Point mkuu umeongea Mr. Kunambi morogoro wamehisahau kwa kweli wanadeal na mahala wanapopata kula
@NKUNDWEMEDSON-ie3pi9 ай бұрын
Hongera sana mbunge umenena sawia
@filbertnyoni23529 ай бұрын
Hongera kunambi hata bashe alikua ivyo ivyo lakini alipoukwaa uwaziri kawa mwehu tu kama wehu wengineeeee
@ephraimkabeya96484 ай бұрын
Apewe kazi aonyeshe uwezo wake kwa Taifa
@abdulmagido54449 ай бұрын
Asante sana Muheshimiwa kunambi hoja nzuri za kimkakati nakufuatiria sana mabwawa sio kitu cha kuzalau tatizo letu ni mipango ktk utekelezaje shida kubwa inayotusumbua umesema watu wa gitaa ni wengi wananguvu kubwa pia
@leobalige70699 ай бұрын
Mawaziri na watendaji ni shida!!
@ndolimanaamani91069 ай бұрын
Nakukubali sana ubongo wa kunambi
@kyaruzilutaadolph18359 ай бұрын
Asante mno mno
@SongoloMgallah8 ай бұрын
Tukipata wa bunge kama hawa hata 20 tu nchi nzima tutasonga mbele sana
@georgedamas70979 ай бұрын
Watendaji wabovu Tanzania ndiyo chanzo Cha Umasikini Tanzania....na awo watendaji wabovu wameng'ang'ania nafasi kama rubi hawataki kuziachia wakoradhi kuumwa, kuroga, na kufitina na kujipendekeza kusudi waendelee kubaki na nafasi zao ili mradi mishahara inaingia na posho na marupurupu wanapata, lkn uku nje Kuna watu wanautashi na nguvu na moyo wa kutumika lkn hawapati nafasi ya kuitumikia nchi yao, mpaka uje upate nafasi ya kuitumikia nchi Yako kupitia mifumo ya uongozi utakuwa ushaaribika na kuwa km wao.ndo tatizo la nchi yetu ufisadi na usandiki.
@khalidballeth59579 ай бұрын
KILIMO NI PASSION,,hapo ni kweli kabisa,,,,Naunga mkono h0ja
@sophiamalinga189 ай бұрын
Mdee aliongea la BBT hakueleweka
@razackmuba81959 ай бұрын
Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi lazima tutumie mabwawa na hiyo mito ili kufanya kuwa endelevu na kutoka kwenye kutegemea msimu, hivyo basi mabwawa yanaumuhimu wake
@gikconstruction9 ай бұрын
Kaka naisi awakulewi
@hapaupdates92779 ай бұрын
mabwawa kwasababu man made irrigation system ni sustainable. Alafu wabunge wengi ni midomo tu akili zilichelewa kuload.
@frankbangimoto34629 ай бұрын
Watu wametolewa DSM na hawajawahi hata kwenda shambani. Mmeacha kuchukua Morogoro, Mbeya na sehemu zingine
@deusntobi66829 ай бұрын
Mmmmh!!!
@FilbertLuoga9 ай бұрын
BBT imefeli kwa sababu za siasa kuliko uhalisia wakatangaza kwa vijana walioomba kalibia elfu ishilini na moja ,baadae wamebadilika wakasema wanawachukua wale waliokuwa jkt Sasa Kama mlijua hivyo mliwatangazia nini vijana kusumbua vijana
@karolikisaka89919 ай бұрын
Tunakwama kwa sababu ya uwepo wa ccm. Hivi tuu sukari ni tatizo ndo hayo makubwa mtayaweza
@GodfreyOsward9 ай бұрын
Njaa ikishika tumbo, akili hamna
@jumakapilima72959 ай бұрын
CCM imefeli,,,,
@georgemaganga38049 ай бұрын
Mbunge hujui usemalo.Mabwawa yanayochimbwa ni makinga maji.Yanajengwa kwa kweli wala siyo kuchimbwa😂
@ephraimkabeya96484 ай бұрын
Ooh hivi yanajengwaje kweli?
@RenaldaZeramula9 ай бұрын
Bashe aachue ngazi hii wizara inamfaa kunambi. Ninemdatikua sana hii wizara arsuweza. Bashe haiwezi saana anaiba pesa
@ephraimkabeya96484 ай бұрын
Wewe ni nabii, Sasa umekuwa ukweli kwenye sakata la sukari. Pesa zinapigwa si polepole
@adammlonganile79219 ай бұрын
Na wewe ndio mpiga majungu namba moja kama unayojisema hapo😂
@zenobiakapere13799 ай бұрын
Tumelima mahindi walisema ni biashara wamezuia mahindi tumerudi kulekule hovyo kabisa.
@ephraimkabeya96484 ай бұрын
Bashe sio Mzalendo ni mswahili Sana..!!. Watu wenye maneno mengi Sana asipoiba huwa hawawezi kazi.
@TibihikaGerad9 ай бұрын
Kaka waga una maneno mazur Sina shida na wewe
@sambulugu99889 ай бұрын
Ujinga anaofanya Bashe kwenye BBT utamtokea puani! Very stupid aid sijui aliitoleaga wapi! Akajaza vijana mabishoo wa mjini badala ya kuchukua vijana wanaolima kutoka kwenye maeneo ya wakulima!
@hapaupdates92779 ай бұрын
Ktk wapumbavu niwale wanao kosoa mbinu ya mabwawa kwasababu man made irrigation system ni sustainable. Alafu wabunge wengi ni midomo tu akili zilichelewa kuload.
@hapaupdates92779 ай бұрын
mabwawa kwasababu man made irrigation system ni sustainable. Alafu wabunge wengi ni midomo tu akili zilichelewa kuload.
@hapaupdates92779 ай бұрын
mabwawa kwasababu man made irrigation system ni sustainable. Alafu wabunge wengi ni midomo tu akili zilichelewa kuload.
@hapaupdates92779 ай бұрын
mabwawa kwasababu man made irrigation system ni sustainable. Alafu wabunge wengi ni midomo tu akili zilichelewa kuload.
@hapaupdates92779 ай бұрын
mabwawa kwasababu man made irrigation system ni sustainable. Alafu wabunge wengi ni midomo tu akili zilichelewa kuload.