KUSIMAMA NA KUDONDOKA KWA DOLA YA ZANZIBAR #1

  Рет қаралды 30,618

Bin Seif

Bin Seif

Күн бұрын

kusimama na kudondoka dola ya Zanzibar

Пікірлер: 27
@makenakendi9014
@makenakendi9014 3 жыл бұрын
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brother
@mwigaadam1179
@mwigaadam1179 Жыл бұрын
Mashaallah habar nziyo hizi
@fatimakhalifa144
@fatimakhalifa144 6 жыл бұрын
mashaallh mungu akulipe kheri milele
@gangmore9091
@gangmore9091 5 жыл бұрын
Zanzibar African ndio kitovu really unachokisema
@maulidmbarouk8685
@maulidmbarouk8685 4 жыл бұрын
Ww hufahamu dola is znz
@nuramoboy
@nuramoboy 11 жыл бұрын
Na ndugu yangu utaendelea kujiuliza sana kama bado unaishi karne hizi na hufahamu kinachotendeka
@controlTheoryChamps
@controlTheoryChamps 11 жыл бұрын
Unajuwa mimi ninachowauliza siku zote ni kwamba, kama hawautaki muungano sawa,ila kwa nini serikali yao isiseme kama hauutaki??wao siku zote wanalaumu serikali ya Tanganyika tu....
@zungubakathir1761
@zungubakathir1761 6 жыл бұрын
Kwasababu tanganyika ndo ilopandikiza serekali ya Zanzibar kimabavu ili waitawale muungano gani usiyo na usawa serekali bila wananchi syo kitu kwani serekali hukaa madarakani kwaajili ya wananchi syo kukaa kwakua nchi ni yao pekeyao
@rashow258
@rashow258 5 жыл бұрын
Muundo wa serekali unafanya watu wasisikike,lakini karma utakuwa mtu wa kufahamu mini sababu za wao kujitoa,in namna muungano ambao hautowi usawa
@majorkazimoto1452
@majorkazimoto1452 12 жыл бұрын
"AL QEADA" Wakubwa hawa huu Ushenzi pelekeni Afghanistan. Hawa wahaini tumewavumilia vya kutosha bakora lazima zitembezwe.
@zungubakathir1761
@zungubakathir1761 6 жыл бұрын
Major Kazimoto ww umeitwa kazi moto na kweli inshallah utaingia kwenye moto wa jahanam tunajua kila muislamu ni gaidi ndomana muislamu akifanya kosa dogo tu ni gaidi lakin nyinyi makafiri mukiuwa watu hamuitwi magaidi sisi tunawajua zamani makafiri munachuki na waislamu katika quran tushaambia hamuwez kuturizia mpaka tufuate mila zenu bas tuuweni sote mukae nyinyi dunian maisha musife
@vikitu4793
@vikitu4793 4 жыл бұрын
@@zungubakathir1761 Motoni mtatangulia ninyi. Mnatumika tu kuleta vurugu, hamjui hata mnachopigania
@dodohultberg2228
@dodohultberg2228 12 жыл бұрын
Humjui unaezungumza nae mwenzangu, wala huijui dini yangu, na hata kama ni mkristo Pia ni binaadam sote tumeumbwa na Mungu mmoj si mweupe si wa rangi sote tutakwenda njia moja. Hakuna mwenje haki Hapa duniani, haki anayo M Mungu tu. Nyie hamuitakii kheri nchi yetu mnataka kuikandamiza tu nchi zote za nnje wanakuoneni ni wajinga
@zenionepureone1265
@zenionepureone1265 12 жыл бұрын
huiji historia ya zanzibar mbona hujaja isema mwanzo na kama wewe mkiristo unaumia mbapo wazanzibari wata`poipata nchi yao, unaona hutokuwa na uhuru wa kufanya mnayo yafanya sasa, lakini ina ALLAH MASABIRINA ONLY GOD WE RESPECT
@dodohultberg2228
@dodohultberg2228 12 жыл бұрын
historia ya zanzibar kila mtu anaijua labda kwa huyo alikua hajasoma.
@zenionepureone1265
@zenionepureone1265 12 жыл бұрын
we wont stop till zanzibar to independent if u will kill us we will makewill fight as Sirians, till to keep the military zone zero even u call us alqeada and so on we fight 4 our right and zanzibarians dont take tanganyika DNI ZANZIBARIANS ARE NOT TANZANIANS, ONLY GOD WE RESPECT
@nuramoboy
@nuramoboy 11 жыл бұрын
ndio naoana Risasi zinakuingia kweli kweli ndio maana kila video ya uamsho unayo tu wee lazima uchangie basi kwa vile ujumbe unakupata nami nawewe tu hadi utakuingia uzuri
@maulidmbarouk8685
@maulidmbarouk8685 4 жыл бұрын
Ndio halipo hena tufanye nn
@gangmore9091
@gangmore9091 5 жыл бұрын
Kafiri amesema ataipiga dollar ya kislam lakini dollar itarudi
@abrahamanikabewa3698
@abrahamanikabewa3698 10 жыл бұрын
this was not what the allah send you to teach us
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Жыл бұрын
When you spelling Allah make sure you spelling it with big caption
@salumjuma5300
@salumjuma5300 12 жыл бұрын
ski wazanzibari tumechoka kunyanyaswa kwa haki yetu tunahitaji kwani si tupewe tu mnang;ang;ania nini si lazima tungane ata tukifa njaa poa lakini tayari mumetupa haki yetu mpaka tupigane muanze maneno oh wanataka kuiharibu nchi ndio hamtaki kutupa nchi yetu mpaka kwa ugomvi tumeungana kwa heri ok sawa sasa tumechoka kwanini hamtaki tuachane kwa heri ugomvi sasa hatutaki muunganoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
KUSIMAMA NA KUDONDOKA KWA DOLA YA ZANZIBAR #2
23:37
Bin Seif
Рет қаралды 31 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
17 Yalomkuta Saleh Sadalla
16:08
MzeeBarwani
Рет қаралды 36 М.
HII NDIO HISTORIA YA UKWELI TANGANYIKA KABLA YA TANZANIA PART 2
26:30
HUSSEIN WAZIRI (I T PROFESSIONAL)
Рет қаралды 28 М.
(AQAZ) Juma Fakki _ Sihaba KUOWA 27/12/2024
12:54
Mueba HB
Рет қаралды 8 М.
NATIKISA PENDO - BURUDANI ZA MASHAKA (1)
16:02
Bin Seif
Рет қаралды 32 М.
JE! ULIDANGANYWA HISTORIA YA ZANZIBAR- MANGAPWANI?
19:50
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 75 М.
22 Maovu ya Mapinduzi
12:26
MzeeBarwani
Рет қаралды 51 М.
KUSIMAMA NA KUDONDOKA KWA DOLA YA ZANZIBAR #4
26:26
Bin Seif
Рет қаралды 38 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН