KUSAH AFUNGUKA CHANZO KIZIMA CHA AJALI YAKE/NIMEVUNJIKA MGUU

  Рет қаралды 115,504

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 347
@umfahad2609
@umfahad2609 4 жыл бұрын
Tunaomba ALLAH akuponeshe haraka. Afya yako irudi kuliko mwanzo. Pole sana na tunakupenda saana.
@edinahmaganga2722
@edinahmaganga2722 4 жыл бұрын
Pole Sana Mwanangu nakuombea Mungu akupe wepesi upone haraka pole sana
@hamzamohd9980
@hamzamohd9980 4 жыл бұрын
Duh kwaker mungu nimwem kwa uwezo wake hakik utaendelea vyema ugua pole Kaka agung inshallah
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 жыл бұрын
Pole sana kaka mi mwenyewe nme pata ajali wiki 3 zilizopita nashukuru Mungu nlikuwa nmevaa mkanda nime toka mzima sja umia hata kucha nashukuru sana Mungu
@hawa4968
@hawa4968 4 жыл бұрын
Pole nawe piyaa
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 4 жыл бұрын
Pole endlea kumshukuru mungu utoe sadaka
@yumnasuleiman
@yumnasuleiman 4 жыл бұрын
Pole allah atakuwafu inshallah🙏
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 4 жыл бұрын
Hujafa hujaumbika sasa mimi huwa nashangaa sana kwa binadamu wenye kujiona wao ndo wao tu kwenye hii dunia
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 4 жыл бұрын
@@emilyibraimo5032 umeona eee tunajisahau
@johakkpp8414
@johakkpp8414 4 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu Allah akufanyie wepes wa matibabu na akupe taafifu
@rjthedjblack46
@rjthedjblack46 4 жыл бұрын
Dah brothers mungu yuko pamoja na wewe inshaallah ni njia moja wapo ya kimaisha so bless kaka amini kua Mungu yupo nawe ilimradi unakauli nikitu chaku mshukuru Allah 🙏🙏
@mikelinagomezi1766
@mikelinagomezi1766 4 жыл бұрын
Pole Sana kk ajari sikia kwa mwenzio safisha Sana vidonda achana na vimchuchu
@v_simon2677
@v_simon2677 4 жыл бұрын
Pole Bro Kusa Mungu akubark uwe fresh, nakuelewa Sana unafanya mzik mzur bro
@clementineclementine8368
@clementineclementine8368 4 жыл бұрын
pole sana kusah Allah akupe akufanyiye wepesi
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 4 жыл бұрын
Pole kusah jamani Allah akufanyie wepesi
@dadaasalim501
@dadaasalim501 4 жыл бұрын
Ameen YAARABIL ALAAMIN
@AAa-xv2mw
@AAa-xv2mw 4 жыл бұрын
Pole sana kaka yoo ingekuwa upo burundi Bujumbura buyenzi wangekupa dawa za miti shamba huwa inatibu haraka kwauwezo wa Mungu Wifi yangu naye kavunjika mguu mwezi moja kapona wala hakutiliwa chuma Alhamdulilah ila pole
@salimthedon
@salimthedon 4 жыл бұрын
Burundi mwaongeaga Kiswahili kumbe?
@AAa-xv2mw
@AAa-xv2mw 4 жыл бұрын
@@salimthedon ndio
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 4 жыл бұрын
pole sana ndugu sote tunasafiri na tutaendelea kusafiri so maombi kabra ya safari pia ukifika salama shukuru mungu
@rahmakassim7287
@rahmakassim7287 4 жыл бұрын
Pole xana kusah Allah akufanyie wepex inshaAllah nimeumia kiukwel pole kusah utapona
@sylviah9666
@sylviah9666 4 жыл бұрын
Pole sana Kusah! Nakutakia afya njema ....Mungu akuponye kaka.
@saidsaid3652
@saidsaid3652 4 жыл бұрын
Pole sana kaka angu mungu yupo utapona tu kikubwa kumtanguliza mungu mbele kwakila jambo lako mungu yupo
@judynasambu8428
@judynasambu8428 4 жыл бұрын
🇰🇪 pole Sana by watanzania wanapenda sanaa kujua mambo ya watu sanaaaa
@officialstaly963
@officialstaly963 4 жыл бұрын
Dahhhhhhhhhh pole sana big bro mungu atafany utapona tutaendelea muziki bro 1 love
@sifamugwaneza8774
@sifamugwaneza8774 4 жыл бұрын
Duh! kumbe kwelii maskini nilikua naona hiz post sizifungui napuuzia nikajua story 2 zakawaid jmn pole sana bro Mwenyezi Mungu hashindwi nakitu kaka angu utakua sawa Inshaallah
@esterdoriye4304
@esterdoriye4304 4 жыл бұрын
Wasanii kwa kiki zao ,siku wanaweza kufa kweli RAIA wakafikiri ni kiki ,pole sana
@zaituniluhwano2453
@zaituniluhwano2453 4 жыл бұрын
Hata Mimi nilijua kiki
@salamakombo3257
@salamakombo3257 4 жыл бұрын
Mimi mwenyewe nilijuwa ivo ivo niuongo vo
@ingabiranotv4143
@ingabiranotv4143 4 жыл бұрын
Mpenzi was Wasafi Media gonga likes ✌️
@fadhilaedwin3604
@fadhilaedwin3604 4 жыл бұрын
Mm pole sana kaka utapona Mungu yupo
@jifulaha3889
@jifulaha3889 4 жыл бұрын
Pole sana mungu akufanyie wepesi upone kwa haraka uendele na majukum yako ya kila sku
@biaysha8553
@biaysha8553 4 жыл бұрын
Pole mdogo angu allah atakufanyia shifaa ya haraka utapona tuu inshaAllah
@hadijahussein5328
@hadijahussein5328 4 жыл бұрын
Mungu akupunhuzie maumiv jmn maan daaah hy chum mungu ndo anajua maumiv unayopitia
@bethmsigwa6742
@bethmsigwa6742 4 жыл бұрын
Pole mungu akujalie upone
@mjay0818
@mjay0818 4 жыл бұрын
pole sana brother kusah mwenyezi mungu akujalie afya njema
@moshirashid4532
@moshirashid4532 4 жыл бұрын
Pole sana
@munirasiuji3307
@munirasiuji3307 4 жыл бұрын
Pole xanah bro 2nakuombea utapona 2 na kurud katika Hali yako ya mwanzo
@marinamooh4055
@marinamooh4055 4 жыл бұрын
SubhanaAllah pole sana Allah akujaalie shifaa inshaAllah 🤲🏿
@josphinedarani6203
@josphinedarani6203 4 жыл бұрын
Pole saana kusah bhana mwenyezi mungu akufanyie wepesi
@khdijaahmed8458
@khdijaahmed8458 4 жыл бұрын
Pole San kaka Allah yupo pamojaa na wew inshallah
@janeroselusuva1918
@janeroselusuva1918 4 жыл бұрын
Duh! Pole sana, Mungu akupe uponyaji ukawe mzima.
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 4 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi upone urudi katika hali yako.
@ranaAli-if3nf
@ranaAli-if3nf 4 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu Allah akufanyie wepesi
@emilymideva8783
@emilymideva8783 4 жыл бұрын
Quick recovery in jesus name #254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🌷
@samhammurad5487
@samhammurad5487 2 жыл бұрын
Allah atamfanyia wepesi inshaallah
@mgwatz200
@mgwatz200 4 жыл бұрын
Mungu amfanyie wepesi🙏🙏🙏🙏😭😭🙏🙏🙏
@rukiakhamsin9220
@rukiakhamsin9220 4 жыл бұрын
Pole sana Allah akupe shifaa,na akuliye wepesi wa tiba kusah
@mwanakhatibu3722
@mwanakhatibu3722 4 жыл бұрын
Allah akufanyie weeps utapona mungu yupo naww
@mariamswaleh7869
@mariamswaleh7869 4 жыл бұрын
Mungu akusaidiy kusa na wanaokuuza mungu awasimamiye wasichoke
@mwamlimaprisca3115
@mwamlimaprisca3115 4 жыл бұрын
pole sana kusah wangu allah akufanyie wepesi inshallah🤲
@samwelkiroo936
@samwelkiroo936 4 жыл бұрын
Pole baba kusah
@lattyakoth6369
@lattyakoth6369 4 жыл бұрын
Pole kusah allah akupe shufaa ya haraka inshaallah
@aminasaid4309
@aminasaid4309 4 жыл бұрын
Aseeee pole Sana mungu atakufanyia wepesi inshaAllah utapona
@nuraynmakoya803
@nuraynmakoya803 4 жыл бұрын
Pole sana kaka angu allah atakusaidia utakaa sawa inshaallah
@fatumaseleman1579
@fatumaseleman1579 4 жыл бұрын
Pole san kusah Allah yup pamoja nawe inshallah
@johnsonvermond7023
@johnsonvermond7023 4 жыл бұрын
Pole Sana Mungu akupe nguvu tena kusa
@dapiliharun7978
@dapiliharun7978 4 жыл бұрын
Pole sana Allah akusmamie upate shufaa ya haraka
@judynasambu8428
@judynasambu8428 4 жыл бұрын
Pole Sana mdongo ya dunia ni mengi mungu akuweseshe upone from kenye
@zou7470
@zou7470 4 жыл бұрын
Mungu wangu 🙆‍♀️🙆‍♀️pole sana mungu akupe shiffa 🙏🙏🙏
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 4 жыл бұрын
Amin
@hidayakambangwa3365
@hidayakambangwa3365 4 жыл бұрын
Allah akufanyie 🙏🏻🙏🏻
@شيلاالحراصي
@شيلاالحراصي 4 жыл бұрын
Jaman pole sana mate mungu akufanyie wepes inshaa Allah
@neemakoka599
@neemakoka599 4 жыл бұрын
Daaaah pole sanaa Alaah Akufanyie wepesi
@mwajabuhamis6234
@mwajabuhamis6234 4 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi
@neyromosha9737
@neyromosha9737 4 жыл бұрын
Pole sana brother Mungu atakuponya
@nasrahkhamis4788
@nasrahkhamis4788 4 жыл бұрын
Pole sana jaman mungu akutangulie
@ashura.burundixhxhx70
@ashura.burundixhxhx70 4 жыл бұрын
Pole sana kbs kak bab kijacho
@noorynmohammedy6063
@noorynmohammedy6063 4 жыл бұрын
Mwenyez Mungu akutie nguvu na akurudishie Afya yko kma ulivyo mwanzo
@fatnahsaleh860
@fatnahsaleh860 4 жыл бұрын
Pole sana Kaka Kusah. Allah atakusaidiya
@hajraismail3667
@hajraismail3667 4 жыл бұрын
Pole sana kaka mungu ata kusaidia inshallah 🙏
@mahmoodalsubhi1619
@mahmoodalsubhi1619 4 жыл бұрын
Pole sana bro allah atakuafu inshaallah
@mariamsalimin7877
@mariamsalimin7877 4 жыл бұрын
Pole sana baba Allah akufanyiye shifaa utapona in shaa allah
@faridaessa7844
@faridaessa7844 4 жыл бұрын
Pole sana kusah mungu akufanyie wepesi upone haraka
@constancemramba4789
@constancemramba4789 4 жыл бұрын
Pole sana mungu azid kukusaidia bro utakua poa
@magejosia9026
@magejosia9026 4 жыл бұрын
Mungu akuponye kusa
@rehemajohnsanga3318
@rehemajohnsanga3318 4 жыл бұрын
Polee sana kusah mungu akusimamie
@fetreashasalumu9038
@fetreashasalumu9038 4 жыл бұрын
Pole bro kusah Dua nyingi kwako
@khadisaudi9502
@khadisaudi9502 4 жыл бұрын
Daaaah Allah ampe shifa kbs 😔😔
@rahmaamin9381
@rahmaamin9381 4 жыл бұрын
Pole san kusah allah atakufanyia wepes
@arseneboss383
@arseneboss383 4 жыл бұрын
So sad to see u in this situation bro , get well as soon as possible and comes back strong as ever
@SiliviaInocent
@SiliviaInocent Жыл бұрын
Napenda sana nyimbo za kusa
@sumyad8335
@sumyad8335 4 жыл бұрын
Pole kaka allaah akupe shufaa inshaallah
@sarahmohamed337
@sarahmohamed337 4 жыл бұрын
Pole kaka.utapoa insha Allah 🙏
@danielkonesongoi9394
@danielkonesongoi9394 3 жыл бұрын
Pole sana brother 🙏🙏
@lichadlichad4075
@lichadlichad4075 4 жыл бұрын
Maskin kaka angu pole sana mungu akufanyie wepesi
@mwanaidimusa5240
@mwanaidimusa5240 4 жыл бұрын
Allah akupe shifaa ya haraka inshaaAllah
@jastinefaustin9982
@jastinefaustin9982 4 жыл бұрын
Pole Sana utapona mungu ni bingwa wa yote.
@jeniferjeni4575
@jeniferjeni4575 4 жыл бұрын
Poresana kaka mungu yupo pamoja nawe utapona tuu 🙏
@mbodzejilani9593
@mbodzejilani9593 4 жыл бұрын
Get well soon broo mungu akulinde
@mayaalmahrooqi1345
@mayaalmahrooqi1345 4 жыл бұрын
حمدلله ع السلامة ما تشوف الشر الله يعافيك يا رب العالمين
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 4 жыл бұрын
Naona wanakusaidia wanakubeba bless their heart awww
@sophiakomba7939
@sophiakomba7939 4 жыл бұрын
pole sana Inshaalah utakaa sawa
@hopeobeth9806
@hopeobeth9806 4 жыл бұрын
Pole kusah mungu akupe wepesi
@sabrinamussa813
@sabrinamussa813 4 жыл бұрын
Pole sana mungu atakuafu utapona inshallah
@hazelbrown9299
@hazelbrown9299 4 жыл бұрын
Hahahaha Kusah eti Aunty Mama Kijacho wa Watu🤣🤣🤣🤣 jamani Dunia hii nyie kwani basi yetu🙆‍♀️🙆‍♀️ Aunty mwenyewe yupo Chumbani huko kakaa kimya anasubiri Interview imalizike atoke😁😁 na Baiskeli ile sasa ya Cookie💃💃
@danielmkama24
@danielmkama24 4 жыл бұрын
Dah! Kumbe ukitaka kumuelewa mtu bc umfuatilie, all in all, pole sana
@jasminealmasy9666
@jasminealmasy9666 4 жыл бұрын
Kwel ujafa ujaumbika allah akufanyie wepes
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 4 жыл бұрын
Allah akupe Shifaa In sha Allah Bro
@zawadimasubuko3518
@zawadimasubuko3518 4 жыл бұрын
Pol san mungu akusaidie upon 🔥🔥🔥💖💖💞 napend mizik yako
@sharifasalum532
@sharifasalum532 4 жыл бұрын
pole sana kaka mungu atakusaidia inshaallah
@alnooroman1058
@alnooroman1058 4 жыл бұрын
polesan kaka mungu atakusanyi ndiya usijali kaka
@qtekhay7253
@qtekhay7253 4 жыл бұрын
Mungu atakuwaff inshallah
@rukiamanjicha1157
@rukiamanjicha1157 4 жыл бұрын
Duh pole sana Allah akupe shifaa
@pilimbaruck8350
@pilimbaruck8350 4 жыл бұрын
Pole sana kusah mwenyezi atakufanyia wepesi
@rehemalontinaremysaleh7807
@rehemalontinaremysaleh7807 4 жыл бұрын
Poleni sana kweli .Mungu atakusaidia
@aishadjumaphones8877
@aishadjumaphones8877 4 жыл бұрын
pol saana mungu yumwema
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 4 жыл бұрын
Pole sana mwenyewe Mungu akuponye upesi
@sheikhsaid4108
@sheikhsaid4108 4 жыл бұрын
Mungu atamfayia wepesi
@pinahoscar6735
@pinahoscar6735 4 жыл бұрын
Pole sana kusah wangu😭😭😭 Mwenyezi Mungu akuponye 🙏
@ichyimpayekiiza4048
@ichyimpayekiiza4048 4 жыл бұрын
God is watching over you soon you will be fine kusah
@sabinajeanpierre6448
@sabinajeanpierre6448 4 жыл бұрын
Mungu hatakusahidiya
@bisadimussa9684
@bisadimussa9684 4 жыл бұрын
Polesan kakangu mungu akufanyie weped
@nas2800
@nas2800 4 жыл бұрын
Pole sana utapona diidhinilaah
@zakzak6502
@zakzak6502 4 жыл бұрын
Pole Sana mungu atakusadia
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Kusah - Mungu Tu (Official Video)
3:27
Kusah
Рет қаралды 3,1 МЛН
KUSAH ATHIBITISHA AUNTY EZEKIEL NI MJAMZITO? AZUNGUMZA HAYA
7:33
Wasafi Media
Рет қаралды 179 М.
Kusah - I wish (Official Video)  SMS [Skiza 8090819] to 811
3:44
Mbunifu wa trekta inayotumia injini ya pikipiki
4:00
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 17 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 821 М.
Kusah - Wasi Wasi (Official Video)
3:58
Kusah
Рет қаралды 222 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН