No video

Kuota Uko Kwa Matope Ina Manisha Nini?

  Рет қаралды 7,228

REV PETER NJIHIA

REV PETER NJIHIA

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@rosemmary6652
@rosemmary6652 Жыл бұрын
Kazi yako ni njema sana pastor Mungu akubariki Mimi nimeota najiviringisha kwenye matope na Kisha nikamwona mtu anaficha ufunguo Nini maana yake
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
Kuna jambo unafanya ama utakuja kifanya itakuchafua na kuleta aibu maishani mwako. Mtu kuficha ufunguo ni kwamba umefungiwa mafanikio .
@rachelmnyimwa4192
@rachelmnyimwa4192 Жыл бұрын
kwanza asante,naomba uniambie maana ya kuota ngombe anafanya mapenx
@BRIGEMANGENI
@BRIGEMANGENI Күн бұрын
Niliota Niko Na mume wangu Na watoto wangu tukitembea Kwa Maji yenye uchafu mchaganyiko Wa matope Na uchafu Wa manyasi
@LilianFelix-my1ew
@LilianFelix-my1ew 13 күн бұрын
Ameen dady mi nimeota nimebebe sufuria kichwani kunasehem nazipeleka sufuria izo mbili.wakati nazipeleka njia yakupita ni matope matupu lakini nilipita salama nakufika baba nini maana yake
@Hotjoy-mt2vl
@Hotjoy-mt2vl 5 ай бұрын
Amen amen amen
@AngelaKarimi-kq7op
@AngelaKarimi-kq7op 5 ай бұрын
Asante pastor nimeota naingia kwa matope lakini mtu akanitoa after kutoka nikaona Tena kuna mtu ananifukuza na ubwa nyingi kama tano hivi inamaanisha nn
@revpeternjihia
@revpeternjihia 5 ай бұрын
Kuona umetolewa kuna mtu atakusaidia kwa hali ngumu utapitia, hila uko na vita kali na adui wengi wanao kimbizana nawe usifaulu . Unaitaji kumuomba mungu sana
@user-nw9cg7it9q
@user-nw9cg7it9q Ай бұрын
Mimi niliwahi kuota nimezama kwenye tope asubuhi kulivyokucha nikaamka naimba wimbo yesu niokoe nisizame hakika aliniokoa nilikutatana mtihani mgumu sana baada ya kuota ndoto hiyo
@lucywanjikumandziuk1611
@lucywanjikumandziuk1611 2 жыл бұрын
Bwana Asifiwe sana Rev
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Lucy Amen
@cynthiashitakwa7847
@cynthiashitakwa7847 2 ай бұрын
Umesema ukweli pia mimi nimeonywa kwa ndoto na kuonyeshwa boma fulani ushago nyumbani kwetu niziungane nao hata kidogo nimeonyeshwa mara mbili😢😢😢😢
@user-qo8qy8zv1f
@user-qo8qy8zv1f 3 ай бұрын
Nimeota ninamsaidia mtu anaepitia kwenye tope ila namimi napitia humohumo
@furahamaiko6851
@furahamaiko6851 Жыл бұрын
Ubalikiwe baba nime amini katika maombiyako naimani nitakuwa swa kwajina rayesu amina
@MaryamMsuya
@MaryamMsuya 3 ай бұрын
Pastor
@tabithaakinyimboya
@tabithaakinyimboya 15 күн бұрын
Na uki ota uko uchi
@cynthiashitakwa7847
@cynthiashitakwa7847 2 ай бұрын
Na ukiota mnajenga permanent house hii ndoto inamaasha nini
@AniphaMwambope
@AniphaMwambope 2 ай бұрын
Nuliota navuka Barbara imejaa tope wengine wanashindwa kuvuka mm navuka
@malianadaniel842
@malianadaniel842 2 жыл бұрын
Mtumishi ni kweli tunaenda mbele kiuchumi taratibu mno hasa kwenye familia je tutajiokoa je Amina
@aishaabdultz2360
@aishaabdultz2360 Жыл бұрын
Mimi nimeota nataka kuvuka daraja uku nimebeba mtoto wa kike mala akatokea mwanaume akanambia pita kule apo utadondoka na uyo mtoto maana daraja lenyewe gogo moja tu ikabidi niende njia nyingine kule nikakutana na tope so jingi la kawaida tu mala nikakutana na mwanaume amevaa nguo nyeupe tupu nikamwambia unaenda wapi anasema naenda kule me nikamwambia usiende kule wamesema wanalekebisha pale darajani pita uku wakat wa kurudi utarudia kule kama mimi tutakuwa pamoja akasema sawa nikamwambia vua ivyo viatu vyako vyeupe vitachafuka ukisha vuka ndo utavaa akakubali ila kabeba begi mgongoni
@angle3600
@angle3600 Жыл бұрын
Wenye kupinga ni wachawi
@annetvuseletse4509
@annetvuseletse4509 4 ай бұрын
Zaburi 69 :14... Zaburi 40:2.. Mungu unitoa katika mikono ya adui wanao niwida mm na ndugu yangu Vincent unajua n kwa nn tupite kwenye matope mengi hivo ,ninalitumaini jina lako najua utatupigania kwa yote na tutashinda .baada ya huu mwaka kuisha nitarudi hapa kukupa sifa kwa matendo yako makuu utakayofanya
@violethmassawe7715
@violethmassawe7715 3 ай бұрын
Pastor nimeota nilikuwa namfuata dd ktk nyumba ya jirani gafla nikajikuta nimeingia kwenye matope nikajikuta nimeairisha kwenda kule alipo nikageuka ila zile ndala zilibaki ndani ya matope
@MaryamMsuya
@MaryamMsuya 3 ай бұрын
Pastor nimeota nipokwenye barabara mbele nikaona barabara nimetitia imetokea shimo refu linamatope nikaruka nikapita upande mwingine nikawa nateleza narudi kwenye hilo shimo la matope lakin wakatokea watu wakanivuta sikuingia tena kwenye hilo shimo la matope
@mligostephen3278
@mligostephen3278 Ай бұрын
Pastor nimeota ndoto nipo eneo kama jalala nafanya usafi,akatokea Mtu akaniita nani nikamfuata
@lucywanjikumandziuk1611
@lucywanjikumandziuk1611 2 жыл бұрын
Watching from Spokane Washington
@williamutogolai3154
@williamutogolai3154 Жыл бұрын
Baba nashukuru sana Mjngu akutie nguvu
@AnnitaShishi
@AnnitaShishi 9 ай бұрын
Hello pastor nmelala mchana nikaota nkioga Niko kwa matope kwa nyumba yngu lakin nlienda kujitowa kuingia ndani yngu napata naishi musituni nmepanga vizuri Kabsa
@suzanne9517
@suzanne9517 Жыл бұрын
Asante sana mtumishi
@MaryKalunde
@MaryKalunde 6 ай бұрын
Shalom baba, nimeota ndoto natembea kwenye matope, lakini tulikua watu wawili, katika kutembea tukasitisha safari yetu maana tuliona tunatembea kwenye tope, tukahailisha safari tuliokua tunaienda, then tukapita njia usio na tope, maana yake nini ?
@angle3600
@angle3600 Жыл бұрын
Asante ,leo nimeota kwenye matope but nikatoka
@nekwolf4019
@nekwolf4019 2 жыл бұрын
Baba me nakuombea sana wanaopinga awataki tujue ili tuishi maisha yetu wanatujua wakristo wazembe Mungu akupe nguvu na Amani uzidi kutusaidia baba kila unachosema kwangu ni kweli kabsa Katika maisha yangu
@abigaelnyagoha1008
@abigaelnyagoha1008 Жыл бұрын
Mtumishi Mimi nimeota ninaogelea kwa tope nzito tukiwa na watoto wangu wawili ila tulitoboa na kutoka ndani ya Hilo tope.
@magrethpastory4311
@magrethpastory4311 5 ай бұрын
Pastor ukimuotea mtu anavuka sehemu ya kivuko chembamba mwisho anazama kwenye matope mengi nini maana yake
@eunicekanorio330
@eunicekanorio330 2 жыл бұрын
Hae dad niliota nikiwa natembelea juu yameza nikiruka kulikuwa na mingi. nikaenda nikiruka zote mpaka nikamaliza zote maana n nn
@UwimanaJeanine-gr3lt
@UwimanaJeanine-gr3lt Жыл бұрын
Mchungaji shalome ,namimi napenda kuota sana niko kwatope sana ilanashindwa kuelewa ,mimi mrundi
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
kzbin.inforqcEdw5cIv4?feature=share
@bmbabaima1506
@bmbabaima1506 Жыл бұрын
Mtumishi Bwana wetu Yesu Kristo asifiwe huku Tanzania tuna shida kidogo unapoanza kipindi unakuwa hewani bila kuanza kipindi kama vile hujajiandaa tofauti na watu wengine
@AnnitaShishi
@AnnitaShishi 9 ай бұрын
Yes hiyo nmeota nkisama kwa matope lakin nikawesa kutoka nkiwa msafi kabsa
@jeddymakasi8913
@jeddymakasi8913 2 жыл бұрын
Mchungaji niliota nikishuka chini kutoka juu ila sikuelewa ni juu wapy Bali nilikuwa nashuka nikishikilia nyumba iliyo na miti sio dhabiti nikiperushwa na upepo Bali sikuanguka , Kuna watu walikuwa wamenigoja chini Kwa nyumba ndani lakini nikashuka Kwa nyumba ingine Kando ya waliokuwa àmbayo ilikuwa imefungwa
@christinazakalia1423
@christinazakalia1423 Жыл бұрын
Nashukuru sana nimekutana na chanel yako mchungaji Leo tar 3/1/2023, niliwah kusumbuliwa sana na ndoto hii yakutembea kwenye matope miaka miwil iliyopita na skujua nifanye nn na imepelekea Leo hii sipo tena ndan ya ndoa yangu na sasa ninaish na mwanaume mwingine anaenipenda na kuniheshimu
@user-sr1dz4wg6p
@user-sr1dz4wg6p 9 ай бұрын
Nliota ndoto natambaa kwenye matope ilabidi niingie huku nitafute kam ntafanikiwa kupata maana yake Nashukur nimeelewa Mtumish ubarikiwe 🙏🙏
@hellenmwenda4971
@hellenmwenda4971 2 жыл бұрын
Nimeota mvua imengesha niaanza kufangia badae nikaona watoto mapacha mke na mme wako kwenye matope nikaanza kuwatoe kwenye matope baadae mimi nami nikanguka kwenye matope nikainuka nikaendelea na kufangia sikijiona niko na matope nisaidie
@agnestunu5527
@agnestunu5527 Жыл бұрын
Mchungaji nmekufollow kwa ajili ya hii ndoto niombee pia niweze kusimama kwa wokovu bila kurudi nyuma nko saudi Arabi pastor
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
@Agnes Tunu Nakuombea utasimama
@Lidyaanthony-bl1nt
@Lidyaanthony-bl1nt 11 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe naitwa lidya niliota nipo na mdogo wangu tunatembea kwenye tope halafu kunahela nyingi zimesambaa mpya elfu tano tano na elfu kumi ila hatuja okota lakini mbeleyetu kunawa mama wawili tulipishana nao kwenye hilo tope nisaidie mtumishi maana yake
@Lidyaanthony-bl1nt
@Lidyaanthony-bl1nt 11 ай бұрын
Tulivua viatu wakati tunatembea peku
@Lidyaanthony-bl1nt
@Lidyaanthony-bl1nt 11 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe nimeota natembea peku kwenye tope mm na mdogo wangu tukaona pesa zanoti zipochini lakin hatujaokota ila tulipishana na wamama wawili siwajui
@user-kt3xh7kr6i
@user-kt3xh7kr6i Жыл бұрын
Mime ôta nimefunika mashimo
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
Isaya 42:22 kufukia mashimo ni ishara ya ushindi .
@eunicekanorio330
@eunicekanorio330 2 жыл бұрын
Tena nikaota nikiwa Kwa maji ndani kwenye mto nanishindwa kutoka
@VioletSaboti
@VioletSaboti 7 ай бұрын
Mimi niliota nimekwa topeni kisha nikajikwamua na kulikuwa kwanyesha na niko kwa daraja maji mengi yako chini ya daraja hilo na nimeogopa kupita natembea kisha naogopa narudi.ndio mtu fklani wa kiume akaja nikaandamana naye kupita kwa hilo daraja na mvus nyembamba ikaendelea kunyesha kule mbele nilikokuwa naelekea ndio nakaamka
@TraylineVera-vj9in
@TraylineVera-vj9in 11 ай бұрын
Mchungaji nmewahi tembea kwa matope nikiteleza ina maana ipi
@janicejohn62
@janicejohn62 2 жыл бұрын
Niliota napita kwenye tope ila nikafika mwisho na nikatoka
@lucywanjikumandziuk1611
@lucywanjikumandziuk1611 2 жыл бұрын
Niliota nyumba yangu imesingirwa na matope but hakuna mtu hio matope ilikua inashika mpaka wenye waliingia kwangu na sandals hawakushikwa na hayo matope
@lucymazimba3322
@lucymazimba3322 Жыл бұрын
Mim nimeota eti Niko kwenye kamrima kadogo tuko wengi na tuko kando ya barabara alaf chin kuna tope et mtoto wangu mdogo akashuka kucheza kwenye tope tukakimbizana naee hatari
@milimili4672
@milimili4672 2 жыл бұрын
Mbwana asifiwa, naongea nikiwa Nairobi Mimi niliota Niko kwenye matope na boyfriend wangu lkn tulifangiwa kutoka na kuendelea na safari
@witnesdaniel6158
@witnesdaniel6158 Жыл бұрын
Nimeota nakanyaga sehemu Kuna Hali ya matope nikiwa nimevaa soksi nikaamua kucmama ckuendelea kutembea ikabidi niletewe mtoto maana nilikuwa namfata mtoto nikatoka kwenye Hilo tope
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
@Witnes Daniel jambo nzuri ulitoka kwenye matope ,ila unatakiwa kumuombea mwanao usije akakupitisha kwenye majaribu maishani, licha ya kuwa mzazi mwaminifu na kuzingatia usafi na madili mema ndiyo socks nyeupe ulijipata kwenye matope. Hilo jaribio linaweza kuchafua jina lako kama hauta zingatia maombi. Na pia ina kuletea roho ya baraka kuchelewa
@VioletNakhumicha-zb8rz
@VioletNakhumicha-zb8rz 5 ай бұрын
Nimeota shemeji yangu Yuko kwenye matope na pia nikaota amejifunga towel pekee na amekaa ndani ya basheni yenye maji,Ina maana gani?
@hellenmwenda4971
@hellenmwenda4971 2 жыл бұрын
Nimeota niko kwa matope mvua imenyesha imepita nilikuwa ma wenzangu nikawaambia huu mchanga umefanywa kumwangwa hapa mbele kulikuwa na mwanaeme amevaa slipers mimi nilikuwa nyuma na wenzangu
@gladysmuthoni4011
@gladysmuthoni4011 Жыл бұрын
Niliota nikipitia kwa matombe😢
@Jojooo527
@Jojooo527 Жыл бұрын
Baba mimi nimeota kuona matope lakini nilikuwa mbali yaani yalinirukia kidogo lakini kulikuwa na mtu akijizungusha katika hiyo matope akachafuka mwili mzima
@HMOZ872
@HMOZ872 Жыл бұрын
Mimi niliota niko kwenye mteremko but mvua ilikua imesha nyesha na nilikua na mtoto kwa mgongo but sikuanguka
@agnestunu5527
@agnestunu5527 Жыл бұрын
Nashukuru sana nmekutana na hii channel Leo jumapili ya tarehe 1/1/2023,usiku wa kuamkia Leo nmeota nkiwa nmeketia matope then naona najipakapaka hapo chini nkiwa nmeyaketia alafu nkaona kulikuwa na wanamme apo pembeni mwangu ndio walikuwa wamekoroga hayo matope,alafu naskia wakisema,sasa mwanamke atakuwaje na ndevu,mm nkawajibu nkawaambia mmmh mnasema ivyo sababu mm nko nazo,then wakanyamaza nkaona gafla nmetoka apo,lakini pia izo ndevu nko nazo kama nne
@everlinekisache6976
@everlinekisache6976 Жыл бұрын
Hello pastor nakutazama nikiwa Saudi Arabia nmeota Leo nmeshika matope Kwa mikono
@moshially2543
@moshially2543 Жыл бұрын
Niliota natembea kwenye tope then nikavuka lile tope nikatokea kwenye barabara mzr yalam imenyooka street
@blessedkesh1
@blessedkesh1 8 ай бұрын
Rafiki yangu aliota nikiwa Kwa matope
@judithadhiambo551
@judithadhiambo551 2 жыл бұрын
Mtumishi nime wai ota nikitembea kwenye tope nasikujua mahayake
@felisterjohn493
@felisterjohn493 7 ай бұрын
Mtumishi mimi nimeota napita juu ya matope na pikipiki
@mercymwangangi9415
@mercymwangangi9415 Жыл бұрын
Niliota nikipitia kwenye matope leo mchana
@christinazakalia1423
@christinazakalia1423 Жыл бұрын
Lkn pia sasa sana na ndoto za nyoka Mara kwa Mara
@MikeMwaibanje-nw6oq
@MikeMwaibanje-nw6oq Жыл бұрын
Sauti ndogo
@user-ng4xq6dw1k
@user-ng4xq6dw1k 3 ай бұрын
Samahani naomba number simu yako
@revpeternjihia
@revpeternjihia 3 ай бұрын
+254706945821
@nanananon7938
@nanananon7938 Жыл бұрын
Ni saidiea na number pliz
@saraemmanuel7285
@saraemmanuel7285 Жыл бұрын
Naomba nomba ya simu
@rosemarymaviala4083
@rosemarymaviala4083 Жыл бұрын
You normally take long to talk paka mtu anawachana na wewe
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
@Rosemary pole but elewa mko wengi na jumbe ni nyingi sana hata nikichukuwa wiki nzima usiku na mchana sitaweza kusoma na kuzimaliza zote, njia nzuri kujibu ndoto zako nifatilie nikiwa live kila saa mbili usiku hapo nitakujibu kwa haraka. Mungu akubariki
@hellenmwenda4971
@hellenmwenda4971 2 жыл бұрын
Nimeota mvua imengesha niaanza kufangia badae nikaona watoto mapacha mke na mme wako kwenye matope nikaanza kuwatoe kwenye matope baadae mimi nami nikanguka kwenye matope nikainuka nikaendelea na kufangia sikijiona niko na matope nisaidie
@saraemmanuel7285
@saraemmanuel7285 Жыл бұрын
Nimeota Kuna hali kama sebule au uwanja wa nyumba Fulani Ina tope jingi sana na nikamwambia mtoto ayatowe akaanza kuyatoa
Kuota Na Maji Machafu Ina Manisha Nini?
1:56:46
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 10 М.
NDOTO 4 HATARI INA KUONYESHA UTAPOTEZA KITU AU MTU WA MAANA MAISHANI
36:20
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 57 МЛН
NDOTO 7 ADUI ANAPANGA KUANGAMIZA WATOTO WAKO.
18:06
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 390
NDOTO | UKIOTA KISIMA HIZI NDIO TAFSIRI ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN
34:00
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 34 М.
KUOTA UKIWA SOKO INA MANISHA NINI?
1:32:44
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 4,9 М.
How My Woman Boss Introduced Me Into A Cult
57:49
Mercy Ndaru
Рет қаралды 34 М.
Theophilus IV / 10 - Deuteronômio
1:29:25
Theophilus Estudo Bíblico
Рет қаралды 839
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 25 М.
Analyse kritischer Überlieferungen | Yasin Al-Hanafi
1:16:13
Yasin Al-Hanafi
Рет қаралды 2,2 М.
NINI MAANA YA KUOTA NA KUNI?
44:14
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 10 М.
MAARIFA YANAVYOWEZA KUKUSAIDIA KUZISHINDA NGUVU ZA GIZA -PASTOR SUNBELLA KYANDO
49:26