Asant kka Joel, unazidi kunapa nguvu mpya maneno yanayo nitia nguvu nazidi kuwa mpya kila kukicha kabla sijaanza kukufuatilia nilikuwa kajinga kajinga najidharau najiona mm silolote hakika maneno yako yamebadili kilakitu kweny maisha yangu,, nimekuwa mtu mwenye thamani kumbe kama haujajithamini mwenyewe kila mtu atakudharau ukijipenda na kujiamini kilamtu atakuheshim nasema asant tena
@NZAMUYEJoseph2 ай бұрын
KUSHUDI LANGU NI KUWA NEGOSTIOTER 🇹🇿.yaan public speaker na uwezo MKUBWAA sana wa kushawishi na kuogea sema tunajifunza kwako how you present and the use verbal language ❤ effort never die and see you at the top.
@aFricainherbalmedicine Жыл бұрын
Moja ya elimu ambayo huwezi kuipata darasani👏👏👏
@ukhtyhalimaismailbakari49314 жыл бұрын
Daaaa!!! Ahsante sana brother barikiwa walahi ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️💖💖💖💖💖💖💖💖🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@BRIGHTONRICHARD-c3r Жыл бұрын
Hongera broo JOELY NANAUKA uko vizur kwa kuona kujali kuinua kizazi kikubwa DUNIANI jina la bwana libarikiwe kaka FOR YOU
@issakatety3535 Жыл бұрын
Naendelea kujifunza vitu vipya kila siku asante sana brother👏👏👏👏🫡🫡🫡
@rimepeter7894 жыл бұрын
Amen, wonderful message I tap on it in Jesus name, glory be to God for this connection. ❤🙏
@WaziriMajeshiАй бұрын
True kujalibu mara nyingi na kurudia mara nyingi humwandaa mtu bora❤❤❤❤❤❤
@nelsonmwangi81134 жыл бұрын
Tunakuhitaji huku Kenya. Barikiwa
@VenithaDickson25 күн бұрын
May God bless you Mungu anisaidie siku moja nkutane na ww na ninaamini one day ntakutana na sku moja
nabarikiwa Sana ninapo kusikiliza BwanA yesu aendelee kukutumia ilinkutimiza kusudi la mungu
@yakubufadhil25604 жыл бұрын
Joel upo vizuri sana na unatusaidia ssna, ila natamani sikumoja urudi kwenye dini sahihi ya uislam, utafanikiwa hapa duniani na maisha baada ya hapa.
@asyaasya37664 жыл бұрын
Unawaza kam me pia Hua nafikiria angekuwa muslim ningefurai san
@frankmtei30174 жыл бұрын
Joel ni mtumishi wa Mungu sio mtu wa dini hakuna dini iliyo sahihi hata moja kwataarifa yako
@frankmtei30174 жыл бұрын
@@asyaasya3766 acheni udini, nawaonya ktk jina LA Yesu Kristo!
@thinktwice71764 жыл бұрын
Hahahaha nashangaa mambo ya dini tena.tuachane na mambo hayo tufikirie juu ya ujumbe siyo dini
@raymondgeorge53014 жыл бұрын
Huo uzuri ambao unaouona nikwasababu ya huyo yesu anaemtumikia kwani kuna waislamu wangapi wanaelimu ya dini ya kiislamu na wamekosa hiyo hekima ya mungu ya kusema na watu badala yake ni kukashfu tu dini za watu joel anamtumikia mungu wa kweli ndio maana mafundisho yake yana nguvu
@edderedderrichard31124 жыл бұрын
Kumbe pia ni ninayo nguvu ya Mungu katika kuhubiri barikiwa sana upo kwa kusudi kubwa Tanzania.
@zenamarugujo9003 Жыл бұрын
Mungu ni mwema, barikiwa
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Mungu. Akulinde
@selemanramadhan3279 Жыл бұрын
Tunashukuru kutujulisha umuhimu wa ujio wetu hapa duniani.
@anordnjau17482 жыл бұрын
Asante sana mtumishi, Mungu alibariki kwa ujumbe mzuri.
@abelntobi3824 жыл бұрын
Kazi yako ni kubwa Sana BROOO keep motivating us bro
@Jackline-ek1gpАй бұрын
Asante San kak Joel mungu azid kukutia nguvu
@mwanaidiamanzi914 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Joel,unanipa ujasiri wa kupambana mno
@selemanramadhan3279 Жыл бұрын
Ni kweli bro!! Hata mom imenisaidia kazini maana nimejitahidi kujitoa kufundisha hatimaye wamenikubali naha kuniongezea majukumu.
@MathewMoshi-k1p4 ай бұрын
Nashukuru kwa kukutana na maneno ya ufanis na ushauri mwingi nilikuwa njia legevu yeshe kusuasua naitwa Mathew Moshi Kulwa
@FlowinaMutafungwa11 ай бұрын
Umenitia nguvu Sana na Somo hili.Mungu akubariki
@omaryussufamour40494 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kaka Joel
@michaelshayo1874 жыл бұрын
Ahsante kwa somo zuri sana
@fatmakessy9814 жыл бұрын
🙏🙏nashukuru sn najifunza mengi kupitia wewe mungu akubarik sn
@hariethkalindiliqefggidxvh53903 жыл бұрын
Barikiwa kaka Mungu anajua kusudi la kuniumba I'm so special
@loseriansamwel49314 жыл бұрын
Mungu akubariki uzidi funuliw
@brunophilbert10342 жыл бұрын
Merci beaucop frêre.
@MarcoPeter-y5n3 ай бұрын
Thanks brother GOD bless you
@justineungwa48972 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka yangu
@georgekaganda70904 жыл бұрын
aiseeee joel,joel,joel daaa barikiwa sna aise nimepata nguvu mpya
@neymermponde78104 жыл бұрын
Asantee sana Mungu akubariki sana
@MOTecnology4 жыл бұрын
Thanks Brother. Nafanikiwa kwa Uwezo Wa Allah Aliokupa Ndugu Joel Nanauka Kwa Kubadilika Asilimia 70% ya Maisha yangu Kupitia Vitabu vyako Na Video Zako Pia Na Semina zako Mtandaoni. Shukrani Sana Mungu Akubariki.
@twahaally19694 жыл бұрын
facts brooh!
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Safi kabisa
@twahaally19694 жыл бұрын
nimefurahia kumuona MR ERICK SHIGONGO,
@khadijakisingo79203 жыл бұрын
Joel hkn km ww mwenye kunijenga kiakili barikiwa Sana🙏💖
@bertrandvyamungu62184 жыл бұрын
Ubarikiwe sana,you came as solution for my calling
@patricktv8606 Жыл бұрын
Be blessed
@gaspernicholaus93093 жыл бұрын
So Kaka mungu Akupe Maisha marefu
@charlesoputi7101 Жыл бұрын
You always brighten my day. God bless you
@franknachimbinya76884 жыл бұрын
Just true Nanauka upo kukamilisha kusudi ninalo liishi
@adelinakibejile46962 жыл бұрын
I thanks God for ur presence🙏br Joel stay blessed
@astridagaya32493 жыл бұрын
Kila nikikusikiza naona unavyokuja kuwa zaidi ya Joel osteen nami ni maombi yangu siku moja ufike viwango vya joel osteen
@faudhiasalum72793 жыл бұрын
My brother wangu Ubarikiwe sana mtu wangu wa nguvu 💪💪🎉💐🤝
@williamngao44544 жыл бұрын
Asante nimebarikiwa
@annamallya87564 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukupigania kaka 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌
@pendothomas72584 жыл бұрын
Amen. Barikiwa sana kaka Joel. Nahitaji mwendelezo maana imeishia point ya 4 na ziko 7
@ivaninokimz52574 жыл бұрын
Thank you for the light.... May God Bless you
@mr.sangaellies51103 жыл бұрын
Halelujaa
@judithnjalambaya24503 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka
@happnesstupuyo1554 жыл бұрын
Joel Kuna kitu Cha mungu ndani yako,nakiri, kila siku mungu anakutumia kuwabadilisha watu wengi,nikiwemo mim,mungu akubariki Sana
@kenyantotoz42444 жыл бұрын
Congratulations bro, for sure u are God sent in many lives,,,, more love from kenya
@rachelbarnaba82073 жыл бұрын
Ahsante.
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Ahsante
@anordbyamungu4 жыл бұрын
ASANTE SANA mkuu 🤝🤝
@jacksonkimambo29653 жыл бұрын
You are excellent sir.
@charlesmafumiko60274 жыл бұрын
Kwa ujumbe wako kaka nabariwa sana hasa apo kwenye kuwa MTU maalum katika jambo fulani
@aishaalley45324 жыл бұрын
Barikiwa kaka, ni maneno gani ya motivation ambayo tunatakiwa kiwaambia watoto wetu ili kuwajengea kujiamini?
@mariamayoob87344 жыл бұрын
Shukrani
@jovinmutakumwa96114 жыл бұрын
Barikiwa 🙏🙏💪💪💪
@damasjanuary60434 жыл бұрын
Nakukubali xana kaka🙏🙏🙏
@noelmwikeve62554 жыл бұрын
Am special
@sapiamosi32854 жыл бұрын
God bless u
@farajamsepele3507 Жыл бұрын
Am so special
@charlesmafumiko60274 жыл бұрын
Napata sasa kuwa na ujasiri kwa kweli Mungu ametupatia kila mmoja wetu kitu cha kipekee ambacho hakiwezi kupatikana kwa MTU mwingine.
@consiliazakaria32192 жыл бұрын
Furaha yangu imetimia
@judynafula32874 жыл бұрын
Wow thank you so much brother God bless your 🙏👌💕💯
@brunophilbert10342 жыл бұрын
I am so special.
@obrigadovictor92604 жыл бұрын
Excellent man of Almighty GOD, speech was full of quotable lines.
@Benjamin254-k7t4 жыл бұрын
Nakuelewa sana kaka
@toyclaude7764 жыл бұрын
Très profond
@edinabakanoba66193 жыл бұрын
Mimi Ni mteule,Nina kitu changu Cha tofauti.Mimi Ni wa pekee
@mariamayoob87344 жыл бұрын
powerful message
@abrahammwambije2769 Жыл бұрын
Joel haya masomo yenye mchanganyiko wa injili Yana nguvu sana ongeza mengine Kwa bidii uinuliwe ktk utumishi wako.
@slyviamariammariam-7262 Жыл бұрын
Ameen
@ibrahimarzad1403 жыл бұрын
Sante sanaa
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Powerful 💖💖
@mosesjackson_tz3 жыл бұрын
Duuuu joel kumbe hata kuhubiri unajua.....fungua ministry tuje
@djmackbestseasonandsinglem33844 жыл бұрын
Blessed
@davidtvonline60204 жыл бұрын
Kaka Joel Muendelezo Wa Somo Hili?God Bless You..Hakika
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
🙏
@Saranabwire6 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙌🙌
@davidogweno54274 жыл бұрын
Neema yako haiwezi Kupotea!
@perpetuagodfrey43014 жыл бұрын
KAKA UNANIBARIKI KILA IITWAPO LEO MUNGU AKUBARIKI SANA