HATMA YA KUZIKWA TAJIRI WA MADINI MKE AENDA MAHAKAMANI ZUIO LATOKA WANANCHI WATAWANYIKA MOCHWARI.

  Рет қаралды 10,858

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 42
@Osm90-m3j
@Osm90-m3j 5 сағат бұрын
Yani misiba yakichaga inatia aibu tamaa wameweka mbele ndugu wamume mara nyingi wananjaa sana 😂😂😂
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Сағат бұрын
Ndo maana siku mkiwapa Uongozi mkubwa Serikalini Hawa , mtalia 😢yani,Sijuwi Mali huwa wanaona ndo Nini? Halafu wote,wanawake,wanaume,watoto,Mali,Mali,Mali hawana utu😢
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 6 сағат бұрын
MPO SAHIHI SANA MAHAKAMA MSAIDIENI HUYO MAMA MJANE. TENA MSIMAMIENI NAONA WATAMNYANG'ANYA NA VITU VYA MAREHEMU. MTU AKIFA WANAJITOKEZA MATAPELI HAO. KWELI WAJANE TUNAKAZI SANA HUO NI UONGO MAREHEMU ALIACHA WOSIYA WAPI?HUO NI UONGO TUU.
@DeodatyVisenty
@DeodatyVisenty 4 сағат бұрын
Wakupe mume wako akazikuwe alopo semaga namali zote nizako nawatoto wako ao dugu wajiga sana
@johnwilliam8980
@johnwilliam8980 4 сағат бұрын
Wachaga ni shida mbona wakati wanafunga ndoa hawjazuia ila kwa kutaka kumdhulum wanakuwa wakali
@LaurenciaKitauli-or8rr
@LaurenciaKitauli-or8rr 5 сағат бұрын
Tujifunze kuandika wosia . Wamenikumbusha mbali sana. Nami ni mjane ! Kama mwili ni hivi . Je mali ?
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 6 сағат бұрын
NA NYIE NDUGU WA MAREHEMU MNANG'ANG'ANIA HUYO MAREHEMU KWA NN MNAFANYA HIVYO?MNAMNYANYASA MJANE. SERIKALI HAO WAMEZOEA KUMZURUMU MJANE ACHENI UNYANYASAJI. MKE WAKE NDY NI HALALI. HY FAMILIA INATAKA NN?WASHEZI HAO
@hassanthabit3726
@hassanthabit3726 4 сағат бұрын
Co kumdhurumu meme akiwa hai ndio una mamlaka nae akifariki ndugu zake ndio wana mamlaka nae
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 2 сағат бұрын
​@@hassanthabit3726Unaongea kwa busara gani? Kuna ndugu wa mtu zaidi ya familia yake hasa watoto? Ebu tuliza akili!
@Ashrey82
@Ashrey82 4 сағат бұрын
Ndugu wa marehemu wanataka kudhurumu Mali hakuna kingine 😞
@SATULEJUCCA
@SATULEJUCCA 5 сағат бұрын
Mke apewe mme wake akamzike. Huyo mwanamke ndiye mwenye uchungu halali na marehemu. Ndiye anayejua machungu na matamu waliyopitia. Nyie wachaga nao vp bana?
@MonadiNadi-j6s
@MonadiNadi-j6s 5 сағат бұрын
Je angekufa mke wake upande wa kiken wangetaka maiti msingempa nawajuwa wachaga mpen maiti yke azike na watoto wake nn lkn
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 6 сағат бұрын
Kuwpuka migogoro kama hii nawashauri Ndoa iheshimiwe na watu wote
@mkubwakasim1470
@mkubwakasim1470 6 сағат бұрын
Misingi ya dini ni muhimu
@isayakazimoto3192
@isayakazimoto3192 5 сағат бұрын
Yaan mali zitawatoa roho watu wajinga,aliyeolewa ni mmoja je hawa wengine wanatoka wapi au na wao waliolewa na marehemu😅
@josephineokama2200
@josephineokama2200 5 сағат бұрын
wachaga wanalaana kwenye Mali aisee .mtu ana Mke tena wa ndoa na anawatoto shida Iko wapi wakati na harusi Yao waliudhuria? na angekua Hana ndoa ninachokiona wangemkana jamani
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f 2 сағат бұрын
Mimi naona ki dini mke kama kaolewa wa mupe mume wake akamuzike yeye
@husnashoo6286
@husnashoo6286 5 сағат бұрын
Jamani mdogo wangu nakuomea huruma pole sana
@isayakazimoto3192
@isayakazimoto3192 5 сағат бұрын
Kisa ni mtu wa madini na anayo ela,ulaku mtupu
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 3 сағат бұрын
Kumekucha diss umeacha watu wanangombana mungu tusaidie mke amzike mume wake yote hayo no taama za mali
@zamzanimakundi2546
@zamzanimakundi2546 3 сағат бұрын
Na ujanja wote dc anataabika kisa vitu vidogo.wakae mezani wazazi watoto mke waelewane tuu.yote hiyo ni uchu wa mali kwa wote.lala salama kaka yangu dc
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 18 минут бұрын
Haya yote yanaendelea maiti iko tu?? Watu wana moyo MUNGU nijalie riziki kama upendavyo
@pungopungo411
@pungopungo411 Сағат бұрын
Mnaburuza midira yenu kwakuwa Kuna chakula na vinywaji.angekua lofa kila mtu angetoa udhuru
@hassanthabit3726
@hassanthabit3726 4 сағат бұрын
WANASHERIA WAHUNI. HATA KAMA AJUA ATASHINDWA ANAMANENO MENDI ILI UTOE FEDHA
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 2 сағат бұрын
Wahuni hawa wako kifedha zaidi hata kama anajua kesi anaenda kushindwa anakupiga hela
@zainabwage4658
@zainabwage4658 5 сағат бұрын
Tamaa mbaya
@hyy4114
@hyy4114 2 сағат бұрын
inna lillah wainna illahy Rajioun Jmn tuwe na huruma na maiti mtu kajifia maumivu ya kutolewa roho anaijua mwenyewe wann sasa mnamdhalalisha si mpatane mmzike mwenzenu akakumbane na aloyavuna wann sasa kumfanyia hv😢
@pungopungo411
@pungopungo411 Сағат бұрын
Marehemu angekua maskini hata kwenye kuzika wasingefika tatizo mali
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 4 сағат бұрын
Mh!!
@hassanthabit3726
@hassanthabit3726 4 сағат бұрын
AFA UFARA WEWE MTOTO NA KAKA WA MAREHEMU MKEE WA MAREHEMU NA BABA WA MAREHEMU NA KAKA WA MAREHEMU NANI ANAHAKI.
@pungopungo411
@pungopungo411 Сағат бұрын
Nani kakuambia uje si mlijua kuna ulaji.angekua kamera mngekuja?
@pungopungo411
@pungopungo411 Сағат бұрын
Huyo ni mwanzo tu kinachochibwa hapo ni mali
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 5 сағат бұрын
Haya manamake nayo msikingie kifua.Mwanamke wa leo akishaolewa tu,anaanza kampeni kuvuruga ndugu na ukoo.Ww.umefiwa unapata wapi nguvu ya kuhangaika mahakamani.Hapo shida ni mali.
@yahayammbaga1839
@yahayammbaga1839 5 сағат бұрын
Kwani ndg wa marehemu wasimsikilize mke wa marehemu?
@Ashrey82
@Ashrey82 4 сағат бұрын
Lazima atetee Mali za Watoto wake akilemaa tu zimeenda hapo!
@RehemaMtono
@RehemaMtono 3 сағат бұрын
Sahizi ukifiwa usilie kijinga watakunyanganya kila kitu huyu dada anatetea mali za watoto wake
@HonorataMafala
@HonorataMafala 2 сағат бұрын
Kina Temu shemeji yenu mmemsahau hata watoto?
@hassanthabit3726
@hassanthabit3726 4 сағат бұрын
KUSHIRIKISHWA CO MMILIKI WA MWILI.
@hassanthabit3726
@hassanthabit3726 4 сағат бұрын
HAWANA USIA HAO NA KAMA UPO ATOE BABA AU KAKA
@NBTVIEW
@NBTVIEW 2 сағат бұрын
Mambo ya mali
@dorcasPhyuza
@dorcasPhyuza 4 сағат бұрын
Yn wachnga ....laana sumaakaa🙌🙌🙌
@omaryibrahimu7822
@omaryibrahimu7822 5 сағат бұрын
Duuh
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 25 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 12 МЛН
MCHUANO MKALI MAHAKAMANI MPINA AIBURUZA  SERIKALI
5:49
Uhondo TV
Рет қаралды 6 М.
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 25 МЛН