Ujumbe mzuri! Ninachoomba kuwe utafisili Kwa kingereza
@austineodongo2922 Жыл бұрын
Amen nimeuvumilivu Bwana🙏🙏
@samuelmuhindosivamwanza49882 жыл бұрын
Amina. Muende mbali sana watumishi wa Mungu.
@kissahmwakalundwa52902 жыл бұрын
Baada ya Kurasini kwaya kupotea nafurahi kuwaona King Biblos mkituletea ladha ya Kurasini. Mungu awabariki sana na asanteni kwa kutubariki.
@chantynyosoni2934 Жыл бұрын
Aminaa...tusimame imara katika Kristo
@MgesiMagige Жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa kutangaza njili hii kwa njia ya uwimbaji nataman niungane na nyiyny
@faithzolar86952 жыл бұрын
Kwa ivo kurasini choir ziko tofauti mbili ama,mlibarikiwa kweli kwa kuimba Amina
@jameskinyua68102 жыл бұрын
Keep it up Kurasini choir. You take us close to God and His truth.
@happynessmwita28142 жыл бұрын
kila nikisikiliza huu mwimbo unanibariki sana unanitia moyo mbarikiwe sanaaaaa❤
@richardomollo8608 Жыл бұрын
Kings biblos you really are such a blessing.,keep on preaching the gospel thru music and may the Almighty enrich your voices abundantly ❤🙏
@emmaochupe Жыл бұрын
Amen
@advisorhonorables99842 жыл бұрын
This type of singing is the one that used to bring holy spirit in SDA,the moment we started copying other weak styles holy spirit ran away from our church
@gloriousnp2 жыл бұрын
Yaani then kuna haka ka dancing style kamekuja sikuhizi VIKANYAGI wanaita wenyewe KANANIKWAZA KWELI na hapa kwa kua hakapo huwezi ona views na comments mia Mungu atuhurumie 🙏🏿🙏🏿
@denicomar27822 жыл бұрын
You are very correct beloved the destroyer of SDA music in east africa is Ambassadors
@nicholauspatrick7004 Жыл бұрын
Name of mighty be glorify thought this song
@ProsperMlwale4 ай бұрын
The best song from. biblos
@calvincenyawade25522 жыл бұрын
Niwe na ujasiri Kama wa Daudi Amen
@muendomuli9919 Жыл бұрын
I really miss you guys mako saw a kabisa
@zachariakenyela33712 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana, unatia hamasa ya kiimani. Congrats KIng biblos, you doing best. Keep up, never be disappointed by the chaos you are facing, tunawaombea guys!
@bruceodhiambo8442 жыл бұрын
Kazi nzuri....mimi ni kiumbe dhaifu kweli..
@frankmbwambo13212 жыл бұрын
Hivi ndivyo SDA wanaimba sio Ile style ya vikanyagi,Allah bless u pple!
@antonyabudho15732 жыл бұрын
This is the type of song I can't grow weary listening to n watching. I love the bass line wanaume mlijaza hapo waaah.
@purityruwa65542 жыл бұрын
Siwezi peke yangu mimi ni kumbe dhaifu. Nahitaji nguvu zako
@jaredonyango3350 Жыл бұрын
Amen Amen Amen
@gsuhqs46432 жыл бұрын
Mungu tuinue tuwe kama Danieli. Amina
@farajakatende21082 жыл бұрын
Be blessed
@user-wl7dl7ik2j Жыл бұрын
Blessed Sabbath
@mathabolo31582 жыл бұрын
This is a prayer from a contrite and subdued heart expressed through a song.I am blessed and God bless you all Kurasini Kings Biblos 🙏
@wycliffmokoraoimeke99822 жыл бұрын
Nipe uvumilivu bwana Kama wa Musa🙏🙏
@estherkusaga91812 жыл бұрын
Mungu amenuliwa kwa wimbo huu amen barikiweni.
@happynessmwita28142 жыл бұрын
Jana mbarikiwe sana
@user-wl7dl7ik2j Жыл бұрын
Happy Sabbath
@RichardGisiora Жыл бұрын
God bless my people
@ritamachuki32342 жыл бұрын
uvumilivu kama wa Musa,,,
@walterlisutsa83492 жыл бұрын
The authentic Adventist Music. Thanks soo much for helping to shaping the Adventist music. I love Kurasini New K B. Very inspirational, very uplifting
@daudmwakibete982 жыл бұрын
Nabarikiwa na uimbaji wenu.
@DeeOseko2 жыл бұрын
Wimbo wa kiasili wa kiadventista inavyofaa. Mbarikiwe sana
@augustinenathansimotwo10712 жыл бұрын
Haki naguzwa na kubarikiwa.. Mungu awajaze nguvu zaidi
@naomyally41192 жыл бұрын
Mbarikiwe
@willykikwete31762 жыл бұрын
I am so blessed men of God. The way you sing, the message you deliver to the people of the world no one can easily say he/she didn't hear that word. Since then you are all together as a family as no one has left behind. Be blessed forever by Allah!
@justusobure54632 жыл бұрын
Be blessed,you touch my ❤️
@paulbonyo7003 Жыл бұрын
I see you,I see kibasso😢
@frankangira51412 жыл бұрын
Ameen ameen nisimame imara katika neno lako..
@thebereangospelministers2 жыл бұрын
Amen and amen. Let us join hands and make an end year musical.
@allanomondi63792 жыл бұрын
Ayayaya. God has His hand in your music. God bless you all.
@asooraaasooraa48162 жыл бұрын
haleluya and Mungu abariki waimbaji
@emillyobeto56972 жыл бұрын
Barikiwa . Nipe uvumilivu km musa
@jescaodingo95642 жыл бұрын
True Mimi kiumbe dhaifu
@victoriashemele87882 жыл бұрын
@kurasini new king biblos Mbarikiwe sana watu wa Mungu.
@omaepaul2 жыл бұрын
Mungu awabariki
@ianayieko10142 жыл бұрын
Quoted scripture, pure blessing Amen!
@joyachieng91912 жыл бұрын
Amina Amina Amina... Baraka tele
@BARAKA-m-k9e2 жыл бұрын
Mungu awabariki amen
@joashongwen75482 жыл бұрын
Amen...amen Amen this song really tourches my heart Fi real.may u be blessed wana Biblos
@emmanueljalango87242 жыл бұрын
True blessing to me ... May God richly bless you
@Boss_William2 жыл бұрын
Nisiwe na hofu tena 💪 🙏
@marvelousafricacreativeslt94052 жыл бұрын
The glory of God is here! Amen
@ronaldasiago2 жыл бұрын
Such wonderful song
@briannyaberi50222 жыл бұрын
Amen....mungu azidi kuwabariki
@rebeccamongina81982 жыл бұрын
Amen 🙏
@solomonsoro35452 жыл бұрын
Great blessings to all.
@justinemasatu84012 жыл бұрын
Kuna faida gani kuua kwaya ya kanisa, na walimu na wanakwaya kuanzisha kikundi, wakati kwaya iyo ndio iliwalea,
@charlesjackson53342 жыл бұрын
Kaka tatizo sisi wasabato tumesahau njia yetu kaka.Imagine kuna watu wenzetu kabisa wanapa support hawa kama vile wanachokifanya ni sawa kaka. Mimi nimeshangaa sana asee
@faithzolar86952 жыл бұрын
Wanaimba vizuri sijui ni nini iliwagawanya kwa main choir na izi nyuso ndo walikua wakiinua Big kurasini SDA Choir jameni
@beckymetu74102 жыл бұрын
I am blessed, thank you!
@ejidehathanas89852 жыл бұрын
Emen Emen
@jamesmokaya90892 жыл бұрын
Amen.
@emmaochupe2 жыл бұрын
Amen
@gracewilliam41022 жыл бұрын
Nisiwe na hofu tena nisiogope kitu
@DennisOdhiambo2983A2 жыл бұрын
Amen🙏🏽
@judithmiguda17912 жыл бұрын
Amen!
@peterodida82092 жыл бұрын
Yani jamani najiskia tyari nipo binguni naimba na malaika , it’s really touching.ujumbe mtamu na wa uakika. Biblos twaawaombea mmfike mbali sana
@duncan44332 жыл бұрын
Your songs are blessings to many. May the Holy Spirit always guide you when writing these songs.