NDOTO | UKIOTA KISIMA HIZI NDIO TAFSIRI ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN

  Рет қаралды 37,375

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер
@otiliahaule5180
@otiliahaule5180 4 жыл бұрын
Asante nashukuru sana shekhe kwakunifasiria njozi yangu Mwenyezi Mungu akufungulie milango yako duniani na Ahera
@shukranjazzakhaallahukheir1897
@shukranjazzakhaallahukheir1897 Жыл бұрын
MashaAllah tabarakaAllahu..shukran kazzakh Allah kheir
@HabibuMiraji-u6r
@HabibuMiraji-u6r Жыл бұрын
Uwee unaenda kwenye nada Moja kwa Moja kulko kuitumia mda mwingi
@latefalatefa2664
@latefalatefa2664 3 жыл бұрын
Yaani katika maostadhi wanaofundisha vizuri kuhusu njozi wewe ni namba moja najutia kwanini sikukujua mapema Mwenyezi Mungu Akulinde ilituendelee kunufaika sisi tusiyo jua kufasiri njozi
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Ila hajibu SMS zetu
@jamilaadamu5503
@jamilaadamu5503 2 жыл бұрын
Asante sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 nukta ya 16 ndo niloota mm nashukuru sana kwa kunitafsiria
@فاطمةسعيد-ث2ق
@فاطمةسعيد-ث2ق 2 жыл бұрын
Masha Allah Shukraan
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Waalaykumu ssalam warahmatullwahi wabarakatuh shukran
@jasminali5921
@jasminali5921 4 жыл бұрын
Naam mashaa Allah tabarakallah jazakallahu kheri shekh
@faith4tunemelodies783
@faith4tunemelodies783 2 жыл бұрын
Introduction unachukua mda mtu ansngoja anachoka aki
@asiaissa976
@asiaissa976 4 жыл бұрын
Alhamdulillah shukran sheykh allah akulinde na kilashari
@ggohf7004
@ggohf7004 4 жыл бұрын
Maa shaaa Allah
@francisdonald4298
@francisdonald4298 3 жыл бұрын
Ingependeza zaidi kama ukienda kwenye mada tu maana sio kila mtu anapenda kusikia mambo mengine mengi isipokua lililomfanya atizamw video hii
@vickywingstone3551
@vickywingstone3551 Жыл бұрын
Asante kabisa
@shamimsunura
@shamimsunura Жыл бұрын
Uyu baba anaongea Sana jmn huwa atutak
@SalmaMsikiti-lu5eb
@SalmaMsikiti-lu5eb Жыл бұрын
Ukisema hivyo unakosea sana kwani sikila MTU anapenda upendalo wewe laa jaribu kuwa na hekima katika kauli zako
@francisdonald4298
@francisdonald4298 Жыл бұрын
@@SalmaMsikiti-lu5eb ni kauli ipi ambayo nimenena hapa iko nje ya hekima???
@francisdonald4298
@francisdonald4298 Жыл бұрын
@@SalmaMsikiti-lu5eb maana katika kauli yangu hamna tusi nmetoa mawazo yangu ..kwahiyo nawe tafadhali jitahidi sana kuheshimu mawazo ya wenzio....nadhani hata maana ya neno HEKIMA huijui
@HalimaRamadhan-h9p
@HalimaRamadhan-h9p 23 күн бұрын
Ukimuokoa mtot kisman nn man yake
@asiaissa976
@asiaissa976 4 жыл бұрын
Waalaykumu ssalam warahmatullahi wabarakatuh
@salmahemed6039
@salmahemed6039 2 жыл бұрын
Asant uwe unaenda kwe mada moja kwa moja
@SCHOLALUKENZA
@SCHOLALUKENZA 9 ай бұрын
Nimeota mtoto wangu na wajirani wametumbukia kwenye karo la maji akaja mchungaji akamtoa wa kwangu wajirani akawa ameza Yani wamekufa wote
@seifomar1477
@seifomar1477 3 ай бұрын
A/a
@arjenarjen6718
@arjenarjen6718 2 жыл бұрын
Mimi nilimuona mama yangu anatumbukia katika kisima na Mimi nikamfata ili kumuokoa nikafanikikiwa kumuokoa bado akiwa mzima je ni maana yake
@nassoromwakuchengwa6817
@nassoromwakuchengwa6817 4 ай бұрын
Shekhe bana unachugua mda mwingi kuzungumza xna kma uko kwenye membar nenda kwenye madam makhsus khairul kalami ma kala wadala
@مركزمصادرالتعلمبمدرسةروضةعمان
@مركزمصادرالتعلمبمدرسةروضةعمان 4 жыл бұрын
Tunauliza halaf hatujibiwi
@asiaissa976
@asiaissa976 4 жыл бұрын
Waalaikumu ssalam warahmatullahi wabarakatuh
@teddymnange2499
@teddymnange2499 3 жыл бұрын
Asante Sana kwa kutafisiri ndoto yangu
@BoscoNchembo-js7nh
@BoscoNchembo-js7nh Жыл бұрын
Sheikh Mimi nimeota nachota Maji kisimani ghafla nikamuona Mtoto wangu wa kiume kadumbukia ila anapumua yuko hai nikaacha kuchota nikaenda kuita watu waje wamtoe nikashtuka
@venerandamasunga6789
@venerandamasunga6789 3 жыл бұрын
nimeota ninamtoto wakiume anakichwa kikubwa na pale nilipokuwa nimekaa nikimshangaa akaja mtt wa kakangu akadunbukia kwenye kisima cha maji sio mengi
@Latifasaid-o8f
@Latifasaid-o8f 6 ай бұрын
Maongez mengi punguza
@groliarafaeli7232
@groliarafaeli7232 Жыл бұрын
Mmi nimeota nakimbizwa na mtu nikakutana na kisima njiani nikadumkia kwa ajili ya kujificha maji yalikua machafu alafu machache nikokamo nikaenderea kukimbia
@kanisiamkoko7051
@kanisiamkoko7051 4 жыл бұрын
Mbona maswali haujibu??
@user-bs9rf5fw8x
@user-bs9rf5fw8x 5 ай бұрын
Sheikh unafasili vizuri ila jitaidi kupunguza maneno
@dorcasmueni3221
@dorcasmueni3221 2 жыл бұрын
Na ukiota unachoka maji kisimani na hayo maji n masafi lkn ukibeba Hayo maji n msito Sana
@fatumamwaveso247
@fatumamwaveso247 3 жыл бұрын
Shekh mm nmeota nmebeba Maj kichwan nikamimin kisman ulikua kism kimekauka san
@o6o9o6o9
@o6o9o6o9 2 жыл бұрын
Shekhe upo vzr tafasili zako tatizo unaongea sana nje ya mada
@امينه-ط7ل
@امينه-ط7ل 9 ай бұрын
Asalamu aleiku shee nimeota nimekanyaga maji machafu dani yake kuna grass ya maji
@pendopenias5617
@pendopenias5617 Жыл бұрын
Mm nimeota nadumbukiza pesa kisiman
@IdayaMgaru
@IdayaMgaru Жыл бұрын
Nimeota mtoto kadumbukia kisimani lkn nimeshindwa kumuokoa ila kuna mkaka kamuokoa
@jumannejuma7432
@jumannejuma7432 2 жыл бұрын
Asalam aleykum shegje nimeota mkewangu ametumbukia kisimani kwahiyo nilikua natafuta namna yakumtoa
@MuwezaNathan
@MuwezaNathan 9 ай бұрын
Mimi nimeota nimenunua kiwanja juu ya maji ya kisima nn maana?
@rahmaabdallah9220
@rahmaabdallah9220 4 жыл бұрын
shekh mie nimeota nimepanda farasi na pia niliota naoga baharini lakini nilikuwa na wenzangu na mle baharini vitu vile nilikuwa navipata mimi tu wale wenzangu hawapati kitu kumaanisha wao hawavioni
@seifomar1477
@seifomar1477 3 ай бұрын
A/Alaykum wallah wabarakatu Ustadhi Naomba Niulize ukiota ndoto umeingia katika kisima cha kalbi chenye urefu wa pima 4 hadi 5 Na ukakoga katika maji safi Na kutoka katika kisima hicho ukiwa upo Salama kabisa bila ya kuwa na Hofu Na hapo hapo akatokea mtu ambae ni rafiki yako wa karibu sana na yeye kaingia katika kisima hicho akakoga lkn bahati mbaya baada ya kuingia katika kisima kile maji yote yamechafuka hadi kuwa meusi na yeye huyo rafiki yako pia akashimdwa kutoka katika kisima kile akaganda chini na mimi ndio niloe mtowa baadae kwa kutumia jiti refu lkn baada ya kutoka alibadilika akawa sura ya mtu mwengine kabisa wala mm hanijuwi wala mimi simjuwi na kibaya zaidi amevunjika miguu yote miwili na kjtoweza kuungika tena huku akisema kama yeye ametumwa kuja kunichunguza mimi ila alipo ona nilimsaidia alijutia na kusema huko aliko akigizwa aje kunifuatilia mimi na kunichunguza pia kunifanyia mabaya kwa ule wema nilio mfanyia akaniomba msamaha na kujutia ' kwa Naomba kujuwa nini maana ya ndoto hii "
@jumahagai9013
@jumahagai9013 3 жыл бұрын
Mim nimeota nachimba kisima kikajaa maji mazuri nilitaka kupanda mmea umo lakini nikaotesha pembeni mgomba ulistawi
@agnesschoculate6884
@agnesschoculate6884 3 жыл бұрын
Shehe nimeota nachota maji ndani ya kisima na kuna mwenzangu anapoyapokea hayo maji lakini katika kuchota maji mwenzangu alikuwa na nia mbaya alitaka kuniua ndani ya kisima lakini mungu saidia nilitoka na kuanza kupigana na huyo kijana nikamshinda nini maana yake nisaidie
@ibrasalum9606
@ibrasalum9606 Жыл бұрын
Skuiz hamtoi tena tafsir, maana mm nimekua muhanga wa aina nyingi wa hiz ndoto tena kwa mda mrefu
@kamenemulu8561
@kamenemulu8561 2 жыл бұрын
Nilikua nakimbia nikaanguka kisimani kimejaa maji bt nilieda chini ya hile maji nikapata iji kafu
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 жыл бұрын
Sheikh nimeota namuokoa mtu kwenye kisima lakini huyo mtu alikuwa anajiokoa mwenyewe mara mbili na akawa anaanguka mara ya tatu alivyofika juu nikamsaidia kuokoka na ajali ya kisima
@froridaanthony3278
@froridaanthony3278 3 жыл бұрын
mbona ujatafsili mtu akichota maji kwenye kisima eheee
@ahmedseif1125
@ahmedseif1125 4 жыл бұрын
Ukiota unakunywa pombe na mwanao kabla mtoto hajanywa akaitwa akasema niwekee nakuja ila mimi nikanywa tafsiri
@otiliahaule5180
@otiliahaule5180 4 жыл бұрын
Shekhe mimi nimeota mtoto wangu wakiume amedumbukia kisimani akawaanapiga mayowe nikasikia nikaenda kumuokoa nikatumbukiza kata ya kuteka maji nikamuokoa nakisima kilikuwa kinatoachemichemi maji mazuri meupe sana jenini maana yake
@munirafaki8588
@munirafaki8588 4 жыл бұрын
Nukta ya kumi na sita
@neemaegnatio7725
@neemaegnatio7725 2 жыл бұрын
Mie hata siwaelewagi
@hyasintashayo644
@hyasintashayo644 Жыл бұрын
Nimeota kisima kina maji masafi yaliyotulia na maji take hayajajaa hadi juu, maana take ni nini?
@hadijaramadhani3553
@hadijaramadhani3553 3 жыл бұрын
Nimeota kisima watu wanaoshwa wakwaza kutoka mtoto
@FarhatMohd-dr9lu
@FarhatMohd-dr9lu Жыл бұрын
Shekhe naomba unitafrie ndoto yangu hio ya kisima nimeota naiota Kila mara mtoto wangu anadumbukia kisimani na pia naota mdogo wangu mwa kiume amedumbukia kisimani mm natapatapa
@qatardoha9378
@qatardoha9378 4 жыл бұрын
Sheikh ukiota ndoto mtoto yko amefariki inamanisha nn sheikh?
@ashurasaid5017
@ashurasaid5017 2 жыл бұрын
Samahani shekh nn maana ya kuchota maji kwenye kisima tusaidie shekh
@MichelleMobasa
@MichelleMobasa 3 ай бұрын
Tupo wengi
@nyotajada4263
@nyotajada4263 2 жыл бұрын
Tatizo sara nyingi duuuh
@mamamuu8217
@mamamuu8217 3 жыл бұрын
Assalamu alaikum shekhe Mie nime ota nafua chini ya kisima,lkn hicho kisima kilikua kimefunikwa Kwa juu ,sasa pale juu palikua na mtoto ,mara nikaona kinabomoka nikamuindoa Yule mtoto ,baada ya kumuondoa Tu kikamalizika kubomoka nikaona Yale maji mazuri Sana ,je nini maana yake?
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
TAFSIRI ZA NDOTO ZA NDIZI
13:54
Mponda Media
Рет қаралды 21 М.
IFAHAMU NDOTO YA KISIMA TAFSIRI YAKE SHEIKH MIDRAJ
12:40
Midraj Tv
Рет қаралды 219
TAFSIRI YA NDOTO UNAPOMUONA NYOKA USINGIZINI
7:02
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 143 М.
MASIHI DAJJAL ATASHUKIA KATIKATI YA IRAQ NA SYRIA// SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:03:20