KUSIMAMA NA KUDONDOKA KWA DOLA YA ZANZIBAR #2

  Рет қаралды 30,402

Bin Seif

Bin Seif

12 жыл бұрын

kusimama na kudondoka kwa dola ya Zanzibar

Пікірлер: 37
@zeanamohamed4072
@zeanamohamed4072 5 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akubarki tulikuwa hatujuwi.kitu..tuwelewesheni. Wazanzibar tufunguke vichwa MN vyetu inshaallwa. Nakutakiya. Lila.la.kheri. usirudi nyuma..twende mbele tuitambuwe Zanzibar .yetu
@MAZRUI_GAMING
@MAZRUI_GAMING 12 жыл бұрын
inshaalah zanzibar tutaipata wenyewe
@fatmaabudu8465
@fatmaabudu8465 6 жыл бұрын
thanks
@salumseif1005
@salumseif1005 3 жыл бұрын
Aamin
@dkmasengamrisho912
@dkmasengamrisho912 5 жыл бұрын
Hizi histolia za kweri lakini lakini hawa waislam hakujipanga vizuri kijeshi
@fatimakhalifa144
@fatimakhalifa144 5 жыл бұрын
hizi ndizohistoriya zakweli Zanzibar
@zenionepureone1265
@zenionepureone1265 12 жыл бұрын
WAZANZIBARI WENYEWE HASA NI WAISLAMU SIYO WAKIRISTO
@s.m.jawadida8868
@s.m.jawadida8868 Жыл бұрын
الله اكبر
@dkmasengamrisho912
@dkmasengamrisho912 5 жыл бұрын
Wallah anasema kweri tatizo nini sasa hari yetu imekuwangumu
@MasudiSuleman-ui5wh
@MasudiSuleman-ui5wh 8 ай бұрын
Mung tu towe kwenye Mikono ya wadhalim
@jeanmubemba1204
@jeanmubemba1204 3 жыл бұрын
utumwa kwa kwa mtu mweusi hauji toka akilini,bado hatujui waarabu na wazungu wote washenzi wametuuza leo tunawatukuza na kujivunia,daaa twaitwa nyani bado tuu akili hazifunguki
@ukweli11
@ukweli11 9 жыл бұрын
Jee mbona hamzungumzii mauaji ya maelfu ya waarabu mwa 1964 wakati mulipofanya mapiduzi kumkomoa sultani?????????
@khamissiali2231
@khamissiali2231 3 жыл бұрын
Kwani ulisoma historia ww doctor
@saidsfaudh4336
@saidsfaudh4336 3 жыл бұрын
Tafuta history ya Aman than
@dkmasengamrisho912
@dkmasengamrisho912 5 жыл бұрын
Ndiomaana zanzinzibaar ina wasomi wakubwa kabisa nani kitovu cha erim kwahistolia hii nimerizika huyu shekhe nimkweri
@saidahmed9688
@saidahmed9688 12 жыл бұрын
TUKITAKA KUJUA UKWELI HAPANASHKA YOYOTE HUU NDIO UKWELI NA UKWELI HUFUATANA NA USHAHIDI
@dkmasengamrisho912
@dkmasengamrisho912 5 жыл бұрын
Jamani hawa waisilam warikuwa na dola kubwa kiasihicho hawana jeshi imala?
@jumampango6802
@jumampango6802 4 жыл бұрын
Sikiliza vizuri ndo ucomment
@vikitu4793
@vikitu4793 3 жыл бұрын
Vita fupi kupita zote ni hii dola ilichapwa
@rashidalbalushi8355
@rashidalbalushi8355 2 жыл бұрын
Sheikh suna ya mtume kunywa maji mkono wa kulia
@nassorrashid6466
@nassorrashid6466 2 жыл бұрын
Huyu mkono wake mbovu
@user-rg6ll1om5z
@user-rg6ll1om5z 7 ай бұрын
Muangalie vizuri Uyo shekhe Ni mlemavu wa mkono eti hawezi kunywa Kwa kulia
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 5 жыл бұрын
Acha uongo kilwa ndo ilianza kua na sarafu yk sa kilwa ipo wp????
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
Kilwa ni sehem ndogo sana katika dola ya Zanzibar Tanganyika, Uganda, Kenya, Rwanda mpaka Comoro ilikuwa ndani ya ZNZ. Sasa we unaongelea kilwa wakati yenyewe ilikiwa ndani ya pori Tanganyika
@famitoissanawanda6295
@famitoissanawanda6295 4 жыл бұрын
Acha ujinga wewe kilwa ilikua ndani ya Zanzibar
@vikitu4793
@vikitu4793 3 жыл бұрын
@@mohamedothman9769 Kwa hiyo hii ndio dola iliyokuwa ukiwachukua utumwa babu zetu na kujitajirisha sio, sio? Bora imekufa, tungeifanya kitu kibaya sana
@saidsfaudh4336
@saidsfaudh4336 3 жыл бұрын
Msirumbane Sana mambo hayo yalikua chini ya utawala wanani Kati IRAN .YEMEN .OMAN .
@mtzmtulivu
@mtzmtulivu 11 жыл бұрын
Kama wewe mzanzibari,how much of what this guy is saying do you believe to be true?French were shipping slaves off of east African coast?Arabs fought against the French to stop slavery in EA?Since Arabs were not slave owners,then who worked in their plantations?I cant help it but wonder what side this guy would have been on during the 1963 ass kicking off the island of Arabs rulers he seem very careful not to mention in his praise of "great Zanzibar empirer"
@vikitu4793
@vikitu4793 3 жыл бұрын
Hawa wanabadili historia makusudi kumsafisha mtawala muarabu
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 5 жыл бұрын
Acha upumbavu waislam ndo wakwanza kupata elimu wewee acha upotoshaji
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
Inatakiwa nawe ulete vielelezo vyako, huko ni kubwabwaja
@mwitahassan7314
@mwitahassan7314 4 жыл бұрын
Ukatae kwa hoja usiwe mbumbumbu
@vikitu4793
@vikitu4793 3 жыл бұрын
Mkadanganyane huko huko. Mtume Muhamad amezaliwa 570AD. Utakuwa mpumbavu kuamini watu hawakuwa na mifumo ya elimu kabla ya hapo. China ilikuwa inaandika katiba yake miaka 1000 kabla ya hapo. Na na hata kabla ya hapo watu walikuwa wanaelimika sana tu
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 Жыл бұрын
@@vikitu4793 anawadanganya waoumbavu wenzake
KUSIMAMA NA KUDONDOKA KWA DOLA YA ZANZIBAR #3
19:08
Bin Seif
Рет қаралды 31 М.
KUSIMAMA NA KUDONDOKA KWA DOLA YA ZANZIBAR #1
14:10
Bin Seif
Рет қаралды 30 М.
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 29 МЛН
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
UKWELI WA HISTORIA YA ZANZIBAR NA MWANDISHI WA MZEE KARUME
34:57
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 10 М.
ZANZIBAR INASTAHIKI KULINDWA - UAMSHO MAKUNDUCHI
2:19:13
Bin Seif
Рет қаралды 187 М.
KUSIMAMA NA KUDONDOKA KWA DOLA YA ZANZIBAR #4
26:26
Bin Seif
Рет қаралды 37 М.
MKANJUNI KATIKA HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 1964
12:11
Mohamed Said
Рет қаралды 1,5 М.
HII NDIO HISTORIA YA UKWELI TANGANYIKA KABLA YA TANZANIA PART 1
26:30
HUSSEIN WAZIRI
Рет қаралды 35 М.
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН