🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402), 🔘WhatsApp (+)255 692 318 213 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...
Пікірлер: 51
@sophiemsuya65073 ай бұрын
Mzee kanichekesha kweli. Wenye hela ndefu ndio wanaotumia vitu vyote bure, wanyonge waendelee kuchangia wakubwa zao. Nyumba bure, magari bure, mafuta bure na matumizi ya juu sana. Mungu awaguse watukumbuke na sisi, wasije tokewa na yale ya Lazaro na tajiri jamani.😢😢😢😢
@GilbertGombeye3 ай бұрын
Kulikuwa na adabu walikuwa wanamjua Mungu sikuhizi hakuna Mungu ni waizi na umjomba
@prochesytesha80403 ай бұрын
Mkuu mzee wangu upo vzr
@GilbertGombeye3 ай бұрын
Kila kitu ni maliyako wanakopa kwenye benki muda mrefu ndugu zao ndio wanafanyakazi sehem nzuri tanapa bandarini uwanja wa ndege
@albertbunyinyiga75812 ай бұрын
Mzee huko vizuri
@jarnskorelly4643 ай бұрын
Lakini kweli tulipata chakula bure
@peterjosephat66853 ай бұрын
Ile bure iliyokuwa wanapata wananchi wote sasa imeamia kwa wakubwa wa serikali wanyonge wananyonywa
@MgonjaFide2 ай бұрын
Mnyonge anyongwe na hakiyake iliwe
@Aziz-p6s2 ай бұрын
Nyerere angejua bora angeiba kama mobutu congo
@ndukulusudikucho_2 ай бұрын
😂😂😂 haya Mzee wa Ubwawa
@AmaniMwankili3 ай бұрын
Mzee inchi hii imeshindikana
@kaaakwakutuliaa51793 ай бұрын
mwiguru hafai
@MasterOil-qm6vw3 ай бұрын
Ni kweli hata madaftar wazazi walikua hawanunui yapo madaftar ya bendera ya tanzania daftari walikuta shuleni wewe waenda t
@lovenessvisent94082 ай бұрын
Hawa ndio watu wa kuwahoji sasa sio yuvisisiem mimi nawalaumu wandishi wa habari tafuteni habari za kina sio za juu juu asant kwa chakula cha akili ,sisi nitahitaji elimu tu ya kujitambua mengine huja yenyeweeee
@SKY-fk3fz2 ай бұрын
Kweli wao kila kitu bure, mpaka matibabu bure lakini maskini alipe
@allyhasani37503 ай бұрын
Mzee mkweli
@leokamil62843 ай бұрын
Kweli kabisa baada ya vita ndio likaanza balaa la hali ngumu
@leokamil62843 ай бұрын
Kweli Viwanda vyote kwisha kilimo kilikuwepo sukari ,ngano Basutu ,nchi imekwisha mpaka mashamba ya mkonge nayo kwisha .
@jeisawaya76382 ай бұрын
Hii ng’ombe kumbe bado iko mzeee Muhuni hawa ndiyo walifaidi huduma ya taifa ila hawana shukurani ila naona kama mwehu fulani
@noelnjementi85113 ай бұрын
Msomi kbs
@marandoruzali19463 ай бұрын
Na ukweli umo
@samsonsamwel87823 ай бұрын
Leta muendekezo
@Aziz-p6s2 ай бұрын
Mzee sani
@TrustElbashil3 ай бұрын
Uko vizuri mzee wapashe
@shd12m553 ай бұрын
Ukigombea saivi namii ntakupigia kura ili nile ubwabwa😂
@jeisawaya76382 ай бұрын
Waandishi hakuna tanzania hojini watu wenye akili timamu munahoji watu walio changanywa na maisha matokeo ndiyo hayo hakuna tulicho pata kweli una akili iliyo sawa unaenda kumhoji rungwe kweli muna iangusha tasnia ama mna nia ya kum dhalilisha Mzee wa watu aonekane hivyo
@lovenessvisent94082 ай бұрын
Duu pole ila mm naamini umemuelewa Mzee ila hutak kuwa mkweli,pole kama ni kweli hujaelewa maana huna akil
@emilianchibinda823 ай бұрын
Miaka ile baada ya uhuru wananchi walikuwa wachache Ni kweli shule za bweni tulipewa kila kitu bure hadi 1978 tulitangaziwa miezi 18 ya kufunga mkanda hali iliyoendelea.
@allyhasani37503 ай бұрын
Tukiwa weng uzalishaji no mkubwa
@remigusluambana98803 ай бұрын
Watu wachache vipi,inatakiwa uchumi uwe directly proposional na population,punguza hayo mashangingi mashangingi na matumizi hapo pana hela
@zengomikomangwa92643 ай бұрын
Mzee toa sera zako. Ilitujue unachopendekeza ilitujue kama ni realistic
@KenedyThabiti3 ай бұрын
Namkubari sana huyu mzee
@VictaDaudi3 ай бұрын
Haaaa haaaa haaaaa😊😊😊😊😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂 duuuu hatari sanaaaaa
@noelnjementi85113 ай бұрын
Rugwe azeeki kbs yupo
@AlfaSaa-j4h2 ай бұрын
Kiongozi wa fedha hafai kibaka na fisadi John alimtimua
@noelnjementi85113 ай бұрын
Nimependa anakofia nzur sn anajuwa kuvaaa
@bernardjohn87883 ай бұрын
Uchaguzi umekaribia. Wameibuka
@FrederickThadeo3 ай бұрын
Mzee ubwabwe ccm hata ugali wanatowa machozi watakupa wali umezeeka piga siasa za ukombozi siyo za kichawa
@ramadhanishabani8072 ай бұрын
Shida watanzania wengi mafal
@kichenjekichenje20723 ай бұрын
Mtangazaji mbona umekomalia sn ubwabwa 😂😂
@Aziz-p6s2 ай бұрын
Ndo maisha
@jeisawaya76382 ай бұрын
Mkafanya kila njia wewe na nani
@abdalahgunda13193 ай бұрын
One of the difficulty in Africa leadership is about mostly out Africa politician prefer much this wait education show PhD bachelor diploma and so on but take even they sun to oversize question mark me as the abdala ahamedy is this education getting Africa seem education getting wait skin on my sense l said no l don't think so why seem education pasonol getting to Russian or chaina or western citizens are quaghty difference PhD in Africa fighting for pasonol life and extended family not pablic but wait skin leadership fighting with pablic economy this are different education between wait and we black education
@bilid41282 ай бұрын
😂😂😂😂
@knight67573 ай бұрын
😂
@chapaboyclassic39073 ай бұрын
🤣🤣🤣
@aliyageorge67943 ай бұрын
Mzee mnafiki!
@peterjosephat66853 ай бұрын
Mnafiki niwew
@elioimer84233 ай бұрын
Watu wa ccm ukisema kweli mnafiki ….. anachosema mzee Rungwe kwa sababu tulikuwako wakati ule tuliyaona na ni kweli. Nina uhakika anachosesa mzee ni mnafiki kazaliwa juzi hayajui. Yote haya na uchumi wa nchi ya Tz kwa ujumla kudidimia , ilitokana na vita vya Kagera ni sio vinginevyo. Mpaka leo tumefunga mikanda.