KUNGWI DUME: KUTOKWA NA MAJIMAJI UKENI

  Рет қаралды 26,351

Ibrah Thedon

Ibrah Thedon

Күн бұрын

Пікірлер: 119
@jaemnettemukeshumana3019
@jaemnettemukeshumana3019 4 ай бұрын
Mimi wakwanza baba nanirikuwa nakusubiri utwambie nini sida kwakweri mimi nateseka Nairo jambo kwakweri ninikifanya mapenzi raudi 2 , nakuwa mukavu kabs shida sijui ❤❤❤❤❤❤❤❤
@FatmaAbubakari-ki5tv
@FatmaAbubakari-ki5tv 2 ай бұрын
Much ❤️❤️❤️❤️❤️ from Saudi Arabia to Kenya 🇰🇪Nakupenda bure kungwi dume umetufunza yenye tulikuwa hatutakuwa Masha Allah ❤
@NduwimanaSalmaa
@NduwimanaSalmaa 4 ай бұрын
nashukur San kungwi maana nilitumiya mbinu uliosema njisi yakuosha uke umenisaidiya San Allah akujaze kila la kheri
@فوزيةالسكيبي
@فوزيةالسكيبي 2 ай бұрын
Asante sana kungwi wangu kwamafunzo mazuri
@ChristineNeema-u5j
@ChristineNeema-u5j 3 ай бұрын
Somo zuri sana ila wanaume wengine unakuta unajisikia na mumeo au mpenzi wako ukiangalia umeoga vizuri umejiaandaa uko na hamu ya tendo la ndoa ila mwenzako anakuja amelewa ukimwambia akaoge mwanzo ndio analala hata habari hana
@Joycekwolola7
@Joycekwolola7 4 ай бұрын
Nimekuwa nakusikiliza siku ukisoma hii comment usitaje jina naomba nilikusikiliza one day nikaonana na mpenzi Wangu ilikuwa kama mara nne siku hizi zingine nilikuwa sisikiagi miguno na minong,Ono Wala Asante hii awamu weee nilimsikia kwa masikio yangu Asante Joyce nitakupenda milele wewe mtamu joy utaniua Asante Asante Asante akinogewa kuzama nikimfinyia ndani utasikia mhmh mhmh wee bhana ubarikiwe ila toka pia nilimzingatia usafi sasahivi naringa
@fatmaali6571
@fatmaali6571 Ай бұрын
Kwa kizungu katerero inamaanisha squirting ❤ shukran kaka Ibrah
@DivineFloridaTayere
@DivineFloridaTayere 4 ай бұрын
Asante sana kungwi nataka nijuwe kuhusu kutumiya tangawizi na karafuu utapika kabla ya kunwa ao utaitumiya ivyo
@EverlynKalenge
@EverlynKalenge 2 ай бұрын
Asanteee nazidi kujifunza mengi napenda sana kipndi chako
@muhinanjowa7229
@muhinanjowa7229 4 ай бұрын
Shukran sna Allah akuhifadhi,nakaribia ktk ndoa nakufatilia na sikubikifika In Sha Allah nitakutafuta rasmi🙏
@serahwambuamukuimukui6957
@serahwambuamukuimukui6957 4 ай бұрын
Napenda mafunzo yako God bless you to long life
@elizashitinda4096
@elizashitinda4096 4 ай бұрын
Karibu sana kungwi dume huku kwetu kenya
@NahGonya
@NahGonya 4 ай бұрын
Shukran kungwi dume kwa kunielemisha❤❤❤❤
@Swabrina-
@Swabrina- 4 ай бұрын
Napenda sana mafunzo yako .. shukran ❤
@hamzarobert2372
@hamzarobert2372 4 ай бұрын
❤❤nimelipenda sana. Somo. Hili ahsante sana
@bahatiomar5297
@bahatiomar5297 4 ай бұрын
Asalamaleikum kaka ibra tafadhal unakatakata madaa umalizi Kwa sababu ya maswali ya nyuma alafu topic husika inakuwa mda mfupi sijapenda kungwi itabidi uanze na topic husika kwanza ndipo maswali badae nakuomba Maana watunyima madam husika
@jameskalugo4583
@jameskalugo4583 4 ай бұрын
Hii Ni ukwel
@Asmini-xp5ld
@Asmini-xp5ld 4 ай бұрын
Hiii nikweli kaka tunavaa mbili kwa ciku
@rehemamgata224
@rehemamgata224 4 ай бұрын
Yaani mimwenyewe yanatoka maji cjawah Kutana na mwanaume asipende ❤
@AminaRamadhan-mg9lj
@AminaRamadhan-mg9lj 3 ай бұрын
@@rehemamgata224 unafnyajee hembuu niambiee mahi🤔🤔🤔🤔🤔
@AliaSultwan
@AliaSultwan 4 ай бұрын
❤❤❤ Asante Sana
@MwashaMwash
@MwashaMwash 4 ай бұрын
Alhamdulillah nimekuw wa 3
@Moïse-w1v
@Moïse-w1v Ай бұрын
Napenda saaana kukusikiya. Kwakutushauri
@MalakMalak-nb9xp
@MalakMalak-nb9xp 4 ай бұрын
Shukran ❤
@Shakillah-Umuhoza
@Shakillah-Umuhoza 4 ай бұрын
Kungwi namba zako sizioni vizuri
@teedullah5708
@teedullah5708 4 ай бұрын
Karibu sn 🇰🇪 ni likoni
@SalhaMahimbo
@SalhaMahimbo Ай бұрын
kungwi naomba uniunge group lako
@jaemnettemukeshumana3019
@jaemnettemukeshumana3019 4 ай бұрын
Naomba rike zangu jaman
@MaryMungai-n4m
@MaryMungai-n4m 4 ай бұрын
Wow ❤❤❤❤
@maryah4601
@maryah4601 4 ай бұрын
Allah protect you
@BimkubwaOthman
@BimkubwaOthman 4 ай бұрын
Mie nahisi Kwanza ongea madam husika badae ndio usome masuali kwani madam hatuipati kwakweli
@MwanauluKisuse
@MwanauluKisuse 4 ай бұрын
Hufurahi sn ninapo kukuona ukiongea hongera sn
@katanaajonathan6987
@katanaajonathan6987 4 ай бұрын
tuna jifunza pia sisi wanaume hilo somo la shanga
@afgyfg555
@afgyfg555 21 күн бұрын
❤️❤️❤️
@majomasliman7856
@majomasliman7856 4 ай бұрын
Asante kungwi duni
@afgyfg555
@afgyfg555 21 күн бұрын
Kugwa asant kwa mafunz yak
@GeneralmarecharlkobiBarabesha
@GeneralmarecharlkobiBarabesha 2 ай бұрын
Asww kungwi ninaswal mimi mume wangu tukiwa kweny tendo la ndoa huwa akawiy njuu yang hamaliz ata dakika tatu nikwanin?
@Zawadi-y2n
@Zawadi-y2n 4 ай бұрын
Karibu Kenya 🇰🇪 sana
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 4 ай бұрын
Hapo kwenye kuvutwa kisimi rafikiangu wa bukoba alinisimilia kumbe ni kweli
@RahmaRathna
@RahmaRathna 26 күн бұрын
Naomba namba ykoo
@sadahamad6158
@sadahamad6158 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉 jaman hadi rahaa twajifunza
@asiaamri3662
@asiaamri3662 25 күн бұрын
Inaitwaje hiyo sindano boss
@MariaSalim-u5z
@MariaSalim-u5z 2 ай бұрын
Mm nko Kenya hiyo dawa inaitwaje kungwi🙏
@nurusaid4698
@nurusaid4698 4 ай бұрын
Ningekuwa Kenya Aki Ningefaya Bidii Nikafika Kupata Ayo Masomo Yako Kugwi Wetu
@NassourBimkubwq
@NassourBimkubwq 3 ай бұрын
Samahani, kitu gani kinachosababisha kutokwa na maji mengi wakati wa tendo la ndoa na baada ya tendo la ndoa?
@majomasliman7856
@majomasliman7856 4 ай бұрын
Hiyo Burundi Wana ita ruganga
@Trifozanestory
@Trifozanestory 2 ай бұрын
Asant kungwi kwaku tufunza mengi ambayo tulikuwa atu yajuwi ila naomb utupe iyi njia yaku ongeza joto ukeni kwamaana ili jambo lina leta utata kwa wana wake wengine
@SaidaSaida-ub4ez
@SaidaSaida-ub4ez 4 ай бұрын
Jamani muendelezo akuna mwisho 25tu
@charitynyanje9228
@charitynyanje9228 4 ай бұрын
Natami ningekuwa nyumbani aki singekosa natamani nikuone live lkn bado nko kazi Saudia
@MwanasityAlly
@MwanasityAlly 4 ай бұрын
Endelea kuwatch kwa hapahapa km mm Hahaha team hammam
@RehemaSalim-d3g
@RehemaSalim-d3g 4 ай бұрын
Aky kumbe tuko wengi,aky mi pia ivyo ivyo,ila nd ivo.i see yni natami ningekua kenya.ila twasugua vyoo😂😂😂😂😂
@naa-e9h
@naa-e9h 24 күн бұрын
Asalam alekum naomba namba ya sim
@maryah4601
@maryah4601 4 ай бұрын
Kungwi please naomba unijunze jinsi yakutumia pipi kifua
@samiinali1359
@samiinali1359 4 ай бұрын
Please hiyo siku ikuwa kenyaa naomba uwe live tuweze kufatilia
@RayaBakari-cw6kc
@RayaBakari-cw6kc 4 ай бұрын
Naomba namb azionekan vzr
@UwinezaShakira-cy8jj
@UwinezaShakira-cy8jj 4 ай бұрын
Namba haiyonekani viziri
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 4 ай бұрын
Naomba kuuliza kungwi hiv kuifnyia kwa ndani inafanya uke kuregea😢😢😢
@Aisha-vr5hb
@Aisha-vr5hb 4 ай бұрын
Kweli 😢
@AsmaAlly-m9i
@AsmaAlly-m9i 4 ай бұрын
Wewe kaka upewe Mau yk
@Khadij-v3m
@Khadij-v3m Ай бұрын
Jamni mie naombeni nijue yaki. Ukikutana na mwanaume kabla hamjaanza akikushikat au mnashikan basi panaloa kwanini
@Joycekwolola7
@Joycekwolola7 4 ай бұрын
Nilikuwa napewa Asante ila tunamshukru siku hio hata sikuomba hela japo si muombaji wa hela kungwi nitakukumbuka
@Maymuna-wc8lz
@Maymuna-wc8lz 4 ай бұрын
Tuleteee muondelezo wa Tamthiliya
@NanaLyana-t7j
@NanaLyana-t7j 3 ай бұрын
Kugwi naomba kujuwa kufiniya kwa ndani
@MariamMwatsama
@MariamMwatsama 4 ай бұрын
Tuonyeshe hiyo dawa vizuri ama iposty
@AnnahNickson
@AnnahNickson 4 ай бұрын
Nakufatilia kutoka Qatar 🔥🔥🔥
@tanzanianhappy60
@tanzanianhappy60 4 ай бұрын
Kungwi.plees.naomba.unitajie.namba
@DonnaLareine-lm3ks
@DonnaLareine-lm3ks 4 ай бұрын
Kusema uke wa mwanamke kutoa harufu na kuwasha na aujawayi kufanya tendo la ndoa?? Inakua nin tatizo
@remiomar7154
@remiomar7154 4 ай бұрын
Tumia karafu Saba weka kwenye maji ya vungu vungu unywe kiasi Cha siku tatu itaondoka hy haru hiyo n chango
@Neemakotei
@Neemakotei 4 ай бұрын
UTI
@remiomar7154
@remiomar7154 4 ай бұрын
@@Neemakotei sio UTI hiyo hutokea Kwa baadhi ya wanawake
@DonnaLareine-lm3ks
@DonnaLareine-lm3ks 4 ай бұрын
@@remiomar7154Asnt sna🙏🏻samahani lakin kwan chango ni nin?? Ila sorry kama nakusumbua
@DonnaLareine-lm3ks
@DonnaLareine-lm3ks 4 ай бұрын
@@Neemakoteindio kuna mda na uti unatoka ila nakua sielew kbs hata nikiuliz mtu awanipi jibu
@rahmahrr4471
@rahmahrr4471 4 ай бұрын
Kungwi wee hatari San ntakutafuta na mie
@LilianCharles-q3h
@LilianCharles-q3h 2 ай бұрын
😂mpaka raha jmn🎉🎉❤
@tanzanianhappy60
@tanzanianhappy60 4 ай бұрын
Hazionekanii.vizuri.hapo
@ShamsaZamda
@ShamsaZamda 4 ай бұрын
Kila mara mwanaume anakwambiya eti baby mimi na enjoy kabisa akini sijawahi kuskiya una mwaga
@JamilaBakari-l9k
@JamilaBakari-l9k 3 ай бұрын
Et kwani ni lazima ukichezewa kisimi maji maji yatoke??
@rosemosesjames538
@rosemosesjames538 Ай бұрын
Iyo dawa inaitwaje
@monicahmaradi-ze7ug
@monicahmaradi-ze7ug 3 ай бұрын
Nmechelewa Lakin nimewai.. Sasa Ibrah kama kuna baadh ya wanaume hawapendi uke wa maji maji aty wanasema sio utamu niukweli ama??..
@BebeMlasi-y3q
@BebeMlasi-y3q 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@DonnaLareine-lm3ks
@DonnaLareine-lm3ks 4 ай бұрын
Na nini inasababisha uke kuregea???
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 4 ай бұрын
Kungwi wetu swali lng,unapopelekwa kwa kungwi alafu unanyweshwa maji kibakulini huku ukiambiwa uteme kwenye chungu kilicho katikati y mchanga,hii ina maana gani
@HfvJfv-zf2dt
@HfvJfv-zf2dt 4 ай бұрын
Nimewahi
@EuniceMrengi
@EuniceMrengi 2 ай бұрын
Kaka kipi chafanya mwanamke hatoi ile maji wakati hisia zimepanda
@ShamsaZamda
@ShamsaZamda 4 ай бұрын
Mbona vidéo aisomi?
@HawaIrankunda
@HawaIrankunda 4 ай бұрын
Asant kaka mim natak uniunge kwenye group lako la WhatsApp
@ShamsaZamda
@ShamsaZamda 4 ай бұрын
ASante kungi
@ShamsaZamda
@ShamsaZamda 4 ай бұрын
Kaka ibrah inakuaje munafanya tendon la ndoa na mume afu unaskiya kila Mara mwanaume anasema I say unanifanya niridhike na ku enjoy ata nikipita inje sioni kama naweza kupagawisha nawanawake wengini afu wewe mwanamke kila mara auskiyi ma raha upo upo tuh maana wewe mwanamke au enjoy kabisa
@remiomar7154
@remiomar7154 4 ай бұрын
Jaribu kumwambia sehemu unazohisi zinakupa hisia awe anakugusa ngusa wakati watendo au ukiwa unaona haya wewe mwenyewe pindi munataka kuanza tendo mshikishe sehemu ambazo zinakupa hisia n huku ukijiachia Kwa sauti flani ya kimahaba atapata motisha na atajuwa jinsi yakukufanya uridhike kufika kileleni
@MariamAlly-hk7io
@MariamAlly-hk7io 2 ай бұрын
Akioa hakwambii
@tanzanianhappy60
@tanzanianhappy60 4 ай бұрын
Namba plees
@TyT-h5l
@TyT-h5l 4 ай бұрын
Kungwi utuambie na dawa asili ya kuongeza uume pia jaman😅 nauliza kwa ajili ya wanaume 100😂
@MAKWEGASALUM
@MAKWEGASALUM 4 ай бұрын
5 ila vidio asomi
@Reema12-v5j
@Reema12-v5j 4 ай бұрын
Kuna Wanawake maswali yao ni pumba KABISAA
@KuvunaGonda
@KuvunaGonda 4 ай бұрын
Tuko hapa tunakusubir
@LilianIngesia
@LilianIngesia 4 ай бұрын
Hii ya Mombasa tupo yaani tupooo team Mombasa come all
@mwanamisimwana4901
@mwanamisimwana4901 4 ай бұрын
Naomba namba ya WhatsApp kungwi
@nasraramadhani4515
@nasraramadhani4515 4 ай бұрын
Humalizi mada😮 jamani
@munamamaj9622
@munamamaj9622 4 ай бұрын
Naomba no za Whatsapp ni join
@KhamisMulife
@KhamisMulife 4 ай бұрын
Naona niunge wasp kungwi
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 4 ай бұрын
Rafiki yangu aliachwa kisa majimaji
@jaemnettemukeshumana3019
@jaemnettemukeshumana3019 4 ай бұрын
Mimi natwa jeannette mimi ni ko burundi nimeuriza mimi nikimariza masiku bira gufanya tendo randoa natokwa namaji maji haadi chupi inarowa arakini nigifanya tendo ire kakwanza unyevu unakuwepo arakini kapiri 2 kanaisha nikiwa mukavu kbs nauke ukiwa ume bana sana shida nini??? Nini niriandika iyo komenti iriyo gushinda gusoma samahani kukwiwetu
@HappynessSeleman-q3f
@HappynessSeleman-q3f 4 ай бұрын
Mmmmh 🤭🤣🤣 sorry nimeshindwa kujizuia kucheka so kwamuandiko huo🫨😶‍🌫️
@Mariam-vu4cp
@Mariam-vu4cp 4 ай бұрын
Pole kw maandishi ila kicheko kaza bwana😂😂😂😂duuuh
@nurusaid4698
@nurusaid4698 4 ай бұрын
Sms Ni Hiii Aki Ameandika Paragirafu Ndefu Na Amekoseya Kuandika Aki Kazi Kugwi Unayo
@DonnaLareine-lm3ks
@DonnaLareine-lm3ks 4 ай бұрын
@@HappynessSeleman-q3fmuhim umemuelew
@FatumaHassan-l5g
@FatumaHassan-l5g 4 ай бұрын
Ah😅
@afgyfg555
@afgyfg555 21 күн бұрын
🙄🙄
@jamlaashiri372
@jamlaashiri372 4 ай бұрын
We nyoko 😂😂😂😂
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 4 ай бұрын
Kuna maswali mengine ni pumba kabisa
@AishaBigirimana
@AishaBigirimana 4 ай бұрын
Kaka mbon mm sirushang maji shind nn
@remiomar7154
@remiomar7154 4 ай бұрын
Sio wote 😂😂😂 Tena bora uwe hurushi maana kitanda huwa chepe chepe kama uliejikojolea
@Neemakotei
@Neemakotei 4 ай бұрын
Hahahahaa😂😂😂😂 kweli bora usiwe na Maji mengi
@yusrasalim75
@yusrasalim75 4 ай бұрын
Na ukiwa unafanya tendo halafu Kuna toa sauti ni nn shida
@remiomar7154
@remiomar7154 4 ай бұрын
Huenda kabla ya kufanya tendo upepo uliitangulia kuingia ukeni kabla ya mpenzi wako kuingiza uume wake n usiwe unajitanuwa sana kabla ya yeye kuingiza uume ndani au uume unapotoka nje wakati wamechi pia huchangia upepo kupenya n kutoa hiyo sauti
@fatmaali6571
@fatmaali6571 Ай бұрын
Kwa kizungu katerero inamaanisha squirting ❤ shukran kaka Ibrah
@MwanamisiMwamakalo
@MwanamisiMwamakalo 4 ай бұрын
❤❤❤
@kandykuden6022
@kandykuden6022 4 ай бұрын
❤❤❤❤
@annamnyazi8206
@annamnyazi8206 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
KUNGWI DUME: JIFUNZE KUSAFISHA UKE
26:32
Ibrah Thedon
Рет қаралды 118 М.
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 36 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 35 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 13 МЛН
KUNGWI DUME: MAFIGA MATATU KWA MWANAMKE
37:13
Ibrah Thedon
Рет қаралды 13 М.
KUNGWI DUME sehemu ya 26
28:06
Ibrah Thedon
Рет қаралды 30 М.
KUNGWI DUME: KUIFINYIA KWA NDANI
32:15
Ibrah Thedon
Рет қаралды 231 М.
KUNGWI DUME: MAMBO YANAYOFANYIKA CHUMBANI
29:06
Ibrah Thedon
Рет қаралды 34 М.
KUNGWI DUME: MATUMIZI YA UNGO KWENYE TENDO LA NDOA 2
38:58
Ibrah Thedon
Рет қаралды 24 М.
KUNGWI DUME: MAANDALIZI YA MWANAUME
26:13
Ibrah Thedon
Рет қаралды 13 М.
KUNGWI DUME: KUTOKWA NA UCHAFU UKENI
29:09
Ibrah Thedon
Рет қаралды 6 М.
Серго нашел золотую жену 🤣
0:59
Бабушка оставила ПАМЯТЬ О СЕБЕ! 😢
0:23
КиноСклад
Рет қаралды 950 М.
FAMILY PICTURE 📸🖼️
0:44
Kan Andrey
Рет қаралды 6 МЛН
: 🙌🏻 أوف يا جماعة!!! 🥴 مجرد أوف
0:28
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 17 МЛН