jibu bado,limejibiwa kwa hisia tu,jibu ni kuwa yesu anatambua uwepo wa mungu mmoja tu.mengine yametungwa na walimwengu wapotoshaji .
@Brunoh90Tv11 күн бұрын
Barikiwa sana mwalimu kiukwel unatupatia elimu ambayo ni ngumu kuipata makanisani
@RemigiMtenga-t3t11 күн бұрын
Good teacher
@RashidAthumani-kt5pf11 күн бұрын
Hili swali halijajibiwa limepandwa magugu.....na hapa ndo kunashida kati ya maandiko na mahubiri....kuna baadhi ya wakristo hawaamini yesu kuwa mungu na wengine wanaamini hivo sasa hawa wasioamini yesu ni mungu unawaachia maswali....
@Sheba465110 күн бұрын
Hawana akili tu wanaomini Yesu kua ni Mungu, mbona hata kitabu chao kimeandikwa "Hakuna aliye safi aliyezaliwa na mwanamke" Mtu ana PhD ati anamini Yesu anaweza kua Mungu, ama ana akili atengeneza ndege inapaa juu, lakini Mungu wake Yesu, bora la saba kisha akawa muislamu
@thegospelmessage50393 күн бұрын
Bwana Yesu Kristo, Mwana pekee wa Baba, kweli ni Mungu katika ukomo, LAKINI SI KWA UTU. Kumbuka Yesu alipochukua umbo la Binadamu alikuwa mtu.na haikumfanya awache ukomo maana alitoka kwa baba .
@saimonbray11 сағат бұрын
Aloo kaka hii nimeielewa
@homan_nkwama11 күн бұрын
Ndio mwalimuuu
@ZERAKISONGA7 күн бұрын
Hao ndo manabii wa uongo walio tabiriwa usipotubu jehanamu ya moto inakuhusu fundisha watu kumjua Mungu na sio kukosoa Uungu wa Yesu tambua dhambi zote zitasamehewa lakini ya kumkufuru roho mtakatifu haina msamaha YESU NI MWANAKONDOO WA MUNGU ASIYE NA WAA(DHAMBI) YOHANA 14:6 YESU ndiye njia ya kweli na uzima usipo mwamini YESU kuwa ni Bwana tena mwokozi wako hutaingia mbinguni Tiba, nikutubu dhambi na kutafuta maarifa ya kumjua Mungu na sio kufundisha udhaifu wa MUNGU.
@AllyBabu-kr6lg11 күн бұрын
Acheni utaira
@abdullahmasakata17011 күн бұрын
Kiumbe chochote chenye mwili na roho na damu, kinachoitwa binadamu, anae kula na kulala na kufa, huyo hakosi mapungufu au madhaifu yanayompelekea kutenda dhambi, MUNGU hana sifa za binadamu wanao kufa na ndio maana japo wakristo wengi wanaaminishwa kifo chake Yesu msalabani ni ukombozi wa dhambi ya asili kitu ambacho ni uongo maana dhambi ya Adam na Hawa na adhabu walizopewa za kuzaa kwa uchungu na kula kwa jasho Yesu ameshindwa na kifo kwa binadamu Yesu mwenyewe Alishindwa kuziondosha, Mpaka sasa wanaume wanakula kwa jasho na wanawake wanazaa kwa uchungu na bado tunakufa, Kitu gani alicho Fanikiwa kuondosha kati ya hivyo? Amkeni msibaki gizani wakati akili mnazo na masikio mnayo na macho mnayo.
@lucaschacha63310 күн бұрын
Wapumbavu nyie , Yesu Kristo ni Mungu aliongea akiwa anajiongelea mwenyewe, Yohana 1:1-2 [1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. [2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Yohana 8:46 [46]Ni nani miongoni mwenu anishuhudiaye ya kuwa nina dhambi? Nami nikisema kweli, mbona ninyi hamnisadiki? Which of you convinceth me of sin? And if I say the truth, why do ye not believe me? Yesu Kristo hakuwa na dhambi, kama angekua na dhambi asingefaa kutuokoa
@ulimwengumaulid739711 күн бұрын
Hiyo tafsri inatoka wapi au mapokeo yenu
@JajiZakayo-fw9mk7 күн бұрын
huu ndiyo upumbavu na ujinga wa kumjadili Mungu
@CharlesMisungwi-f8t11 күн бұрын
Hata hivyokiristo hakuja duniani kamaMungu hivyo kama alikujakama mwana ktk utatu kwanini asiwenadhambi? Utukufu waYesu uko Mbinguni kwenye makao yake.
@Bougny10 күн бұрын
mwalimu kwann unaongeza maneno ya uwongo unasema Mungu ni mimi nimesimamama hapa????hayo maneno tunapata wapi?kwann unafundisha uwongo ?wewe ni muongo na mpotoshaji
@adamsengo186911 күн бұрын
Unajuwa sitaki kusema bwana yesu aliwahi kutenda dhambi ila naweza kusema aliwahi kukosea katika hili na hii inatokana alikuwa katika mwili wa kibinadamu. Kosa lenyewe ni pale msalabani aliposema MUNGU WANGU MUNGU WANGU MBONA UMENIACHA!!!!(INAMAANA KUTOKANA NA YALE MATESO MAKALI ALIKOSA IMANI KATIKA KUMUAMINI MUNGU) KWASABABU MUNGU HAWEZI KUMUACHA MTU KAMA YEYE MWANAE WA PEKEE SO KWA MAANA HIYO NAONA ALIKOSEA KUTAMKA MANENO YALE(KUTOAMINI KUWA MUNGU YUPO NAYE WAKATI WOTE WALA HAWEZI KUMUACHA ATA KIDOGO) Najuwa na naamini MUNGU anajuwa hapa tunajifunza tu bila kupotosha na amesha nisamehe kama nimekosea kwa kuwa sisi ni binadamu tu. AMEN
@omondiowino787511 күн бұрын
IPO hivi Ukisoma maandiko kwenye Biblia Isaiah 9:6 inawwka wazi kuwa Yesu ataitwa Mungu...sasa sote tunajuwa kuwa Mungu ni Mtakatifu na Hana dhambi na ndomaana mwanafunzi mmoja wa Yesu aitwaye Filippo alipomuuliza Yesu awaonyeshe Baba ..Yesu alimjibu kuwa kama umemuona basi ushamuona Baba ...sasa Mungu ni ROHO na ROHO na ni Mtakatifu...ila Yesu alikuwa mwili...alipokuwa pale msalabani alikuwa amebeba dhambi zote za dunia hivyo alipokuwa msalabani akafanyika kuwa dhambi...na kwasababu Mungu katika ROHO ni Mtakatifu.. Yesu ambaye ni Mwili WA Mungu alimuona ROHO kanakwamba anamuacha kutokana na uzito WA dhambi... ndomaana Yesu alisema hivyo maana ndo ilikuwa mara ya kwanza ROHO inatengana na Mwili ...hapo nyuma Yesu alisema kuwa Yeye na Baba ni mmoja Yohana 10:30....na pia Ukisoma Yohana 17:5 ..Yesu anathibitisha umoja wake na Baba hata kabla kuwepo Kwa dunia....tena anasema kuwa Yeye na Baba wanashiriki Utukufu...bila kusahau kuwa Mungu anasema kuwa hashiriki utukufu wake na Yeyote Isaiah 42:8
@adamsengo186911 күн бұрын
@omondiowino7875 sawa lakini sijakuelewa vizuri, je yale maneno sio kosa?
@omondiowino787511 күн бұрын
@adamsengo1869 Yale sio kosa ...Yale maneno yalikuwa funzo kwetu kuwa dhambi pekee ndo kitu ambacho kinaweza kumtenganisha mwanadamu na ROHO Mtakatifu WA Mungu
@omondiowino787511 күн бұрын
@adamsengo1869 elewa kuwa Yesu aliwai kusema kuwa hasemi chochote Tu Bali anasema kinachotoka Kwa Mungu
@adamsengo186911 күн бұрын
@@omondiowino7875sawa lakini naona bado kidogo, unajibu kwa wepesi sana. Unajuwa lile ni kosa na sio dhambi kusema hivyo