Huyo Robaaaaaa huyo aje amsaidie huyu mama aiseee Mungu atakusaidia dada ndugu wa mume wamekuwa mwiba sana
@philipsilayo3 ай бұрын
Kumbe kuna no 1??wakili ka futui,ila yupo sawa kisheria! Nakupa salute wakili! Hii inaitwa ,kupambana hadi mwisho wa uwezo!!
@dallasmusic64653 ай бұрын
NDUGU HAMUHUSIKI NA MALI ZA MAREHEM NA KAMA MAREHEM ANA WATOTO NA MKE MALI ZAKE NI HAKI YA FAMILY YAKE NDUGU TAFTENI CHENU NA FAMILY ZETU... TAMAA ZA KIJINGA TU AKATI WOTE HAPA DUNIANI NI MAREHEM WATARAJIWA TUACHE TABIA YA KUSHOBOKEA VYA WATU NA MAREHEM ANA HAKI YA KUCHAGUA PIA PA KUZIKWA
@asiamalonji59623 ай бұрын
Mtaamuaje mazishi bila mke kumshirikisha ndugu wa mume mna viherehere😮
@RosemaryMalya3 ай бұрын
Sana sijui wana kwama wapi
@ShukranMustapha3 ай бұрын
Tamaa ya mali
@NoelaPeter-dc4dn3 ай бұрын
Tamaa za mali tu Amna kingine
@JoyceMwita-e3w3 ай бұрын
Ubinadamu kazi Sana
@dorahmushi-we6ts3 ай бұрын
Mke anasimamia kile mume amesema, ni haki yake , mimi ni muhanga wa haya mambo,Mungu atusaidie sana.
@richardswai52063 ай бұрын
Angekuwa masikini tungeshamzika njiro daaaah😭😭😭
@malakimollel60443 ай бұрын
Chaaap chere
@Amedeus-fg8wq3 ай бұрын
😂😂😂 HUYO alikuwa ana pesa, Msiba wa maskini hakuna Mambo hayo
@rahema9073 ай бұрын
😂💯
@halimamasai22343 ай бұрын
😂😂😂😂
@JudithAdonis3 ай бұрын
Ndugu upande wa mwanaume cjui huwa wanakuwa na shida gan jamaaniii 😭😭😭😭 Most of time huwa wanaleta fujo and wakati mwingine hata muhusika akiwa hai yaaaan wanajiona zile mali ni za ukoo - mke anakuwa mnyonge !! Wanaume naomba muwe mnatupa nafasi kama wake ( ndugu ni muhimu sana kuwa support lkn usimfanye mkeo awe mnyonge kwao 😭😭😭 ) Hao wamepata wapi hzo nguvu za kumsumbua huyo Mama ? Huo ujasiri umetoka wapi ?
@EglahNyabweke2 ай бұрын
Ndugu wa marehemuvwaheshimu kauli ya marehemu pia mjane aheshimike mawazo yake
@ZuhuraSaidi-y1j3 ай бұрын
Dah ukiwa na pesa hekaheka mpaka siku ya mazishi...ingekuwa maskini kitambo tu
@lovenessvisent94083 ай бұрын
Niliongea hivi hata kabla ya kusoma coment
@joyceryoba48133 ай бұрын
😂😂😂
@AminaAmine-v4m3 ай бұрын
Ona kwanza hiyo mipilau nyama 😮😮😊
@sosomacharles99203 ай бұрын
Arusha siyo sehemu ya kuishi kabisa,labda niwe kikazi,lakini nitafanya kila namna nihishwe,maana matukio ya ajabu ajabu ni mengi mengi.
@sammychansa17973 ай бұрын
Arusha nyumbn napapenda xnaa np dar ila napawaza Arusha kila sa,ntakufa kwajil ya arusha
@sosomacharles99203 ай бұрын
@@sammychansa1797 Jitahidi uende.
@ritamaro54443 ай бұрын
Point,Arusha kuna mapepo
@KuruthumBilali3 ай бұрын
Innalillah wainna ilàih rajiuna
@judnesstemba72523 ай бұрын
Dah huu ni unyanyapaaji wa mke wa marehemu hawamthamni shemeji kwa kuwa mume kashafariki
@GodySwitie3 ай бұрын
Anajua akizikwa hapo hapatauzika huyo mama anamalengo makubwa
@polycarpykavishe90013 ай бұрын
Mke kasema eneo waliloenda kuchimba ni padogo ni eneo finyu na hapana makazi kwahiyo ndugu ndio wanashida
@gracemil97143 ай бұрын
Pole jaman, duh
@GlorydavidJeremiah3 ай бұрын
Tunamihitaji Mungu sana lakini wacaga wanapenda mali sana
@judnesstemba72523 ай бұрын
Oya tengua kauli yako sio wachaga wote kima ww
@annamussa1853 ай бұрын
@@judnesstemba7252ni wachagha wote😂😂😂mnapenda mali
@israelkisaila84013 ай бұрын
Wachaga ni watu wa hovyo,hawana utu hata kidogo wao ni Pesa,Mali,utu hawana,Mimi sitakagi hata mchaga 1 awe jirani yangu na ninashukuri MUNGU,hajawahi kunipa jirani yangu mchaga.😢😢 Ni watu wa hovyo,husitamani.
@Brunn-mh2bq3 ай бұрын
@@israelkisaila8401Israel weye kakuambia nani kuwa wachagga wanakuhitaji. Waongea kama mtu wakati weye mpuuzi tu. Tangu lini kabila nzima wote uwaone wa ovyo weye kabila yako ina sukari gani. Hii Tz bado mnataka kuturudisha kwenye enzi za ukoloni. Tuache hii tabia mnajidhalilisha tu kwa wivu wenu wa kijinga. Weye huwezi kujilinganisha na ye yote maana akili huna 😢
@judnesstemba72523 ай бұрын
@@israelkisaila8401 we usijumuishe wachaga wote pimbi mmoja
@itanzaniaAS3 ай бұрын
SAFI. USIA WA MAREHEMU UWE UNAHESHIMIWA. TUACHE KUDHARAU KAULI ZA WATU WAKIWA WAMEKUFA
@DonasiaKisanga3 ай бұрын
Mungu atakupigania my wii
@graficitv44123 ай бұрын
Mama hilder wangu pole jiran yangu
@MajunMsouth3 ай бұрын
Mungu ailaze pema pepon rohoo yakee umesaidia xana jamii
@asteriashios18523 ай бұрын
Mke ana haki ya kumnzika mumewe hiyo ni Sheria kabisa ndugu Wana shida sana
@bonifasimichael13203 ай бұрын
Serikali iingilie Kati na imsaidie huyo mama uyo wifi mpumbavu kbs ndio maana wanakujaga kufa ovyo .Kama mnakumbuka kifo Cha mareemu Bilionea Erasto wifi alikua mwiba akaja kufa kifo kibaya kuuwawa na watu wasiofaamika mpaka Sasa
@maprosokelly29863 ай бұрын
Mungu ailaze roho ya marehemu mahal pema mbinguni
@elizasichone61043 ай бұрын
Ukiwa masikini shida ukiwa na mali matatizo...ndo mana nikipata afu10 watu wanajuwa niko vizuri mana lazima wanione buchani woiiiii😂😂😂😂
@isaackemanuel37123 ай бұрын
Unachima madini ardhini unakufa wanakataa kukuzika ardhrini. Mimi nikifa nizikwe popote hata baharini mambo yangu yalishamalizika file limerudi mezani Kwa Baba.
@asteriashios18523 ай бұрын
Heshimuni mamunzi ya mkewe maana walishapanga watazikwa kwingine ndugu wasiingilie familia ya watu hata km ni ndugu yao
@EdwinJambo3 ай бұрын
Baada ya ndoa familia ya mwanaume ndio wenye kauli na sio mwanamke ivyo upande wa wanaume wakikubali kwenda kuzika upande mwanamke alipo pataka nashuri upande wa kiume wasiende
@SalmaBinyaga3 ай бұрын
Sijawah ckia hiyo mke ndo anapaswa kuamua c wampe amzike tuu mumewe yote hiyo ni tamaa ya mali jmn
@EdwinJambo3 ай бұрын
@@SalmaBinyaga hapana sio utamaduni wa watanzania familia ya mwanaume ndio inaamua juu ya mazishi ya mume, mke na watoto walio zaliwa ki halali na kwa kulipia mahari
@trecygohy78473 ай бұрын
@@EdwinJambo Hio sehemu imeandikwa wapi au una sema maneno yako ?
@mariumseif67513 ай бұрын
@@EdwinJamboNyoosha maelezo mbona hueleweki
@EmmanuelNyinyigwa-m1o3 ай бұрын
Wachaga mmezid utapeli kuwazulum wajane
@richardmshiu51183 ай бұрын
Na huyu padrii kwa nn unaenda kwenye msiba kuzika hujawasiliana na watu wa karibu wa familia hususani mke halali wa marehemu.ni kosa sanaa,Pengine angejua huo ugomvi angesubiri mapatano
@dianamoshi1673 ай бұрын
Msiba ukiwa wa tajiri ni shida, angekuwa masking sasa hivi shaazikwa, aliimba mzee Ngurumo
@hanifamziray2773 ай бұрын
Ila ndugu wa mume mmeyatimba mtajuta
@sleeprelaxation84313 ай бұрын
Akifa masikini husikii ndugu kelele, afe tajiri ndo ndugu wanajifanya mali za ndugu zao. Mali ni ha mke na watoto. Hapo wanaona mwanamke kapata utajiri sasa wana taka wamnyang’anye. Mashetani
@Msafirimakini3 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@officialChamboy3 ай бұрын
Daah jamaa wamekula chakula kizuri sanaaaa
@maryamkokani46833 ай бұрын
Very sad wallahi...venye maandalizi yote haya.
@Rosemary_Obadiah3 ай бұрын
Yaaani kwamba siku hizi ndugu ndio wanaweza simamia Mali za watoto kuliko Mke??? Ila binadamu
@JACOBNKURLU3 ай бұрын
Wanaume mnapoishi na wake zenu wa ndoa hakikisha mnaacha wosia na ushahidi kwa Ndugu zenu mkiwa bado hai mahali mtakapozikwa. Tena wosia uwekwe wazi kwa mke na Ndugu upande wa kiume. Mkikaa kimya mwanamke anafanya maamuzi anavyotaka.
@apostleclintonluena3 ай бұрын
Na kwanini usiseme wanandoa wanatakiwa waweke wosia kwanini iwe mwanaume tu kwani sheria inatakiwa aanze mwanaume? Fikiri mara mbili
@JACOBNKURLU3 ай бұрын
@@apostleclintonluena Mwanaume akishakuwa kwenye ndoa na mke wake kumbuka mwenye mamlaka yote ya familia ni mwanaume, yule mwanamke ameolewa kwaiyo anamfuata mume sio mume amfuate mke. Au unaamuliwa kila kitu na mke wako Apostle mtumishi wa Mungu? Wewe una mamlaka ndani ya nyumba mwanamke hajapewa nafasi ya kutawala hata biblia imeandikwa. Sisi tumeambiwa tuwaheshimu ila wao watii. Mwanaume yupo juu ya sheria amepewa mamlaka hata Adam alipewa mamlaka na Mungu ya kutawala bustani ya eden sio hawa. Ukikubali na kujishusha ya mwanamke utaonekana dhaifu.
@@apostleclintonluena😅😅😅 yote hii ni kwa kuwa ndugu wa mume huwa wanamatatizo wanakuja kumny'anyasa mke.ila mke akifa hakuna ndugu wa mke atakaemnyanganya mume mali ndio maana wanawake tunajihami
@msafirikalinga69383 ай бұрын
Watu wa Arusha mna nn lakin, kwani hiyo tamaa hua hamuwezi kuizuia?
@SifaEmma3 ай бұрын
Uchawi na kurusha mawe na makopo stejini..mbinu za Samia na CCM kumushusha Diamond Platnumz 💯😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@joscamwoshezi29863 ай бұрын
Tukiwambia vichwa sio vizima mwabisha. Sasa hapa kwa msiba mambo ya ccm na Diamond yamekujaje. Wakati mwingine kuweni na busara
@abedysteven49303 ай бұрын
Jaman muheshimu maneno ya marehem!! Ndgu muache azkwe alipo sema yeye akiwa na mke wake!! Heshimu maamuz
@Fatima-v9k6f3 ай бұрын
Mke ni mke wamupe akamuzike mume wake ndugu wa mume apo wako wanataka mali tu
@salmabasil3853 ай бұрын
Alafu wanasema mke anataka mali wakati mali ni zake and na mke wake
@veronicajohn76453 ай бұрын
Angekuwa lofa Wala haya yasingekuwepo, angeulizwa make Mumeo anazikwa wapi akijibu tu kwishwa wanazika wanaondoka zao.
@DeusJohn-m6g3 ай бұрын
😢
@ayoubbajuta44273 ай бұрын
Ila god
@yunusimchala65693 ай бұрын
Wenye. Mamlaka na maiti ni ndugu wa marehemu na sio mke .mke sio ndugu wa marehemu ndio maana eda ikisha anaolewa hayo ni makosa
@kennethbenjamin2753 ай бұрын
Duh
@yunusimchala65693 ай бұрын
Mume amemjua mke wakati wakiwa wakubwa huko ni kutengeneza mgogoro na familia kwani akizikwa popote kuna tatizo gani nguo ni maswala ya Mila utakufa dada
@hidayaswai31193 ай бұрын
Ila tabia mbaya,yaani mpk mtangazwe kwenye vyombo vya habari na mtu ana mke na watoto. Mawifi jamani na mashemeji hembu tukome hii tabia mbaya sana. Duuuh na wewe ikikupata utajisikiaje. Kuingilia ndoa za watu. Aibuuuu
@maryamkokani46833 ай бұрын
Tajiri gani huyu asiekua na WILL...very sad
@darajalakidatukilomgi23623 ай бұрын
Ndoa iheshimiwe na watu wote
@annamussa1853 ай бұрын
Nina mashaka na ndugu au wamechangia kifo cha huyo Baba aje mpange maziko bila ya kumwambia mke wa marehemu😮😮😮😮
@israelkisaila84013 ай бұрын
Wachaga ndo walivyo,yani wao uwa wakilala,wakiamka wanaweza Mali tu basi😢
@annamussa1853 ай бұрын
@@israelkisaila8401 ndomaana wanakufa ovyo,miji mingi ukienda wazazi walishakufa yamebaki magofu tu kuuana kisa mali
@SalmaBinyaga3 ай бұрын
Yaan huruma
@abuukamanda.s.mkenga66873 ай бұрын
Ma wisfi bhanaa🙆
@demicratia40713 ай бұрын
@GodyS bado yuko sawa SI MALI ZAKE? Si walichuma WOTE? TENA HUYO MWANAMKE NDIYE KISIMATI WAKATAJIRIKA
@josephlukumay69203 ай бұрын
Arusha bhna
@gervaslukaya3 ай бұрын
Haki ipo kwa mke hapo wamuachie akampumzishe
@cassianmkeko15143 ай бұрын
RIP
@veronicanabina33803 ай бұрын
Kufa kufaana
@AbisinaRashidi-c8d3 ай бұрын
Wachaga wanapenda kiwaonea wakwe zao wajane sana wanapenda mali mpaka watauana mwanamke anastahiri kumzika mmewake hapo wamechajua kuna mali
@EuniceUlomi3 ай бұрын
Wapi pameandikwa marehemu ni mchaga😏😏acheni ukabila wa kipuuzi...
@veromollely66023 ай бұрын
Mbn maremu anateseka ivo
@levinalyimo62403 ай бұрын
Duuu malipo ni hapa duniani
@bonifasimichael13203 ай бұрын
Mama simamia haki zako ao wengine Ni njaa zinawatesa. Ilo kaburi anazikwa kondoo mzima kbs.ndivyo inavyofanyika ili kusudi izuie kufa kwa watu ktk familia iyo
@marymanoni55363 ай бұрын
Wachaga mbarohombaya sn kusa tamaa ya malikhaaaaa
@TakeAshot-sw2jn3 ай бұрын
R.I.P
@husseinhemedi93143 ай бұрын
Wenzetu nanyie mmezidi bhana kila siku ni nyie Wampumzixh mahali popote tu bora awe kastirika
@RehemaMasunga-ml7kt3 ай бұрын
Lakini kama ni mke halali ana haki sasa kwa nini ndugu wa mwanaume wazuie angekuwa hawara tu ni sawa kuzuia ila ni mke
@veronikahau29353 ай бұрын
Huu msiba una Mambo mengi had huelew Nani kakosea
@israelkisaila84013 ай бұрын
@@veronikahau2935kabisa,maana Mume kafa dar peke yake Mke hakuwa huko,yani kuna shida kubwa ,mahali😢
@marymanoni55363 ай бұрын
Wanataka Mali za mwaume ,ila uyo mfanyakazi anaupendo
@chedielimrutu69553 ай бұрын
Mbona imekuwa hivyo kwa Ndugu zetu Watani zangu. Kila wakati mnapambana eneo la kuzika mpaka Mahakanani jamani. Elewaneni jamani mnajichosha wenyewe jamaa yupo anawasanifu tu huko alipo.
@amox_enterprises3 ай бұрын
Guys nimekua wa kwanza Ku view hii video am sure ndani ya sekunde 3 baada ya video kupostiwa...😁 nipeni like zenyu wadau
@felixhaule3 ай бұрын
UCHOKO huo kulilia likes
@Rahima-kv6mn3 ай бұрын
Kwaiyo tukusaidie baada ya kuwahi 😏😏
@anithawidambe75433 ай бұрын
NA NYIE KWANN MNAMNYANYASA MJANE?NA NDUGU UPANDE WA MME TUMIENI AKILI MKE WAKE ANA HAKI ZOTE HESHIMUNI KAULI ZA MKE WAKE KWANI NDUGU ZAKE MLIKUWA WAPI? MARA NYINGI HUWA WANA NYANYASA SANA WAJANE. SERIKALI MSAIDIENI HUYO MAMA WAJANE TUNA HALI MBAYA HESHIMUNI MAAMUZI YA MKE WAKE.
@mtulivu-ir1nq3 ай бұрын
Haya mambo ya kupangia ukifa uzikwe wapi me sioni faida yake ukifa na kila kitu chako kimeisha popote kambi hata ukifa kwenye tumbo la samaki pw tu 😂😂
@linnerphilip42603 ай бұрын
Ila Arusha😂😂😂😂😂
@verombwambo37033 ай бұрын
We mke umekosea kutaja hizo Mali siku hizi hawasemagi hadharani.
@DottoDotto-j6t3 ай бұрын
Jamani hao ndugu wanataka kuzikatu au niusulutani tamaa
@magejuliani52933 ай бұрын
Tuandike usia na Rita wanatunza usia kwa gharama mdogo Sana kwa mwaka
@AbuodSeleman3 ай бұрын
misiba ya matajiri tunawaachia matajiri.sisi maskini ni dua tu knachofuata n chepe fit6.kwsha
@olivernyange23493 ай бұрын
Wachaga si wanazikaga kwao ,ulipoolewa ulipaswa kujua umeolewa mchaga na wana mila zao na Ana ndugu pia kwani nikioa na undugu umekufa? Kaeni muelewane
@yusuphmruma17713 ай бұрын
Najiuliza mjomba anaingiaje apo tena mbn kuna wajomba washamba sn
@anithawidambe75433 ай бұрын
HAO NDUGU WAKOROFI SANA WANATAKA MALI ZA MAREHEMU. HIZO MALI ZOTE NI ZA MKE NA WATOTO. NYIE NDUGU NI MATAPELI KWANN MNAGOMBANIA MAREHEHEMU?
@verombwambo37033 ай бұрын
Wanaume mjifunze kuwa na msimamo wa ndoa haya ona Sasa hii aibu
@CecyGeorge-vx9uc3 ай бұрын
Mali ndio kila kitu haujui
@tumainimwaifunga38843 ай бұрын
Wampe haki mke wake jamani
@msetikebwasi72703 ай бұрын
Africa tumekalia migogoro ya ajabu ajabu yu
@edinachami43183 ай бұрын
Mjifunze kitu Apo
@hellenngwilla5503 ай бұрын
Ndugu heshemuni maamuzi ya mke wake kwan mnataka kitu gani?
@zuhuramuhanga54003 ай бұрын
wachaga ni waroho wamali
@sosomacharles99203 ай бұрын
Mtu alishakufa hayo mengine ni nini?
@lukasielibariki31813 ай бұрын
Anajuwa apatauzika maana hataki
@ShamsiMbago-n2q3 ай бұрын
Ila ndg wa mume duh
@kennethbenjamin2753 ай бұрын
Kifuatacho ni ugomv wa---
@brysonmandari56943 ай бұрын
Kwani Robaa na mjombaa wao wanasemaje?
@nyabahailani31693 ай бұрын
Wampe mme wake axike jamani
@selemanimasatu24213 ай бұрын
Watu wanawinda pochi ya marehem, pamoja na mzigo wa rambirambi .
@anithawidambe75433 ай бұрын
HAO NDUGU WAMEHUSIKA KWENYE HICHO KIFO KWANN WALAZIMISHE KUTAKA KUZIKA? HUO NI UKOROFI SANA
@ScolaMasanja-fg7hi3 ай бұрын
Mzee huna heshima kofia gan hio nauzee huo
@hassanthabit37263 ай бұрын
Pumbavu mke wa marehemu huna haki za mwili wa marehemu. Kaka yake au dada yake mkubwa ndio mwenya haki Wanaokushauri hao tunawasiwasinao
@tuikezeezra13153 ай бұрын
Sawa lakin Mali zake haziwahusu, wakae wakijua hivo, sema mke wa marehemu jicho kavu, half ukute Mali katafuta yeye lakin wanaanza kushoboka wao😮😮😮😮
@PendoPeter-rr4jk3 ай бұрын
Mke ndo Kila kitu ndugu SI angewao wao
@joycesarakikya42113 ай бұрын
@@tuikezeezra1315umeonaee mkavu kama vile msiba ni wa jirani!
@philipombwambo19803 ай бұрын
Huna akili wewe
@MariamNehemiah-ts9ul3 ай бұрын
Kuna vitu vinakera usipo simama unapoteza kila kitu,pia sio muda wote utalia tuliofiwa tunamuelewa😢@@tuikezeezra1315
@victornselu5173 ай бұрын
jiandae kwa lolote
@clemxbbreezy11793 ай бұрын
mpelekem kwetu toka lini mchaga akazikea porini
@HellenKarungura3 ай бұрын
Mke kweli au? Mbona mkavuuu?
@israelkisaila84013 ай бұрын
Wachaga wanamengi ndugu yangu,ukute hata yeye yumo,na hapo kitakachofuatia saivi,utasikia wanaanza kuuwana.
@aishakambenga61913 ай бұрын
Mama wa chakula mbona ana makasiriko
@StanleyBarushi3 ай бұрын
Umeonaaa eee kanikera kweli halafu hajachangia hata cent
@bigboys0163 ай бұрын
Kama cheti cha ndoa,kipo hakuna mtu kukatiza hapo mbele,