Channel hii inahusika na Neno, Maombi, semina na ushauri wa kisaikolojia na kiroho kwa watu wote. Imeandaliwa na kusanyiko la wanawake waombaji online platform.
Пікірлер: 3
@felisterwilson2418 Жыл бұрын
Hata hapa mimemuona yeye anionaneye tunamtukuza mungu KARIBUNI wote tujifunze pamoja kwa maana Yesu ni mzuri
@genesismassam6924 Жыл бұрын
Nimebarikiwa mno na huduma hii ya wanawake waombaji. Mungu azidi kwabariki wabeba maono wa kundi hili kwa utukufu wa Mungu. Amen 🙏🏾
@enjoybenjamini4713 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu kunikutanisha na hii familia nzuri Sana.