hahahahaha! serikali iwasaidie kushusha bei, ningependa tena serikali imlinde mkulima. kama unataka bei ipungue nenda kalime.
@salhatissa67452 жыл бұрын
Nataka kufanyia na we biashara Kaka nisaidie mm Ni mgen was biashara ya vitunguu
@noelporcalp79802 жыл бұрын
Mimi natajia kuanza kulima vitungu mwezi sita natafuta mnunuzi
@madukurumwanileles79096 жыл бұрын
Hapo ni furusa kwa wakulima kuongeza udhalishaji ni wakati Wa wakulima kupiga pesa,hizo ni changamoto ambazo kwa Mkulima anaye ona hali halisi aongeze uzalishaji.
@davidmatibula93346 жыл бұрын
Halafu wewe mtangazaji vipi aisee? Unataka bei ya vitunguu ishuke halafu watu tunazalisha kwa shida? Ushaulizia bei ya pembejeo au, hili ni soko huria na sio kusema eti serikali iingilie kati watupangie bei, hapo mtatuumiza wakulima wa vitunguu, pia nyanya inaposhukaga bei mpaka debe moja sh 500 mbona huwa hatuwaoni mje mashambani kutuhoji na sisi ili bei ya nyanya ipande?
@yohanamahago81346 жыл бұрын
acha wakulima wapige hera
@davidmatibula93346 жыл бұрын
Kweli Yohana, miaka yote muda huu ukiwa na kitunguu lazima uuze bei nzuri, na kinachochangia kwa sasa watu wengi mitaji imekata hivyo wakulima wamekuwa wachache! Acheni wakulima wapate tu!
@saidasultan87616 жыл бұрын
Naipande zaidi mana wakulima wanapata tabu sana natamani iwe ivyo msimu wote
@davidmatibula93346 жыл бұрын
Saida, yani lazima iwe hivyo mpaka mwezi wa 7 labda ndo itaanza kushuka!