KUTANA NA MASWALI MANZURI KUTOKA KWA WANAWAKE KATIKA DA-WAA MITAANI GITHURAI 45 KIAMBU COUNTY PART 2

  Рет қаралды 19,937

YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp

YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp

Күн бұрын

Пікірлер
@Issamarika
@Issamarika Жыл бұрын
Nimesikiza mpaka nikalia dua zenu zikubaliwe
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Жыл бұрын
Amin sote
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 Жыл бұрын
Waeleweshe kaka
@OMAR-kq4wz
@OMAR-kq4wz 2 жыл бұрын
MASHALLAH pride of muslim ☪️ ummah
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 3 ай бұрын
Allah awaongoze masheikh wetu ❤
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 ай бұрын
Amin
@jumahamisi9328
@jumahamisi9328 Жыл бұрын
Mashaallah People are waking up
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 3 ай бұрын
Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye. Yesu aliteseka, kufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi zetu.. Bila hivyo hakuna msamaha... Wakolosai 1:14 [14]ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko 2 жыл бұрын
Yaarabaliaalaamiin wepe alim walimu wangu wapate kutangaza din yako Allah amiin
@ariantramakinsur6101
@ariantramakinsur6101 3 жыл бұрын
MashaAllah sheikh yussuf Allah atawalipa kwa hii kazi nzuri mnaofanya Allah awapee nguvu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@hajikabugahamis3149
@hajikabugahamis3149 3 жыл бұрын
ManshaAllah Dada huwa hawasomewi hayo maandiko ndo maana wanashangaa Mwenyez Mungu Awaonyeshe njia nayo ni Uislaam
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Sana.hata mm nimeshangaa tangu nianze fatilia daawa za sheikh Yusuf naona wakristo wenge hawajui mambo mengi kwa Bible. Kama saum hawajui kama iko kwa Bible
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 Жыл бұрын
Masha'Allah kazi nzuri
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko 2 жыл бұрын
Mashaallaah mashaallaah daawaah mpaka kiama bidhinillaah amiin yaarabaliaalaamiin hongereni ust wangu wote
@higahassib6614
@higahassib6614 3 жыл бұрын
Congratulation sheikh Yusuf and sheikh Said jazaka Allah kheri
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Thanks. Alhamudulillah
@suhailmasoud7891
@suhailmasoud7891 3 жыл бұрын
Saf cna ustadh yusufu mungu akusaidie uwaaelimishe ndugu zetu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@husseinmwenja4398
@husseinmwenja4398 3 жыл бұрын
Inawafikia Habari bila Fujo wala bugdha MASHALLAH TAQABARALLAH ..
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@guftewako1528
@guftewako1528 3 жыл бұрын
Mash Allah ujasiru na kutaka kujua kwa hawa wanawake ilmu unafurahisha mno Allah awahifadhi na Allah awazidishie nyote Yussuf na wenzako
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko 2 жыл бұрын
Mashaallaah mashaallaah shkuran ust wangu
@ahmedbishar2987
@ahmedbishar2987 Жыл бұрын
Very innocent indeed. Sometimes we should not judge. May Allah guide them
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Жыл бұрын
Amin
@adamissa8307
@adamissa8307 2 жыл бұрын
Jamani wakenya ni waelewa sana. Hao madada wamenivutia mno kutokana na namna wanavyoonyesha ushirikiano bila kuleta machenga. Pia Mwenyeezi Mungu awazidishie kila la kheri hao masheikh wanaoitangaza DINI tukufu ya Uislam.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@saidhassanahmed4
@saidhassanahmed4 Жыл бұрын
Asalam aleykm shekhe yusuph jaribu kuongea nao kiswahili maana sisi wengne ni watanzania na tunapenda maidha yako na chanel yako ili na sisi watanzania tuelewe vzr wakat unaelezea mungu akuzidishie ilmu na uzid kutuongoza na akulipe pepo pamoja na mtume muhamad
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Жыл бұрын
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu
@yasinamiri7649
@yasinamiri7649 3 жыл бұрын
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh ndugu zangu waisalamu in Kenya 🇰🇪 safi na salama Tanzania 🇹🇿tunasema kazi iendelee na ningependa kusema kwa waadhili wa kenya da-waa iendelee kabsa
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
Masha Allah, kazi nzuri masheikh wetu, Allah awazidishie elmu, afya njema na umri mrefu na pepo iwe ndio makaazi yetu sote Amiin Thumma Amiin
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 3 жыл бұрын
Sheikh yusuf mko Sawa, wapee injili ilioswa kabisa, inshallah wawe waisilamu
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Allah awahifadhi na awabariki Awalinde kila khatua zenu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@mohammedkimanga8960
@mohammedkimanga8960 3 жыл бұрын
Pamja inshaallah walimu kutoka Mombasa likoni ferry
@4kvideos620
@4kvideos620 3 жыл бұрын
Mashallah Tabarak Allah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@zainabyousof3742
@zainabyousof3742 3 жыл бұрын
Allah akupeni kheri nyingi kwa kazi nzuri mnayoifanya Ma Shaa Allah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@iddyally7228
@iddyally7228 3 жыл бұрын
Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@abdillahmbarak7418
@abdillahmbarak7418 3 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mungu akulinde inshaallah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@sadiqilisuma3758
@sadiqilisuma3758 2 жыл бұрын
Mashallah Mashekhe wetu🙏🙏
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Hivo vitoto vyakisomali nimevipenda hata mm nimevigotea 👋👋👋🤩🤩23:20
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 жыл бұрын
Hahaa toa posa
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
@@adamhashim3352 La sikupenda ulivofkiria nivakiume. Nimempenda vile wameona camera nawakasilimia
@abdmasani2178
@abdmasani2178 3 жыл бұрын
💓💓🇸🇴🇰🇪👍 mashallah
@laandhereofficial7076
@laandhereofficial7076 2 жыл бұрын
Mashallah keep going bro
@abdulmalickupete9015
@abdulmalickupete9015 3 жыл бұрын
Napenda sana daawa yenu
@kenyachristianapologeticsp9635
@kenyachristianapologeticsp9635 2 жыл бұрын
Nitatembea kiambu kesho,,,,
@مونيشاكاتشؤ
@مونيشاكاتشؤ 3 жыл бұрын
Mashaallah
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 Жыл бұрын
Hayo mafunzo hawapewagi
@MA-ht7po
@MA-ht7po 3 жыл бұрын
MashAllah, Allah atwalipa kwa kheir hii
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@fatumjumaa5563
@fatumjumaa5563 3 жыл бұрын
sheikh yusuf na wenzakomuko vizuri mungu atawalipa inshaallah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 3 жыл бұрын
Maashaallah wanashangaa mabinti
@Asm-xw4nd
@Asm-xw4nd 3 жыл бұрын
Mashaa Allah,Allah awalinde na kila kitu kibaya
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@sheemaryam
@sheemaryam Жыл бұрын
Na huwa msisahau kuwaambiya ile andiko ya wachungaji wamewapoteza
@mtotompole1040
@mtotompole1040 3 жыл бұрын
Mashaallah Mungu Awalinde Zaidi
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@oopsm3574
@oopsm3574 3 жыл бұрын
Maasha Allah.
@سلطانسليمانبنجمعة
@سلطانسليمانبنجمعة 3 жыл бұрын
Sheikh Yusuf my big brother, ungekua karibu ningekupusu. Yani unatoa maandiko hadi raha.
@Binahmed1234
@Binahmed1234 3 жыл бұрын
Ma Sha Allah ammi
@makenakendi9014
@makenakendi9014 3 жыл бұрын
Mashallah ALLAH BARIIK always my brother s
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 3 жыл бұрын
Masha Allah
@سلطانسليمانبنجمعة
@سلطانسليمانبنجمعة 3 жыл бұрын
Yani uislamu Raha wallahi
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Alhamudulillah
@fatumaedin4402
@fatumaedin4402 3 жыл бұрын
Mashallah
@jamillaswaleh9285
@jamillaswaleh9285 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah awabariki
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@SaidNassor-gx3pb
@SaidNassor-gx3pb 2 жыл бұрын
Tunaipend dawa street lkn kiswahili kwn huku Tanzania hatufahamu hiyo lugha
@ayanabdi77
@ayanabdi77 2 жыл бұрын
May Allah guide them to the right path
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@athumansaumu1680
@athumansaumu1680 3 жыл бұрын
Maashallah
@bensonlangat640
@bensonlangat640 3 жыл бұрын
Ati Yesu ni muislamu.haya sawa,Yesu katao amri ya ubatizo,ni muislamu gani anaye batizwa,
@adamissa8307
@adamissa8307 2 жыл бұрын
Ndiyo brother Benson, Yesu ni Muislam katika biblia imeandikwa alikua na mazoea ya kusali katika sinagogi (msikiti wa Wayahudi) na pia QUR'AN inalithibitisha hilo. Karibu sana tuungane katika DINI ya Yesu (UISLAM)
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Yesu alimbatiza nani?
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
YOHANA 4:2 Lakini kwa Hakika Yesu hakubatizwa,wanafunzi wake ndio walikuwa wakibatiza.
@hamzamatar6708
@hamzamatar6708 3 жыл бұрын
AA nyinyi wakirsto fatreni u uislamu
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Msiseme kiluga hatufahamu mnatukosesha uhondo.
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 3 жыл бұрын
Huyo msichana ni mwelevu, lakini mwoga kwa KUSILIMU, atachomwa. Sana
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Anaweza silimu, Tumuombe dua
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 жыл бұрын
Dua muhimu
@munzirseif8485
@munzirseif8485 2 жыл бұрын
Asalamu Alaikum
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu
@sadickkagoma5297
@sadickkagoma5297 3 жыл бұрын
Masha Allah sheikh wangu,ALLAH awajalie afya njema,sheikh mbona githurai 44 hamjawahi kuja kufanya da,awa
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Coming soon Inshaa-Allah
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Wape no zenu wakikwama wakuulizeni
@hamissuche6576
@hamissuche6576 2 жыл бұрын
Nee haaku !! 😀😀
@daud8785
@daud8785 3 жыл бұрын
😁
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 3 жыл бұрын
Sheikh umeniua leo😂😂😂😂eti makeup!
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Alhamudulillah
@IsnailMudi
@IsnailMudi 9 ай бұрын
Sasa wewe unaongea kikuyu unafikilia sisiote niwa kikuyu sheikh wetu
@suheymasumaya6360
@suheymasumaya6360 3 жыл бұрын
Hiyo ni make up kkk
@nasht8604
@nasht8604 3 жыл бұрын
Wacheni kudanganya wamama wenye hawaelewi nyinyi icho kitabu chenu kinasema tumewashushia kwani ni akina nani hao
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Majestic plural( baba)
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Hawaelewi maana hamutak kuwaelewesh huko makanisani kwaiyo wacha waelimishwe na ndo maan kila andiko linalotolew ni Geni kwao kwasababu mnawaficha huko makanisani hamutaki kuwaambia ukweli.
@bensonlangat640
@bensonlangat640 3 жыл бұрын
Ni manabii wa uongo na wanajua muda wao ni jaje ndio maana wanakimbilia wa wakitumia biblia.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Katika usilamu hatuna MANABII WA UONGO, maana mwisho WA mitume alikuwa MTUME MUHAMMAD S. A. W
@ariantramakinsur6101
@ariantramakinsur6101 3 жыл бұрын
Makeup ukweli🤣🤣🤣
@juliuswaitathu8995
@juliuswaitathu8995 2 жыл бұрын
Yusuf wambugu,,,,hao wanawake unawafundisha kwa bibilia ama Quran?????tumia bibilia kuikashifu ukristo Kama venye sisi hutumia Quran tulisema uislamu ni dini iliyoanzishwa na shetani na pia dini ya majini!!!!!!!!
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Kwaiyo ww huini apo km anatumia vitabu vyote viwili kuwaelimisha,istoshe hao mashetani hata kwnye Biblia pia wamo tna waliamrishwa na Yesu wamuabudu Mungu soma hapo chini👇👇maan inaonesh ww husomi Biblia yko. MATHAYO 4:10 Hapo,Yesu akamwambia"Nenda zako Shetani! Imeandikwa; " Utamuabudu Bwana Mungu wako na kumtumikia yeye peke yake"
@johngerald4677
@johngerald4677 2 жыл бұрын
Tatizo wambugu umaongea sana peke yako
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Maini yako hayo
@nashadullamwatsavwa7659
@nashadullamwatsavwa7659 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣ety makeup
@issaally7928
@issaally7928 2 жыл бұрын
Mashallah
@farukmontana5055
@farukmontana5055 3 жыл бұрын
Masha Allah
@munzirseif8485
@munzirseif8485 2 жыл бұрын
Asalamu Alaikum
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu
@MasikaMasika-bt2vo
@MasikaMasika-bt2vo 2 жыл бұрын
Mashallah
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 3 жыл бұрын
Masha Allah
MASWALI NA MAJIBU KATIKA DA-WAA GITHURAI 45 ROUND ABOUT PART 9.(MPE MIC)
35:05
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 18 М.
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 235 МЛН
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49
HARD_MMA
Рет қаралды 3,3 МЛН
Mama anayedai ametumwa na Yesu apambana na sheikh Hassan kariuki
39:12
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 682 М.
DA-WAA MITAANI KATIKA MTAA WA KWALE EMBAKASI NAIROBI COUNTY. PLEASE JOIN OUR CHANNEL MEMBERSHIP
15:24
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 8 М.
Dawah Mitaani katika mji wa Gakindu, Nyeri - (001)
1:19:18
Straight Path Dawah
Рет қаралды 8 М.
MCHUNGAJI AKUTANANA WAKATI MNGUMU KATIKA MASWALI NA MAJIBU ISIOLO TOWN DAY ONE
35:35
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 3,9 М.
("YESU AOGOPA KIFO") NIKATIKA DA-WAA GITHURAI 45 ROUND KIAMBU COUNTY ABOUT PART 5. MASWALI NA MAJIBU
48:03
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 24 М.
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39