Asante Roho Mtakatifu kwa somo lilolokuja kwa wakati sahihi. Kuna mavazi mengi yanaigusa familia yangu. BWANA atusaidie.
@jenniferleonard4595 Жыл бұрын
Ee Mungu Baba navua mavazi mabaya na naondo madoa yote katika jina la yesu
@nivesgeoffrey9312 Жыл бұрын
Mpendwa watumishi walishakataa kuandika maombi kwenye comment, unapaswa kuomba mwenyewe physically na sio kwenye comment Na pia unapaswa kuandika YESU✅ au Yesu✅ sio yesu ❌
@joanelvalentina9956 Жыл бұрын
Amen nimefunguka juu ya utata niliokuwa nao kwenye vazi
@suzanlyimo3909 Жыл бұрын
Ameen
@joanelvalentina9956 Жыл бұрын
ibada hii ni kila siku saa kumi na moja asubuhi wahi kupokea vya kwako