын
Piga chuma wotee
@BenedictoTebo
@BenedictoTebo Сағат бұрын
Hao ni wakunyonga kabisa
@kassimmambo2279
@kassimmambo2279 9 сағат бұрын
Wapili 😅😅😅😅
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 4 сағат бұрын
Funga umbwa hizo
@Niika870
@Niika870 7 сағат бұрын
Piga risas kisogon peupe
@surusuru1994
@surusuru1994 8 сағат бұрын
Azabu faini ili iwefudisho
@BaltazarSavin-b3q
@BaltazarSavin-b3q 7 сағат бұрын
Piga risasi
@charlesmhindi2817
@charlesmhindi2817 8 сағат бұрын
Mchina nyonga
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 7 сағат бұрын
AFANDE muwe munawapiga lisasi kabisa wajinga awa
@renatusrichard
@renatusrichard 9 сағат бұрын
Wakwanza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Space-f9y
@Space-f9y 6 сағат бұрын
Pumbavu
@sayeedmsct4255
@sayeedmsct4255 8 сағат бұрын
Wachinjwe
@rabsonased7106
@rabsonased7106 6 сағат бұрын
Nileteen wale chuma wanahujumu inchi yetu
Mbosso - Ova Behind The Scene Part 05
46:59
Mbosso
Рет қаралды 282
High-profile elimination of a war criminal in Moscow
14:33
NEXTA Live
Рет қаралды 314 М.
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 55 МЛН
Hatari; Majambazi Yamekamatwa na Silaha Hizi Zote
16:43
Global TV Online
Рет қаралды 136 М.
جولة في عقل السنوار - بودكاست البلاد
5:18:19
Atheer - أثير
Рет қаралды 648 М.