MAKONDA ARUHUSU MADIWANI MBUNGE WABURUZWE KWENYE MAJI MATOPE, ATAJA USHIRIKINA KAWARUNDIKIENI UCHAFU

  Рет қаралды 13,103

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 51
@joycehaule9717
@joycehaule9717 15 сағат бұрын
Viongozi wanamuharibia mama Samia wanashindwa kuwajali wananchi ... Safi Makonda nakupenda sana vile nampenda mama Samia
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 9 сағат бұрын
Sio wanamuharibia,mifumo dhaifu ya nchi hii ndio inasababidha haya yote.Uchawa na machawa husababisha haya.
@BilalYaile
@BilalYaile 12 сағат бұрын
Kaka Makonda Kura yangu utapata ikifika kipindi yako Kwa uwezo WA mungu
@josephlorri431
@josephlorri431 Сағат бұрын
Makonda amekuwa 'tbs' kwa wakuu wengine wa mikoa...
@JacobJoel-cb3ni
@JacobJoel-cb3ni 29 минут бұрын
safi sana bebeni hadi kinyesi kawapen
@barakajonas3209
@barakajonas3209 12 сағат бұрын
😂😂😂😂 safi sana Makonda 😂😂😂
@SalimaOman-hz1mi
@SalimaOman-hz1mi 11 сағат бұрын
Makonda nakupenda kaka yangu hunamsimamo sana wew kama Magufuli hukisema humesema
@AhmadaHassan-gy5uj
@AhmadaHassan-gy5uj 9 сағат бұрын
We nae umesoma Quran kweli!? Jaribu kutofautisha kati ya A na H,,sio hunamsimamo una msimamo.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 9 сағат бұрын
Usiwe chawa ww mjinga kwa kusifia sifia kwani makonda hahusik? Kwani Makonda sio kiongozii?wale madiwani ,mbunge na Makonda wote wanapaswa kuwajibika.Hata Makonda anastahili kupitishwa kwenye hayo maji machafu.
@BilalYaile
@BilalYaile 12 сағат бұрын
Safi kaka.kiongozi awajibiki Kwa nafasi yake
@SalimaOman-hz1mi
@SalimaOman-hz1mi 11 сағат бұрын
Makonda nakuomba kaka ebu lifanyie kazi hilo jambo huusu shule za chamika yapungu inachangamoto kila siku watoto wanatoa shilingi alfu moja au alfumojanamia tano kila siku watoto wengine yatima awana baba kwaiyo amulioni ilo tunasikitika sana mama samia alione hilo ali ni ngumu sana
@MikiGermany210
@MikiGermany210 13 сағат бұрын
Sijawahi kupiga kura ila siku ukigombea uraisi kura yangu unayo kaka
@ShadyaCHORA
@ShadyaCHORA 12 сағат бұрын
Nakupata vzr sana kutoka pande za oman. Hongera Sana makonda, mkuu wa mkoa wa arusha. Uko vzr, Wana chuga wanakutegemea baba
@fhugghi4109
@fhugghi4109 14 сағат бұрын
Makonda we jembe 💪💪ila mbn umewapa uhuru wananchi 😂😂😂Sasa wananchi tuingie kazin 😂😂💪💪💪
@diksonswairoman5689
@diksonswairoman5689 13 сағат бұрын
Fact
@HalimaMayunga
@HalimaMayunga 11 сағат бұрын
😂😂😂 takataka zitakaa milangoni
@CesyBusumabu
@CesyBusumabu 11 сағат бұрын
Hii ni introduction nchi zima viongozi wataburuza kwenye tope maana mwezako akinyoa zako tia maji.
@Dafetty
@Dafetty 11 сағат бұрын
Iivo you sana makonda❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 15 сағат бұрын
Na wamemburuta kweli baba wa watu😂😂😂 alikuwa anaogopa kuchafuka tena wangemsukuma aanguke😂😂
@hamisaally968
@hamisaally968 Сағат бұрын
Wangempiga teke moja tuu akalala umo kwenye dimbwiii😂😂
@DM_15
@DM_15 13 сағат бұрын
Mkoa wa ajabu yani viongozi wanarudisha pesa😂😂😂 nomasana
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 9 сағат бұрын
Kwani Makonda sio kiongozi? nae pia ni wale wale.
@brycebryson
@brycebryson 16 сағат бұрын
Hii imeendaa
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 14 сағат бұрын
😂😂😂ila kichwa hiki hakinaga kuremba
@aishajuma7813
@aishajuma7813 16 сағат бұрын
Safi sana
@jeremiamsuya1820
@jeremiamsuya1820 13 сағат бұрын
Kk makonda nakuku balisana 😂😂😂😂😂😂😂
@maribaisack2097
@maribaisack2097 9 сағат бұрын
Yaani wanarudisha pesa kwamba changamoto zimeisha au 😢😢😢shenzi kabisa
@joely22
@joely22 8 сағат бұрын
Me kwa maoni yangu viongozi wetu wakicha changuliwa waache siasa kwenye maendeleo ya inji na kwa Taifa kwa ujumla 😢
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 15 сағат бұрын
Wananchi tumechoka kwakweri yan mbaka tuchukue atua ya kuwaburuza kwenye maji machafu ndio mchukue atua aisee inakela sana viongozi wa tz
@allysele4265
@allysele4265 14 сағат бұрын
Kuna siku Mtamkumbuka Lema .anawamsha ila mnaendelea kulala
@MassoudMaghwaly-jo8sh
@MassoudMaghwaly-jo8sh 15 сағат бұрын
Maigizo tu haya , akili ilio sababisha tatizo haiwezi kuondoa tatizo ..
@omanoman2044
@omanoman2044 14 сағат бұрын
Hata wabunge waburuzwe pia tumechika san
@TwahaYahyaShabani
@TwahaYahyaShabani Сағат бұрын
😂😂😂😂😂🙌
@Baba-JJ
@Baba-JJ 14 сағат бұрын
Kwahiyo Waziri akiambiwa kero ya daraja na ikipita muda hajatekeleza, tumkamate tumpitishe mtoni? Au hili linaishia kwa viongozi wa vijiji tu viongozi wa serikali kuu haiwahusu?
@RashidRamadhani-b5o
@RashidRamadhani-b5o 9 сағат бұрын
Buruza kenge hao
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 9 сағат бұрын
Makubwa
@kitumbayork5720
@kitumbayork5720 11 сағат бұрын
😅
@hapaupdates9277
@hapaupdates9277 12 сағат бұрын
HAAAAAA MAMBO GANI HAYA VIONGOZI WAHESHIMIWE HATA KAMA WA SEREKALI ZA MTAA
@laurentshedrack4256
@laurentshedrack4256 12 сағат бұрын
Ko wananchi hawapaswi kuheshimiwaa💔💔💔💔💔????
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 сағат бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ashurahaji4794
@ashurahaji4794 8 сағат бұрын
😂😂😂😂
@Kabwela776
@Kabwela776 13 сағат бұрын
Hii sio sawa naona nchi kila mtu anajifanyia anavyotaka
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 10 сағат бұрын
Kwaiyo nisawa kupita bila kupingwa alaf walala ofisini kusubiri wapitishwa tena
@NaifathSeifjr
@NaifathSeifjr 16 сағат бұрын
Wapambanie wananchi na sio kufaidixha matumbo yao😅😅
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 14 сағат бұрын
Arusha kutokana na matukio yanayotokea mara kwa mara nafikiri ni mkoa unao itaji maombi akili za watu wake zime athirika na mapepo machafu hakuna mtu mwenye akili timamu arusha wote kama vichaa
@Kisigino
@Kisigino 11 сағат бұрын
Wewe ndio kichaa unaongea usichokijua
@annanaiman9321
@annanaiman9321 11 сағат бұрын
Njoo pitisha gari lako kwenye hii barabara ndiyo utajua hujui we nyamaza
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 10 сағат бұрын
Njoo tukubatize na maji machafu
@josephlorri431
@josephlorri431 Сағат бұрын
Gari alitoe wapi, hata baiskel hana​@@annanaiman9321
@EdsonyMashaka
@EdsonyMashaka 14 сағат бұрын
Viongoz wajinga sana bado atuna pesa yakulud serikalin
Wall Rebound Challenge 🙈😱
00:34
Celine Dept
Рет қаралды 23 МЛН
High-profile elimination of a war criminal in Moscow
14:33
NEXTA Live
Рет қаралды 346 М.
Will Trump Recognise Somaliland?
9:32
TLDR News Global
Рет қаралды 222 М.
EMOTIONAL FAREWELL TO ADRIANO THE EMPEROR OF FOOTBALL
19:55
SIAN SPORTS
Рет қаралды 1,5 МЛН