Ubarikiwe chrisnshushu kwa ushauri wako unasemakweli watuwanashangilia maumivu yawegine 🎉❤
@AnethMushi-c3eКүн бұрын
Tena ww unyamaze kabsaaaa!!Episode yko inakuja Bora upige kimyaaa Tena ukae Kwa kutulia
@godfreyerene-n7dКүн бұрын
Mama etu kipenzi upendo nkone, wewe ni warohoni acha kabisa kufanya ushirika na hao kina shusho
@lucyedgar486919 сағат бұрын
Martha Muombe Mungu akusaidie uende kwa mama kapige goti shika unyayo wake mama ndipo baraka zako zipo
@MamaSamKK21 сағат бұрын
Namuombea Martha, Mungu atajihidhirisha.
@VictisBukutsa22 сағат бұрын
Mtete mama najua Martha ana Hali ngumu ila Joan anyan'ganywe simu anazidi kuharibu zaidi
@wuodkokelobingo485514 сағат бұрын
Many people doesn't know that devil was a praise and worship leader in heaven before he was thrown down, that's why the scripture says prove every spirit by the word. If it rejects the word it's not of God
@josephinejgibbons75314 сағат бұрын
Asanteni. Na Mungu awasaidie
@davidademi3708 сағат бұрын
Mama upendo we.salute you for your silence on stage concerning this issue of matha
@WilliminaOjiambo7 сағат бұрын
Shusho bariki wa sana kwa kutumia hekima
@MaryNthambi-g6k22 сағат бұрын
kwa kweli..dunia haina huruma....wakati wa rose muhando ilikuwa ivo hivi ni lini...mtaacha kuongelea....muombeeni Mungu amunusuru jameni..
@PhotonatusChiee20 сағат бұрын
Hakika walimwacha yule mama anaangaika anateseka
@fundimorisho823018 сағат бұрын
Kristina mwenyewe tabiya yake niucafu salimkata mume wake kisa kutembeya nawa kinadiamond naao wasani wadigo wadige sasa kuna mwanamke apo nimaibilisi watupu
@barakalukeha6184Күн бұрын
Shusho kristina mama utapata hakiyako kwa kumkejeli Mungu na mwana wa Mungu Yesu kristo kwa unafiki wa kumtaja Mungu eti unamtumikia yeye wakati moyowako unakwambia ukweli juu ya maagano yako ktk vyama vya siri ,,,,,sifa na kupenda style ya maisha ya anasa vimekufanya ufutwe ktk kitabu cha uzima..jitahidi kukubaki kuwa mtu unaye chekwa kwa kudharauliwa na uwe na maisha ya kawaida ya wanafunzi wa Yesu tena wakike na sio kama mitume maana hakuna mtume mwanamke na unayatamani maagizo ya yesu kwa wanaume nawewe uwe mtume?????mchungaji????biblia ya yesu inasema mchungaji ni mume wa mke mmoja na sio mke kama wewe,,mbona shetani anawadanganyia ktkt vyuo vya kishetani vya thiologia???nanyi mnaitikia???hizo anasa zenu zitawafikisha wapi????hizo sifa zenu zinawapanini??.tubu na acha vyote uwe mshiriki na mtumishi wa mungu kwa karama zinazo kubalika na biblia kwa mwanamke waambie na wenzako wote mnao penda sifa na mafanikio ya kimwili ambayo mitume na wamama wa zama za yesu hawaku jikwaa kwahayo.
@MarthaAlly-y7sКүн бұрын
IVI nyie ni watakatigu sana
@angelanaftael796523 сағат бұрын
Kaa kimya madame kaa kimya pls
@rerisamba23 сағат бұрын
Comment hii ndefu yote uliza walimu wako wa rohoni Mungu na Yesu ni mmoja tu nikama wewe ulivyo kawachika mara 3 lakini uko pekeyako
@olivermwakyonya568321 сағат бұрын
Unapoandika Yesu anza na herufi kubwa
@veronicathomas8920 сағат бұрын
Acha kuhukumu,mwenye haki ya kuhukumu ni MUNGU tu,hakuna aliemsafi ila MUNGU tu
@babupiza64118 сағат бұрын
jeshi la umalaya mdumu kwa jina la shetani
@AliceMsafiri-c8r18 сағат бұрын
Wewe ambaye siyo Malaya ubarikiwe
@Mariejo123-g2x18 сағат бұрын
Christina wewe ukisimama na Martha Mwaipaja utamsaidia nini?kitu mnatakiwa kufanya ni kumrudia Mungu wa kweli Ili jina la Bwana wetu Yesu. christo Liache kutukanywa kupitia ninyi. ( to much love of money is root of all evil. Go back msalabani, and learn as you go/ grow
@AmbakisyeSimion16 сағат бұрын
Wewe Christina na matha wote ni watumishi wa shetani
@NtuliSuzan18 сағат бұрын
Lesbian mna mtetea?
@PeterMahona-zd3oz20 сағат бұрын
Jeshi layesu umalaya wenu msimwekemo yesu wetu kwenda huko
@AllyMazinge-k6x19 сағат бұрын
Kazi kwenu watoto wa Italian mtarudi 2 kwa mungu Issa
@samwelmatemu887319 сағат бұрын
Malaya anantetea msagaji.Walijificha na uchafu wait Sasa Mungu anaweka wazi
@BabMuniwe-pg7el17 сағат бұрын
Wote Malaya hakuna mtumishi wa mungu wote ni walewale
@mercykariithi791919 сағат бұрын
We don't expect the likes of kina shusho not to side with Martha they are birds of the same feathers Martha anasema ambewe ajitokeshe aseme anataka ambewe nini Martha ni mnafik mkubwa
@DinuZeno19 сағат бұрын
Weeeeeeeeel said
@evancemsosa437919 сағат бұрын
Huyu nae ndio anaechangia kumpotosha Martha, si x mume wa Martha alimuita Shusho kuwa ni kocha wa Martha.
@peacemwesiga19 сағат бұрын
❤❤❤❤kweli Nani mkamilifu katika dunia hii?????mpaka tukosoane??niwakati wa kumuombea Matha
@DeborahSichone-b9c12 сағат бұрын
Hakuna anayehukumu ila hakuna anayemuimbia muumba hapo hiyo ni dunia na watu wake
Mwambieni atubu Kama ni kweli aanze upya mda bado upo
@ChristopheAmani-t1o18 сағат бұрын
Nilete shukrani yangu ya upeke Kwa ufunuo Mukubwa Hawa waimbaji Wa mepata Wanajuwa Mateso ya kumutumikia Mungu Wanajuwa vita inayo jitokeza dani ya huduma Wanajuwa namna Wanavyo Kesha juu yahuduma Wa kristo wa kweli hawawezi kumbali mwezao angandamizwe na kuzimika namna hivi Jamaa yawapi inayo simama imara? Nina fikiri hâta jamaa ya mama Samia Kuna wamoja Wa Kamaa yake wanamuchotea vidole Martha Siyo bilionere Ila nilete ushauri wangu ningelimuomba mama yangu Martha awe na wakati ya kumuomba Mungu asiende kwanza kwenye tamasha inayo andaliwa apate wakati mweingi Wa kupumuzika Pia Nina Amini Mungu wake Abaye Anaye mutumikia atamupa mwelekeo mupya Pia atamufunulia mengi zaidi Nakupata Nyimbo mupya nyingi kabisa Nimupe ushuhuda ya kwangu Wakati Moja niikuwa nikisoma chuo ya biblia apa kwetu congo nikapita mumateso makubwa wakafanya shauri nifukuziwe shuleni nilipitia mambo mazito sana nikapata vita kubwa sana dani ya huduma nikaiwekwa hazarani nikapata shinda kichwa nikasikia Sawa inapasuka mara pili Dactari akanikataza nisikule chakula ya chuvi Katika mateso yangu Siku muacha Mungu wangu nilipinga magoti Kila usiku watoto wakienda lala Nina aza Kazi ilipofika Miezi inne nika lala usingizi nikaona Niko dani ya Dari nikakosa diricha ya kupitia nikasikia sauti inaniambia jia utapata nikaona kadiricha kadongo sana ninafasi ambayo kuku inaweza pita nikasikia sauti inaniambia Amani Jia imepatikana pita pale nikasema haiwezekane Mutu kupita pala sauti ikaniambia inawezekana nikapatazama nikaona chini ni Lac kubwa ya Maji kama lac Kivu Yetu nikaona mutu anaota dani ya Maji nikaona mambenga yake nikasikia sauti inaniambia Amani Apa Joo bezako Bana pandaka nikaona kunasimama Watu Na mimi nikatoka dani ya hiyo Dari nikaangukia kwa île mambenga nikatoka dani ya usingizi kichwa ikapina ni kweli Mimi chakula ya chuvi kwangu sikule Ila dawa nilikuwa nikuzitumia muda wote sizitumie tena miaka inné hii Sasa Martha Kaa kimia Nina juwa Mungu anapenda ukimya Mungu hataki mtutu ajitetee Nina mupenda Mungu wetu anapo Ona Kazi tunayo mufanyia anaamuru watu kutupingania na kututetea tena nilete ushauri wangu Fanya angalisho na wapacha habari Niwatu Nina waongopa sana Niwatu hatari sana makusudi wakule wakunywe soda inabindi wapate habari kama hizi Tena niwatu hawataki habari kama hizi zimalizike Nina ahadi ya Mungu utatewa na watu ambao haujuwe utatewa na watu ambao unawajuwa nyamaza kimya Muda ya Siku 4 hii sipate usingizi Mimi ninaye tesekwa kwa jili ya janga hili unalo lipitia sijawai kukuona ila Nina juwa uko mwana jeshi mwezangu katika safari ya kwenda binguni na cherti mateso yake yawe mateso yetu
@bcozhenry269821 сағат бұрын
Nakumbuka Makonda aliwahi kusema waovu wana umoja wa hali ya juu, akiguswa mwovu mmoja tu waovu wote wananyanyuka kutetea uovu. Mchungaji Mbarikiwa amenyanyaswa sana, amelia sana na mpaka amekwenda jela na baada ya kutoka jela anaandamwa na kesi za kugandamizwa kwa sababu ya kuhubiri watu wanavyopaswa kuishi kwa mujibu wa mapenzi ya Mungu muumbaji wetu lakini hatukusikia mkitoka hadharani kuomba wala kukemea.
@perufamily694123 сағат бұрын
Mama analia unafikiri ni jambo dogo mbele za Mungu? Badala ya kumshauri
@EstaDaffi-wg5cr20 сағат бұрын
Siyo hayuko sawa ni Hana chakujieleza maana vyote vina ukweli ila kufunguka na kuomba msamaha ndo anaogopa
@ujuzilumiere788320 сағат бұрын
Martha arudi kwa mama yake na kushuka chini amuombe musamaha mama yake na familia ikae pamoja na huyo mtoto muchonganishi arudishwe kwao
@lucyedgar486919 сағат бұрын
Shushu kuwa mshauli mzr usimpotoshe Martha
@SharoEmmanuel-n4f19 сағат бұрын
Sio shaka kikundi ni hicho hicho
@dol-pnintz2503Күн бұрын
Tena ww ni pepo wa mapepo acha kuongea hata nyimbo zako hazina mashiko jini mkata kamba ww kwenda mwana kwendaaa
@TulifoniaLutego22 сағат бұрын
Siioni kosa kwa matha jamani sialimnunulia kiwanja tatizo watu hatujuagi kuahukulu bali lawama tu we Matha usikate tamaa mti wenye matunda ndo unapigwaga mawee mtegemee Yesu basi acha waongee wakichoka wanaacha nakupenda Sana matha
@rerisamba19 сағат бұрын
@@TulifoniaLutego kumbuka tupo duniani lakini kwa muda tu yapo maisha ya milele na milele kupo mbinguni nakupo kuzimu mwishowe ni jehanam
@TulifoniaLutego18 сағат бұрын
@rerisamba sawa mbinguni tunaenda lakini wanayomtamkia Matha ni chuki sio upendo soma waefeso 4 ,31 na 32 mbinguni wanaenda watakatifu sio wenye chuki bertres mwaipaja sijapenda kabisa kumwambia maneno kama hayo dada yake ana chuki binafs huyo apone kwa jina la Yesu aliye hai
@HellenLemilya19 сағат бұрын
We Christina Shusho diamond kakuridhisha?kama hujarizika Baltazar upo ,hadi kwa P Diddy
@LutenganoCharles-d7t19 сағат бұрын
Hakuna vita hapo ni upumbavu wa martha, tumpige vita anatusaidia nini ? Ana faida gani kwetu? Tunachotaka amuombe msamaha mama ake mzazi amfukuze joan nyumban kwake ww christina bora ungekaa kmya huyo martha kashaakua na tuhuma nying za kusafil na huyo joan wanalala one bed wasikilize wachungaj wa kongo na kenya acha kutetea ujinga tumpige vita martha anatulisha ??
@geoffreykirui-dh6vs19 сағат бұрын
Birds of the same feathers flock together
@Mariejo123-g2x18 сағат бұрын
True
@SahumPeters14 сағат бұрын
Angela Chibalonza kwa kweli ilikuwa n nyota ya kipekee😢kwa wale tunamskiza mpaka wa Sasa Kuna utofauti mkubwa sana na waimbaji wa nyimbo za injili wa kisasa
@DinuZeno19 сағат бұрын
MARTHA ANAOGOPA NINI? KWA NINI ASIACHANE NA JOHAN? KWA NINI ASIJIBU SHUTUMA JUU YAKE? MARTHA ANAOGOPA NINI? CHEKI SAKATA LA MZEE MAGEMBE, TAG WAMEJIBU FASTA NA MAGEMBE AKAJIBU FASTA NA KIKUBWA ALICHOSEMA MAGEMBE NI KWAMBA ANAOGOPA KUWACHANGANYA WATU.
@stellajohn848619 сағат бұрын
Mnatetea uovu matha analoho mbaya Sana,, amemharibu joan Hana anachomfundisha
@ValentinLuísMualabo23 сағат бұрын
Shoga mwenzake lazima kamtetee,hivi na hawa washilika apo Kwa Shushu wanafanya Nini??
@jsabood22 сағат бұрын
Tunaomba utupe ushahidi.
@emanuelmkama132522 сағат бұрын
@@jsaboodkumuacha mumewe na kuambatana na akna Diamond inatosha kusadki
@GradnessMuba21 сағат бұрын
Umefanya vzr Kusimana na Martha achana na hao wanaokupinga masa atajuw rafiki na ambaye mnafiki wewe Christina ni rafiki wa kweli umeamuwa kujilipia
@josephinejgibbons75314 сағат бұрын
Siku za mwisho upendo wa wengi utapoa. Watanzania tufunguke macho ya kiroho kuelewa hilo.
@DianahMururi19 сағат бұрын
Ni kama hata yy anakaa kama Martha tabia ni Moja ,, chuma chake Kiko motoni ,c vizuri kutetea kosa ,afadhali urekebishe ndio baraka zizidi kumwagika
@joyyjoyy547419 сағат бұрын
Kweli
@SharoEmmanuel-n4f19 сағат бұрын
Hawa inaoneka wengi sana ndio maana wanateteyana na uwovu
@LuganoMwalwembe22 сағат бұрын
Mwambie ndugu yako aludi kwa mama yake eti haijalishi kakosea kukosea ni kukosea tu njia salama ni kuomba ladhi tu kwa mama na mwambie mtatafunwa sana maana ninyi ni madalali wa shetani mwigeni upendo nkona na dada frola mbasha mbona alishuka sana hata kwa mme wake ww shushu ndie uliempoteza mnyakyisa mwenzetu
@NancyIravoga21 сағат бұрын
Haya ni majaribu tu kwa Martha atashinda
@wuodkokelobingo485520 сағат бұрын
Shusho pia tunamshuku
@philipomwazyunga457223 сағат бұрын
Upendo sijui una matatizo gani wewe mama.. madhabau zote za kishetani lazima upande jukwaani...jihadhar roho yako utapotea jumla a day to come
@michaelmwaksole72449 сағат бұрын
Wewe mwenye malaya mbwa ndio kundi hilohilo moja mnaotumia jina la YESU kujifichia mauchafu yenu MUNGU alianza na wewe kuyaonyesha maungoyako ndio hawa wengine wanafuata
@olivernyange234919 сағат бұрын
Natamani Mngepitia hiI comment we Christina na Matha
@dorcaskarago2876Күн бұрын
Christina shusho acha kiburi Martha siyo kama wewe tunamuombew Martha afunguliwe
@GraceLuvanda-g5r22 сағат бұрын
Na yeye pia aombewe huyo alishaacha zamani sana hapo imebaki Sauti.
@richardomare376418 сағат бұрын
Wote hawaeleweki ni kujikaza tu
@LeonardJeseph21 сағат бұрын
Hawa waimbaji nyimbo za injili wamekumbwa na nni?
@ramadhanrashidmthailand955320 сағат бұрын
Pwagu na pwaguzi wakiteteana
@yusuphchankwa475918 сағат бұрын
Mungu amusaidie mathar ili amfukuze huyo shetani Joan
@Mariejo123-g2x18 сағат бұрын
Nakubaliana na wewe
@ChristinaCapsi-o6x20 сағат бұрын
Martha mwaipaja sisi hatujui ukweli unajua wewe na kama ni kweli MUNGU ni mwema kwako nenda kaombe msamaha kwa MUNGU na mama pia alafu mwachie MUNGU atatenda
@vicerocky21 сағат бұрын
Bwana ya Martha alisema shusho ni mwalimu wake kwa hivo shusho ameoa mfanyikazi wa ndani
@MariamWiliam-z8k19 сағат бұрын
Uyo Kristina danga tu nshenz mbembe uyo Tena mchawi makubwa Tena ndio Malaya makubwa Kwan ye hamjali mzazi wake acha usenge kristina
@DeborahSichone-b9c12 сағат бұрын
Hivi hawa wamechanganyikiwa wote vimeo huyo ndio kabisa na huyo pendo apo ni kesi ya tumbili na ngedere
@RuthSenkoro20 сағат бұрын
Wewe' usimdanganye mwenzako
@WaridiKabula19 сағат бұрын
Shusho ndio kiazi kabisaa anayempoteza Martha ni huyu shusho
@PeterMahona-zd3oz20 сағат бұрын
Kilistina nayeye ameludi kwammeo au anaimba 😂😂😂 majanga ukiyaehagaa ya mardha utayaona yakilistina 😂😂
@stellajohn848619 сағат бұрын
Walewale tu matha akaombe msamaha
@SharoEmmanuel-n4f19 сағат бұрын
Kweli mama ni mama
@KopiscoIsaya21 сағат бұрын
Wewe ni zaidi ya huyo unae mtetea shame on you,rudi kwa mumeo,hacha umalaya,hacha kutetea ujinga Martha anatakiwa Atubu kwa Mungu then a turn back kwa Mama yake akafanye naye reconciliation, ndipo atakua sawa,halafu wewe Christina huna mandate ya kuongea chochote kuhusu Martha,kwasababu wewe pia scandal ya kumwacha mumeo bado tunakushangaa sana,kwa wenye Akili zao timamu na wanao soma Bibilia vizuri,hutakiwi kuongea chochote ama kushauri chochote,kwasababu we ni mtuhumiwa wa dhambi mbaya ya kumuhacha mumeo, according to that stop cheating people.
@MsalabaniReko18 сағат бұрын
Aliongea lkn lilikuja kuumbuka alipokuja kuongea upendo nkone palepale liliona aibu kama mtu aliangalia walivoongea wawili hawa shusho na nkone kuna utofauti ulitokea
@DinuZeno19 сағат бұрын
HUNA AKILI YA KIKRISTO
@philipomwazyunga457223 сағат бұрын
Haturuhisiwi kuhukumu ila wewe ni wakala wa shetani..umemuingiza matha uko freemasons asa inajivarangua hapo ...sema yote sisi tunamtaka matha wetu..wewe kafie uko shetani mkubwa wewe
@frbm172922 сағат бұрын
Shusho huo ujasiri unautoa wapi????
@frbm172922 сағат бұрын
Mpe hi mond
@emanuelmkama132522 сағат бұрын
Usimuite shusho ita Christina, ILO shusho nla mumewe Alie mkataa
@heriethsamwel719020 сағат бұрын
@@emanuelmkama1325😂😂😂😂😂😂
@drvaxminja213319 сағат бұрын
Unamteteaje aliyekosea unamtetea tu kwa sababu ni mwanajeshi mwenzenu? Mbona mnashindwa kumshauri aongee ukweli kuhusu huyo Joan anayepasua familia kwa kujiingiza kwenye familia na kupasua familia? Kwa nini huyo Joan anapolewa anatukana watu?
@mariaerenest563220 сағат бұрын
Wewe mwenyewe ni mbwa mwitu kristina
@annadeus-l9h8 сағат бұрын
Jmn tusiwe hivi tuishinawenzetu tushikamane kwenye raha nashida ujui tu leo kwake kesho kwetu tusifate mkumbo kushutumu bila yakufatilia dunia imejaa usida kila pande kamanda nikweli tumuombee tuu
@yusufunguruko808018 сағат бұрын
Shusho ni malaya lazima amsapoti malaya mwenzie, watu sio kama wanamgandamiza bali wanamsaidia Ili aongoke, sasa hao wapuuzi wanaosema wanamgandamiza kwani hayo yanayosemws ni uongo ? Ina maana wee Shusho unataka kutuambia mama yake Matha ni muongo bali wewe ndio mkweli ? yaani huna hata haya, wee Shusho kuna asiekujua kama na wewe ndio malaya mkubwa ? kama kweli ni rafiki yako nilitegemea umwambie ukweli kama amekosea Ili akamuangukie mama yake mzazi Ili apate kusamehewa na Mungu wake lkn wewe bado unamjaza ujinga awe mbali na mama yake hakika wewe nawe ni pepo kama wengine tu - Aisee siku hizi waimbani wa injili nimetokea kuwachukia hadi basi kwani inaonekana nao kumbe wako kidunia zaidi kile wanachokiimba kumbe hakipo kabisa mioyoni mwao bali ni kama wanacheza tu muvi kama muvi nyingine kuwahadaa watu wakiwa majukwaani - eeeh Mungu kiokoe hiki kizazii chako kinaangamia !
@JoshuaLazaro-eh9xs22 сағат бұрын
Nawe upendo umeshaingizwa mbona unatumika na watu wa giza
@JoshuaLazaro-eh9xs22 сағат бұрын
Christina shusho huna cha kufundisha watu hapo zaidi ya kupotosha watu, mungu unayemtaja ni yupi hapo na uko kwenye chama cha freemason, na umemwacha mmeo ukosingizia huduma, tubu sasa okoka upya
@veronicathomas8920 сағат бұрын
Ndugu msihukumu wenzenu mkaja mkahukumiwa,jee nyie mmekamilika?au kwa kuwa ya kwenu yamo sirini,hakuna aliemwema ila MUNGU tu.Upendo huficha madhaifu..Si ajabu familia kumgeuka mtu mmoja hata Yusufu waliomuuza na kumfanyia mabaya ni nduguze wakishirikiana.
@LuganoMwalwembe22 сағат бұрын
Shushu ww huna kitu kabisa wokovu wapo yupo dada upendo nkona mpuzi c tumuombee matha au mnajua sote ni mapaka shumi kama ninyi au
@wuodkokelobingo485520 сағат бұрын
Hata huyu shusho mwenyewe kaachana na familia
@SharoEmmanuel-n4f19 сағат бұрын
Kweli 😢😢
@angelanaftael796523 сағат бұрын
Maryha atubu km anajua kuna shida kati ysko na Mungu nyie mnajua yaliyo sirini sisi hatujui...acha kushout kwa maana hiyo sio toba...tubu tuu km kweli nyie ni wa Mungu wa kweli...nje yav hapo ni kelele tuu na mihemko
@SadaSaid-n3k19 сағат бұрын
Kristina shusho acha unafiki mbona hàta wewe ulimsaliti mume wako Mzee shusho na kuona haifai mbele ya macho yako hata wewe usimame na mumeo we ni mnafiki sana mnajifanya mnasema yesu kumbe mifala tuu hatuposti matukio yenu tushajua ni wanafiki wa yesu yesu hataki mnafiki km nyie
@fredymbilinyi632321 сағат бұрын
Jambo la msingi nikumshaauri aende kwa mzazi wake wakayamalize
@tabithawanjiru857022 сағат бұрын
Usitetea uovu lazima roho yake ibadilike awache kuchukia mamammzazi
@DomitilaMtua22 сағат бұрын
Upendo zNkone ,mbona unashirikiana na watu ambao walishamuacha Bwana Yesu?jitenge na hao watu,watakuvuta huko
@faithkizito416621 сағат бұрын
Umejuaje wamewacha mungu..we have all fallen out sometimes ni maombi..ata weww sio mkamilifu
@olivernyange234919 сағат бұрын
Christina,nyamaza kabisa tena wewe ndio
@HurumaMwasebaКүн бұрын
Mwambieni ukweli mwenzenu apone kama kunaukweli ndani yake
@GraceLuvanda-g5r22 сағат бұрын
Watamwambiaje na yeye ni zaidi hata ya martha.huyo alishaachaga mambo ya wokovu.
Hakuna aliye mkamilifu bali wote tuna pewa haki bure kwa neema hata wanaoponda baldo washida tu kama wakichunguzwa sema ukish kuwa mtu wa kufanya kazi zw shetani huwezi kuona mambo yako
@philipomwazyunga4572Күн бұрын
Wewe shushu SI ndio umempeleka uko freemasons... lazima umteteee uyo msagaji..🤣🤣🤣
@PeterMahona-zd3oz20 сағат бұрын
Hamtuli nyamboto kwendeni nyala kuigoti makangi haya
@jonamnyone801418 сағат бұрын
Mbona uimbaji wa injili mara nyingi unavamiwa na roho ya usaliti? Tuwakumbuke sana katika maombi waimbaji wa injili. Mungu anapowainua mara ghafla wanaasi na wanaharibu ndoa zao wanasaliti na wanaishia kwenye maagano mengine na shetani haswa yanayoambatana na tamaa ya mali na uzinzi.
@Mariejo123-g2x18 сағат бұрын
Hakuna ministry isiyo na vita, wengine wana shinda kwani wamesimama na Mungu.
@jeremiemunkamba21 сағат бұрын
😂😂😂 what kind of prayer is that because is the one who expose Marth stop nonsense
@shakilaAqram20 сағат бұрын
Huyu nae bado yaani mtaumbukaaaa mtaumbukaaaaaaaaaaaaa
@salamsabdullah-st9pt20 сағат бұрын
Filimason wote hawo
@zebedayokatamaduni967620 сағат бұрын
Wasimbe watupu wanaelewana
@VicysebaNyambeta21 сағат бұрын
Wote ni walewale tuu, na yeye cc ndo alieivunja ndoa take kwa kutaka et kila aliolewa akiwa na umri mdogo miaka 19 mbn hakuongea kipind chore kile and kuongea uzeen hakuna kitu hapo, shetan Yuko kazin usiku na mchana
@perufamily694123 сағат бұрын
Mtatetea uovu? Wakati mwingine ni vyema kunyamaza tu