Asante muheshimiwa speaker kwa kumbana waziri wa fedha bado hatoshi kwenye wizara ya fadha
@DeogratiasSangu-n2n7 ай бұрын
Hongera Mh Spika Endelea Kutupigania
@JeyJeydoctar-gq1bw7 ай бұрын
Spika wa Bunge ameupiga mwingi safi sana
@mashipeter48197 ай бұрын
Mheshimiwa Tulia Mungu akuongoze. Heshima kwako.❤
@JeyJeydoctar-gq1bw7 ай бұрын
Na kweli kabisa
@ShekutuKillel7 ай бұрын
Hongera sanaa mama wetu tulia spika wabunge la jamuhuri ya muungano Mungu akulinde una tenda haki
@brightontibenda23467 ай бұрын
Tulia Ana uwezo mkubwa wa kisheria na anaheshimu taaluma yake vizuri. Halima mdee Ni mwanasheria mzuri akitumiwa!
@amosmahona4337 ай бұрын
MH.Mdee na Mh.speaker wa bunge nimewaelewa sana maswali yao
@samochristopherroche99537 ай бұрын
Tulia Akson...uwezo wako ni mkubwa sana,hongera sana,ukiamua kukataa jambo lisilo sahihi unasimama kwa watoa hoja,hubebi waziri kama hujaridhika na hoja zake....big up
@ibrahimmbilinyi-sp4gi7 ай бұрын
Tulia you are a very important woman kwa nchi yetu proud of you❤mpina you are never walk alone boss😎
@chikusangalala77597 ай бұрын
Harima mdee ni kiboko ❤❤❤ kachafuwa hari ya hewa ,
@awatifalghanim11067 ай бұрын
Halima siyo Harima 🤝
@chikusangalala77597 ай бұрын
@@awatifalghanim1106 wewe umenielewa
@saidmussongo15277 ай бұрын
Hajachafua hali ya hewa,anawaonesha jinsi gani hao mawaziri walivyo viporo. Mpina anamweleza Mwigulu atoe vielelezo,hana. Wanakuwa wakali tu. Wana wasiwasi na Mpina.Anawatoa jasho jembamba
@ordafabian51726 ай бұрын
Ra, re, ri, ro, ru. La, le, li, lo, lu.
@nellyhortensia24076 ай бұрын
@@ordafabian5172😂😂😂😂 nimecheka hadi nimekojoaaa
@MdYeasin-xx1gm7 ай бұрын
mdee jembe itakuwaje chadema kafukuzwa mgombea binafsi bongo wana bania anaitajika sanaa mjengoni ❤❤❤
@hajihassan54337 ай бұрын
Huko kuingia Bungeni tu bila chama ni ujembe kweli kweli.
@MiriamAbdallah7 ай бұрын
@@hajihassan5433CCM number 2 hao
@festongonyani1527 ай бұрын
Tutayamaliza baada ya bunge kuisha ondoeni shaka nina imani atarudi cdm
@hajihassan54337 ай бұрын
@@festongonyani152 Yeye yupo CHADEMA dam dam kama kuondolewa wataondolewa kwa mkutano mkuu wa chama.
@mpalalakenan40837 ай бұрын
❤❤ll❤❤@@hajihassan5433
@katikirojuventus7 ай бұрын
Mpina na Halima big up sana. Wapigeni spana hao majizi
@omarali7977 ай бұрын
Siyo Halima ni honourable Halima, hii ndiyo kauli ya Kibunge, heshima muhimu
@danielotienoobunde47387 ай бұрын
Jamaa ana dharau sana anavyo zungumza na mheshimiwa Halima mdee unafikiria ni mtoto
@edwinkajuna72077 ай бұрын
Mwigulu hana sifa za kuwa wazir wa Fedha
@upendoeliya93297 ай бұрын
Mkataba ukishasainiwa kinachofuata ni mkandarasi kupiga kazi na kukamilisha kwa wkt uliokubalika. Mambo ya dola hayahusiani cc tunatumia Tsh. Mwizi mzoefu wewe
@faustinombilinyi98097 ай бұрын
Anabebwa sn na mama Hana sifa hata ya kuwa rais hafai kabisa
@aishahasan77227 ай бұрын
Mwiz tuuu shenz hili
@faustinombilinyi98097 ай бұрын
@@aishahasan7722 kabisa ndugu yangu jizi mno na halina sifa za kuwa waziri
@YusufuRichardchisimilo3 ай бұрын
Hongera yako mh spickar wa bunge safi sana naona unaiiumiza vichwa midume 😂😂😂😂 halimaaaa hongera sana unaongea nusu mate yakupalie yote hayo ni kwaajili ujenzi wa taifa letu
@CafeJohn-n9o5 ай бұрын
Turia uko vizuri sana umempiga maswali ameshindwa kujibu kwa ufasaha umejibu vizuri sana bashing wa
20:05 Very good comment. 28:33 brilliant comment. Very none sense government to sign a contract without signing finance contract together. There are financial instruments which allow future contract to be entered without comprising agreed terms and conditions. That contract is like taking government hostage. The contract should be terminated immediately and revert it to the public to look for the new contractor.
@gabrielmwikanu11607 ай бұрын
Halima mdee namkubali namkubali Sana.
@JeyJeydoctar-gq1bw7 ай бұрын
Hata mm aiseee
@robertmosha68017 ай бұрын
Mwigulu ni deshi sana
@kiongetz51605 ай бұрын
Kiukwel kama cku Mdee ajachangia oja au kutoa mada apa Bungun uwaga najisikia ovyo kabxa tunakupendraaa sana My sstr Mdeee❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@McT-m1m3 ай бұрын
Wewe ndo kama mimi
@ZacariasRamadanMussa7 ай бұрын
Huyu Dr gani haelewi hata maana ya mikataba.mimi sio Dr wala prof ila ktk hili Mwigulu ni achunguzwe halitendei haki Taifa hili ni huyu ni mpuuzi kama wapuuzi wengine
@fatmamtete31916 ай бұрын
Hv hy na yule wa mdor wakariakoo ni mtu na mdogo wake huwa wananivuruga xn hawa binafsi wanazingua
@yusuphmbilinyi6126 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@LowassaLobulu3 ай бұрын
Tulia mungu akubariki xna kwa ugawaji saw wa hoja
@AishaOman-k6f3 ай бұрын
Nimwizi.nani.asiemjua
@kikongajoel26937 ай бұрын
Mwigulu hatoshi kuwa waziri wa fedha Tanzania kabisa
@MrimiMarwa7 ай бұрын
Kweli wazili jina wizi
@BabaLea-ez7pp6 ай бұрын
Aende burundi huyu maana Kaz imemshinda
@LeonardEdward-fb2bn6 ай бұрын
😂😂😂😂@@BabaLea-ez7pp
@tumainikomba90086 ай бұрын
@@LeonardEdward-fb2bnkwakwel aende hatumtak
@rosekimaro3846 ай бұрын
Fukuza mara moja huyo
@JosephMpangala-wd5mp7 ай бұрын
Hii ndiyo tunaitaji spika afanye nawabunge wafanye kwa maslai ya wananchi, Mungu awabariki sana.
@lucaschisamalo28527 ай бұрын
Mama samia sipendi ccm Ila wakati unchukua inchi nilikupenda Sana sana Ila mwigulu hapana mpigaji tu nasijuwi kama utapita kama utabaki na hawa kina mwigulu na nape hupiti nakwambia naapa
@fredyjoackimu-bk1tf6 ай бұрын
Very good mh.Dkt Tulia kwa umakini I ❤ it
@Officialabshry7 ай бұрын
BUNGE KUMBE TAM NAMNA HII😊😊😊😊
@mokiaolenaputu76487 ай бұрын
Tuanzishe petition ya kumtoa Mwigulu kwenye uwaziri wa fedha. Hafai kwenye wizara nyeti Kama hiyo. Kama hawana mtu waende pale UDSM kuna wataalam wa kutosha
@JeyJeydoctar-gq1bw7 ай бұрын
Mwigulu utoke utoke utoke bhana hutakiwi hapo sifa huna ww nchi yetu inayumba sana mpaka wanyonge tunanyanyaswa kila kona toka hapo
@tumainikomba90086 ай бұрын
Kwakwel Mwigulu ni shiiiiiidah😮😮😮😮😮
@mahengedaktari-ek8go7 ай бұрын
Mwigulu mwongo sana
@JeyJeydoctar-gq1bw7 ай бұрын
Afukuzwe kabisa
@Shafikimanga77 ай бұрын
Hapa bunge limejitendea haki
@ImamuKipepe-ke7gv7 ай бұрын
Uko very sana dada tatizo ukiongeaukweli mafisadiwanakuchukia
@ebenezermachange-zp4es7 ай бұрын
Amen...asante Yesu kwakumpatia haki yake...Glory to God kwaajili ya mheshimiwa Makonda
@HekimaKihaliye7 ай бұрын
Hili limwigulu linavaa tai ambalo hanasifa nalo kwani Lina rangi ya Taifa wakati halina maana ya kuitumikia taifa
@HekimaKihaliye7 ай бұрын
Mwigulu jiuzuru tafadhali kama mama hataki kukutoa basi wananchi hatukutaki,tafadhali jiuzuru achia hela zetu
@edwarddaniel56837 ай бұрын
Tuna waziri wa Fedha wa ajabu sana
@aishahasan77227 ай бұрын
Tena lijiziii kabisa hili gulu
@JeyJeydoctar-gq1bw7 ай бұрын
Huyu waziri afukuzwe kazi tuu hakuna kubembeleza mtu hao wanao mpigia makofi anakula nao
@jumanesaidi76357 ай бұрын
Huyu muheshimiwa,kulikoni ? Anavurunda sana, lakini yupo tu ! Kuna mahali alisikika akisema yeye ni mbunge anayependwa sana, ni Kwa mtindo huu ?
@awadhally10526 ай бұрын
Sio wa ajabu ni mwizi
@godfreynoya66706 ай бұрын
Kama hadharani NI hiv...je huko tusiko ona
@matikowambura76577 ай бұрын
Mwigulu ni mhuni
@aishahasan77227 ай бұрын
Nilijiziii shenz
@ALI-g6r7j3 ай бұрын
Mheshimiwa halima mdee'endeley kupambana mpaka kieleweke❤❤😢
@kenjoseph33377 ай бұрын
Tuna waziri wa fedha wa ajabu sana
@aishahasan77227 ай бұрын
Jiziiii kabsaa
@gabybulba95746 ай бұрын
Mhe.Mpina hataki kupapasa muda😃 Nakukubari sana mhe.Mpina
@ibrahimmbango91177 ай бұрын
pongezi kwa mdeee na spika leo nimefurahi saana
@berthamushi68917 ай бұрын
Hongera Kwa Mh.Spika RAIS wa Mabunge yote Duniani na Mh. Halima Mdee na Dr. Mpina Wanasheria Wasomi Endeleeni kuwapigania Watanzania 😂😂😂 EPC+F
@nsajigwamwakalonge57026 ай бұрын
Pongezi za nini wakati nchi inaibiwa watu hawajakamatwa
@JumaSanga-h9q6 ай бұрын
Speka wa bunge safi sana wapane hivyo hivya hongera mwenyezi mungu akulinde kweli unatete wananchi wako
@manoramatv8586 ай бұрын
Bungeni patamu🎉🎉🎉🎉❤
@boniphacetabu29037 ай бұрын
Mdeee apewe chama mwakani awemo tena
@JeyJeydoctar-gq1bw7 ай бұрын
Waziri wa fedha afukuzwe kazi mala moja tayr hapo kuna tatizo
Mwigulu mwambie uyo mama uliekaa nae hapo pembeni agonge meza kwa mala ya mwisho akiludi huku mwanza mwakani aludi bungeni
@RashidRamadhani-b5o7 ай бұрын
Hivi anachokipigia makofi anakielewa kweli huyu au ndo wajumbe ndiyo mana anampigia makofi kila mtu 😂😂😂
@Maxmill_207 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂eeeeeh asirudi au sio
@WinnieMbwiga6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mtume_wa_wengiАй бұрын
Huyo mama namchukia balaaaaaaa yani yupo kimbea tu
@larryking6236 ай бұрын
"Hata Yesu alifundisha kwa mifano"... 😅 waziri bhana janja janja nyingi...
@kambamazig020247 ай бұрын
Mwigulu watanzania wanaelewa technicality zote, usiwafanye watanzania wote kuwa hawakusoma! This is so demeaning those who put you on that position! That is so sick! Mwigulu acha siasa, huwezi kuanza mradi bila ku-approve budget hata kama ni ya miaka mitano. Budget projections huwa zipo wakati mikataba inakuwa signed, hii inaonyesha negligence ama incompetence ya wizara husika!
@BezalelyMasija7 ай бұрын
U
@godwineliya46867 ай бұрын
Mpigaji huyo
@MiriamAbdallah7 ай бұрын
Huyu mwigulu ni nguruwe pori 😢😢😢
@Nedjadist7 ай бұрын
He thinks he is so smart!
@MosokaMosoka7 ай бұрын
Serikali sikivu
@JofreySanga-lu8pn7 ай бұрын
Leo mumejitaidi kubanana vzuri mungekuwa hivo Kila siku taifa lingesimama vizuri
@mkamaboy20167 ай бұрын
Mwigulu, Makame mbarawa n mizigo kwa taifa
@mussamussa81817 ай бұрын
Ongeza na bashungwaa
@JeyJeydoctar-gq1bw7 ай бұрын
Atoke chap cjui nani kamuweka
@mkamaboy20167 ай бұрын
@@mussamussa8181 ummy mwalimu oddo
@success-only7 ай бұрын
Mwigulu Ana mipango yake binafsi na fedha za nchi yetu
@aishahasan77227 ай бұрын
Ndio nijiz shenz sn kandamiz hili mwigulu
@pilihiza12546 ай бұрын
Mh Spika na Mdee mpo vizuri big up
@YusufuRichardchisimilo3 ай бұрын
San
@kambamazig020247 ай бұрын
Mwigulu kwani kwenye mkataba huo hamkuweza ku-lock interest rates? Ina maana basi mikataba yetu ni ya kipuuzi basi. That is not an excuse, umeshindwa kumjibu mbunge swali lake! Spika, asante sana kwa kumbana huyu waziri!
@ramadhanrashidmthailand95537 ай бұрын
Wanaangaliagatu 10% ndio wanachojali
@rithadonatus81107 ай бұрын
Bull shit kabisaaa ... Huyu jamaa ni negativity thinker na ni mjingaaa sanaaa
@rithadonatus81107 ай бұрын
Kwanza hiyo EPC +F ndo ninj??? nishachoka zangu
@nsajigwamwakalonge57026 ай бұрын
Nchi inaibiwa watu wanacheka
@AbihudiJoel7 ай бұрын
Tungekuwa nawabunge kama mdee ishiriini 20 tuu nchi ingesonga mbele
@hajihassan54337 ай бұрын
Yaani 20 wasiokuwa na vyama au?
@MiriamAbdallah7 ай бұрын
Kwenye vyama vya upinzani
@geofreychitamu3667 ай бұрын
Ndg yangu wapo ila wengi ni waoga,wanaogopa wasiojulikana +waliomlisu lisu.
@obsonjulius3125 ай бұрын
Mh Spika,❤❤❤
@noelraphael-e4v4 ай бұрын
Mwigulu Mwaswala ya pesa hayataki kona kona
@manimbakikuli62715 ай бұрын
Mh. Kuchoka, very good point!
@selurashid42527 ай бұрын
madam speaker safi sana wapelekee moto wabunge vilaza wote waache uongooo.
IKIWEZEKANA TUJENGE BARABARA ZA CHUMA MAANA HIZI ZA RAMI NI SHIDA KILA KUKICHA🙌🏻
@HekimaKihaliye7 ай бұрын
Luhaga Mpina mwenyekiti hawezi kukupa nafasi maana hoja zako kauna wa kuzimudu
@mohdndevu99105 ай бұрын
❤ sate kwauchambuzi pamoja namafanikiyo kazinchema
@EzekiaMichael-jn5np7 ай бұрын
Mheshimiwa mdee nimekuelewa sana nimekukubali sana na Rudi chadema kaombe radhi au nenda hata wazalendo Kwa zito kabwa ila Mwigulu twende tukachenge singida pamoja na mimi
Halima upo byer ila waziri ni nomaa.sana shikeni shilingi
@OnesyMbembe-e3v7 ай бұрын
Dr.Mpina safi kabisa wapige spana hao
@peterlove4g8697 ай бұрын
Mwingulu leo kapuyanga😂😂😂 nchi yangu jamani
@athumaniamiri8807 ай бұрын
Aaaa😅😅😅
@fransicLeonard6 ай бұрын
Hongereni Sana wabunge mwiguru pasua kichwa msukuma kaongea ukwel
@selinalawala22707 ай бұрын
Spika anaijua vizuri sheria.
@JeyJeydoctar-gq1bw7 ай бұрын
Spika safi sana
@jacklinelyimo74077 ай бұрын
TULIA ndo Spika wa bunge anaejielewa wale Wenye viti wanapokuwepo hakuna kitu wa toleo abaki TULIA na Nabii Spika kwa sababu wanaelewa kuuliza maswali na changamoto kw Mawaziri
@samwelhechei85377 ай бұрын
Hii ndo maana ya Bunge👏🏻👏🏻
@enoszaka-tx8qw7 ай бұрын
Tanzania watu wanaoweza hawapewi dhamana sasa huyu mwigulu daah 😂😂😂😂
@CharlesBlackson-r4c4 ай бұрын
Mdee hata sauti naipenda uwe namaisha marefu
@bahatigwivaha22017 ай бұрын
Dr tulia nampenda sana. Yuko vzr sana. Ni mfano bora kabisa wa viongozi tunaopaswa kuwa nao. Asante Mungu.
@chrispinechristian2385 ай бұрын
Mwiguru Makufuri alimuona aisee..,.
@EmanuelIsaya-sg8bk7 ай бұрын
Tatizo ni waziri wa Fedha mpigaji
@aishahasan77227 ай бұрын
Jizi sn
@JeyJeydoctar-gq1bw7 ай бұрын
Afukuzwe chap
@tumainikomba90086 ай бұрын
Watakuwa wanajuana😢😢😢mbona mwanzo alitumbuliwa
@stevesungura67897 ай бұрын
Ila nchi yetu inaliwa sana. Mjadala huu nimeuelewa, kuna janjajanja ya kubebwa kwa wakandarasi walioshindwa. Bila shaka wanaowabeba wana maslahi ya ulaji kupiia hao wakandarasi
@rodwellluganomwakatuma28857 ай бұрын
Speaker dada yangu Tulia position yako unaitendea kazi vizuri sana, ila kitu kimoja inapokuja hoja vey serious kama aliyo raise Halima Mdee please punguza mzaha. Wabane hao wahusika kama ulivyomyoosha Mwigulu ambaye anaona kama yeye pekee ndio anaelewa kila kitu. I commend your objectivity. Ndaga fijo kalumbu.
@leandryMmassy6 ай бұрын
Bonge la Spika. Hapo ndo bunge linasimia serekali. Big-up sana.
@msafirimaulidi50547 ай бұрын
Najiuliza kwann mwigulu mpk leo bado yupo oficin
@aishahasan77227 ай бұрын
Yaan cjui linaroga ili libaki officn jizi sn hilo
@JeyJeydoctar-gq1bw7 ай бұрын
Afukuzwe huyo anakela kama nn
@N.T.KDigitalCreation4 ай бұрын
Mwigulu anatuchanganya sana.
@deusisindwa6165 ай бұрын
Ushauli wangu,, Chama chamawakili jitahidin kupeleka wawakili bungen haya mambo ya kisheria msiwaachie wanasiasa wanaliumiza taifa hili,,mikataba mingi inahitaji shelia tusaidien watanzania tunaumia,,
@laurentgwasma45816 ай бұрын
Tulia na mdee wamekomaa sana kwenye sheria
@bakarimusa62975 ай бұрын
Mheshimiwa spika upo vizur safi sana
@Goldenbutterfly-hk1hp7 ай бұрын
Mwigulu n mwizi mbwaa uyuu😂muongo tapeli
@joycepeter51106 ай бұрын
Halima ni Jembe chapa simba bungeni asitoke
@emmanuelNyamohanga-c1n3 ай бұрын
Jamani ukweli Tanzania yetu tunahitaji umakini Sana mwigulu ni shd
@christinenyagiro66626 ай бұрын
Huyu Mwigulu anataka kutafuta pesa. Hata baada ys mkaguzi kuwambia matatizo na bado anaendelea kuwachanganya kupata nafasi ya kuiba ndiyo mafisadi makubwa kabisa.
@nelsonngowi11037 ай бұрын
Halma mdee waambie
@EricNalaila4 ай бұрын
Mwigulu upon safi baba
@JohnMashamba7 ай бұрын
Ubarikiwe mama wa Bunge Dr.
@richardmakweta88756 ай бұрын
Ni Mungu tu atakaye linusuru Taifa hili kwa maneno yoyote ilituvuke ,yaani maneno yoyote ,halafu vicheko vinavyo onesha hamna shida inauma Sana.
@MsafiriFeruze6 ай бұрын
Mungu hawezi nusuru watu ambao hawajielewi ww huoni kenya uko