Kwakweli iko Sawa Sana ila mimi nataka uniweke Sawa ukipata mume ajui mafunzo kungwi ukifundisha na ataki utafanyaje
@BintalyBАй бұрын
Jmn njooni 2fundwe😂😂kungwi ako tyr uku team strong mko wpi kungwi amefika 😂😂
@SalmaTelkomАй бұрын
Sw ila waume wenyewe wako wp??????
@aishafrancis7714Ай бұрын
Nilikuwa nasinzia gafla nimeingia huku.😂😂
@kamarheloАй бұрын
Ibra utabemendwa 🤣🤣🤣🤣🤣
@BintalyBАй бұрын
@@aishafrancis7714 maafii nom. 😂😂😂
@monarose6091Ай бұрын
Ndio apo waume awapo coz watu wazeeka tu majumbani
@صالحالصوافي-غ5و29 күн бұрын
Hatari bibi na kungwi dume❤❤😂
@AminaNgaro28 күн бұрын
Weeeeeh kungwi dume weee😅Mungu akueke miaka mingi
@FatimahAl-f1dАй бұрын
Achilia mambo kungwi Dume twakaka kusikia bibi bado mbichi😊❤
@franciscakija1702Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@SakinaSaid-ht9obАй бұрын
Bibi pambe ❤
@KdSf-h8hАй бұрын
😂😂haki nawapenda bure nyie ❤❤❤❤❤
@AishaMasali-lw8pcАй бұрын
Huyu kungwi nimemwelewa sana bibi kiboko sana huyu akikufunda huachiki wallah
@franciscakija1702Ай бұрын
😅😅😅😅😅 kwa hawa magumegume wa siku hizi au ni kufundisha tu🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️😀
@سعودةتنزانيا-غ6فАй бұрын
Nimechek etiiiiii nawapendeni jamna😊
@BintalyBАй бұрын
Mbn amuachilii mambo ayo kungwi wetu😂😂
@Swabrina-Ай бұрын
😂😂😂😂 umeona eeee
@RehamAlmamariАй бұрын
mbn mahabaaah ❤❤
@muhinanjowa7229Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂mizuka itazuka kwa Dr.Dume ebu bibi acha😅😅😅😅😅
@SalmaTelkomАй бұрын
Mniite ikianza😊😊😊🎉🎉🎉
@mwanaidyhamadiАй бұрын
tayari uku ukuje 😂😂😂
@SalmaTelkomАй бұрын
Ata nishachelewa aki😢😢@@mwanaidyhamadi
@SaumuSaumukhamisiАй бұрын
Aya njoo sasa 👌
@kamarheloАй бұрын
Ila ibra wetu atabemendwa jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mana bibi wamoto
@nizigiyimanaziada2192Ай бұрын
Yaan bibi tungekupata Burundi 🇧🇮 aaaaah mi ningekuja hata mwaka bass unifunde mjukuu wako 😂🤭
@SalamaCharo-q6kАй бұрын
Ila kumbwi dume handsome hdi nawivu😅
@bernakajoro2656Ай бұрын
Mafunzo ni kwa wanawake tu mara nyingi,,wanaume pia wanahitajika kufundwa sana maana hawajui waishi vipi na wake zao
@bernakajoro2656Ай бұрын
Unakuta mwanamke anajua namna ya kuishi na mmewe, mwanaume hajui namna ya kuishi na mkewe,mapenzi ya mmoja ni yawatu wawili wote wanahitaji kupeana kinachostahili kama mke na mme
@aishafrancis7714Ай бұрын
Asanten kwa kutufunza🤝🤝❤❤
@cplusfilm6942Ай бұрын
❤❤
@Amena-pt5olАй бұрын
Mie nataka uyo bibi aje anifunde from kenya
@Joycekwolola7Ай бұрын
Tunasubiri
@fahadrashid9754Ай бұрын
Haha bibi kila dawa anayo
@NeemaSingo-zh4ieАй бұрын
Mie naomba namba ya bibi direct😂
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج10 күн бұрын
Huyu sasa ndio bibi shangingi anafaa kutufunza wale wengn wanaficha
@MuniraGambereАй бұрын
Nasinzia fanya bidii bwana 😂...ila kaka naomba uniambie dawa kuondoa uchafu mzito wenye harufu ukeni (unakaa kama yoghurt hivi na mda mwingine unaelekea kua njano haswa..... tafadhali 🇰🇪
@franciscakija1702Ай бұрын
😳😳😳😳😳nenda hospital
@amounanyale9220Ай бұрын
Yeast infection enda hospital
@SalamaCharo-q6kАй бұрын
😂😂😂😂hri ni cheke maan kuna koment za kuchesh
@yasminjuma9146Ай бұрын
Ndio infraction Muone doctor Hospital
@yasminjuma9146Ай бұрын
Wallah tucheke tu .tuondoe stress
@SalmaTelkomАй бұрын
Wenye tupo Kenya tutapataje izo dawa au ako Tanga sehemu gan
@leilamusa343Ай бұрын
Kungwi mwanadada virgin anafaa kuosha vipi uke wake
@SalmaTelkomАй бұрын
Ety uyo Babu ndo yupi ila weee kaka😆😆😆
@FatimaAli-of4ghАй бұрын
Kama nyumba ya kupanga je
@SalamaCharo-q6kАй бұрын
Mimi nipo namiaka,bila kufanya mapenz jee naeza nikitombwa damu,zitatoka,ama ju nimiaka sasa
@remiomar7154Ай бұрын
Hazitoki damu sema ukimaliza tendo utakuchubuka tuu
@FatimaAli-of4ghАй бұрын
Unakusudia ulishawahi kisha ukaacha au ndo hujawahi kufanya upo bikra
Bib ee masag ndo kusingwa bana Masg kizungu kusingwa kiswahili
@justblackcodeАй бұрын
Hapo kwa kutokwa damu kidogo sikubaliani na kungwi kwa sababu wanawake wanamaubili tofauti. Mwanamke anapokuwa lubricated na yupo na kizinda cha kutosha, ni kawaida kwake kutokutokwa na damu hata kwenye muingilio wake wa kwanza.
@jamilabakari1283Ай бұрын
hii ni kweli maana mm ilinithir sikuwai shiri tendo ila nilipofanya kwa mara ya kwanza sikutokwa na damu nilipata tu maumivu ila nilipo enda kukojoa mkojo ndo umechanganyika na dam .