Hongereni sana wanakwaya kwa kazi safi ya Krismasi👏👏👏. Shimanyi na Swai mbarikiwe🙌🙌🙌 👏👏🔥🔥🔥🤍🤍😃😃
@abelmgalla69565 күн бұрын
Amen asanten nimebarikiwa,kumbe ni kweli ni tamu wemeiba wengine ili utamu unasikia Mimi🔥🔥🥰🥰🥰
@jamesmtuka86187 күн бұрын
Kumbe ni kweli .......safi sana ❤
@SiaMassawe7 күн бұрын
Mbarikiwe sana mungu wa mbinguni awatunze amina
@Wendakimstv13 күн бұрын
Wow kazi safi mkuu shimanyi...you doing great
@PatriciaKibengo7 күн бұрын
Aaah wimbo mtamu wa Christmas 🎉🎉🎉hongerini
@wenceslauenyegu14 күн бұрын
Global 24 Production Inapongeza Kumbe N kweliii😢😢😢❤❤😅😅
@rahabmacharia502014 күн бұрын
Congratulations wakuu. Moto kama pasi.
@agapitipuka600913 күн бұрын
Hongereni sana kwa nyimbo nzuri tamu na ujumbe hakika kuimba kuna raha yake
@BenOkou-p6c10 күн бұрын
Kama Dama. Kazi safi
@MaryanaShayo13 күн бұрын
Hongereni sana kwaya yangu pendwa
@josephatsmollo758410 күн бұрын
Congratulations for the great milestone st. Veronica Miguga, CDN
@SiaMassawe11 күн бұрын
Hongereni sana wanakwaya wimbo mzuri
@saviomlotwa104714 күн бұрын
Hongereni saana kaz ya moto wimbo wa taifa xmass🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Nmeielewa hesaba kali saana mmepigaa
@SiaMassawe7 күн бұрын
❤❤❤Safi wimbo Mzuri sana hongerani sana sombetini
@timotheoshauri-rh5xq14 күн бұрын
Congratulations so much 🎉🎉🎉🎉( KMB)...MT..Bonifac ( sombetini ) kazi nzuri sana mungu mwenyez azidi kuwa bariki zaidi na zaidi mpate kuinjilisha neno lake
@Martina-i6m13 күн бұрын
Congratulations 🎉🎉🎉
@dorophinamagesa650414 күн бұрын
Ila Muga bwana umeuwaaaa pia kazi nzuri mnooo Mungu awabariki nawapendaaa 🥰🥰🥰🙏
@mugah041114 күн бұрын
Ahsante saana madam
@dorophinamagesa650414 күн бұрын
@mugah0411 utakuja ninyooshea na yangu uk 🤪🤪🤪
@mugah041113 күн бұрын
@@dorophinamagesa6504 ni lini??
@ShedrackDastani14 күн бұрын
Hongereni sana kwa ujumbe mzuri hakika ninyi ni kioo cha jamii mwenyezi mungu awape nguvu zaidi 🔥🔥🔥🙏🙏
@drewcastro999614 күн бұрын
Tunashukuru Sana
@hezronernest6 күн бұрын
Shimanyi mungu akubarik sana kaka kazi nzuri sana❤❤❤
@jescaemmanuel867114 күн бұрын
Waaaw,hongereni,wimbo mzuri mnooo
@despinae.mdende14 күн бұрын
Hongeren sana Kazi nzuri sana🎉🎉
@fidelisluvanda358513 күн бұрын
Shimanyi una kiti chako mbinguni, mt.boniface, mko hot, hongereni Sanaa 🎉🎉
@GraceJumanne-p4c13 күн бұрын
Jamani congratulations good voice and good job god bless all of as
@puritymuasya479511 күн бұрын
Hongereni sana Na mwenyezi Mungu awa mbariki sana Wana shimanyi🙌🙌
@moeselinus11114 күн бұрын
Hongera kwa kazi ya viwango vya juu
@calvinadolph799011 күн бұрын
Kazi safi sana wakuu
@BenOkou-p6c10 күн бұрын
Yes,, we have our own ,,, congratulations st. Veronica mguga Nakuru❤❤❤❤❤
@jonsonsolezi877910 күн бұрын
Beautiful song,mbarikiwe sana🙏🙏
@PaulKologo14 күн бұрын
❤ kali ya kufungia mwaka hii
@donatiuschilongani.2425 күн бұрын
We Shimanyi ni mjinga hahaha hahaha 😂😂😂 duh sijui lini utakuwa na akili hahaha huu ni utunzi wa aina yake aiseh nakukubali sana ...HIVI KUMBE NI KWELI AHAHHAHAHA
@hereswidamanyinyi392913 күн бұрын
Mko mmmwaaaaa! Kweli ubunifu wenu wa kila mara ndiyo unaowafanya tuzidi kuwapenda 🫡🔥
@RedemtaWaziri14 күн бұрын
Hongeren San kwaya ya mtakatifu bonifance kwa utume wenu na wapenda sanaaaaaaa
@DamasNungu13 күн бұрын
Hongera MNO
@aidanfrancis720910 күн бұрын
Huu wimbo unatosha kuchukukia mkopo benk😂...... Congratulations team shimanyi
@KessyGilbeth7 күн бұрын
Kumbe ni,kweli niemmanuel Mungu pamoja nasii
@CarolineShirima-n6i14 күн бұрын
Kumtumikia Mungu inapendeza. Hongereni wanakwaya wa sombetini
@dianaparsalach44214 күн бұрын
Vibes vibes vibes🎉🎉❤❤ undeniable
@MarianaJoseph-p7f14 күн бұрын
Aiseee kazi nzuri mno.
@wariohalkanodida14 күн бұрын
Good work shimanyi ❤
@marymiaka666513 күн бұрын
Love from Kenya
@SiaMassawe11 күн бұрын
Mungu wa mbiguni awabariki sana
@AlexanderMutunga-n6v15 күн бұрын
Kwa kweli Amezaliwa,,barikiweni sana
@hellenathadeo14 күн бұрын
Hongera sana Wimbo mzuri,nakuona Swai na Muganyizi
@Silayo-d1z14 күн бұрын
Big up sana wapendwa🎉🎉🎉
@drewcastro999614 күн бұрын
Thanks so much
@PETROSSIMON-iz2oj14 күн бұрын
Madhari na sauti zimetii na accompaniments pia zimekubali.Heko waimbaji na Shimayi
@GaudensiaMarungu5 күн бұрын
Mungu awatangulie katika uimbaji wenu
@pancratiusmocherenyamira967914 күн бұрын
Huyu Jamaa Shimanyi F.M kazi yake ni safi zaidi,huwa namfuatilia sana kujua ngoma latest zenye ametoa..Mungu ambariki
@mugah041115 күн бұрын
Kumbe ni kweliii!!!! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@winfridahbochere16184 күн бұрын
Amen amzaliea..
@LucyAndrea-d7b14 күн бұрын
Hongereni Sana mnajua kuchangamka mbarikiwe sana
@mikmik-i9h13 күн бұрын
Kazi nzuri saaanaaaaa Mungu awabariki
@eliaskanyamaha644714 күн бұрын
Kazi nzuri...hongereni
@JacobNayakundi7 күн бұрын
Nice song keep up choir
@eugenekeragori14 күн бұрын
Boss Shimanyi hongereni kwa kazi njema
@superdeo_0113 күн бұрын
Hii kazi ni kali... mnastahili maua yenu
@MeriiMaish14 күн бұрын
Mmmh Kweli atazaliwa mtoto
@VenerandaSilayo13 күн бұрын
Mungu awabariki sana wapendwa , kazi nzuri mno
@eugenekeragori14 күн бұрын
Tumaini swai never disappoints..mikono na vidole zilizoenda shule
@gabrielhaule851514 күн бұрын
kazi nzuriiii sanaaa
@neemamajesi523714 күн бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri everything is on set.Be blessed people of God.
@TadeoSaleje13 күн бұрын
Wewe jamaa noma nyimbo zako Mimi nazipenda ya 1mpaka ya mwisho pamoja sana
@Mustapha-t6h14 күн бұрын
Kazi nzuri
@dorothydeclan699515 күн бұрын
Kazi safi🎉
@Mc_Kibonge_Mwepesi14 күн бұрын
Mmeumbwa kufanya Kila kitu kizuri mbarikiwe sana Mt.Boniface Sombetini Arusha! CGen Pro mbarikiwe kwa production safi na utunzi mzuri kama kawaida yako bwana Shimanyi F.M Wewe Tumain Swai hivyo vidole vyako bila shaka vimeumbwa wakati Mungu akiwa na utulivu mkubwa!!! Sina zaidi pokeeni 🎉🎉🎉 yenu
@AngellaLuke-gl5ro13 күн бұрын
Well done Mr Shimanyi and Swai, not forgetting the choir
@AnnastaciaSafarin14 күн бұрын
Hongereni kwa kazi safi
@tempochoir11 күн бұрын
Always the best 🎉
@MbinyaCatherine14 күн бұрын
WOW congratulations 👏👏👏
@antonynzioka700914 күн бұрын
Anguka nayo🎉❤
@honestakisaka312914 күн бұрын
Hongera sana school mate
@Patrickcosmas-x9j15 күн бұрын
Hatar na nusu kwakwl amezaliwa mtoto
@muiruriambrose940414 күн бұрын
This is a vibe. Someone get me a connection with Tumaini Swai and Fortune Shimanyi. I'm interested.
@jacklinemueni720114 күн бұрын
Hongereni sana ❤🎉
@anthonkasian855215 күн бұрын
We jamaaaaa wacha nitasema kesho
@Arati315 күн бұрын
Safi 🔥🔥🎄
@sheilahendrix59355 күн бұрын
May 💜most 💛High💙 bless❤️ everyone💜 always ❤️much💚 love 💙Blessings❤️ always ☺️ 🎇 🌈 🌐 💯 💯✌️✌️❤️💙💛💛💚💚💚💛💙❤️❤️
@moeselinus11114 күн бұрын
Inapigwa mbiu Fulani hapo mwanzo kibwagizo murua kabsa
@RaymondMdalingwa14 күн бұрын
Shimanyi FM+Tumaini Swai+kwaya hii ya mt.Boniface sombetini Arusha huwa mna balaa sana hii ni baada ya ile Tunaiahi naye
@dorcasodire456414 күн бұрын
Wow! Lovely ❤❤❤
@simplicityair5force60513 күн бұрын
Sauti Krismasi
@DorisMwandike13 күн бұрын
Nawapemda sana
@TabithaMuumbe15 күн бұрын
Waooooh 🥳🎹🔥🔥
@sheilahendrix59355 күн бұрын
Peace💛 and 💜Blessings 💚Too❤️ My💜 Brothers 💙May💚 most ❤️High💙 bless💚 everyone 💛always💙 May💚 most ❤️High 💙bless💛 everyone❤️ richly 💜with💚 everything❤️ they 💙need💚 always💛 much 💜love💚 Blessings 💜always ☺️ 🎇 🌈 🌐 💯 ✌️💚💚💙💜💜❤️❤️💜💙💙
@NaomiKuria-md9po15 күн бұрын
A Christmas gift for me from you choristers 🎉🎉🎉🎉
@bintishirima621315 күн бұрын
Hongeren San wan sombetin nawaon ndugu zangu hapo pongez pia Kwa kaka yangu TUMAIN SWAI🎉
@NitumeTV13 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@patrickmwangi109014 күн бұрын
Nice 🔥🔥
@VeronicaMwangomo14 күн бұрын
🎉🎉❤
@laurentlugema59314 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@hermankamagi868914 күн бұрын
🎉🎉🎉
@leonardkarumuna490514 күн бұрын
Kijana wangu George njoo chukua Berringer K5
@clementinamogereja93318 сағат бұрын
🎉🎉❤🙏
@gabrielhaule851514 күн бұрын
mbona Mimi wimbo unagoma kupakua
@EmanuelPaulo-gn8qf13 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@Lugunya13 күн бұрын
Huu wimbo mbona mmeuvujisha aise,Ni kazi nzuri sana lakini kwa mtazamo wangu ilipaswa kuwa Public kuanzia tarehe 24 kwasababu Mama Kanisa yupo bado kwenye Kipindi cha Majilio (kipindi cha kuitengeneza njia ya Bwana, kunyoosha mapito yake,kusawazisha milima, kunyoosha njia zilizopinda na kufukia mabonde)
@JosephNgowa-e5y13 күн бұрын
Asante sana Malengo yetu ni kwamba watu wapate kuusikia, kwaya zifundishe utumike kwenye ibada zao kipindi hiki. Hilo la kwanza... Lengo la pili liko kimapato zaidi. Karibu sana Sombetini!!!!