@@hayberidris5684na ww mpotofu mtume alikwambie usitusi wanazuoni sasa ww wamfuata nani mtoto wa iblis
@abdallahkambangwa7215 Жыл бұрын
Sheikh bachu yupo sawa Allah amuhifadhi
@aliabdullahi9200 Жыл бұрын
Subhanallah ewe kijana wa zanzibar mmwogope mwenyezimungu usivuke mipaka ikakukuta ballaa.kama sisi ni watu wa mowlid na hicho kitabu cha mowlid tukiwa tunamswalia mtume Muhammad sallallahu aleyhi wasallam.kila usiku.wa ijumaa.mungu anakuona.inshaalah
@hiqafilal9977 Жыл бұрын
Shirki mwafanya kwenye kitabu
@mchagagaspar6649 Жыл бұрын
ALLA AMUHUKUMU KIJANA WAA BACHU KWAKUTUPA JINA LAALLAH KAMA KINYESI YAARABI YUKATIKA HUKUUZAAKO SISI HATUNA LAKUFANYA .
@aliabdalla6998 Жыл бұрын
kijana wa zanzibar atoa maelezo, yasikie ndugu na ufungue kifua chako na utafakari, hii ni dini sio timu ya mpira kushikamana nayo hata wakikosea nyinyi mwawatetea bila dalili. hebu isikize hii 👇 kzbin.info/www/bejne/qGqZfpKDbLh_es0
@AhmedAli-jz5it Жыл бұрын
Yote hii ni kukosa hikma. Maana kuna elimu (inasomwa) na hikma (Anatoa Allah), kama Anavyosema SW kwamba "Na aliyepewa hikma amepewa kheri kubwa". Sasa hivi kweli vijana wamesoma lkn hawana hekima.
@zuhuramohamed7306 Жыл бұрын
@@mchagagaspar6649 kwani anrusha Quran ata useme hivyo kitabu ni Quran ndio mwuongozo wetu sio hicho kitabu cha barzanji useless
@NurdinKikwete-qz1ds Жыл бұрын
Wallahu yaalam anil ghaib. Muhim ni kubaki ndani ya msingi wa uislam tofaut kila mtu anazake .... Tupendane kma ma imam wetu wa 4 walivo iahi mbali na tofaut zetu
@hajiomari8198 Жыл бұрын
قل إن كنتم تحبون الله فاتبعوني يحببكم الله ويغفر لكم ذنوبكم والله غفور رحيم [ AL I'MRAN - 31 ] Sema: Ikiwa nyinyi mnampenda Mwenyezi Mungu basi nifuateni mimi, Mwenyezi Mungu atakupendeni na atakufutieni madhambi yenu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kufuta madhambi na Mwenye kurehemu.
@hadhfuljahlitv405 Жыл бұрын
Hii aya umeielewa vizuri?
@ibrahimutuwaamiri9163 Жыл бұрын
ELIMU INAENDANA NA HEKMA HANA ELIMU NA HANA HEKMA HUYU BACHU BWANA MTUME MUHAMMAD S A W KUWALINGANIA MAKAFILI MIAKA YOTE HAJAWAII KUWAKASHFU HIVI MAKAFILI WA KUWATUPIA VITABUVYAO WANAVYO VIAMINI HIVII HUYU BACHU HAJIELEWIII
@aliabdalla6998 Жыл бұрын
Assalaam Alaykum Warahmatullaahi Wabarakaatuh, bwana Haatimy, toa dalili usizungumze bila dalili, jitetee kwa hoja, M Bachu Anatoa dalili, na sisi tunafahamu vizuri, kwa hio jogoo limekwisha wika, mimi mwenyewe nilikua nikisoma maulidi, Alhamdulillaahi Allaahu Ameniongoza nimeuona ukweli nimewacha bid'a hizo, namuomba Allaahu Akuongoze na atuongoze sote. aamiin
@mwalimumwanyongo880 Жыл бұрын
Hahaha 🤣🤣🤣 umeuona ukweli umeokoka, tusomeni jamani tuache siasa katika dini. Hii ni dini ya Allah, sio siasa
niliyaacha kwa sababu nilipoziona dalili za kweli na nikauona ukweli nilijua tu kwamba tulikua katika upotofu, dalili gani nitakazopewa na huyu kijana wa bachu awaambia mwende uso kwa uso na mada muchagueni nyinyi mwashindwa kuandaa hilo? nyinyi ndio mwaleta siasa, قل هاتو برهانكم leteni dalili wacheni ushabiki
@aliabdalla6998 Жыл бұрын
@@mwalimumwanyongo880 naam nineuona ukweli,
@athmanjumagongah5667 Жыл бұрын
Hii ni fitna kubwa sana Kwa ummah na mujtamaa wetu. Mambo Yako mengi tu ya kunasihiana bal ni maudhi yalioje mtu na kijiilimu chake tayari ashambulia na kukashif Bali na kukufurisha mashekhe na Wanachuoni wengine. Inna Lilah...
@ibrahimrashid951 Жыл бұрын
mungu hapendelei shehk uchwara malemba kama kapu la mbaazi pumbavuu
@Mohammad_shidogo Жыл бұрын
Kazi ya wahabi matusi tuu huu siyo uislamu,huyo mwalimu wenu awafunza matusi sasa wasiyo kuwa waislamu mnawapa ulinganizi wa matusi ..... Mtume s.a.w asema "سباب مسلم فسوق و قتاله كفر"chagua pako bro
@mudathirhussein9557 Жыл бұрын
Jamani hii dini ni ya haki musilumbane mwenge tumia hekima mukaogea kwa siri mukasomeshana na kuelimishana na hata Kama mtu ana tofauti zake basi asiweke hadharani ni aibu munawapa picha gani watu wanataka kuingia katika uislamu jamani hivyo sio vyema allah sw) awape imani na mapenzi ya kutolumbana Kama hivi ni aibu sana
@niyonganjisadiki9 ай бұрын
Muhammad bachu Allah amhifadhi
@MAPETEE Жыл бұрын
Allah Atampa LA Kumpa Uyu Muhamed bachu ndivyo Alivyo fundishwa NA baba yak na mama yak
@mohamedswaleh6778 Жыл бұрын
Utapewa ww lakupwwa n allah kwa husda zako yye Allah atamlinda n mahasid
@sihainiahmad1624 Жыл бұрын
Al hatimy endelea nao jamaa hao maana hawatak kusoma wasomeshe kuingiza sumu
@ayoubrashid8392 Жыл бұрын
Uyu hafai kuitwa Muhammad...aitwe medi tu..
@ayoubrashid8392 Жыл бұрын
Icho kitabu kina mpaka swala za mtume....kwa alivokitupa......Allah amlaani
@MAPETEE Жыл бұрын
Ehee Kuna mpk Majina ya Allah mpk swala za mtume Nazan ndio ka fundishwa NA baba yak nasor bachu NA mama yak
@AhmedMohamed-um8ox Жыл бұрын
Doh sasa haya ndiyo mafundishow ya uwislamu kwa wale hawakusoma sheikh muhamad mungu amekupa kipaji kikubwana allah akuzidishiye basi ushasema mungu atahukumu 🤲 tafadhali mwachiye mungu chuki na matusi si mafundishow mazuri 🙏
@hashimiddy4142 Жыл бұрын
Safi sana shekhe bachu allah akuhfadhi hana hoja huyu mkenya
@sulaimaanunda2840 Жыл бұрын
sema huyu sheikh fulani, wacha kusema mkenya babaa... kwa sababu ukisema mkenya umegawanya waislamu kwa hoja ya kitaifa na wala sio hoja ya ki ilmu alonayo mtu
SubhanAllah huyo Ana laana ni mkosefu wa dini mwenye zemungu atampe adhabu
@idarusalwi7962 Жыл бұрын
أيها المشايخ كونوا منصفين في دعوتكم أ زيلوا الحقد في قلوبكم،وأصلحوا أنفسكم قبل أن تصلحوا الآخرين. ١_تعلموا الفنون التي ينقصكم ١_كالبلاغة ،علم العروض،راجعوا كتب السير والتاريخ لتساعدكم في تفسير القرآن والسنة وفهم عبارات اللغة العربية ،ولا يتم هذا بإزالة الحقد ثم الإنصاف.
@Mohammed-fv1ur Жыл бұрын
Ata baba ake hakuwa hivi fedhuli ijapo Haku support maulidi hakufika kufru hiii
Watu wanajipa utukufu na kuzusha masuala ya maulidi Hakufanya Mtume Muhamad S.A.W Wala maswahaba hawakufanya Tabiina Wala Tabii tabiina
@Safinatulshifaa Жыл бұрын
Maulidi ni Mila za mashiaza kuwakashifu maswahaba WA Mtume na watu WA maulidi wanasema asiepiga maulidi hawampendi Mtume tofauti na mashi ipo wapi hapo Maana wasiopiga maulidi ni maswahaba hivyo tunawatukana Shia wanatumia DIRECT SPEECH WATU WA BIDAA WA MAULID WANATUMIA INDIRECT SPEECH
@haridyhillaryndembo1946 Жыл бұрын
Uislam wa hivyo wa majivuno haupo wa bachu
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
ALLAH NI MKUBWA! ALLAH HAWANUSURU WASHIRIKINA!!
@rushu1232 Жыл бұрын
Kukosa adabu na jeuri nyingi haiwezi kuvunja hadhi ya sh.Barazanji Mwenyeezi Mngu amekitilia taufiq chasomwa ulimengu mzima.
@mwajumamohd7930 Жыл бұрын
Acha kujibu ujinga, maulid ni shirki,Tena msitafute kujifaharisha na Hawa watu,hakuna kitu
@rushu1232 Жыл бұрын
@@mwajumamohd7930 Maulidi sio shirki kabisa tuko na dalili na hujja na haya ni masaala ya ikhtilaf yaweza kuwa bidaa lakini kwetu ni bidaa hasana lakini hakuna mambo ya ujinga.
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Ndugu yangu, kusomwa ulimwengu mzima si hoja ya kuwa ni halali. Wengi wanasoma kitabu kile bila kujua maana ya maneno yaliyo andikwa. Wanasoma na kukiamini vile wanaamini ndani yake amesifiwa Mtume (SAW). Lakini, Je, amesifiwa kihalali? Au amepewa sifa ambazo mmiliki wa sifa hizo ni Allah (SW) pekee? Point ya msingi hapo ni Sheikh kuacha jeuri kwenye kuongoza wale ambao anadhani wamekosea au wale walio kosea kweli.
@MuhammadMuhammad-gr2qv Жыл бұрын
@@rushu1232 hakuna bidaa Hassan katika dini Bidaa ni Bidaa na MTUME alikuwa ashawajuwa watu Kama nyinyi ndio Akasema WAKULLA BID'ATUN DHWALALA , WAKULLA DHWALALTIN FIL NAAR.... Mumeshakanywa na MTUME (S.A.W) kuhusu BID'AA...
@ramadhanimbulu4941 Жыл бұрын
@@MuhammadMuhammad-gr2qv kapande ngamia,usitumie spika msikitini,usisalie kwenye zuria maana mtume hakufanya hivyo,usitumie mitandao ya makafiri kama hii ya simu mtume hakutumia.hata Quran zama za mtume iliandikwa kwenye mawe,magome ya miti,ngozi, Leo mbona INA muonekano tofauti na asili yake?hebu rudini mkasome vinginevyo pandeni ngamia au punda ndiyo ulikuwa usafiri wa mtume.
@QuibibiVictorКүн бұрын
Maulidy siyo sunna ya mtume muhammad s.a.w maulidy ni biddaã
@vanshowonline5958 Жыл бұрын
Safi sana Shehe baacho, hakuna chuki bali ni ukweli. Jibu hoja kwanza Umeshika umetukanwa😂
@Mohammad_shidogo Жыл бұрын
Kwani haja tukanwa!!! We kwani washabikia boli
@maherzain989 Жыл бұрын
Ujaelewa baba kasema mskilizeni Kwanza Kisha nimuweke saw
@sharifamohd3857 Жыл бұрын
Waambie hao mrithi wa baba ako hoja hawawezi kuzijibu
Sheikh AlHatimy, Huyu Ana Laana na mkosefu Adabu, Mpotofu, Wote Wapotofu, Mwenyezi Mungu atawapa Adhabu zao In Shaa Alaah
@MAPETEE Жыл бұрын
Uyu Muhamed bachu mjinga sanaa mtovuadabu sanaa mshenz
@mwanakheri2880 Жыл бұрын
Sababu yake hana ilmu
@abuukauthar525 Жыл бұрын
utovu wake wa adabu na ushenz ni up?
@abuukauthar525 Жыл бұрын
@@mwanakheri2880 utovu wake wa adabu na ushenz ni up?
@abuukauthar525 Жыл бұрын
utovu wake wa adabu na ushenz ni up?
@abuukauthar525 Жыл бұрын
utovu wake wa adabu na ushenz ni up?
@hasreeyasini Жыл бұрын
Nashindwa kumuelewa sheikh alhatimy yy ana makusudio Gani ktk uelewa wa kusoma maulidi juu ya barzanji
@bouunlocked14 Жыл бұрын
Assalam Alayka Yaa Mahiya dhunubi Amani juu yako ewe mfuta dhambi. Je Mtume saw anauwezo wa kufuta dhambi? Hapana. Yeye kama yeyw hana uwezo huo. Sasa kwanini Imam Barzanj kasema maneno haya? Kwanini ampe Mtume saw ambayo hana? Tena sifa ambayo anasifika nayo Allah? Hakumpa sifa ya Mungu na wala hakukusudia kuwa yeye Mtume saw mwenyewe ndie mfuta dhambi. Sasa alichokusudia nini? Kakusudia kuwa Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi. Hii katika ilmu ya balagha inaitwa “majaz mursal na alaqa yake ni sababiya”. Yaani, Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi. Mfano Allah Anasema katika Quran: يتوفاكم ماك الموت الذي وكل بكم Atawafisha malakul mawt ambae amewakilishwa kwenu Ikisha kwingine Allah Anasema: الله يتوفى الأنفس حين موتها Allah Anafisha nafsi wakati wa kufa kwake. Sasa anaefisha Allah au malakul mawt? Tunasema Anaefisha hakika ni Allah ila malakul mawt kutajwa ni majaz mursal alaqa sababiya, yaani, yeyw ni sababu ila simfishaji. Law si hivyo utasema kuna kupingana katika Quran jambo ambalo ni muhali
@ياسمينياسمين-غ2ص Жыл бұрын
INA LILAH WAINA ILAH RAJIUN HUYU MADEVU BACHU ANA MATATIZO YA UBONG'O NA ALLAH ATAMPA CHA KUFANYA WALLAH MTIHANI MKBWA UNAMKUFURISHA SHEKH WETU DIYO DINI GANI ULIO SOMA WW ALLAH ATAKUHUKUM WW
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
WAISLAMU WOTE WENYE KUSOMA DUA, UISLAMU UMEDHALILISHWA. ATAKAELIWACHA HILI KUMUOMBA MUNGU AWADHALILISHE WALIOTUPA UZAO WA MTUME SAW, BASI ATAHUKUMIWA.
@muhammadkhatwab Жыл бұрын
BAARAKALLAHU FIYKUM. Aina hizi za video zinatuelimisha
@khaleedabubakar4403 Жыл бұрын
Kwani hajui kilicho mfika babake na yy aendelee kutukana mashekhe na maulamaa
@allyfutto8763 Жыл бұрын
zinatuaibisha japo zaelimisha aibu8 mafunzo2, ki mimi kama ni jihadi bora nipigane kupinga ufiraun na sio wenyewe kwa wenyewe ajili ya sifa za UKUBWA astaghafirullah mungu ametunusuru tunahepuka NUSURA Subhanallah
@ramlamburi9743 Жыл бұрын
@@khaleedabubakar4403 Kilimfika Nini?
@asalafiyahhussein7767 Жыл бұрын
Asalaam aleikum masheikh zetu , tufundishe tu alichotufundisha mtume wetu.(s.w.a) msilete debate hii sio Sanaa, mnatuudhi sisi talib Al ilmu . Nyote mmekosea someni wanazuoni wetu walikuwa wanakhitalifiana vip . Toeni porojo zenu😢
@alhilaltvonline Жыл бұрын
Adabu ni chombo muhimu katika elimu.
@abasmaalim5423 Жыл бұрын
Sahihi kabisa ndugu yangu. Ila bid'aa za mambo ya maulidi ni jambo ovu mno kwenye uislam mzima
@shariffali7780 Жыл бұрын
Ukitizama picha kubwa tuwape hongera maadui wa kiislamu namna wamefaulu kutugonganisha! Na hapa utakuta hizo fitna za Najdi zafanya kazi. Mawahabbi wana ukosefu wa ilmu Kisha na adabu!
@mahfoudhcalender2747 Жыл бұрын
Al-hatmiiiiiii, mbona hujib hoja ulizoletewa, unanichekesha sana mie.
@maherzain989 Жыл бұрын
Ujaelewa baba kasema mskilizeni Kwanza Kisha nimuweke saw
Assalam Alayka Yaa Mahiya dhunubi Amani juu yako ewe mfuta dhambi. Je Mtume saw anauwezo wa kufuta dhambi? Hapana. Yeye kama yeyw hana uwezo huo. Sasa kwanini Imam Barzanj kasema maneno haya? Kwanini ampe Mtume saw ambayo hana? Tena sifa ambayo anasifika nayo Allah? Hakumpa sifa ya Mungu na wala hakukusudia kuwa yeye Mtume saw mwenyewe ndie mfuta dhambi. Sasa alichokusudia nini? Kakusudia kuwa Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi. Hii katika ilmu ya balagha inaitwa “majaz mursal na alaqa yake ni sababiya”. Yaani, Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi. Mfano Allah Anasema katika Quran: يتوفاكم ماك الموت الذي وكل بكم Atawafisha malakul mawt ambae amewakilishwa kwenu Ikisha kwingine Allah Anasema: الله يتوفى الأنفس حين موتها Allah Anafisha nafsi wakati wa kufa kwake. Sasa anaefisha Allah au malakul mawt? Tunasema Anaefisha hakika ni Allah ila malakul mawt kutajwa ni majaz mursal alaqa sababiya, yaani, yeyw ni sababu ila simfishaji. Law si hivyo utasema kuna kupingana katika Quran jambo ambalo ni muhali
@aminitu3766 Жыл бұрын
Mohamad Bachu ww umepata kuzijua Siri za Mbinguni ndani ya moyo wako sioni unafiki ktk kumuabudu Allah. Mungu akuinue zaidi na zaid
@swiddiqabubakar7500 Жыл бұрын
Wallahi huyu kijana wa bachu ana shida sana wallahi mungu amswaameh
@abubakarsaid8606 Жыл бұрын
Ukweli wawa shida
@ramadhanomar8093 Жыл бұрын
Wewe ndo mwenye shida wallahi
@newttechog75 Жыл бұрын
@@ramadhanomar8093 huyu kijan din hailinganiwi kwa jazba lazim hapana bwan
@ibnuidrisa3996 Жыл бұрын
Elimu ndo changamoto hapa kaka
@asrymohd6690 Жыл бұрын
Soma din usifate mkumbo
@hythamhashiem4458 Жыл бұрын
Eeeh Muhammad bachu hio sio tabia ya mtume wetu Muhammad صل الله عليه وآله وسلم
@hammidmundu5192 Жыл бұрын
Bachu ana lana huyo kijana very disrespectful...kwa qawli..
@khajumkhamis7910 Жыл бұрын
WEWE BACHU KASOME., USIZARAU
@abubakarsaid8606 Жыл бұрын
Hata ww nenda ww piaya ukasome
@ibnuidrisa3996 Жыл бұрын
Hyu kijana balehe ya elimu inamsumbua
@khajumkhamis7910 Жыл бұрын
@@abubakarsaid8606 mi najielew ni ww tuuu
@HabibAliKishki Жыл бұрын
Kumbe hawalali umekuwa mauwui kwao mashallah hiyo ni neema kubwa sana
@modricseif1018 Жыл бұрын
Hizi ni hitilafu katika dini, usivuke mipaka kuhisi wewe ndio upo sahihi kuliko wao, Allah atupe mwisho mwema inshaAllah, Nakupenda kwa ajili ya Allah🙏
@aliabdalla6998 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qGqZfpKDbLh_es0
@NMJAHsaid Жыл бұрын
Brother hakuna hitilafu ya uzushi na shirki. Maulid ni shirki na uzushi mtupu
@NMJAHsaid Жыл бұрын
Brother hakuna hitilafu ya uzushi na shirki. Maulid ni shirki na uzushi mtupu
@coolpara8192 Жыл бұрын
Msiseme Mambo msiyoyajuwa
@SWAFIYAMUHAMEDMZEEMBABA-ue3zq Жыл бұрын
Unataka fata hutaki acha
@fauzia4610 Жыл бұрын
SubhanaaAllah hyo n kitabu bachu anarusha hvyoo😢😢😢
Aaaamiiina Umemjibu vizuri kabisaaaaa Mungu atujalie tusome na tuelewe na tujue sikurukia rukia tusio yajua tusiseme tusio yajua tunadhalilika kwa wasomi na watu wanajua kumbe huyu yuko hivi uwezo wake mndogo? tulijua bingwa wafani kumbe mweupe? mwengine aliekua anakuheshim atakudharau na kusema kumbe huyu hajui hatamiye ninamshinda? tujitambue kilamtu ajue sehemu yake sio lasima sisisote tue dhehebu moja dunianzima nasiolazima tulingane elimu na uelewa na ufahamu wewemwenyewe hapo mkonowako mwenyewe vidole vipo vitano nikuulize vimelingana? kwanini visilingane wakati vyote navyowewe? kwahio unayegemea kwasababu mtume tunaemfuata ni mmoja akili inakutuma elimuzetu na akili zetu na uwelewa wetu utakua sawa sawa? Mchamungu ningumu kumjua na dhehebu sahihi na watu sahihi wachamungu anawajua Mungu pekee anaejua ninani kapatia au kakosea tuepuke kuingia katika nafasi ya Mungu:
@reonidajohn7857 Жыл бұрын
Wallahi ukisoma ukafahamu raha sanaaa kwa hakika anavyo tafsiri barzenjiii ananifurahishaa sanaaa manaaa hakuna anacho patiaaa katika tafsiri yakee Maulidi ni yakwetu kitabu chetu lakini Maana anatoa yye asiehusika Wee unafikiri atapatiaaaa
@abuukauthar525 Жыл бұрын
kwel barzenjii ni kitabu chenu nyie masufi
@faisalmohamed727 Жыл бұрын
Lazima mujitetee kama munavopindua tafsiri za ayaa na hadithi ili mutetee uzushi wenu.
@Alegria_doPovo Жыл бұрын
Mtume gani alipewa hicho kitabu chenu?
@mohammedhegdah Жыл бұрын
Tunapoteza wakati wetu kukashifiana na kutukanana badala ya kulingania suluhisho la kisawa Al-khilafah. Masheikh wetu wameghafilika na kuzama katika mijadala isiyo na maana. Lau nguvu hizi zingetumika kwa njia ya sawa, Wallahy Uislamu ungekuwa unatabikishwa katika mgongo wa ardhi.
@allylassuh4947 Жыл бұрын
Babake alipoambiwa kafa na hakua mtu wa sunna aliteta sana lkn yy akufurisha na kutusi wazazi na mashekh wa wenzake anaona ni vzur tu yani hajafunzwa adabu kbsaaaa huyu bachu
@abdulahmed2772 Жыл бұрын
Hapa kila mtu abaki kwa imani yake kuwa mimi ni muislam kama nimetoka katika maulid nitabaki huku huku na kumswalia mtume muhammad s.w.m vinginevyo tunakwenda kukufuru allah atustiri
@kassimmanaramalika8592 Жыл бұрын
SUBHAANA LLAH,Mtihani kwakweli .
@ahmedrashid7638 Жыл бұрын
Hakika kijana hata kama wewe Mohamed Bachu hukubaliani na Barzanji, haina haja ya kuita wenzako Mushriik, Jaribu kuwa funza, ndio sawa, hicho nikiburi
@fatmaabdul1047 Жыл бұрын
Wallah yasikitisha SUBHANALAH. ,Mkumbushe ...اياكموظن...kama pia wanakumbuka hadithi za mtume ...waonekana Wana Mtume wao
@alijabal2236 Жыл бұрын
Baaraka llahu fyka m.n.bachu.
@Salhiya-hr7dy Жыл бұрын
Allah atustiri Inshaallah heeeeeh ila hiy bachu anatumia maneno makali akaaaaa 🥺🥺🥺🥺🥺🥺
@saidali5964 Жыл бұрын
Pasuwa akhiy usihofu Allah Allah Yuko nawe bn bachu
@shaabansaidd4597 Жыл бұрын
Allah hayuko na majuhalaah
@mpondamedia2416 Жыл бұрын
Bachu mtume hakufanya da’wa ya namna hiyo kumbuka hicho kitabu ulichokitupa ndani yake kuna jina la Allah 😭😭😭ebu fikiria mara Muhammad alafu acha chuki na dharau mihadhara yako imejaa chuki binafsi badilika Muhammad
@ashrafseif9460 Жыл бұрын
Subhanallah huu n mtihan mkubwa kwa ummah Wa kiislam ,kukashfiana ktk mitandao mnachangany watu hasa weny elimu ndogo.tafuta njia nzur ya kufany ummah upate faida nzr
@dulaabdallah6127 Жыл бұрын
Hata upike chakula kizuri vipi ila kikiingia kinyesi utatoa kinyesi au utakimwaga?
@luqmanbaya2059 Жыл бұрын
Asalaam alaykum...uislam umetufundisha usitarabu..vip tena...tukose hekima ya kuambiana....yaani alhatimy..alimkosoa sheik Muhammad Nassor Bachu..kwa kielimu na aya ndani ya qur'an...na ushahidi kabisa...vip tena amuite mwenzake...mushrik...
@hashimshariff2743 Жыл бұрын
Mungu amsaidie bachu kwa elimu yake chache na potofu. tumeona wengi walotangulia kama yeye mwisho wao ulikua vipi
@hassanwaiswa692 Жыл бұрын
🤣😂😆 Shariff ukweli usemwe!
@mwalimjecha6893 Жыл бұрын
Si elimu ndogo Hana hata hiyo chache
@mohameddhussein6164 Жыл бұрын
Hoja hamna
@masoudmasoud8138 Жыл бұрын
Bangi bachu
@IbrahimIsmail-te7mw Жыл бұрын
Allah azizime shirki kupitia bachu na watoto wake aamiin
@azizbashir Жыл бұрын
NI KWELI HATA KUSHIKA HII KITABU NA KUSOMA KWA MUDA UTAPOTEA HAWA WATU WA MAULID NI HATARI ILIKUWA ZAMAN WANATEMEA CHAKULA MATE WANASEMA NI BARAKA
@hassanramadhani8527 Жыл бұрын
Ushaidi wako ukowap
@bouunlocked14 Жыл бұрын
Assalam Alayka Yaa Mahiya dhunubi Amani juu yako ewe mfuta dhambi. Je Mtume saw anauwezo wa kufuta dhambi? Hapana. Yeye kama yeyw hana uwezo huo. Sasa kwanini Imam Barzanj kasema maneno haya? Kwanini ampe Mtume saw ambayo hana? Tena sifa ambayo anasifika nayo Allah? Hakumpa sifa ya Mungu na wala hakukusudia kuwa yeye Mtume saw mwenyewe ndie mfuta dhambi. Sasa alichokusudia nini? Kakusudia kuwa Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi. Hii katika ilmu ya balagha inaitwa “majaz mursal na alaqa yake ni sababiya”. Yaani, Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi. Mfano Allah Anasema katika Quran: يتوفاكم ماك الموت الذي وكل بكم Atawafisha malakul mawt ambae amewakilishwa kwenu Ikisha kwingine Allah Anasema: الله يتوفى الأنفس حين موتها Allah Anafisha nafsi wakati wa kufa kwake. Sasa anaefisha Allah au malakul mawt? Tunasema Anaefisha hakika ni Allah ila malakul mawt kutajwa ni majaz mursal alaqa sababiya, yaani, yeyw ni sababu ila simfishaji. Law si hivyo utasema kuna kupingana katika Quran jambo ambalo ni muhali
@utajiju547128 күн бұрын
Huyu kijana wa bachu ana kibri sana wala hana ujuzi
@majidsaid08 Жыл бұрын
Mtume s.a.w, alisema zitafika zama dunia itachafuka yaani wenye ilmu wataonekana hawajui kitu na amabao hawana ilmu ndio wataonekana wajuwa na kupata wafuasi.... vijana wadogo wanaosoma sasa wana hamasa sana na kujifamya wao ndio wajuwa kila kitu ilhali mtu amesoma kodogo tu. Hao wazee waliopita walifanya mengi na maisha yalikuwa mazuri na heshima na adabu kwa kila umri angalia leo mambo yalivyo kuwa kila mtu hajui wao ndio wajuwa. Na huyu kijana bachu yeye kazi yake kukosow tuuuu yaani yiwafwatilia kila mtu kumtowa dowa badala yakutowa darsa zake. Msubiri imam mahdi aje kukukosowa na kukutekebisha na wewe
@saidbajoun4374 Жыл бұрын
Mahdi ??? Kwa ushahidi gani
@majidsaid08 Жыл бұрын
@@saidbajoun4374 nimekutajia mtume amesema bado wauliza ushahidi...... wataka kujuwa ama wataka ushindani?? Fwata unavyotaka kaburi kila mtu na amali yake hulazimishwi kama wajuwa na wajitosheleza haina haja ulize......
@saidbajoun4374 Жыл бұрын
@@majidsaid08 bado hujatoa dalili ukisema mtume amesema ata mimi nitasema mtume amesema nipe Aya au Hadithi ata dhaifu kaka sasa ukisema mtume amesema na hakuna isnad matin wala rawi utakua wewe ndo umesema njoo na dalili kaka haina haja ya kukasirika
@saidbajoun4374 Жыл бұрын
@@majidsaid08 mambo ya Imam Mahdi ni Uzushi mtupu
@abuually-ol2xc Жыл бұрын
Kwelii Hawa vijana wanatusumbuaa Sanaa wanajifanya sana wajuwajii
@FatimaFatima-wz2qt Жыл бұрын
Inalilahi wainailayhi rajiuna Dunia imeisha mashekhe wapigana vita mpk lini jamani
@allylassuh4947 Жыл бұрын
Huyu kijana ni muhuni mkubwa kumbe hafai hata kukaa mbele ya jamii hana adabu kbsaaaa anatukana watu hajali hata ukubwa wao na elimu zao shenz fedholi sana huyu jamaa
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
East Africa wa islam wengi wa mezama kwe nye ushirikina muislam Ana kwenda kwa sheikh Ana pewa vitu vya shirki na Ana amini badala kumuamini mwenyezimgu.
@AbdillahSOthman Жыл бұрын
Fahamisheni watu musilumbane, akikosea njia ni wajib kumuelekeza.
@faisalmohamed727 Жыл бұрын
Umewekwa sawa mushrik.
@zenaahmedi8857 Жыл бұрын
SubhanAllah...mbon najisikia vibay mim
@khalfanikimanta6663 Жыл бұрын
KISA?
@ayoubrashid8392 Жыл бұрын
Muhammedy bachu hana adabu
@SahimTekno Жыл бұрын
Maulid shirk kweliii
@tariqinhosaid3447 Жыл бұрын
Shekhe nataka utupe dalil kuwa roho ya mtume sallalahu alayhi wasallam ilipotolewa malaika walipiga laini mpaka mbinguni
@muddybreezy4595 Жыл бұрын
Hahaha
@moskiley0025 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@haridyhillaryndembo1946 Жыл бұрын
Fikra iko chini Hebu iulize tu AKILI yako Inawezekana au haiwezekani Kabla hujapata dalili, ikiwa kama mtu wa kawaida hupokewa na Malaika wa heri na kuogelea na ROHO yake hata wakaipeleka ROHO wanakoipeleka "wannashitwat nashata" Kwani Quran haikusema utafakari "Afalaa tafakkarun" Hebu TAFAKARI inawezekana au haiwezekani?
@khadijaabdulkarim4567 Жыл бұрын
😁😂😂
@IbnuAlly-cg2gn Жыл бұрын
@@haridyhillaryndembo1946tunatakiwa tutangulize kitabu na sunna sio akili
@sadofaraji5999 Жыл бұрын
Kukufurisha umma mzima ni kosa kubwa sana na lugha mbaya siyo katika uislam.
@samsiakassakangeta1780 Жыл бұрын
{ لَمۡ يَكُنِ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ مِنۡ أَهۡلِ ٱلۡكِتَٰبِ وَٱلۡمُشۡرِكِينَ مُنفَكِّينَ حَتَّىٰ تَأۡتِيَهُمُ ٱلۡبَيِّنَةُ } [Surah Al-Bayyinah: 1] Ali Muhsin Al-Barwani: Hawakuwa walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina waache walio nayo mpaka iwajie bayana, { رَسُولٞ مِّنَ ٱللَّهِ يَتۡلُواْ صُحُفٗا مُّطَهَّرَةٗ } [Surah Al-Bayyinah: 2] Ali Muhsin Al-Barwani: Yaani Mtume aliye toka kwa Mwenyezi Mungu anaye wasomea kurasa zilizo takasika,
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Leo Mtume huyo yametupwa history yake na makafiri. Kama alivyoyafanya aboud rogo. Yakamkuta
@zayumbahussein5766 Жыл бұрын
Twayiiib
@saidyiddy1770 Жыл бұрын
baadae ya kuwaingiza watu kwenye uislam mnapigakelele wenyewekwawenyewe
@saidyiddy1770 Жыл бұрын
kwani ww maulid umeyatowawapi
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@saidyiddy1770 maulid (mazawa ya Mtume saw) tumeyatoa katika SIRA ya Mtume saw
@mrben227 Жыл бұрын
Bachu anajifnya yupo perfect si uislamu unavyotak
@athumanisese Жыл бұрын
Alhatimy imekuuma eeeh
@ahmadbadawi9664 Жыл бұрын
We ukiambiwa kafiri utajiskiaje?
@abullahkabaka8774 Жыл бұрын
Mimi nasikitika saaaana kuona munajiangika kwenye mitandaoni, mauudhu ya dini ni uso kwa uso mukarekebishana, Ile yausawa tukafundishwa, ni aibu kubwa maneno makali na vitendo vichafu mashekhi, kwani hakuna mashekhi wakubwa waku ya hukumu makosa hayo, tafadhalini mukae chini utaratibu wa kidini, alhamdulilah bi neema tul Islam, wa allah yahdikum,,,,
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Hapa hakuna mazungumzo.
@alhamdulillahalhamdulillah7529 Жыл бұрын
Muhammad Haya mambo yatakuja kukutia kwenye majuto siku zambele ujute ukijutia badilika Ndugu yangu
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
Acha mikwara ww
@alhamdulillahalhamdulillah7529 Жыл бұрын
@@mwaramimwarami1479 Mimi sfanyi mikwara Endeleeni tu kumponza
@abdulwahabbakar8677 Жыл бұрын
Hakuna kitakachomfanya ajute huyo jamaa na wenziwe ni wanaoabudu makaburi hapana asiejua kwanza kusema kilemba chake ni tangu kutoka kwa Mtume huo ni uongo wa mchana
@jeyllanghulam7990 Жыл бұрын
@@abdulwahabbakar8677 shida hamtaki kufatilia madamu shehe kasema bc ww unatosheka... fatilia ili ujue sheikh alisema ukwli au shehe wako kamsingizia na kumuita muongo bila ya sbbu.... afwan
@zumrasaidi6600 Жыл бұрын
Fanya kazi ya mungu shehe allah anajua ukweli wa ukweli wa roho yako
@mbaroukbakar572 Жыл бұрын
jibu hoja usilete malalamiko
@bouunlocked14 Жыл бұрын
Assalam Alayka Yaa Mahiya dhunubi Amani juu yako ewe mfuta dhambi. Je Mtume saw anauwezo wa kufuta dhambi? Hapana. Yeye kama yeyw hana uwezo huo. Sasa kwanini Imam Barzanj kasema maneno haya? Kwanini ampe Mtume saw ambayo hana? Tena sifa ambayo anasifika nayo Allah? Hakumpa sifa ya Mungu na wala hakukusudia kuwa yeye Mtume saw mwenyewe ndie mfuta dhambi. Sasa alichokusudia nini? Kakusudia kuwa Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi. Hii katika ilmu ya balagha inaitwa “majaz mursal na alaqa yake ni sababiya”. Yaani, Mtume saw ni sababu ya kufutwa dhambi. Mfano Allah Anasema katika Quran: يتوفاكم ماك الموت الذي وكل بكم Atawafisha malakul mawt ambae amewakilishwa kwenu Ikisha kwingine Allah Anasema: الله يتوفى الأنفس حين موتها Allah Anafisha nafsi wakati wa kufa kwake. Sasa anaefisha Allah au malakul mawt? Tunasema Anaefisha hakika ni Allah ila malakul mawt kutajwa ni majaz mursal alaqa sababiya, yaani, yeyw ni sababu ila simfishaji. Law si hivyo utasema kuna kupingana katika Quran jambo ambalo ni muhali
@hamzamwaya463 Жыл бұрын
Na kama unasema daawa ya mtume s.a.w , Mtume Muhammad s.a.w hakulingania maulid. Acha makorokoro hayo na tosheka na yale aliyokujanayo mtume Muhammad s.a.w.
@halidijuma1884 Жыл бұрын
Basi andaeni mijadala tuje tupate elim,,
@athumanimahunda6541 Жыл бұрын
Muhammad Bacho amekufuru . Ukimkufurisha muislamu ukafiri unarudi kwako mwenyewe.
@khamisqais7706 Жыл бұрын
Huyo Mtoto wa Bachu anapo alipoteleza hayo ndyo Matunda yake na kipo kitakacho mpata labda arudi nyuma na kuacha kutukana wanachuoni
KITABU CHENYE USHIRIKINA NDANII NI MAKOSA KUKISOMA NA KUSOMESHA WATOTO. WATU LAZMA WAAMBIANE UKWELI NA UKWELI SIKU ZOTE UNAUMA SANAA .
@sameermilo4907 Жыл бұрын
kweli huyu kakosa adabu ya elimu ... Mungu akuongoze bachu mdogo
@mwalimjecha6893 Жыл бұрын
Na mkubwa pia Hana adabu
@alidochi2889 Жыл бұрын
UMO KTK KITABU MNA JAPO MOJA ZURI! HUHESHIMU HATA MAJINA YA ALLAH YALIYOMO HUMO NDANI! الحكمة ضالة المؤمن ................
@hassanwaiswa692 Жыл бұрын
Al Hatimy. Wacha maongezi mengi!!! Wewe msomi na Sheikh Bachu msomi. Panga siku, wakati na eneo. Macho kwaacho Uso kwa Uso. Hii video nusu nusu waaachaaaa!!! Kidume wewe na Bachu kudume. #facethereality 😎
@simbillamachiyya Жыл бұрын
Asalaam alaykum warahmatullah, Mimi ni mfuasi wa Hadharat Mirza Ghulam Ahmad as imamul Mahd na Massih aliyeahidiwa, natoa maoni kuwa,Imamu Mahdi amefika, sawa na khabari alizotufahamisha mtume Muhammad saw, wacheni malumbano na kutukanana na kudharauliana, mpokeeni Mahdi wenu enyi waislamu,
@rajabumtanga8792 Жыл бұрын
shekhe unatutia wasiwasi kuhusu akili Yako kweli nimzima weweee hamna kilevi chochote unatumia aaa sio Bure umedata kijana pole sana duuu
@zainabJuma-x9j Жыл бұрын
mashia mnatabu elim ndogo hta huna uelewa hlf eti shekhe mchamungu anamjua allah
@alshamsitz3961 Жыл бұрын
Sishangai kwa mtoto wa Bachu kwa kitendo hicho maana nishawahi kumsikia kwenye moja ya clip yake akisema wazazi wa Mtume Mohammad wamekufa hali ya kuwa ni makafir na wataingia motoni
@halimakassimngare4873 Жыл бұрын
sasa shida iko wapii hapoo?? na dalili zipo tatizo ninii ama vile hujasoma waskiza tuu
@AliMohamed-gv7nw Жыл бұрын
Ndio ilivyo hivyo mbona hajatajwa mwengine
@matataoneproduction5355 Жыл бұрын
Watoto wa zinaa ndivyo walivyo mumsamehe tu yule dogo hajitambui
@ibnuidrisa3996 Жыл бұрын
@@halimakassimngare4873 tuekee huo ushahidi
@abdulrahmanabdallah132 Жыл бұрын
Weee vp sasa wazaz wa mtume walkua waislam au,? Hem ustoe lawama wakt Elim yako ndogo
@AbdulkareemMbelwa Жыл бұрын
Ana ladh za mashekh zake
@الزغويالزغوي-ض3ن Жыл бұрын
HIZO BIBLIA HAZITUPWI CHINI 😭😭😭
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
ABDUROGO ALIDHURIKA BAADA YA KUKIKEJELI KITABU CHA MAULID
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 Ndoo Shirki hizi maswahaba waliuawa waliteseka na barzanji haikuwepo nao walikejeli nini. Kheri na shari zatoka kwa Allaah. Unatukuza hiki kitabu kana kwamba kinatoka kwa Allaahu. Nyie kama mnataka kumdhuru alfu mjifichie eti barzanji mmefeli
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@suleymansalim5732 kheri na Shari anaepanga ni ALLAH SW. kwaio wewe ni mshirikina wa kwanza kuamini Shari zinatoka mikononi mwetu. Abdurogo alidharau maulid na AKADHURIKA, kwaio kudhurika kupo njia nyingi. Sasa subiri uwone utabiri wangu kama utaanguka chini.
@mawaidha386 Жыл бұрын
Msahafu unatupwa chini Kila Leo na hamsemi et Leo barzanji ndio mumekuja JUU Kila ni kitabu kama Vitabu vyengine au Kuna nabii kapewa brzanji ... Naona unakujua JUU na mambo ya kitoto kabisa alhatim ww ndie ulianza hii mijadala na yaonesha wazi ulikua hulala tangu 2017 uliopoiona ILE video ikawa unasema tu Muhammad bachu ntamjibu lin hilo ndio lilikua mdomoni mwako maiaka yote io duh
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@mawaidha386 kama msahafu umetupwa basi hujaja juu wewe tu, uliza tulinfanya nini yule mkiristo alioukejeli msahafu. Nenda kaulize. Sasa wewe naona unatafuta sababu za maksudi kuona ni jambo la kawaida tu kuikanyaga kitabu kilichohifadhiwa mazazi ya Mtume saw. HILO ATALIPIA UCHUNGU WAKE KILA ATAKAE FANYA. endelea kufuatilia
@abuidifundi2016 Жыл бұрын
ALLAH AKUBAARIKI SHEKHE LETU ENDELEA KUWAELIMISHA
@aliabdalla6998 Жыл бұрын
hana dalili aloitoa, mwambie atoe dalili bwana haatimy, naona mazungumzo matupu, mwenzake atoa dalili maa shaa Allaahu, na sisi twamuomba Allaahu Amuongoze Haatimy na sisi na atupe husnul khaatimah, aamiin
@abuidifundi2016 Жыл бұрын
@@aliabdalla6998 WATAKA DALILI GANI KWANI HAPO POINT NI NINI? twende sasa polepole
@muddybreezy4595 Жыл бұрын
Njoo Kenya tukusomeshe Nathmi ni nini Sajg'hi n nini ndio uje umkosoe barzanj😂 Sheikh Bachu yupo tayar uje umsomeshe lakini ulipoona jamaa yupo serious sabab kibaooo😜 Hujibu hoja unadokoa dokoa t sehem ndogo ndogo kama ww una amini Elimu yako kubali kukaa na Muhammad Bachu mfundishane
@aliabdullahi9200 Жыл бұрын
Mtusafi hawezi kukaa na mtu mchafu na asiyekuwa na heshima.upo
@mohamedsalimaljahdhamy1436 Жыл бұрын
Hata mm sikai na bangi huyu bachu
@SharifaAthmani Жыл бұрын
Yaa Allah mpe subra shekhe wetu😢
@hasreeyasini Жыл бұрын
Alhatimy keshaelewa SoMo ila anatafuta njia ya kutokea
@haridyhillaryndembo1946 Жыл бұрын
Achaga ujinga Huko ndiyo kushikamana ktk kamba ya Allah?
@ahmedabry293 Жыл бұрын
Mi nlidhani utajibu hio hoja kuwa hio ibara inayosema kuwa amani iwe juu yako ewe mwenye kufuta madhambi.. Msituchanganye kwa sababu sisi wengine alhamdulilah tunajua kiarabu.. Mi sisemi kuwa maulidi yanafaa au hayafai kwa sababu sina dalili.. Ila kama mnataka mufanye maulidi basi tafuteni kitabu Chengine sio hicho kimejaa uongo na shirki.. Mtume hasamehe madhambi Bali Allah ndio anasamehe madhambi