KUMDHIBITI MUME FANYA HAYA

  Рет қаралды 585,250

ITV Tanzania

ITV Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 310
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 5 жыл бұрын
Hi bichau nimependa maneno yako. Mie mume wangu mashallah namfanyia kila kitu tunapendana alhamdulillahi. Nashkuru.
@rehemapitson2541
@rehemapitson2541 5 жыл бұрын
Asant kwaushauri
@فاطمةفايز-غ1غ
@فاطمةفايز-غ1غ Жыл бұрын
Mungu akuIdishie dada..mzikane
@esmarajabu5793
@esmarajabu5793 6 жыл бұрын
Nashukuru mimi mume wangu tunasaidiana kazi, na chapili namsikiliza sana
@divinemisenga9819
@divinemisenga9819 4 жыл бұрын
Umesha ongea mum nashukuru nipo kabisa 😂😂swahili la Tanzania hmm Atari kweli mie apa Congo nawafata 50/merci beaucoup
@فاطمةفايز-غ1غ
@فاطمةفايز-غ1غ Жыл бұрын
Nkiwa Na imani..Na Dini..Na subra katika ndoa basi siku zote mtaiona nzuri Na yenye furaha..
@rozaliaamedeus8068
@rozaliaamedeus8068 7 жыл бұрын
nguvu ya kufanya hayo yote unapata kama mume mwenyewe anakujali, kukuthamini Na pia akiwa mume bora Na baba bora kwenye familia. Vinginevyo kiukweli hivyo vitu ni vigumu sana kuvitekeleza, mwanamke naye ni binadamu ana choka pia hata mashine nayo ina choka kama haipati service nzuri.
@mwanaidiramadhan3919
@mwanaidiramadhan3919 5 жыл бұрын
👍👍👍
@lauraabass1077
@lauraabass1077 5 жыл бұрын
Haya maneno yamemaliza kila kitu. Ni kweli haswa.
@cestlaviecestlavie4606
@cestlaviecestlavie4606 5 жыл бұрын
Rosalie Amedeus umejibu kikweli na watacoka sana 😏
@rukiaswadaktaamanenokuntus3125
@rukiaswadaktaamanenokuntus3125 5 жыл бұрын
Nikweli
@fredygaye3062
@fredygaye3062 5 жыл бұрын
Umenena mwaya
@aminam6035
@aminam6035 6 жыл бұрын
happy chacha iko kitu hapo nimependa maneno kuntu bibie shukran jazila 😘
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
bi chau umeeleweka vizuri
@tamimuinda1282
@tamimuinda1282 7 жыл бұрын
unajituma kweli lakini ndo michepuko haishiii....aah wakwende tuu
@joycejohn7754
@joycejohn7754 7 жыл бұрын
Tamimu Inda na waende zao kabisa
@collinbetwel596
@collinbetwel596 7 жыл бұрын
Asante, mama. Kwa maelekezo mazuri.
@jescajulius8023
@jescajulius8023 6 жыл бұрын
Tamimu Inda ,😁😁😁kiukwel ww km mm vile kiukwl nimekata tamaa maana unajituma zaidi ya mtumwa lkn bado t, chakufia nn wacha waende t
@shukranijoel323
@shukranijoel323 4 жыл бұрын
Jesca Julius 😂😂😂😂😂😂😂
@mariaemilian5839
@mariaemilian5839 6 жыл бұрын
Asante sana naamin ntaishi vzur kwenye ndoa, mungu awabark sana
@jescajulius8023
@jescajulius8023 6 жыл бұрын
maria emilian,naona hujaolewa olewa uyaone
@TausiRajabu-s1m
@TausiRajabu-s1m 7 ай бұрын
Saa ngap ichi kipindi jaman
@Ash-rc8nd
@Ash-rc8nd 3 жыл бұрын
Utafanya hayo yote kama mke lakini Bado ataenda nje kwa Malaya. Mwanaume kiumbe dhaifu sana hata kaoa malaika bado atatoka nje kutafuta wengine
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Hatiya bint Omary Dada yangu nakupenda sna bi fatuma kutoka tabata matumbi
@faryatbaby912
@faryatbaby912 4 жыл бұрын
Kazi za nyumba kW sheria ya dini ni kazi zao Mkee kufanya n mapenz yKe Tumeolewa kustarehe nao,kuwazalia,na kuwapa utulivu kazi majukumu yao
@rozinageorge7701
@rozinageorge7701 5 жыл бұрын
Anajua kupika pia apike just Zima siyo mtoto
@josephinejumba9923
@josephinejumba9923 Жыл бұрын
great advice
@meedaafarai9677
@meedaafarai9677 5 жыл бұрын
Zilipendwa
@beatricemunisi3748
@beatricemunisi3748 2 жыл бұрын
Kabisa upo sahihi
@alexandermutakha882
@alexandermutakha882 2 жыл бұрын
Ubunifu na ujitume.
@lauraabass1077
@lauraabass1077 5 жыл бұрын
Halafu Jamani msisahau kiislam hayo unayosema maa ni kazi ya mume mke pambo na kumpa haki ile ya chumbani mume.
@michaelalbertus8672
@michaelalbertus8672 4 жыл бұрын
Laura Abass haujui unachosema na haujui dunia inatoka WAP na inenda WAP,chau wacharue hao wanawake hawajijui kabisa wanaona me kama kinyago
@nancyramos9944
@nancyramos9944 5 жыл бұрын
Kwani yy kaoa mke aje kua mtumwa wake au kaoa mke awe staarehe yake ni hisani tuu tunafanya ila hatupaswi ata kufanya yote hayo. uwo utumwa kwelii😂😂
@farhatomar7495
@farhatomar7495 6 жыл бұрын
Asante bichau njoo nahuk oman wamezid wanawake wakiarab kilakitu wafanyiwe nawafanyakaz wakichukuliwa waumezao wasikitike hawana mafunzo naomba ujeuwafunze hawana mafunzo
@queenfelisterjonassmollel285
@queenfelisterjonassmollel285 5 жыл бұрын
Farhat umenenaaa,dawa ni kuwabebea tu
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 4 жыл бұрын
Hahaha hahaha ..farhat wanichekesha yaan hawa waarab ni waviv cjawah thubutu kwa yeyote hata cjui kama wanasafisha nyet zao maana wao kaz wanayoiweza ni kulala tu... Subhanallah.....
@emilyondari4796
@emilyondari4796 2 жыл бұрын
Love is two way traffic,, mmoja akiregea kwisha!!!!!! Tatizo ni wanaume kutaka kubembelezea na anaona wanasumbua na hakusaidii kulea, apo atangoja!! Ni kuleana!! Wamama wer' busy na watoto, ata ufanye yote, kama ni WA kutafuta mipango ya kando atatafuta??
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 5 жыл бұрын
Alhamdulillahi mie na mume wangu tunasikilizana tuko ulaya kila kitu tunafanya pamoja.
@NS-ru1yf
@NS-ru1yf 4 жыл бұрын
Hongera zidi Mshukuru Allah...hali ngumu huku
@taltal7214
@taltal7214 4 жыл бұрын
Hongera mwaya mm nipo oman ila mh
@amina2044amin-zv2gh
@amina2044amin-zv2gh 11 ай бұрын
😘😘😘😘👌👌
@biyamungu1021
@biyamungu1021 7 жыл бұрын
ukosa sahihi b.chau lkn mmmh waume walowengi hawana shukuran hata,mwisho unakuwa kama mtumwa wa ndoa sasa,Naomba weka na jungu la waume maana wengi wamekuwa magube gube!
@jumasande7184
@jumasande7184 5 жыл бұрын
Mashallah nice
@zainababdullsadik1247
@zainababdullsadik1247 7 жыл бұрын
😂😂😂😂😂hawabebeki kama mafurushi ya mavi mbeee mgomngoni lakini hajui unafanya nini ndo kwanza anakuona mpumbavu linaenda kufanywaa ndondochaaa njeee wewe wala hawakuoni heeeeee looo bichau
@jacqueisaac4390
@jacqueisaac4390 7 жыл бұрын
Ahmed Zenat mmh
@emaemasy627
@emaemasy627 5 жыл бұрын
Hawa wanaume warioletwa naupepo wa kisul sur
@jemimahshimuli1786
@jemimahshimuli1786 6 жыл бұрын
Asante...funzo nzuri
@marrycheyo6147
@marrycheyo6147 5 жыл бұрын
Wanaume wengi awaliziki jamani wanaume wana macho kumi kidogo loooo tunavumilia sana
@maimunamohamed8370
@maimunamohamed8370 5 жыл бұрын
Kwanza kidini mke hatakiwi fanyishwa kazi nyingi asichoke shuhuli ya kitandani isimshinde kwa uchovu.waume pia wafate sharia ya dini mke akae nyumbani tu
@hellennjenga5267
@hellennjenga5267 6 жыл бұрын
True 💕❤💋love you mum
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 4 жыл бұрын
Zamani siyo Leo,upumbavu Jaziband.Wafundisheni watu ujasiliamali siyo mambo ya wanaume,hamsini kwahamsini.mfulie ang'aare aende kwa mahawala zake, kweli akili Mali ,kaaa ujinga ,
@saumuidd597
@saumuidd597 6 жыл бұрын
kipnd chake ni kzr Sana kinaelmisha nampenda Sana
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 2 жыл бұрын
Unaweza kumfanyia hayo yote lkn mwisho wa cku akakuona mchawi tu unamroga😢
@zurufaseme8595
@zurufaseme8595 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa best hata mie limenikuta hilo Sina hamu naogapa sana
@aishaalmahri
@aishaalmahri 6 жыл бұрын
Uki jaliwa kuzaliwa mwanamke basi ndio usha jaliwa kuwa mtumwa, upuzi. Bibi afaa amwangalie bwana, lakini bwana pia afaa amwangalie bibi, wote wasaidiane. Kwani huyo mume ni disabled ama baby, haezi hata kuji chagulia nguo? Asalalaaa. Wacheni upuzi
@elinejackson6843
@elinejackson6843 5 жыл бұрын
Tutimiziane wote sio mm peke angu🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@aminaseha5043
@aminaseha5043 2 жыл бұрын
Bi chau sawsawa Jambo la msingi
@hawamtambwa402
@hawamtambwa402 7 жыл бұрын
asante kwa soma Dada umependeza sana hongera wadada wachache sana wanaokuwa hivyo
@mamymdogo4161
@mamymdogo4161 5 жыл бұрын
Bibi mapenzi zamani saii kizai zai
@aminabukenya231
@aminabukenya231 7 жыл бұрын
bi Chau ni mzee bt sauti bdo yaita jamani mashaallah
@fawziatext9289
@fawziatext9289 7 жыл бұрын
Amina Bukenya 😂😂😂😂😂😂
@tibamozes4294
@tibamozes4294 3 жыл бұрын
Unafanyaje
@mamysarah7071
@mamysarah7071 Жыл бұрын
Kweliwambiye.mimiuwanaosha.vyombovyangu.usikuiliasubui.nimuandaemumewangu.
@DJ-eg6rf
@DJ-eg6rf 6 жыл бұрын
Eeeeeh!!😫 That's a lot to do. Thanks for the teaching though
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
Ndoa ni mashirikiano na pasipo na mashirikiano hakuna ndoa. Kwa sabbu ndoa lazma iwe na jimai inahitaji nguvu na utulivu wa akili. Ssa kama mkeo humsaidii anachoka patakua na raha hapo si mashuzi tu nakukoroma kwa usingizi? Saidia mkeo ndugu yangu ufurahie ndoa yako.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
Ukitaka mke wa tracter wanawake hao siku hzi hamna. Utapita ukihesabu vyuo au ukizini nje mpaka uishie maradhi ulaumu mkeo kumbe wakulaumiwa ni ww. ACHA UBWANYENYE USAIDIE MKEO.
@lauraabass1077
@lauraabass1077 5 жыл бұрын
Kabahatika kuishi nae yy kwa miaka mingi basi mama angu ndo kaona dawa hio. Mama hawa watu hata uwafanyeje kupenda kwao hakuna sababu, akikupenda haswa atakuafanyia yy mengine na kukusaidia bila kujali lakini akiwa na yake utamwabudu hivyo raha na kudekezwa ataenda mfanyia mwenginee na kila utakalofanya bado silo. Ushauri ni kwamba yapo ya kufanya na kusimamia kama mke ndani ya ndoa mfano unyumba, chakula n.k but mengine kinehe.
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
Chai ya kulala haiwezekani, mke apike kabla pale ya kutoka hapo alfajiri.
@entertainmentfree395
@entertainmentfree395 5 жыл бұрын
kilaaaa kitu mwanamke duuuh
@veroben4161
@veroben4161 7 жыл бұрын
hela ndio kila kitu mapenzi ziada tu hao hawana maana
@damianmyovela4884
@damianmyovela4884 5 жыл бұрын
Nomasana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Wewe mwenyewe unaachika kila siku unamfundisha nani nenda zako
@umiy1971
@umiy1971 7 жыл бұрын
mapenzi nipe nikupe kama hanifanyii na kwangu hapati kitu kwani na mie si mwanaadamu kama yeye. kuubwa mwanamke haisemi kama mie ndio mtumwa wake wanawake tunapenda kuwapa majichwa wanaume bila kujali nafsi zetu.
@pendohumphrey7588
@pendohumphrey7588 6 жыл бұрын
umiy1971 wewe uliyaweza bi chau
@selestinalukas1229
@selestinalukas1229 6 жыл бұрын
Yeye unakuta hta hajali
@fatmafaridy5422
@fatmafaridy5422 5 жыл бұрын
umiy1971 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jenyjeremia5237
@jenyjeremia5237 5 жыл бұрын
umiy1971 lingine ata ulipende VIP ata ujitahid VIP ndokwanza halina ata habali seee bora kushika 100
@mgeniali941
@mgeniali941 Жыл бұрын
Tumeskia mama lkn wambie wanaume watupe pesa yachakula kwanza wabahili utamfanyia ayo kweli
@ALAL-si7ji
@ALAL-si7ji 3 жыл бұрын
Asante Sana mama
@karembobaya9473
@karembobaya9473 6 жыл бұрын
Shida nlikua kilakitu kinalemea sana wanawake...mtatuuwa jamani...aka! Mapenzi npe nkupe jaman ...npende nkupende
@jamilahassan93
@jamilahassan93 6 жыл бұрын
Asantee mama
@NS-ru1yf
@NS-ru1yf 4 жыл бұрын
Kwakwel manake mhh....
@queenmaa7892
@queenmaa7892 7 жыл бұрын
mambo hayo yamepitwa na wakati coz saahii mume kz mke kazi...kitambo waume walikua wakifanya kz mke nyumba na wtt..
@murishoayubu7531
@murishoayubu7531 2 жыл бұрын
Habari.naombajina.lafilamu.yabicau.nasideboi
@brawnmenda9033
@brawnmenda9033 3 жыл бұрын
Jombi
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 6 жыл бұрын
mama pekupeku sawa kabisa maneno yako
@nadiakabamba7373
@nadiakabamba7373 5 жыл бұрын
Tuna shukuru sana
@hamidaviolet1027
@hamidaviolet1027 4 жыл бұрын
Je kwa wale walio safiri haswa nchi za mbili kutafta???
@dadyabduly479
@dadyabduly479 5 жыл бұрын
Ça c'est vraie maman vous avez raison.ukweli maman asante ❤❤💋
@karembobaya9473
@karembobaya9473 6 жыл бұрын
Utapata mwanamme labda hana Kazi ...haezi ata kusaidia kilakitu niwewe....aka!...mwanamke amekondeona kisa shuhuli mwanamme amejinonea mishavuuuuu
@happnessedga606
@happnessedga606 5 жыл бұрын
Mwanaume ata umfanyie vyote atatoka tuu nje mbaya zaid upate mlevi anakuja sa nane usiku
@alisaida4080
@alisaida4080 Жыл бұрын
Eeeh bichau weee...wapendeza
@pinkywinixmbugua5026
@pinkywinixmbugua5026 6 жыл бұрын
Wanawake jamani kila kitu weee kazi iko 😱😱😱😱
@esperencemwamba6979
@esperencemwamba6979 Жыл бұрын
Wanaume hawaoni mateso yetu jamani
@victoriarwerengera4831
@victoriarwerengera4831 5 жыл бұрын
Bi Chau naona wanaume huwaelewi vema...na ktk mawaidha yako huwapendelea sana na kukandamiza wanawake......na kuwafanya watumwa wa wanaume..
@khadram5463
@khadram5463 6 жыл бұрын
kwanza hio maji I always wondered, can't he carry the bloody ndoo ya maji.
@aishaalmahri
@aishaalmahri 6 жыл бұрын
Khadra M no he is disabled, haezi ku beba wala ku piga pasi! Hahaha
@kulway4669
@kulway4669 4 жыл бұрын
Kweli
@shushu8105
@shushu8105 3 жыл бұрын
Unafanya kila kitu ila micepuko kamayotetu sasa niko munin
@charlesmwita4487
@charlesmwita4487 3 жыл бұрын
Huyu mama kufanana Rose Muhando
@fatmafaridy5422
@fatmafaridy5422 5 жыл бұрын
waume Wasikuhiz hawabebek kama mayai vinza likipasuka hapafai utamlea uleavyo ila atachepuka ataenda nje huko ndio atafanya kila kitu wanaume mmmmmh ctaki Mimi kumbeba MTU asie bebeka maana utajituma wenzio wanatumia nawana hudumiwa nakuthaminiwa wandan unabak kupauka had mfelej wamakalio😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
@donatharaymond1721
@donatharaymond1721 5 жыл бұрын
Hawa viumbe hawa hawasomeki, ata ufanye nini atachepuka tu, kama una imani kama yangu, gonga like hapo
@anndandanann3881
@anndandanann3881 5 жыл бұрын
Angalia tabia yako na utulivu
@shamisfahiye9628
@shamisfahiye9628 3 жыл бұрын
Jamani wigi zingine zinatisha...huyu dada ambiwe haijampendeza
@mwanahawajuya7801
@mwanahawajuya7801 6 жыл бұрын
twayafanya ila waume wa sasa hivi hawayajui tena waume wengi ni vikela moyo mmmmmm
@eliezelshango7380
@eliezelshango7380 4 жыл бұрын
Duuuh
@firdauskhamis5504
@firdauskhamis5504 7 жыл бұрын
Niukweli mtupu ila wengine hawabebeki utajishuhuliza juu yake lkn yeye hata hayaoni
@rehemanyamawi2790
@rehemanyamawi2790 7 жыл бұрын
swadakta ukhty lkn fanya kwa ajili ya Allah kwan radhi za waume zko pmoja na radhi za Allah asiporidhika yy Allah ataridhika na utapata malipo kesho akhera
@yasminabdulmajid4157
@yasminabdulmajid4157 7 жыл бұрын
Rehema Nyamawi
@farhiyamuhidin6587
@farhiyamuhidin6587 7 жыл бұрын
firdaus khamis
@salakudeli830
@salakudeli830 6 жыл бұрын
ni kwel maisha yasasa n mangum
@jescajulius8023
@jescajulius8023 6 жыл бұрын
firdaus khamis ,ndo hivo utashughulika km mtumwa lkn wap
@judithkhamis1076
@judithkhamis1076 5 жыл бұрын
Wanaume wengine Ni pasua kichwa sidhani Kam wanastahili kufanyiwa hayo
@jumamzonge1750
@jumamzonge1750 4 жыл бұрын
Judith Khamis Judith nicheck WhatsApp 0719370903
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 4 жыл бұрын
Jungu kuu hilo
@jenyjeremia5237
@jenyjeremia5237 5 жыл бұрын
Bora nikulupuke niwaandae wanangu cyo lijanaume halina ata xhukulan ata ufanye VIP alaaaa
@nellyeusto5193
@nellyeusto5193 5 жыл бұрын
Jeny Jeremia hahahha mbona hasira hvo umetendwa?
@michimicho6069
@michimicho6069 6 жыл бұрын
Shsti ajui pale inakaaa mijiume ua afrika mofedhuli mm natokaaa ata sitaki kujua amelala amekufa
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zuwenamazruiy9293
@zuwenamazruiy9293 7 жыл бұрын
bi Chau anaongea ukweli jamani ukweli unauma ongea bi Chau na uchafu pia wanawake tujirekebishe
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 4 жыл бұрын
Ebu ujirekibishe kama hufanyi yakupasayo pole saana
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
M'ke asienausaidizi uchafu lazima. Na sio uchafu tu na kitandani akilala km kazimia. M'ke ni mtu sio tractor? Wanaume wawasaidie wake zao wafurahie ndoa zao. Maisha ya siku hzi mapirika mengi mambo mengi na sio kama maisha ya zamani. Yy mwenyewe anafunza hapo na pengine kaachika na kuachika na tena, hatujui.
@gracemmanga6371
@gracemmanga6371 7 жыл бұрын
nawao wakijaliwa nawao wawajali wenzi wao jaman hawa wanaume mmmmmmmmmm pakashume
@rahmatumam357
@rahmatumam357 6 жыл бұрын
Huo uwongo sheria gani hio kumfanyia mume kazi za ndani ni sunnah S's mfanyikazi mke ukilala si unkua gogo waume hta ukiwabeba mgongoni watatoka tuu fyuuu sijisumbui mm
@aminaomar8229
@aminaomar8229 7 жыл бұрын
nataka biashara yangu iishe mapema nikimwangalia yeye ntamaliza saangapi
@zainabbukari1910
@zainabbukari1910 7 жыл бұрын
Amina Omar 😆😆😆😆😆😆yn na huu ugumu wa maisha pengine hp mnadeni la kody
@نجمهالعلي-د5ض
@نجمهالعلي-د5ض 7 жыл бұрын
halloooo hpo chachaaaa hbr ndio hiyo daaa
@mapishinasherry7671
@mapishinasherry7671 7 жыл бұрын
Amina Omar lol😂😂
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mohammedwemba1429
@mohammedwemba1429 6 жыл бұрын
Asante kwa somo
@halpajordan7117
@halpajordan7117 5 жыл бұрын
Daaah mi Nina mchepuko ananipenda kisa najua sana mapenz ila bado ana madem sijui kwann wanaume awaliziki
@cynthiandambuki9320
@cynthiandambuki9320 7 жыл бұрын
hizo ni stori tu,ni yeye anataka familia,atie bidii,as long as he is a grownup,akona akili ,na anajua anachotaka,na akifanye,ndoa ni yetu si yangu,afanye kulingana na akili zake timamu,mimi nitayafanya ya kwangu,nimfanyie hayo yote bado ataenda nje,pesa zake sipati,afadhali nijipe shughuli
@sihamjuma.mashallwah2133
@sihamjuma.mashallwah2133 7 жыл бұрын
Acheni kuwapaa wanaume oboc ht uwafanyaje na michepuko kibawo
@shabanially3460
@shabanially3460 6 жыл бұрын
acha ujeuri wewe
@aminaomar8229
@aminaomar8229 7 жыл бұрын
angetaka kushuulikiwa angeniangalia pumbav
@mamymdogo4161
@mamymdogo4161 5 жыл бұрын
Hahaha
@najafa2327
@najafa2327 6 жыл бұрын
Shukran sana bibi...
@irinendubi5813
@irinendubi5813 6 жыл бұрын
Asante lakini wakuchepa ata umfanyie yote adi umebebe mgongoni kazi bure mola atusaidie
@leylahchesavio9551
@leylahchesavio9551 4 жыл бұрын
Ila ni kwel lakn suluhu no kuisoma akili ya mwanaume uliy nay ukishalijua hlo usitafut ushaur kila mwanaume Ana tabia yak na kila kipind kinamapito chake na ww mwanaume badilika endana na akili ya mwenzako hp umeshind mtihan hakuna mwanaume asiy na tabia chafu Ila anauzur wake pia ww tafuta uzur wak uko wap then bembeleza uwepo kila sk
@RRr-of9ps
@RRr-of9ps 4 жыл бұрын
Shida ya sisi wanawake dunahudumia wenye pesa was na pesa hatuwa angalii ambayo sio Sawa huyo also pesa ndio wako tuacheni wanawake hata kwa mungu haipendezi tuwahudumie waume zetu hata kama Hawana pesa
@ayshaaysha9650
@ayshaaysha9650 6 жыл бұрын
JAMANI MBONA MATUSI KAMA HAMUTAKI ACHA KUANGALIA SASA KHALIBU WAPI HYO MAMA JAMANI HEBU MUOGOPENI MUNGU MNAOTOA MATUSI YANINI MNABEZA SIO VIZUR ANAELEMISHA ATAESIKIA ASIKIE ASIETAKA SILAZMA KUTIZAMA
@kitoghosande6564
@kitoghosande6564 6 жыл бұрын
Ukiona bango limechanwa basi ujue ujumbe umefika
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
Wanaotukana sivzr lkn wanaomfahamisha wacha wamfahamishe asiwape vichwa wanaume ambao wanaume mwenyewe wa siku hzi siwale wa zamani. Na maisha ya sasa sio yale pia.
@aminkhalid6182
@aminkhalid6182 7 жыл бұрын
WANAUME WENGNE HAWASHARIFIKI HATA UKITAHIDI JUU YAO HATA HAWAJALI WANAVUNJA MOYO
@emmykennedy7189
@emmykennedy7189 7 жыл бұрын
Ole Kengeja
@ednamollel5769
@ednamollel5769 7 жыл бұрын
Wengine hawabebeki wala hawaoni thamani ya mwanamke kwao
@salakudeli830
@salakudeli830 6 жыл бұрын
Ole BB hawabebek
@mwanamvuahassan171
@mwanamvuahassan171 5 жыл бұрын
wanaume. WA. sasaivi. sio.wa kufanyiwa. mambo. hay. Ni.sawa.na kujisumbua
@samsonhenerico1084
@samsonhenerico1084 5 жыл бұрын
Vizuri
@neemamachugu6437
@neemamachugu6437 5 жыл бұрын
Mwanamvua Hassan,,umeona Eeee,
@fatumalove4119
@fatumalove4119 4 жыл бұрын
👌👌👌👌👌👌👌
@mamapekupekupilipilimuwash9016
@mamapekupekupilipilimuwash9016 7 жыл бұрын
mijanaume mingine hakuzoea hivyo kudekezwa imezoa kelele kama jibwa la baa akija akwambia nimechoka kula hajiskii na hataki story kabla huja amka yy asha toka sa tisa usiku wanikome waume siku hizi kuna waume ama michipuko hata uka panua mguu ukagusa paa la nyumba na mauno yy hatosheki na malezi yako wakwende zao mm
@38wahida
@38wahida 7 жыл бұрын
mama peku peku 😂 😂 😂 😂 nimecheka
@mamapekupekupilipilimuwash9016
@mamapekupekupilipilimuwash9016 7 жыл бұрын
waheeda aman mwenzangu haya nambie
@alphoncehassanfaruq4488
@alphoncehassanfaruq4488 7 жыл бұрын
hatar hyo hahahah
@mamapekupekupilipilimuwash9016
@mamapekupekupilipilimuwash9016 7 жыл бұрын
Rahvvichandrahn Gopalmanggy hatari sana usiombe vikupate
@mamapekupekupilipilimuwash9016
@mamapekupekupilipilimuwash9016 7 жыл бұрын
Emmy Nyange haahahahahaahah
@macym57
@macym57 5 жыл бұрын
Chai ya chupa au kibuyu ikikaa sana inanuka na sio fresh. chupa yabadilisha ladha ya chai.
@pilimashauz2279
@pilimashauz2279 4 жыл бұрын
Haya bi chau nitajitahidi
@boykaaledjoz5422
@boykaaledjoz5422 7 жыл бұрын
kwendrrrrrra zako changudoa, kaaba, Malaya Sura mbayaa kama Utaki kufa
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 5 жыл бұрын
hayo unayosema yote ninayaona kwa mama angu kwa kumhufumia baba wangi na kiumri ni watu wazima sana Ila mimi pia nimeolewa ila mhhh nchoka mie kufua kupasi wtt usafi wa nyumba 😁
BI CHAU: AMBER RUTTY JIHESHIMU HII DUNIA TU, MWANAUME HAUZWI DUKANI
29:41
Mchezakwao “mchezakwaoshow” Startv
Рет қаралды 38 М.
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 29 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,7 МЛН
MAPENZI YA MASIKINI YAMPAGAWISHA MTOTO WAKISHUA | MOVIE KWA KISWAHILI
25:02
GENIUS SWAHILI MOVIES
Рет қаралды 519 М.
MKE NI MPISHI JIKONI NA MALAYA CHUMBANI
19:24
SABRINA WANGECI
Рет қаралды 97 М.
KAMA USHAAWAHI SALITIWA NA MUME AU MKE DAWA YAKE SIKILIZA HII
31:50
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 582 М.
MWANAUME LAZIMA UMVALIE KANGA SIO KULALA  NAE KAMA ULIVYO ZALIWA
35:08
Karafuu Na Tangawizi Ni Ladha Ya Tendo La Ndoa😋 Habari Yake Ni Nzito Sana🔥
5:29