Ee bwana nakuomba unijalie siku yenye furaha,baraka,na amani. Pia bwana uniepushe na hatari zote za barabarani. Nifungue vifungo vyote vya yule mwovu. Bariki milango yangu ya baraka bwana. Kwa damu ya yesu krsto Amen
@neemamwambapa80862 жыл бұрын
Asante JEHOVA mwema kwa wema wako,asante kws siku ya leo, asante kws maombi na mtumishi huyu mlinde na mtetee AMEN
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@PeninaKiriani10 ай бұрын
Asante Bwana wet yesu kristo Kwa ulinzi wako umetuamusha salama mm na familia yangu hivyo naomba hata siku ya Leo tuwe pamoja nawe na katika biashara yangu pia naiweka mikononi mwako na mipango yangu yote ninakukabidhi ww Amina
@medinahsamita3981 Жыл бұрын
Bwana yesu nakukabithi yangu kwako unlinked pamoja na family yangu wakimo watoto wangu uzidi kubariki wafunike na damu yako takatifu naomba umuondoe shetan muovu anaengilia masha yangu🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲amina
@evilahmponzi2768 Жыл бұрын
Bwana Yesu nakukabidhi siku ya Leo,Naomba nikauone wema wako,tangulia mbele yangu katika kila hatua Ongoza maisha yangu,Naomba Leo ikawe siku njema kwangu ikawe siku ya furaha amani na kicheko kwangu nikauone ukuu na utukufu wako kwangu,kibali chako na upendeleo wako vikawe nami Leo Kwa jina la Yesu ,,Nakataa mabaya yote na ninafunga mabaya yote Kwa jina la Yesu kristo Nakataa taalifa mbaya kwangu Nakataa hasara Nakataa machozi ya huzuni usoni mwangu,,,Leo ni siku njema Bwana umeifanya nami naishangilia na kuisherehekea Kwa jina la Yesu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@Kevinmwandawiro Жыл бұрын
Amen
@hadijamhezi Жыл бұрын
Bwana yesu nakukabidhi siku yangu ya Leo Amen
@EllyJacksonAkyoo-op7jc Жыл бұрын
Amen amen amen
@MapenziMwenda1240 Жыл бұрын
1:05
@yvonneyvonneyvonne Жыл бұрын
Amen mungu nijibu haja ya moyo wngu unijibu baba 😭 ndoa yngu hikarundi kwa damu ya yesu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@JoyceMutalemwa Жыл бұрын
Asbh yangu mchana na jioni ikawe ni siku ya kicheko,mafanikio,na mambo mazuri, nakataa habari mabaya yote,kwa jina lako, Naomba ulinzi kwa familia yangu, watoto wangu wazazi wangu na ndugu zangu wote..kila mipango ya adui naifuta kwa damu ya yesu,mipango ya bwana aliyoipanga juu yangu ikatimie yote katika jina la yesu....👏
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@GiftMwandosya-uf7pf24 күн бұрын
Ameeen naiwe. Hivo kwetu sote
@victorakwata34972 жыл бұрын
Baba siku hii ya Leo naikabadhi mikononi mwako kila mipango juu ya maisha ,kazini Mungu ukaifanye kuwa siku ya furaha juu ya maisha yangu uniongoze siku ya Leo nikaone wema wako juu maisha yangu pamoja na familia yangu Amina🙏🙏🙏🙏🙏
@karugamutuota5136 Жыл бұрын
Galley
@steuerveronicah94164 ай бұрын
Amen Amen
@adelambaye1298 Жыл бұрын
Asante BWANA YESU kwakua pamoja namimi naomba katika siku hii yote ukatawale
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@Christianchazinho4 ай бұрын
Naanza siku yangu na bwana katika kila nitakacho fanya najikabidhi kwako katika mikono yako bwana ukanishikilie siku ya leo katika jina la yesu kristo Amen 🙏
@DaimaLugala-ij1or Жыл бұрын
Asante Bwana Yesu kwa siku hii ya leo. Ninaikabidhi mikononi mwako nikatembee na wewe. Mlinde mume wangu, walinde watoto wangu katika jina la Yesu kristu. Mlinde na mtumishi huyu azidi kutuongoza katika njia ikupasayo Amina
@abuungoda-tq9jo Жыл бұрын
Ameen
@estherwanjirukanyori4485 Жыл бұрын
Amen bwana lda watoto wangu baba wakoboe katika video visasi waokoe
@florankuene251910 ай бұрын
Amen Amen nakabidhi maisha yangu kwako,Nionekanie MUNGU baba yangu,nitie Nguvu wakati kaa huu napitia majaribu mingi..Nionekanie MUNGU..Rinda watoto wangu. Rinda family yangu..Rinda Hùu Mutumishi wa MUNGU,Onekania watu wote ndunia mzima Amen..Jina lako litukuzwe baba yetu wa binguni Amina..
@jacklinenatocho24432 жыл бұрын
Asante Bwana Yesu kwa kuniamusha salama mimi pamoja na familia yangu. Asante Yesu siku hii ninakukabidhi wewe ukatawale. Amen
@judygathoni58612 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@jackiekasyamani2282 жыл бұрын
Amen
@happnessriwa92222 жыл бұрын
Bwana yesu nakukabidhi njia zangu nakukabidhi maisha yangu nakukabidhi mtoto wangu nakukabidhi mume wangu nakukabidhi biashara yangu nakukabidhi mdogo wangu nakukabidhi dada zangu nakukabidhi kaka yangu
@christinamafera8025 Жыл бұрын
Bwana nakukabidhi nyumba yangu uniletee mteja was kuinunua kwa Bei ninayoitaka.. Amina
@agnesspaul18666 ай бұрын
Asanteeee Yesu kwa urinzi wako najiunganisha na mazabahu hii Mimi na familia yangu tunaomba yote kutoka kwako Asante kwa yote
@joycembeva2252 Жыл бұрын
Bwana yesu nilinde ,watoto wangu linda mume wangu Hempstone.Linda wazazi wangu. Linda ndoa yangu. Linda ndungu wangu wote
@victoriashelutete Жыл бұрын
Asante yesu kupitia maombi haya nimeponywa kwa kila kitu 🙏🙏🙏🙏
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@sweetluc26602 жыл бұрын
Asante Bwana Yesu kwa ajili ya siku hii Leo ukanitangulie kwa kila jamabo Ameeen
@anusiathandunguru75272 жыл бұрын
Asante bwana yesu kwaajili ya siku hii yaleo ukanitangulie kwa kila Jambo Mimi na watoto wangu
@VeronicaMilanzi Жыл бұрын
@@anusiathandunguru7527¹109QQ¹
@theresiagisberth61972 жыл бұрын
Ahsante Bwana Yesu kwa ajili ya maombi haya, ukamlinde Mtumishi wako na umbariki kadri ya mapenzi Yako Amen.
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen ameeen
@perishmanyega89742 жыл бұрын
Amen
@tatunasoro8382 жыл бұрын
Hasante mtumishi mungu akuzidishie nakupe maisha marefu AMINA
@joycetz86262 жыл бұрын
B be bczCCbbbbbxnax@@holyspiritconnect cnbxxvcca
@finakoku21592 жыл бұрын
Asante Yesu kristo kumekucha salama Amina
@linahminde89657 ай бұрын
Bwana Yesu nakukabidhi siku hii ya leo . Nakuomba nikaone wema wako, tangulia Mbele yangu nitokapo na niingiapo, ukatawale biashala yangu nikapate hela Nitavyotoka nisiludi hivyo, naomba pia ukanikitanishe na watu sahihi . Asubuhi ni ya baraka, mchana Ni wa baraka, jioni ni ya baraka,na usiku wangu uwe uwe baraka. Siku hii ya leo ni ya baraka. Mabaya hayatanipata siku ya leo. Bwana Yesu linda maisha yangu, linda familia yangu yote, watoto wangu Jonas na Victor. Mama yangu na baba yangu. Na ndugu zangu wote Kaka Jerome kateguo mitego yote mbele yake tawala maisha yake. Ktk damu ya Yesu Kristo aliye hai. Amina Amina Amina.
@rosemunisi8182 ай бұрын
Bwana Yesu siku hii ya Leo nakukabithi Biashara yangu, ukatawale Leo, Katika Jina la Yesu Kristo Naomba nakuamini Amen …
@eliurumamollel5940 Жыл бұрын
Bwana yesu nakukabidhi siku yangu ya leo Aminaaa
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@mariachengula5166 Жыл бұрын
Bwana Yesu unitunze na kunilinda pia ukaitawale siku hii yaleo
@fuziakally7581 Жыл бұрын
Mungu nakushukuru kwa kuniamusha mzima wa afya najua Baba utaendelea kunilinda kwa siku njema ya leo,baraka zako Baba nazipokea niepushie maovu mabaya Baba katika jina lako Bwana AMEN 🙏🙏🙏
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@luludiviyajuma2107 Жыл бұрын
Ukanitawale bwanh yesu
@MilghaneNyari Жыл бұрын
Mungu wangu nakuomba bwana ukaniongoze na ukafungue maisha yangu ,pia ukaniepushe na maadui wanaoniandama katika jina la,yesu
@musewerema1223 Жыл бұрын
Bwana Yesu, nakukabidhi siku ya Leo unikumbuke nami. Katika biashara yangu, kazi yangu, afya yangu, watoto wangu, ndugu zangu, mume wangu, siku ya leo bariki mipango yangu. Iwe ni siku ya baraka, kicheko, amani, furaha na neema tele. 🙏
@angelinajohn7303 Жыл бұрын
Nilinde bwana yesu ukawabariki watoto wangu ukawafunike kwa damu ya yesu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@joycemwasote2959 Жыл бұрын
Asante Bwana Yesu kwa maombi haya ya asubuhi ya leo ninaamini kwamba Mungu anaweza.mungu akubariki mtumishi kwa kutuongoza maombi ya asubuhi
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@laithkavishe8881 Жыл бұрын
Nakukabidhi mipango yangu yote maisha yangu biashara yangu uchumi wangu ukanionekanie yesu unifanye niwe chombo Cha aman Yako Amina ktk jina la yesu 🙏🙏🙏🙏
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@christinansyengula Жыл бұрын
AMENI mtumishi barikiwa
@laithkavishe888111 ай бұрын
Ameeen
@SleepyArmadillo-jp7hr6 ай бұрын
Amen 🙏
@nicodemianarose52162 жыл бұрын
Ameen Neema ya Bwana wetuYesu Kristo. ikawe pamoja nami siku ya leo
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@emeldabituro1328 Жыл бұрын
Asante sana kwa maombi Bwana Yesu aendelee kukutunza mtumishi wake Amina 🙏
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@emiltonndanshau76209 ай бұрын
Amen .Bwana Yesu nakukabidhi kila kitu katika maisha yangu na familia nzima.
@fauziajoseph643 Жыл бұрын
Bwana jesu ukanitangulie siku hii ya leo pamoja na familia yangu nà kaźi yàngu ukataqale at masomo ya watoto wangu kila kitu nineqeka mbelè zàko jesu kristo Amen.
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@stephaniepayet91612 жыл бұрын
Nime barikiwa na maombi haya ubarikiwe Amen
@estaraberd12452 жыл бұрын
Bwana yesu achilia Neema yako ikawe juu yang, nikatende sawasaw na neno lako nikashinde zambi🙏🙏
@ElikanaAbeli-bp3ke Жыл бұрын
Mungu endelea kuwa NAMI siku ya Leo.
@gloryshirima50932 жыл бұрын
Siku hii ya leo ni siku ya baraka na uponyaji kwangu, nakataa mabaya,naomba ulinzi kwangu kwa mtoto wangu na mume wangu ulinzi kwenye kazi yangu. Amen
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen ameeen
@helenahelena48692 жыл бұрын
Amina najiunganisha maombi ya asubuhi ya leo kwa jina yesu kristo
@helenahelena48692 жыл бұрын
Nakabidhi kazi zangu zote na mipango yangu kwa jina la yesu kristo
@rebeccahungu4879 Жыл бұрын
Ameen .
@abwoolifesto3725 Жыл бұрын
A de 8
@NoorDavid-wl5xk Жыл бұрын
Amen Leo iwe siku njema kwangu na kwa family yangu katika jina la Yesu kristo Amen Asante Yesu
@adelambaye1298 Жыл бұрын
Asante BWANA YESU nilinde siku hi yote mlinde na mtumishi wako mubariki amen
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@christandosi94722 жыл бұрын
BWANA YESU katawale kwenye mipango yangu mm nawatoto wangu ukituepusha na hila zote za yule mwovu Ameeen🙏🙏🙏
@theresiagisberth61972 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah nakukabidhi kila mpango nilioupanga naamini nakwenda kuuona mkono wako Elishadai, siku ya Leo ikawe ya tofauti kwangu katika jina la Yesu Kristo Amina.
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen ameeen
@juniourmgina26632 жыл бұрын
Amina ahsante kwa maombi
@official__witty9417 Жыл бұрын
Ninakubidhi maisha yangu,wazazi wangu,wadogo zangu,ndugu zangu,masomo yangu,mitiani yangu,afya yangu mungu wangu wa mbinguni utatatenda kwa jina la yesu krisho 🙏
@adelambaye1298 Жыл бұрын
Asante BWANA YESU kwakua pamoja namimi nitangulie siku hii yote amen
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@DavidEstery-up4bh9 ай бұрын
Ameen
@alyndaalynda61842 жыл бұрын
Bwana yesu kristo naakukabidhi kila kitu katika maisha yangu ukatawale wewe na uhishi ndani yangu sikuzote za maisha yangu Amina 🙏🙏🙏
@asilakagambo Жыл бұрын
Kila mipango aliyoipanga kwa ajili yangu na uzao wangu ikatimie
@mourineanyango2082 Жыл бұрын
Asante Yesu Kwa siku ya Jehovah 🙏 nakukabidhi wanangu mikononi mwako chochote watakachokigusa Bwana wa Majeshi ukitakaze nakukabidhi wazazi wangu wakomboe Yesu katika jina la Yesu 🙏🙏🙏
@joycewairimu70502 жыл бұрын
Evangelist Innocent be blessed.thank you for morning prayer 🙏 Amen
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Be blessed too
@florencedamian14972 жыл бұрын
@@holyspiritconnect
@neemashirima61212 жыл бұрын
Bwana tawala maisha yangu na maisha ya mtoto wangu pia familia aliyopo usiwapungukie baraka zako , Nawakabidhi wote Kwa jina la Yesu Kristo , Amen.
@aidaandrea-bp1tq Жыл бұрын
Mungu Linda afya ya familia yangu! Bwana Linda biashara zangu!
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@flookelo7450 Жыл бұрын
nakabidhi siku nzima afya maisha watoto wetu wanaosoma mitihani wanayoifNya tawala yesu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@kissamwamunyange10182 жыл бұрын
Ameeen kila siku siachi kusali hii sala. Ubarikiwe Sana Mtumishi wa MUNGU BABA 🌹
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@annekombo69452 жыл бұрын
Mchungaji nikitaka kukupata live na fanyaje
@theresiajohnmrimbo9446 Жыл бұрын
Ameeen
@lewynelusia4197 Жыл бұрын
amen kazi yangu iwe njema na boss wangu anirenee katika jina la yesu na familia yangu na mipa go yangu ifanikiwe nistoke saudi mkono mtupe mungu nakutegemea amen amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 i
@biasharaathumani63632 жыл бұрын
Bwana Yesu ninakataa mabaya kwajina la Yesu Kristo ninakataa mabaya siku yaleo ninakataa kukataliwa ninakataa mabaya yote kwangu siku hii yaleo niku njema kwangu Yesu ninakukabidhi Maisha yangu beans Yesu ukanilinde usiku namchana Linda familia yangu Linda ndoa yangu mlinde mumewangu bwana Yesu Linda wanangu waliopo shuleni Yesu ukafunike Katka kila eneo damu ya Yesu ukafunike ndoa yangu ukafunike mafanikio yangu damu ya Yesu ukanifunike namabaya yakila eneo bwana Yesu ukanifunike.ninafuta mipango mibaya ambayo aduwi amepanga zidi yangu ninaenda kuifuta kwadamu ya YESU kristo
@orestangassalah74162 жыл бұрын
amen
@mtanyattapeter2 жыл бұрын
Yus nahonba ubarik kazi zang ufungue mirango ya kaz kupitia mahonbi Aya bwana hongez kipato changu
@winifridarutaindurwa1822 жыл бұрын
Amen. Leo ni siku njema nitauona wema wa BWANA Yesu Kristo.
@janethshimbi906 Жыл бұрын
Ameeen
@magrethelipokea76948 ай бұрын
Yesu nakukabidhi maisha yangu na maisha ya watoto Wangu na mume Wang
@magrethelipokea76948 ай бұрын
Bwana yesu tunaomba baraka zako baba yetu mzuri sana kuliko wote
@florencehaluwa21917 ай бұрын
Bwana yesu ninakushukuru siku hii ya leo ambyo umenijalia nami nkukabidhi maisha yangu yote ukatawale.kazi yangu ndoa yangu family yangu yote naileta kwako bwana
@davdNyika-qh4qb Жыл бұрын
Nakushukuru MUNGU kwaneema thako juu yangu pia nafamilia thangu YESU nasema ansate Baba yangu neema zako
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@adelambaye1298 Жыл бұрын
Asante BWANA YESU kwakua pamoja namimi ukatawale maisha yangu kamlinde mtumishi wako alieniongoza maombi haya mlinde
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@annaymakala45087 ай бұрын
Mlinde mtumishi huyu ktk damu yako Yesu
@Mammy-eq7ef Жыл бұрын
Asante yesu kwa siku ya leo fikinika familia yamgu uwalide popote watakapo igia uwe pamoja naoo nakukabidhi mikononi kwako nisaidie bwana unitawale unipenguvu zakufanya kazi amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@vanemomanyi68082 жыл бұрын
Napokea katika Jina la yesu, AMEN 🙏🏽 Mungu awe nawe pia ,asante Kwa maombi Mungu awe nawe siku zote za Maisha yako yote Na kila mmoja ambaye ataye skiza maombi Aya katika Jina la yesu kristu Wa NAZARETH, AMEN🙏🏽🙌 thanks to God 💪🙌🙏🏽🤲🤲🤲
@fridakakiko12172 жыл бұрын
ikatimie yote mipango yote
@JanethUrasa-qs5ot Жыл бұрын
Ameen
@adelambaye1298 Жыл бұрын
Asante BWANA YESU kwakua pamoja namimi usiku huu wote umeniepusha namengi Asante
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@dorcasnekesa625 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏 Asante mungu tetea maisha yangu in Jesus name amen
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@biasharaathumani63632 жыл бұрын
Bwana Yesu nimechoshwa na madeni bwana naomba nipokee bwana Yesu.bwana Yesu kila mipango ya maaduwi waliyo nipangia bwana Yesu nakukabidhi wewe sikuhii yaleo nikamuone wema wako nikauone utukufu wako sikuhii yaleo ikawe ya furaa kwangu beans Yesu bwana Yesu Katka jina la Yesu Kristo Alie hai siku yote ukatawale bwana ikawe siku mzuri kwenye ndoa yangu ikawe siku yakicheko kwangu siku hii yaleo ikawe siku yakicheko kwangu nikapokee kicheko kwangu bwana
@madamtedyjoseph91752 жыл бұрын
Aminaaa
@gatimwita28652 жыл бұрын
@@madamtedyjoseph9175 Amina NAMI nakataa mabaya na familia yangu yesu atuponye Mimi nipo mishen Kongo nawapats familia yangu ipo kibaha kwa mfipa wabarikiwe ingawa mwezi wa Tano mwaka huu nimempoteza mume wangu yesu anitetee kwayote mahitaji mume w as ngu as lejee k as ni adui alief as my as hivyo kwa mazingil as magu Mani ya watu w as mungu y as naleta majibu katik as ka jun as la yesu wanangu wa f as nikiwe kupata as kazi emanuer na deus magrety afauru mitihani yake na kuwa Ta nz as Nia one darasa la saba amen mungu mwema amen
@veronicamajaliwa6082 жыл бұрын
andika Bwana Yesu kwa herufi kubwa
@favourkerubo2368 Жыл бұрын
How good it is to start with Him the Creator and finish with Him thru prayer,Hallelluyah 🙏🙏🙏🙏🙏
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@BEATRICEElias-vq6yc Жыл бұрын
❤nimebarikiwa sana sitaacha kuanza na bwana yesu hata siku Moja kupitia Sala makuu ya mungu nayaona
Bwana yesu nipe nehema ya kutembeavkatika Kwa wema wako
@JosephLucian-ps9ls Жыл бұрын
Nilindie wazazi wangu na mtoto wangu ujib maombi yngu siku ya Leo amen🙏🙏
@EllyShao5 ай бұрын
Nakabidhi siku ya leo kwako ukatawale masomo ya watoto wangu utawale mawazo yangu. Mipango yangu yote utawale maisha ya mama yangu namipango. Yake ukairatibishe wewe peke yako utawale biashara yangu mifugo yangu mashamba yangu urudishe wateja wangu wote wajae hapa utawale hatua zangu zote ratibisha mipango yangu yote kwa jina la yesu Amen
@beatricechepkurui91612 жыл бұрын
Amen 🙏 please pray for me and my family god bless you all
@Ann-dr6ud2 жыл бұрын
Amen 🙏 May God bless you
@Grace.67 Жыл бұрын
AMEN. GLORY TO GOD 🙌
@asteriashios1852 Жыл бұрын
asante bwana yesu utaenda kuibariki ck hii ya leo bariki asubuhi mchana na jioni ukaubariki ck hii ya leo bariki hatua zangu uchumi wangu familia watoto mume wangu kazi biashara afya yangu masomo ya watoto ukayabariki wakafaulu vinzuri kwenye mitihani yao kazi zao kazi zangu ukaonekane bwana yesu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@RachelMhina6 ай бұрын
Bwana Yesu nakushukuru kunipa tena siku ya 4 ya mfungo nakusihi Baba yangu mwema tawala maisha yangu watoto wangu mume wangu biashara yangu nakuomba nikuone wewe katika kila jambo ukanionekanie kila mahali Rehema zako na neema na iwe juu yangu
@agnesmatakwe50842 жыл бұрын
Ameeeen Pst 4 the good morning prayer it makes my day to start with peace and end with peace 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen ameeen
@merrykisanga27272 жыл бұрын
@@holyspiritconnect nsjiungamanishaa na Maombi haya ya asubuh I kwa k jina layesu
@milaniapastory64752 жыл бұрын
Amen 🙏 amen
@amjedsalam2856 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe nakabidi siku ya leo mikonon mwako ikapendeze machoni nakabidi familia yangu mikonon mwako nakataa maisha ya ufukara ukasema hatakama itachukuada lakini kwa ahadi zako utatenda amen
@adelamsuya70632 жыл бұрын
God is good 🙏🙏
@ambrosekaseka93464 ай бұрын
Ee Mungu nakabidhi familia yangu watoto wangu kazi yangu na Kila Eneo la maisha yangu katika jina la yesu kristo Amen
@HyasintaGowele Жыл бұрын
Nakukabidhi bwana yesu sikuhii yaleo ikawe yenye neema nabalaka kwenye kazi yangu nafamilia yangu Amina
@madoramadhani76222 жыл бұрын
Amen🙏🙏 Gloire à Dieu 🙏🙏
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@neemafrancis24872 жыл бұрын
Amen Amen.
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@rebeccahungu4879 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu. Ubarikiwe sana.
@hdhdhdhdhdh32642 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏
@lilykimisa38412 жыл бұрын
Amen 🙏
@marriammakasy3758 Жыл бұрын
Naomba kwaajili ya mgonjwa wangu lau nitakapo fika hospital nisikie kicheko
@FAUSTINOBOTH6 ай бұрын
Amen bwana anilinde dhidi ya watesiwangu ashughukike nao mm siwez mtumishi niombee
@RehemaPanga-oi1rv Жыл бұрын
Nakabidhi maisha yangu na familia yangu kazi zangu biashara yangu kwa Bwana Yesu kila kilicho changu Yesu ukahusike ww, kila mipango yangu yote nakabidhi kwako Yesu, wema wako ukawe juu yangu ktk jina la Yesu kristo, Emen
@Namaize-lc8sh5 ай бұрын
Bwana yesu nakukabizi maisha yangu familia yangu wazazi wangu kazi zangu ndugu zangu afya yangu na watoto wangu wajane wote na yatima wote nakukabizi ww kwa jina la yesu kirsto
@neemakalunga7158 Жыл бұрын
Nakukabidhi siku ya leo Bwana Yesu ulinzi wako ukawe juu yabgu na familia yangu
@neemamkondya818 Жыл бұрын
Asante bwana yesu nakukabizi afya yangu biashar pia na familia yangu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@akonkwaclemence25405 ай бұрын
Neema yako iwe nami, family yangu mipango yangu na kwa marafiki na wahitaji 🙏🙏
@holyspiritconnect5 ай бұрын
Ameen
@angelhermany52635 ай бұрын
Ee MUNGU nakabidhi wazaz wangu Baba na mama yangu na familia yote kwa ujumla ,mchumba wangu na mm katika jina la YESU kristo Amen 🙏🏻🙏🏻
@adelambaye1298 Жыл бұрын
Asante BWANA YESU nitangulie siku hii yote mtangulie mtumishi wako mubariki katika huduma yote amen
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@magrethelipokea76948 ай бұрын
Bwana yesu nakukabidhi nyumba zangu uniletee wapangaji wema
@magrethelipokea76948 ай бұрын
Waondoe maadui wote wanafiki watoke
@adelambaye1298 Жыл бұрын
Asante BWANA YESU nitangulie siku hii yote amen
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@Florakamara Жыл бұрын
Bwana tawala maisha yangu tawala watoto wangu,nakukadhi wewe bwana Yesu, naomba unikomboe, nitetee Bwana a Aminaa
@AthaJohn-i5v11 ай бұрын
Bwana yesu nakuomba ukatimize mipango uliyo panga leo kwaajili yangu ikatimie ee bwana nijibu na maombi yangu kumi na mbili kwa. Damu yako takatifu amina
@akonkwaclemence25405 ай бұрын
Naanza maombi hii pamoja 🙏🙏🙏 mipango yangu yote na kukabizi Bwana Yesu
@RehemaNzeyimana-j1k Жыл бұрын
Bwana yesu ninagukabizi watoto wangu wote n'a wajukuu namashaba yote yetu n'a maparsela namanyumba nama gari n'a maetaje bwana yesu kabiri de mari zetu zote asante bwana yesu
@justinamrema7255 Жыл бұрын
Bwana Yesu nakukabidhi maisha yangu na ya familia yangu Kwa jina la Yesu kirsto
@marcianajohn-4075 Жыл бұрын
Nakukupa we peke yako unatosha❤
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@nicodemianarose5216 Жыл бұрын
Ameen Mungu nisaidie nikauone wema wako sku ya leo
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@angelinajohn7303 Жыл бұрын
Katika siku ya leo namkabidhi mimpango yangu naomba kioni ya leo niuze mkaa wangu uishe bwana yesu katika unipambanie katika jina la yesu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@feddymwanga5462 Жыл бұрын
Bwana Yesu kanifanikishe siku ya leo 11:38 12:31 12:37 12:37
@RosemaryNyalandu Жыл бұрын
Beans yesu naomba nitendewe muujiza katika biashara yangu inaoate kusima baba
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@ChristineMakhaya Жыл бұрын
Asante bwana yesu kwa ulinzi wako.wacha dam ya yesu ikatuzingire kwa kila mambo Amen.
@zennyraja Жыл бұрын
Kabariki maisha yanyu🙏🙏🙏
@SaidiMasimango4 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.
@leonardobulalu Жыл бұрын
Mungu kashughulike na kila vitu vilivyo mbele yangu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@MareMa-kb3iy5 ай бұрын
Na kukabidhi watoto wangu mikononi mwako nikuone wewe yesu naomba ulinzi
@holyspiritconnect5 ай бұрын
Ameen
@EvarlineNekesa-o9g3 ай бұрын
Asante yesu Kwa Sababu ya kuniamsha asubuhi
@JosephLucian-ps9ls Жыл бұрын
Bwana yes nakukabiz maisha yangu Kila unapobarik na mm usinipete niguse na mm 🙏🙏
@Christianchazinho4 ай бұрын
Najikabidhi kwa bwana yesu katika jina la yesu kristo
@akonkwaclemence25405 ай бұрын
Asante Mungu wetu kutufikisha kwa siku ya leo 2/8/2024 utukuzwe milele na milele 🙏🙏🙏