No video

KUOTA UKIOKOTA MASHILINGI (COINS) HII NDIYO MAANA YAKE!

  Рет қаралды 33,074

REV PETER NJIHIA

REV PETER NJIHIA

Күн бұрын

Пікірлер: 185
@RonaldOdoury
@RonaldOdoury 4 күн бұрын
Mungu akubariki
@veronicahwanjiku3591
@veronicahwanjiku3591 2 жыл бұрын
Pastor you are helping many, Asante
@VeronicaMushi-ms1tn
@VeronicaMushi-ms1tn Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi. Nimeota mnyama mkubwa sana sana amefungwa kwenye shamba la baba yangu na wanyama wengine aina hiyo hiyo wanakula majani kwenye shamba la wazazi wangu.
@esterwili1226
@esterwili1226 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi.mimi.nipo.singida.nimeota.naokota.sarafu.nyeupe nyingi sana.lakin.ziko.juu.ya.meza.na kunawatu.wamezunguka ile meza lakini wale watu.wakizitazama.sana lakini mimi.nikazichukua zoote
@barakambise5882
@barakambise5882 7 ай бұрын
Poasto mungu akubariki sana somo lako ni nnzuri sana ila sasa nenda kwenye point kwa wakati
@revpeternjihia
@revpeternjihia 7 ай бұрын
Asante.
@emanuelslaa
@emanuelslaa 5 ай бұрын
Yes you are right
@CasianMakochi-en1bp
@CasianMakochi-en1bp 5 ай бұрын
Ubarikiwe Sana Mimi Kuna Mtu kaniitia kazi Mombasa Kenya but Jana nimeota nipo shule ya msingi ambayo nilisoma naokota sarafi nyingi mchanganyiko Mia moja mia tano sijajua ina maana gan please nijue kabla sijaenda👏👏
@erickkwizera1566
@erickkwizera1566 Жыл бұрын
Mungu akubaliki mutumishi wamungu tukopamoja kithunguli
@orleymwanyika7473
@orleymwanyika7473 2 жыл бұрын
Asante kwa kunisaidia kuhusu kumwota mchumba niliyeachana nae mwaka 1997.yeye ameoa na familia ila mm mpaka leo sijawai pata mume mpaka leo .naomba msaada ss tuliahidia kwa kutumia maneno ya Mungu
@kahejashukuru4797
@kahejashukuru4797 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@AmeldaKavishe-ry9ow
@AmeldaKavishe-ry9ow 11 ай бұрын
Mimi naotaga nasifukua chini kwenye udongo
@preciousmunuo142
@preciousmunuo142 2 жыл бұрын
Baba mimi niliota naokota shilingi zinazotumika sasa zinikuwa nyingi na zilikuwa mchanganyiko na pesa za note
@mkaminyintange3602
@mkaminyintange3602 Жыл бұрын
Asante mtumishi nipo tanzania ubarikiwe Sana mtumishi
@sylviamnguni5222
@sylviamnguni5222 8 ай бұрын
Mtumishi Mimi nimeota naokota silver .nipo south Africa
@nanyoraireuben8807
@nanyoraireuben8807 Жыл бұрын
Amen mtumish
@neriahelijah8193
@neriahelijah8193 Жыл бұрын
Amen mtumishi 🙌🙌🙌
@mariamwaweru6049
@mariamwaweru6049 2 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi Leo nkaota nkifungua mlango kwenda kwa room ingine nkapata mbwa mweusi alikua na uoga fulani nikamuliza aliingia aje na kulikua kumefungwa akaanza kutoka akaenda zake alafu pahali nyumba niliokua naishi ni kama nyikani na kulikua mchana na kulikua kunanyesha kinundu ❄️
@juliusmwangi5631
@juliusmwangi5631 Жыл бұрын
Na kutazama nikiwa naivasha I'm angnes
@maclineogaro8949
@maclineogaro8949 2 жыл бұрын
Asante pastor
@allycemwahalende1615
@allycemwahalende1615 2 жыл бұрын
Amina mtumishi mm nimeota nilikuwa na coin Nampa mtu chenji
@user-fu6bv8ic1p
@user-fu6bv8ic1p 9 ай бұрын
nikweli kabisa mtumishi barikiwa sana nimeota natoa hizo sarafu leo nimepata pesa nyingi
@joyceshiyo7257
@joyceshiyo7257 Жыл бұрын
Naomba niombee mtumishi me naota naokota chino silva mungu niokoe
@halimatemba5860
@halimatemba5860 Жыл бұрын
Ameeeeeeen 🙏 nipo dar kurasini
@nahimanamana9532
@nahimanamana9532 2 жыл бұрын
Asante sana 👏👏
@Ruthmpoa-sv9ul
@Ruthmpoa-sv9ul 2 ай бұрын
Mimi niombee pastor, nimekuwa nikifuatilia tafsiri ya ndoto na shangu sote naona tu siko mbaya, yaa jusi niliona naokota mashilingi na sikasibadilisha sikakuwa noti mingi, but sikuwa na hofu.
@FabiolaUmutesi-zj9he
@FabiolaUmutesi-zj9he 3 ай бұрын
Daddy Mimi nimeota nikapewa box ya macoins za rangi ya dhahabu na zilikuwa zimeandikwa nr 777.
@msilangatv4501
@msilangatv4501 2 жыл бұрын
From Tanzania
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y 28 күн бұрын
Mm mtumishi nimeota nikiwa naota mia miambili na miatano Lakin nilipoamka asubh skua na hofu ila ilipofika jioni wazo likaniijia nitafte Maan ake
@venicabirundu726
@venicabirundu726 2 жыл бұрын
Amen from Saudia Arabia
@sarasarunguraru8195
@sarasarunguraru8195 Жыл бұрын
Riyadh Amen
@NeemaMichael-cr8qg
@NeemaMichael-cr8qg Ай бұрын
Baba mm niliota nilikuwa nazo nyingi kwenye Kiribati nikatoa sadaka sillva
@hapynessabdallah6993
@hapynessabdallah6993 13 күн бұрын
Mm nimeota naokota miambili nyingi naomba kujua maan yake
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y 28 күн бұрын
Mm jana tu nmeota naokota masarafu mpk sas sina amani kabca
@sadockeric
@sadockeric 2 ай бұрын
mtumish mm nimeota nimepewa koni mbili za miambil mia mbili
@jenniferkinyanjui2303
@jenniferkinyanjui2303 2 жыл бұрын
Mtumishi niombee roho ya umaskini iniondokee
@DoctorLukas-x9e
@DoctorLukas-x9e 23 күн бұрын
Nimeot tupo wawili lakin Mimi tu naokota nyingi mwenzangu anaolot kidog 16:30
@stumaiabdul7188
@stumaiabdul7188 2 жыл бұрын
Mm nimewai OTA nakota sarafu
@judymemorop6520
@judymemorop6520 Жыл бұрын
Amen I claim it
@akwilinagodwin5959
@akwilinagodwin5959 Жыл бұрын
Mm kipindi chanyuma nilikuw nikiona Mia na ansini lakini juzi nimeota naokota njiani wakati natembea nimeokota miatano na miambili zikiw SEM moja alafu zilikuw nyingi Sana nilikuw kila nikiokota azishi Baba nisaidie
@tinnerlawrence9623
@tinnerlawrence9623 2 жыл бұрын
Nimeota naokota sarafu na maana yake nimeisikia nimeogopa Sana........ nakusikiliza nikiwa morogoro
@mwachakatz3902
@mwachakatz3902 7 күн бұрын
Ukiota umenunua samaki kwa ndoto halafu upewe change ya silver coins halafu zianguke chini halafu uziokote zote tena
@lenardjuma4184
@lenardjuma4184 Жыл бұрын
Mtumishi nimeota naokota sarafu karibu na kanisani zilikuwa nyingi na za noti zilizo Isha nisaidie mtumishi wa mungu nimeogopa kweli
@user-hv5lg2fm9m
@user-hv5lg2fm9m Ай бұрын
Nakutazama nikiwa kahama shinyanga Tanzania
@fadhilaburuhani1774
@fadhilaburuhani1774 Жыл бұрын
From Tz nimeota napewa coins alafu nikawa natembea na mdogo wangu nikamwambia naingia restroom naye akanifaata pale sehemu tunakojoa wote ku likuwa na coins tatu za silver ug shillings. Mdogo wangu akakataa kuziota na mimi nikakataa tukaziacha hapa restroom chini. Ina maana gani hii
@doricerevocatus1989
@doricerevocatus1989 2 жыл бұрын
Mm nateseka Sana na ndoto na sizielewi kabisa naomba namba zako
@zulfamwakitosi5002
@zulfamwakitosi5002 2 жыл бұрын
Nimeota sarafu ya silva ooh Amen baba
@DayHokororo
@DayHokororo 10 ай бұрын
Napenda sana kusikiliza kipindi chako
@UpendoGembe
@UpendoGembe 4 ай бұрын
Amina Mimi nipo morogoro naota sana hizo ndoto niliota Randi elfutano na sijawai ziona
@happinesslioness
@happinesslioness Ай бұрын
Mimi niliota naokota miambili nyingiii gunia linakaribia kujaa pembeni kuna ukuta wa makaburi
@janetmutua4275
@janetmutua4275 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@atarasilahyera1929
@atarasilahyera1929 4 ай бұрын
Niko mbinga RUVUMA,mara nyingi naota nipo shule ya msingi Nini maana yake
@revpeternjihia
@revpeternjihia 4 ай бұрын
Ni roho ya kukurudisha nyuma kiuchumi
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 2 жыл бұрын
Mimi nimeota niko kwanyumba mashilingi zinanimwagikia macoins mengi zamiminika ninimaanayake
@MaryJames-z7i
@MaryJames-z7i 21 күн бұрын
Nakutazama nikiwa mwanza
@marymachange1159
@marymachange1159 3 ай бұрын
Mimi nimeota kushambuliwa na mnyama aina ya komba kaningata kidole gumball ill nilfanikiwa kumquat j e nn maana yake
@WanyagaEma
@WanyagaEma Ай бұрын
Ukiwa kwa gari unaota unalipa na mashiringi inamaanisha nini
@msilangatv4501
@msilangatv4501 2 жыл бұрын
Gaudensia nilikutana mume wangu anaendesha gari ya abiria nawakati kwenye maisha ya asili ajaajiliwa kwenye magari.nikapanda tukakutana na baba nae akapanda lakini mume wangu akawa anaendesha lakini baba akauliza mbona anaendesha Kama Lena na kweli alikuwa anaendesha Kama anajifunza kuendesha lakini Mimi nikamwambia baba tangu ajifunze udereva ajawai pewa gari.atimae tulimshusha baba aende kwangu tulifika stend ambapo nikawa Naondoka mume wangu akamtuma mpiga debe anipe hela silver sita lakini wakati narudi nirishindwa kurudi mpaka nikamwona jirani tunaekaa nae tukasema tukawa tunasubiri gari wote niliamka.
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Gaudensia jibu lako liko hapa watch hadi mwisho nimetafsiri kzbin.info/www/bejne/goW6f5p4m8qVndk
@user-nb4zd3zg6m
@user-nb4zd3zg6m 4 ай бұрын
Mie niliota nimepata shilingi zile za zamani nying sana mchanganyiko nying kweli
@user-wt5dp4kp6f
@user-wt5dp4kp6f 7 ай бұрын
usiku ya Jana nimeota nimeokota 20bob but 10 10..alf kuamka mm sinaga pressure ya pesa nikiwa nayo nisikuwe nayo Niko tu sawa.
@user-ch1tt1yo7p
@user-ch1tt1yo7p 2 ай бұрын
nimeota natembea njiani nikaokota pesa nyingi sana za coins nikabeba mpaka nikaziacha tena coins za nchi mbali mbali
@user-in4dp9yz6n
@user-in4dp9yz6n 3 ай бұрын
Ameen
@coleshija-iz3sm
@coleshija-iz3sm Жыл бұрын
Cole from Tanzania nimeota naokota coin ya silver na gold kwa wakati mmoja
@DoctorLukas-x9e
@DoctorLukas-x9e 23 күн бұрын
Mimi nimeot juzi naokota mashiringi
@stellahokworo6561
@stellahokworo6561 2 жыл бұрын
Amen
@everjohn4945
@everjohn4945 2 жыл бұрын
Mimi nimeota shangazi yangu wa Zambia ananipa coin ya Silva ya kizambia.
@user-hw3rg9db2v
@user-hw3rg9db2v 6 ай бұрын
Pastor ukiota naokota coins za aina moja tsh 500 zote nyingi zingine napewa mpka watu wakajua natumia dawa inamaana gani
@user-ek6qs1mr7c
@user-ek6qs1mr7c 4 ай бұрын
Tiite sayun tz mie niliota nachota sarafu Kwa kitu Kama box yaan ninyingi mno yaan nilichotaa naninavochota hata sichoki bas kunamtu akaja kuniamsha nivoamka nilikuwa na furaha na tabasam mnoo na mikono yangu ilikuwa imekunja Kama kweli nikezishika 😅 yaan Ile ndoto ilikuwa tamu Sanaa Hadi nikaona yule aloniamka kaniboa tuu 😢
@johnmulume888
@johnmulume888 2 жыл бұрын
Bonsoir pasteur ! Nini kipimo chako cha tafsiri ya ndoto mbali mbali ? Mimi ni bwana JOHN kutoka GABON republic
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Bonsoir Pasteur Neno la Mungu ndicho kipimo na kiwango. Mungu akubariki kwa jina la kristo Yesu
@VeronicaMushi-ms1tn
@VeronicaMushi-ms1tn Жыл бұрын
Mara nyingi nikiota ndoto huwa nasahau kabisa .
@jeddymakasi8913
@jeddymakasi8913 2 жыл бұрын
Am sorry jana sikuweza kujoin, niliota nikiwa my former school nikipea pesa ya kununua kalamu ya ndugu yangu ,niliona nikipea askari 1k alete kalamu moja alafu apee balance Kwa mia tano na aniletee mia tano . Nini maana yake na tena kulikuwa askari na watu wakubwa.
@user-nb4zd3zg6m
@user-nb4zd3zg6m 4 ай бұрын
Mie mala nying huota namiliki pesa lakini nikiamka maisha yang ni duni tu,
@lameckmisinzo1682
@lameckmisinzo1682 Жыл бұрын
Me nimeota nipo katika uwanja nazitafuta Ila kila ninaposhika chin naipata katika mchanga nikigusa pengine naipata katika vumb nilijikuta ninazo sarafu nying Sana tofaut tofaut za Sasa na zaman Ila kipind nazitafuta sarafu izo kweny mchanga tulikua wawil pamoja na mdogo angu wa kike ambay ni marehem lakin yy marehem alikua azipat kila akitafuta Ila me tu ndo nilikua nazipata
@marthakichwa7303
@marthakichwa7303 2 жыл бұрын
Bwana asifiwe mchungaji? kila unacho sema ni kweli kabisa.
@user-jv6ds3xj7w
@user-jv6ds3xj7w Жыл бұрын
Nimeota naona nyota nyingi angan zpo katka mpangilio wa sayar na pia zngne zpo na rangi nyekundu na kjan na zngne rang nyeupe ya mng'ao sana je inamanisha nn?
@daudmariyam2350
@daudmariyam2350 Жыл бұрын
Baba leo nimeota na sarafu za dhahabu nimezipanga kwenye dresng table yanguni nyingi nimezipanga kwakwenda juu ni nyingi
@carolinamponji7830
@carolinamponji7830 2 жыл бұрын
Nimeota naokota sarafu za Silva ila alidondisha mwanamke ambaye simjui nikamsaidia kutafuta nikampa hizo sarafu akanishukur San
@rosekiboma3499
@rosekiboma3499 Жыл бұрын
Mimi Rose nakutazama nikiwa Tanga Mjini
@upendosephu1176
@upendosephu1176 9 ай бұрын
Mi naomba niulize ukiota unaokota shilingi mchanganiko nani kama miambili na miatano maana yake nn
@anastaziamasawe4367
@anastaziamasawe4367 2 жыл бұрын
Mimi nimeota nimechukua hizo sarafu kwenye mfuko wa shati nikazishika kwenye mkono
@MariamMariam-pg7uz
@MariamMariam-pg7uz Жыл бұрын
Amiina
@metrinemamajakai9538
@metrinemamajakai9538 Жыл бұрын
Mimi niliota mtu ambaye atuko in good terms na yy anapea mtoto wangu 30 shillings kisha akanipa 450 coins .na atuongei na hyu mtu.
@analupia
@analupia Жыл бұрын
Mtumishi niliota nakimbizwa na mtu nisie mjua mala akaanguka nikamchoma na bisibisi kifuani
@AmeldaKavishe-ry9ow
@AmeldaKavishe-ry9ow Жыл бұрын
Mimi naota nazichimba chini kwenye udongo nyingi Sana pia inajirudia Mara kwa mara
@user-rs9gu7tb5l
@user-rs9gu7tb5l 10 ай бұрын
Na mm nimeota ivyo leo.. Nachimba coins
@sarahkishaluli6087
@sarahkishaluli6087 9 ай бұрын
Umepata hazina za gizani mpendwa (Isaya 45:3), hongera omba MUNGU ndoto itimilike ktk jina la Yesu kristo.
@kelvinndonga9282
@kelvinndonga9282 2 жыл бұрын
Nakutazama nikiwa kayole
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Kelvin Ndoga ubarikiwe sana
@jamillaiddi2990
@jamillaiddi2990 2 жыл бұрын
Amen from golf
@jeddymakasi8913
@jeddymakasi8913 2 жыл бұрын
Yaani askari apeane balnce Kwa mum ,nusu ya 1k itumike na niletewe mia tano
@juliejulia6102
@juliejulia6102 2 жыл бұрын
M nliota kama marafiki Wana nibariki na cions nyingi xna
@marykioko2720
@marykioko2720 2 жыл бұрын
Doro ukitupiwa mashilingi alafu ukiangalia Kwa,mkono unaona ni maharangwe,,NN maana yake
@JacktarimoTarimo-wb4fp
@JacktarimoTarimo-wb4fp 9 ай бұрын
Tuko pamoja mtumishi
@piligeffe2929
@piligeffe2929 2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe ninakutazama nikija manyara katesh nimeota nimepa mtu sh miatano ya sarafu na mia moja ya zamani
@user-hx1sj2rr6f
@user-hx1sj2rr6f 6 ай бұрын
niriota na coin 5bt moja iko na shimo katika bt sijui niritoa wapi hiyo macoin
@JacktarimoTarimo-wb4fp
@JacktarimoTarimo-wb4fp 9 ай бұрын
Mtumishi kuota ndoto kitu kimetoka tumbon baadae mwenzangu akachukua kilichoko kwenye box akatupa. Nikasononeka sana nikamwambia nitaishije bila hilo linyama lililo toka tumbon
@fatumamolel7486
@fatumamolel7486 8 ай бұрын
Nimeota naokota noti za 1000 na 2000 nyingi
@khadijajuma7873
@khadijajuma7873 9 ай бұрын
Mm usiku wa jana tu nimeota naokota Sarafu ya silver tena sio moja zilikuwa ni tatu na zinangara kabisa kama maana ni mpya kabisa.
@JosphineAchieng-pw8yj
@JosphineAchieng-pw8yj 8 ай бұрын
Mimi niliota brother yangu amenipa 30 sh,,alafu akachukua Tena, na tulikuwa nyumbani kuziwa kwetu, Nini maana yake,
@user-tr8on1yf5s
@user-tr8on1yf5s 4 ай бұрын
Nipo Dar Yombo
@eliaslusana1908
@eliaslusana1908 10 ай бұрын
Mimi nimeota nahesabu shilingi zinazo tumika sasa na shilingi zilizo kwisha wakati wake kama vile shilingi tano,kumi na ishilini ndoto hii ina maana ghani mtumishi.
@annamadavid4152
@annamadavid4152 Жыл бұрын
Napata tabu kukuelewa maana unaongea kwa nukta
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
Annama David samahani kwa hilo, ungependa kuelewa nini nikusaidie kama vile mungu ataniwezesha?
@annamadavid4152
@annamadavid4152 Жыл бұрын
@@revpeternjihia napenda kuelewa niliota naokota sarafu za rangi ya gold zikiwa zimejifukia aridhin zikiwa chafu kisha nikasafisha zikang, ara niko Tanzania, kazi yangu nachimba dhahabu
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
kzbin.info0q7ieLLmqms?feature=share
@annamadavid4152
@annamadavid4152 Жыл бұрын
@@revpeternjihia amina dady sasa nimeelewa nilichogundua ni aina Amina baba sasa nimekuelewa ni aina tu ya lafudhi ndio tunatofautiana na za kwetu Tanzania nakufatilia sana
@amissaabdallah2542
@amissaabdallah2542 Жыл бұрын
Mim nimeota nanyanyuwa bido ya litle 20 imekatwa katikati ila kile kipande cacini ,et kimeja pesa zasalafu zakila aina ,yani za duniya nzima ,mulikuwa za langi ya olo,argent yani langi zote ,nataka unifafa nuliye kaka yangu, haya shukran,
@amissaabdallah2542
@amissaabdallah2542 Жыл бұрын
Mim nafata kipindi cako nikiwa Bujumbura,
@omarykasimu8649
@omarykasimu8649 Жыл бұрын
Baba Mimi nimeota silver coin akini nyuma nimegombana na mpenzi wngu niombee tukae sawa na tufanikiwe kuish pmj. Nipo mbeya
@user-if2yo4hy9x
@user-if2yo4hy9x 10 ай бұрын
Naitwa Merry Niko mwananyamala
@mwanamisi9033
@mwanamisi9033 Жыл бұрын
Nimeota naokota coin's ya shilling ishirini na vidala vidogo na mashilingi meupe alfu zile shilingi pakatokea moto akasema nizake nikampa alfu nikabki na zile zengine inamaana gani
@VeronicaMushi-ms1tn
@VeronicaMushi-ms1tn Жыл бұрын
Nimeota ninaokita za sarafu za Kitanzania nyingi kutoka kwenye nyasi.nikaziweka mfukoni. Hii maana take Mtumishi.
@janethobama7124
@janethobama7124 Жыл бұрын
Ammmeeen
@yohanabwanahana9914
@yohanabwanahana9914 2 жыл бұрын
Mm nipo dodoma kibaigwa
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Yohana Bwanahana Karibu sana
@derysalx
@derysalx Жыл бұрын
Mimi nimeota naokota sarafu za Silva nyingi sana ambazo inaonekana zilikua zmefukiwa..nafanya kuzifukua..zilikua nyingi saanaa...ndo Nini maana yake? Maana Mimi ni mtu wa kuota na kusahau mara nyingi Ila mara chache nakumbuka
@VeronicaMushi-ms1tn
@VeronicaMushi-ms1tn Жыл бұрын
Nimeota ndoto ninaoka pesa mchanganyiko wa silva na nyingine Gold.
@lwaboshijeanclaude9516
@lwaboshijeanclaude9516 Жыл бұрын
Nimeota nipo kwenye jengo razamani mabokisi yakabati yalio jengewa salafu nyingi sanaa nanoti nyingi sanaa eti mwisho wake nimemalizia na Ndola izo ndozilikuwa nyingi zaidi eti nilikuwa nashika paka. nyingine zinandodoka kwawingi zilizo kuwazo
@kundwajovia9515
@kundwajovia9515 Жыл бұрын
Mimi Niko nchin Rwanda kigari nirota mutu ananipa faranga 2000 bandages akangeuka akwawa 5000 zahuku Rwanda arafu imekujwa kujwa Sana mucungaji hiyo ninini?
NINI MAANA YA KUOTA NA KUNI?
44:14
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 10 М.
Kuokota pesa kwenye ndoto je utazipata kweli ?
33:10
NNC TV- new nuru cinema
Рет қаралды 54 М.
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 11 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 4,3 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 168 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 3,4 МЛН
KUOTA UNAKULA MAHINDI AMA KUONA MAHINDI KWA NDOTO INA MANISHA NINI?
1:27:25
KUOTA NA MIHOGO (CASSAVA) INA MANISHA NINI? +245706945821
1:32:22
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 12 М.
NDOTO 7 ADUI ANAPANGA KUANGAMIZA WATOTO WAKO.
18:06
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 406
إستمع إلى أغرب القصص المشوقة و العجيبة - قصص ذات عبرة - نبيل العوضي - أروع القصص
3:17:22
KUOTA NA MCHELE INA MANISHA NINI? USIPITWE NA HII
1:00:42
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 11 М.
PLAY THIS MIDNIGHT BATTLE PRAYER EVERY NIGHT AS YOU SLEEP | APOSTLE JOSHUA SELMAN
3:57:37
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 11 МЛН