Thank you for your endless support I appreciate ❤️🙏
@neylucaskapua32344 ай бұрын
You give us good music we support you 💜
@TwainMbere4 ай бұрын
Femi one anakaa gari ya Benz yenye inachop breakfast mmhmm Hadi inapiga ndimi kubwa ya hewa chubwi 😅😅😂 noma kama Sheri koko yeye 😂😂
@TwainMbere4 ай бұрын
Femi one anakaa gari ya Benz yenye inapanda shuka kama tinga tinga linga linga yeye bwana au ina anguka nayo kwa barabara kama simba morara 😅😅😂😂
@TwainMbere4 ай бұрын
Femi one anakaa gari ya vw tiguan yenye inaenda kama disco kama kiroboto yeye au makanga eyeye au jangili you 😂😅😂😅❤😅😂😅😂😅😂😅😅😂😅😂😅😂😅😅
@tommboya19664 ай бұрын
This was the move we will listen
@wilsonkimanzi194 ай бұрын
Wakenya wenye mko hapa juu ya femi uno pinga like tukisonga❤
@sillyme30095 ай бұрын
Kama unakubali kusah kama gospel singer weka likes zake hapa
@HusseniMsafiri3 ай бұрын
Kaka unatish
@ZoloTVkenya5 ай бұрын
Femi Uno like zake ni hapa>>>
@alexelieza88025 ай бұрын
Sema, ungekuwe gospel singer ungetisha Sana, Una sauti ya kumuita roho mtakatifu kusah, we ni noma🙌🎉
@DIEUDONNE-PRAY5 ай бұрын
From DRC CONGO 🇨🇩🇨🇩 uyu mdada ame ni bless kwenye iyi nyimbo natamani kufanya naye kazi support 🙏🙏
@Mizzyboy-k4z5 ай бұрын
We msanii
@DIEUDONNE-PRAY5 ай бұрын
@@Mizzyboy-k4z yes Brother
@AfricanTV-q7o5 ай бұрын
Kweli kaimba powa zaidi ❤❤
@praymwalu5 ай бұрын
❤❤
@Kidofilm5 ай бұрын
🎉😢🎉🎉🎉
@ElijahNgugi-r5f4 ай бұрын
Na Tena Bora nahema sina cha kulalamika...wanaFemi wapi likes👍 zenu
@BoeBrizy5 ай бұрын
Wakwanza apa soooo like za kutosh kabis km unamkubal kusa
@em_vee_josh4 ай бұрын
Kenya in the building 🇰🇪🇰🇪
@sheltonsure18994 ай бұрын
Kenya 🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 relationship ❤is growing
@allyallymakius11335 ай бұрын
Wa 14 leo masharti uluhusiwi ku like text yangu😂😂😂
@treshazgodfather92195 ай бұрын
😂😂
@Mizzyboy-k4z5 ай бұрын
😂😂😂
@eliaband50555 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@hawaaathumani17115 ай бұрын
Alhamdulillah kwa kila kitu Ya Allah. Ameen.
@elleng52273 ай бұрын
On repeat mode kama kawa, nyimbo nzuri zilivyo chache sikuhizzz ulistahili views million 30 kama ingekuwa kizazi cha watu timamu na usio na influence za mfumo
@IshmaelLuyagaza3 ай бұрын
Well said
@Bongomtaanitv5 ай бұрын
Wapy likes za wakenya 🇰🇪
@SurprisedBlueMackerel-lb8us5 ай бұрын
Pamoja
@FrahaKitalam3 ай бұрын
Munguu akubarikii kaka kaz yakoo nzuriii sanaa 🎉❤
@Sawen-l3q5 ай бұрын
Here for our gal femi❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nenotvonline29904 ай бұрын
Haki narudia rudia kusikiliza unabariki🎉
@gracegachoka54113 ай бұрын
I lost a close friend..thos was her favorite song and we will play it on that day😢
@serc-w3o4 ай бұрын
jameni tumshukuru mungu cku zote
@RamaChoga4 ай бұрын
Bro, we ni mkali man🎉🎉
@MTALIITV4 ай бұрын
Here for femi one repping the cradle of humanity 254🔥🔥🔥🙌🙌🙌
@ElijahNgugi-r5f4 ай бұрын
Kusah na Femi uno mmeweza sana 🎉 keep it up
@Mziguammoja5 ай бұрын
Hujawahi kukosea bro
@marieeg51484 ай бұрын
Hii song inafaa kuhit vibaya ... flow iko sawa❤
@Marry-u8m27 күн бұрын
Kijana ume pedeza sana kuiba nyibo za gospel ❤❤🎉🎉kabsa 🙏🙏🙏🌹🌹
@eddyticha38894 ай бұрын
Hii ndio nyimbo inayoniliza kila siku na kunimotivate,nazidi kupambana naamini ipo siku yangu,#Amina#BestHitSongOfTheYear
@IshmaelLuyagaza3 ай бұрын
Wimbo mzuri sana huu!!!!
@YuscoMoh3 ай бұрын
jambo jmbo jema kumskuru mana haya maisha ni ya mpito tuu
@balagamijebalagamije41525 ай бұрын
Nyimbo nzur sanaaa
@moyojayzi124 ай бұрын
wakenya mpo femi si ameweza san❤💯
@Jk_rules_4 ай бұрын
Hatari Sana Kusah na Femi One 🔥🔥🔥.
@tinashesved15985 ай бұрын
Sauti ya kusah tu ❤
@pauline57535 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 in this life if u feel like giving up remember that aliyekutendea jana ,hata leo ataenda na kesho pia atatenda.Your tomorrow will be greater than yesterday just keep on believing and praying hard .
@andrewemmanuel18614 ай бұрын
Huuu wimbo naupendaa Sanaa aisee Kama dose ya dawa kila mda nasikiliza nimeufanya glucose yangu au energy... Like ORS yan oral
@AUGENSYLIVAND-rq7hz4 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 mungu Kwanza ndo muweza wa yote
@sarahskylar93263 ай бұрын
This is what we like to see...two nationality doing things together 👌👌👏👏
@SumaOmary3 ай бұрын
Very nice my brother 🙏
@aguanrichniger77444 ай бұрын
Ngoma ni Kali Kenya to Tanzania to the world 🔥🔥🔥
@nestorynwele-cl4um4 ай бұрын
Hiyo sound ni kal sana hasa ukitulia Kuna ktu kkubwa sana unacho ktk sanaa ya music industry
@pstarmusictz5 ай бұрын
hii nyimbo ni faraja sana kwangu maana tunapitia magumu pia @kusah unaweza nyimbo za mapenzi na za maisha
@mrich48685 ай бұрын
Amen
@AnnaGervas-kd2fr4 ай бұрын
Nashukuru kwa yote Baba,,, Amen amina
@Husbandkhan-s.bwr5kj4 ай бұрын
Ngoma kili 🎉🎉🎉🎉
@pauline57535 ай бұрын
May the lord make us all to reach at our destiny 🙏
@mwanakendra3 ай бұрын
Safi kazi🔥🔥🔥
@monsterfounder5 ай бұрын
Ndugu yangu kushah nakumbuka sana kipindi kile cha kusah bonga na Moze Tomas mpaka Leo tuseme amina big up sana brother
@evolutionsoundsrecords82884 ай бұрын
Femi anazidi kungara Kila mwaka❤
@KehanchaChini4 ай бұрын
Hii Ngoma ni noma. Hii verse ya kusah ni real Kwa ground
@Kid_bway5 ай бұрын
Number one Melody Kusah🎉🎉🎉
@zidemusic5504 ай бұрын
Hukuwai niabisha mwanangu mtu wa maana kabisa
@DevidGaspa4 ай бұрын
Kusaaaaah
@shelyboyshely29284 ай бұрын
Ubarikiwe sana kamanda wangu kazi nzuri
@kevinarisi14034 ай бұрын
Femi one and only representing 🎉
@favourkenya4 ай бұрын
,manze ni God,huskii mahali nimefika naona kila kitu ninashika , Unoooo🔥🔥🔥😋😋
@alibee25435 ай бұрын
Wakenya let's show some love To Kusah✔️
@MaikoJohn-m6b5 ай бұрын
🎉🎉
@alibee25435 ай бұрын
@@MaikoJohn-m6b❤❤
@Esau-cj6bk5 ай бұрын
Wanao mkubali kusah!! Tujuane.
@ckhomes33414 ай бұрын
Naa tena... Kusah is a BIG talent.... Femi representing 🇰🇪🇰🇪 well❤
@ErastorMassangwa1Ай бұрын
gai Kenya 🇰🇪 I love Femi one(Uno) 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@RutiMasaryk4 ай бұрын
Loving to see this Tanzania 🇹🇿 🆚 🇰🇪 lovely song ❤
@brainwambua4 ай бұрын
Amen kusah was born always loves he is song especially mungu tuh ❤❤Na iii wacha tuh God bless this soul 💗
@NdyamukamaEdmund5 ай бұрын
asante sanaaa kusah naona femi anachanaaaa ana misitari sanaaaaa
@erastussmaleve67434 ай бұрын
What a big chuune❤ So great full for life at this moment, for the past , for the present and for the loading future... Sina cha kulalamika, Mungu anatenda
@EliaMwampamba-h3n3 ай бұрын
Jamaa unajua mungu azidi kukupa maujuzi❤❤❤❤❤
@ngila_benja4 ай бұрын
big tune❤
@jackdemonicah60204 ай бұрын
NAKUBALI SANA HOME SWEET HOME 👌🔥🔥🙌 TANZANIA 🇹🇿
@namandamuthaithio3954 ай бұрын
Imeweza tusana....May God bless the work of your hands brother
@BenezethByenge4 ай бұрын
Nakupenda vraiment kusah vrai dire unajuwa imba courage ❤
Kusaa Mdogo wangu unaimba vema ila unaonekana kumuimbia Mungu nipowa Sana kwa sababu sauti yako Aiko kibongo fuleva imba Gospel Mungu atakuinuwa Sana Kusaaa kazi zako ninnjema
@augustsong75244 ай бұрын
#Mufasa the Lion King #30th Anniversary Kusah you're good 2019 to now ni God.Favor of Azam energy meets Monster energy
@Makenajoyline2 ай бұрын
Such a masterpiece,,,femi our girl you're a legends ❤❤
@NewTanllente5 сағат бұрын
Jay crash amen🔥🔥🔥💯
@kevinadero2953 ай бұрын
Good job bro
@antonyobindi31624 ай бұрын
My country 🇰🇪 we humble for our gal Femi
@MaikoJohn-m6b5 ай бұрын
Na Kuna muda nilijikatia tamaa
@mercywangoi-k3y5 ай бұрын
Manze ni God...uno jina kubwa ako booked and busy❤❤🇰🇪🇰🇪
@sleiderosejeobago55085 ай бұрын
Kusah nikijana mzuri sijawai mtanzania kama wewe mwenye upendo