Mama anayedai ametumwa na Yesu apambana na sheikh Hassan kariuki

  Рет қаралды 677,275

Salim Daawah Kenya

Salim Daawah Kenya

2 жыл бұрын

Пікірлер: 1 200
@juliusochieng6947
@juliusochieng6947 2 жыл бұрын
Mimi namuamini yesu kristo kam mutetezi wangu na imeandikwa kwa na kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri na hakuna yoyote atakae uona ufalume wa mungu pasipo kupia kwake
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
Kwani nabii wakwanza ninani apa duniani
@mshihiliramadhani9088
@mshihiliramadhani9088 2 жыл бұрын
Mtapiga got wakat mkiswali mnakalia viti 😂😂😂
@aminayunis7545
@aminayunis7545 5 ай бұрын
Hata kristo haijulikana na yesu SI mkristo na hawatambui
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 2 жыл бұрын
Wahadhiri Allah awape Kila la kheir bible wanajuwa Quoran tukufu wanajuwa ............Alhamdullillah Mola kwa Neemah yakuwa mwislam
@tanzaniaunforgettable4401
@tanzaniaunforgettable4401 2 жыл бұрын
Mungu akuacha dini kwaio kila mtu na Imani take...kwaio faith yako isiwe faith ya mtu mwingne...amini unachokiamni sio kumuaminisha mwingine....Cha msingi kila mtu aamin anachokiamin.....kwasababu ww shekh Nan ulishawai kumuona amekufa na kurud kwamba kaenda peponi..kwaio don't judge...God ndo anajudge
@naturalist9517
@naturalist9517 2 жыл бұрын
Ao wako biashara tu kudanganya wananchi wa kawaida.
@fridausbakari5163
@fridausbakari5163 2 жыл бұрын
Mashaallah ❤️. Alhamdulillah nna miaka sita toka nmeslimu. Naupenda sana uislamu. Allah atuzidishie Imani. Umma wke muhammad.
@barnabaabel9522
@barnabaabel9522 2 жыл бұрын
Ndo umeamua kupotea kabisa
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 жыл бұрын
@@barnabaabel9522 umepotea wewe pole sanaa mwenzio huyoooo ameachana na upofu na ubishi
@sophiahamisi706
@sophiahamisi706 2 жыл бұрын
Masha Allah
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 2 жыл бұрын
VIP mapepo yanavyokuvaa unaotaga ndoto nzuri wewe kwel lazima utakuwa unateseka mi nakwambia
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 2 жыл бұрын
Yaan huyo dada mkristo ndo hajui hajui hajui anatia aibu tu.unajibishana na hao watu hujui hata maandiko unatakiwa MTU uwe umeshiba vizur ndo unaingia mashindanonj
@ladyjamilamohammed2577
@ladyjamilamohammed2577 2 жыл бұрын
Assalamu Alykum warhamatullah wabarakatuh....Takbirr!!!!💪🤣Allah akujalie Kheir Sheikh...na akufanyie wepesi ili uendelee kuelimisha Ummah....Akupe mwisho mema
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh amiin amiin amiin sote
@yusramasenga4046
@yusramasenga4046 2 жыл бұрын
Ameeeeen ya rabb
@magrethmallya7728
@magrethmallya7728 2 жыл бұрын
Huyo Mama ni Mwanajeshi imara , kwamimi nampa hongera.
@twaybachellah914
@twaybachellah914 2 жыл бұрын
@@suleymanally4729 si vyema kumtusi wapo katika kuelekezana tu
@suleymanally4729
@suleymanally4729 2 жыл бұрын
@@twaybachellah914 saw nashkur kwa nasah zak asante san
@hannahwainaina286
@hannahwainaina286 2 жыл бұрын
Kabisaa no matter how many they are she is still in her faith😍😍jstrong
@ismailali-nd5dp
@ismailali-nd5dp 2 жыл бұрын
Alhamdulilah I am proud to be among one of the Muslims..
@zaidanmwalingo5485
@zaidanmwalingo5485 2 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkristo, namjua Mungu Alie hai anayejibu, anaeponya, huko peponi mnakodhan mtaenda uzuri wote tupo tutashuhudia, wewe tenda mema halafu uone Mungu atakupeleka wapi
@halimayusuf3113
@halimayusuf3113 2 жыл бұрын
Thank you Jesus for saving me ,,,I love you Lord
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Jina Jesus ni fake because Mariamu hakuongea kizungu je alipozaa mtoto wake alimuita aje kwa lugha yake
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Pili Yesu kwa bibilia hajatumwa kwa wa African ametumwa kwa waisraeli
@leahrumona1558
@leahrumona1558 2 жыл бұрын
@@halimayusuf3113 Siku ya kihama ndio itatambua pahali mtu ataenda sisi wakristo tuna njia ya kutupeleka mbinguni ambayo ni yesu mwana wa Mungu aliye hai
@emathumani2901
@emathumani2901 2 жыл бұрын
Acha nimpende Yesu ambaye ndie njia ukweli na uzima Wa maishayangu Mimì🙏🙏
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Yesu alikuwa mwisilamu kama unampenda lazima umfuate
@nathanch7766
@nathanch7766 Жыл бұрын
@@salimdaawah123 Andiko please...sio maneno kavu
@isseamin2017
@isseamin2017 Жыл бұрын
​@@nathanch7766 mkristo Soma bibilia mathayo 26:39
@isseamin2017
@isseamin2017 Жыл бұрын
​@@nathanch7766 mkristo Soma bibilia mathayo 26:39
@hashim.22kamal27
@hashim.22kamal27 2 ай бұрын
Mariko.12.vs.14
@budapest8596
@budapest8596 2 жыл бұрын
Allah ndie mungu wa pekee hakuna mungu mwengine isipokuwa yeye tu Allah.
@ladyjamilamohammed2577
@ladyjamilamohammed2577 2 жыл бұрын
True talk.... MashaAllah,, Alhmdullillah 🙏
@rabsonmanyama3129
@rabsonmanyama3129 2 жыл бұрын
au bas
@hamissuche6576
@hamissuche6576 2 жыл бұрын
Wallah kuzaliwa muislamu ni neema kubwa sana, kwanza muislamu kuelewa kitu huwa ni haraka na rahisi sana c kama hawa wenzetu mabumbumbu wallah,. Yaani uyu mama anaongea kama anatoka usingizini
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Nashukuru Mungu kuniumba mkristo ni neema kubwa sana
@elinapouljensen9244
@elinapouljensen9244 2 жыл бұрын
Jibu ni mahali alipo nasi pia tuwepo..yeye yupo mbinguni mahali alipo mungu Mkuu baba na yesu ameketi mkono wa kuume wa mungu baba mwenye enzi wote wanaomfuata yesu apo ndipo watakuwepo, yesu ameshawaandalia iyo sehemu nzuri ya kupumzikia
@raffeiystar2870
@raffeiystar2870 2 жыл бұрын
Panaitwaje sasa?? Maana yake kunawez kuwa hata hapahapa Tanzania au burundi sindivyo
@elinapouljensen9244
@elinapouljensen9244 2 жыл бұрын
@@raffeiystar2870ndio jitahidi ufike mahali pazuri ulipoandaliwa ujionee mwenyewe kama ni mbinguni uko uko au apa apa walipoumbiwa Adam na awa yote yanawezekana, Kwani wenye uamuzi si wao
@rendee267
@rendee267 2 жыл бұрын
Sisi sote ni kazi ya mkono wa Mungu ......Mungu ni mmoja, yeye yule Jana ,Leo na hata milele.........na wote siku ya mwisho tutaenda sehemu inayostahiri.
@allydavy6919
@allydavy6919 Жыл бұрын
Ww kama c muislam huendi popote
@sherysuleiman2016
@sherysuleiman2016 2 жыл бұрын
Alhamdulillah a'laa niimatil-islaam 🥰
@virejiangingo288
@virejiangingo288 2 жыл бұрын
Yesu Krisho Ndiye njia ya kweli na uzima milele .
@dralhajijbmatatala4580
@dralhajijbmatatala4580 2 жыл бұрын
Njia ya Kwenda Wapi?...
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 15 күн бұрын
SubhanaAllah..ukristo.mzigo​@@dralhajijbmatatala4580
@user-du2fy5sd5u
@user-du2fy5sd5u 8 ай бұрын
MashaAllah TabarakahAllah Allah awape umri muzidi kueneza qalima ya lailaha ila Allah
@lindatasha3960
@lindatasha3960 2 жыл бұрын
Mimi na Yesu damu ata waseme ngapi yeye ndio mkombozi wangu yeye ndio njia na usima wa milele ,,atarudi kujukuwa walio wake walio fwata Sheria za mwenyezi Mungu na kuwaugumu walio zikataa njia za mwenyezi Mungu hallelujah 🙏🙏 ,,wanadamu munabisha na akuna mtu anajuwa siku ya mwisho vile kutakuwa ni vema Kila mtu afwate Imani yake hati siku ya mwisho kwa sababu ni Mungu alituumba sisi wote na akakuweka muislam na Mimi mukristo ,,sisi wote ni watoto wa Mungu na akuna anaye juwa kama ni mkamilifu Amen🙏🙏🙏
@omaar5693
@omaar5693 2 жыл бұрын
Nani amewadanganya yesu atarudi kuwachukuwa, kama rahisi angeondoka na japo mmoja kati ya wale 12
@saumbliz8983
@saumbliz8983 5 ай бұрын
Dada yesu mwenyewe hawajui mana alisema mwamkubali machoni ndani yenu mwafanya mambo yenu nanyi mwamuabudu bure
@ceesluichannel2020
@ceesluichannel2020 2 жыл бұрын
Im proud to be a Christian but I come to understand it's lack of understanding between Christian and Muslims which is true yesu he was born
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 жыл бұрын
Pole sana aisee
@pongwebeachhotel2806
@pongwebeachhotel2806 2 жыл бұрын
Please be awakening is still early you are not too late,to get your permanent life in jannah tomorrow akhera.dont be wasted your time.
@marymrembomrembo7866
@marymrembomrembo7866 2 жыл бұрын
Siku za mwisho kila goti litapigwa na kukiri yesu ni Bwana mkatae mkubali hallelujah
@lailatuahmadi6525
@lailatuahmadi6525 2 жыл бұрын
Ukiwa na maana yesu ndio mngu wako, innalilah wainnallirah rajuun. Naomba tu nkwambie kitu kimoja hapa duniani mngu ni mmoja tu. Na wala yesu sio mngu
@suweidkhamis722
@suweidkhamis722 Жыл бұрын
Ukifa kafiri ww utajilaumu sana
@saumbliz8983
@saumbliz8983 5 ай бұрын
Innalilahi wa inaileyhi rajiun ,,pole sana
@janethedward5381
@janethedward5381 2 жыл бұрын
Mungu ni mmoja na kila mtu ana muamini ilimradi tusiabudu sanamu ila imani ya mtu ndie inae mponya na akuna alie kufa akarudi akasema kwa Mungu pakoje ila imani ya mtu ndie inae mponya Mungu ni mmoja
@fatumaalisaid9816
@fatumaalisaid9816 2 жыл бұрын
Masha Allah,,,,,,I proud to be Muslim 🥰🥰🙌🙌😘😘😘
@marymrembomrembo7866
@marymrembomrembo7866 2 жыл бұрын
Kwa jina la yesu wagonjwa upona Amen
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Hahaaaa mbona wakati wa coronavirus hawakupona mpaka kanisa zikafungwa
@marywaithera5102
@marywaithera5102 2 жыл бұрын
Mungu n moja.. twaenda wote mbinguni . Mbingu ni moja na jehanamu ni moja pia
@aishawangui6635
@aishawangui6635 2 жыл бұрын
Huyo mama ni mmoja wawale hubadirisha maneno ya Mungu wakijua ..pahari anaona ukweli uabadirisha na maswali ndiyo wafuasi wake wasielewe chochote
@analyticalguru5851
@analyticalguru5851 2 жыл бұрын
Mashallah see the woman has no way out. Wakristo wabishani sana kama wayahudi waliomkata Isa (Jesus)
@jackiewayesu7426
@jackiewayesu7426 2 жыл бұрын
“Let not your hearts be troubled. Believe in God; believe also in me. In my Father’s house are many rooms. If it were not so, would I have told you that I go to prepare a place for you? And if I go and prepare a place for you, I will come again and will take you to myself, that where I am you may be also. And you know the way to where I am going.” Thomas said to him, “Lord, we do not know where you are going. How can we know the way?” Jesus said to him, “I am the way, and the truth, and the life. No one comes to the Father except through me. If you had known me, you would have known my Father also. From now on you do know him and have seen him.” Philip said to him, “Lord, show us the Father, and it is enough for us.” Jesus said to him, “Have I been with you so long, and you still do not know me, Philip? Whoever has seen me has seen the Father. How can you say, ‘Show us the Father’? Do you not believe that I am in the Father and the Father is in me? The words that I say to you I do not speak on my own authority, but the Father who dwells in me does his works. Believe me that I am in the Father and the Father is in me, or else believe on account of the works themselves. John 14:1‭-‬11 ESV bible.com/bible/59/jhn.14.1-11.ESV
@husseinfarhiya469
@husseinfarhiya469 2 жыл бұрын
Huyu hata hajui anachokiongea nenda ukasoma vzur ndio ucomment hpo
@raliaabdi3881
@raliaabdi3881 2 жыл бұрын
Ur talking about new testament which is a Mzungu version,use old testament for u to know the whole truth .
@annettevuseletse2964
@annettevuseletse2964 2 жыл бұрын
Let's believe in whom we trust and put first no one can take away what u have hold on it
@ladyshazshow3296
@ladyshazshow3296 2 жыл бұрын
@@raliaabdi3881 why do you want him to read old testament hes making point
@jackiewayesu7426
@jackiewayesu7426 2 жыл бұрын
@@raliaabdi3881 Jesus answered them, “I told you, and you do not believe. The works that I do in my Father’s name bear witness about me, but you do not believe because you are not among my sheep. My sheep hear my voice, and I know them, and they follow me. I give them eternal life, and they will never perish, and no one will snatch them out of my hand. My Father, who has given them to me,is greater than all, and no one is able to snatch them out of the Father’s hand. I and the Father are one.” John 10:25‭-‬30 ESV bible.com/bible/59/jhn.10.25-30.ESV
@musanike3079
@musanike3079 2 жыл бұрын
Sheikh Kariuki Mashallah ukona Subra na huyo Mama.. mii hapa wacha tuu
@halimakalinga7764
@halimakalinga7764 2 жыл бұрын
MashaaAllah jazzak la kheri alhamdulilah kuzaliwa kwenye din ya haki
@kabaleracho1785
@kabaleracho1785 2 жыл бұрын
Alhamdullilah am am proud to be a Muslim
@ladyjamilamohammed2577
@ladyjamilamohammed2577 2 жыл бұрын
Exactly....Allah atujalie mwisho mwema🙏
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 жыл бұрын
Mama hajielewi! We unasikia au kuona maandishi na bado unajilazimisha ili tu ubaki kukaa na upotofu wako wa kusema Yesu ni Mungu! Khaaa wakristo wabishi jamani loh
@ladyjamilamohammed2577
@ladyjamilamohammed2577 2 жыл бұрын
Hataa...Allah atufundie..wasiyo mwamini Kwa Yy ndo Mungu mmoja...basi ataendelea kuwapoteza Hadi siku ya mwisho ..so yy hajielewi
@silviakahuya4526
@silviakahuya4526 2 жыл бұрын
Mkatee mkubali yesu ni mwana wa mungu alikufaa kwa ajili yetu Ili tupate huzima wa milele siku ya mwisho mtashangaa kuona akirudi tutende mema tumuone yesu
@adeladaudi8780
@adeladaudi8780 2 жыл бұрын
Wewe mama umebarikiwa Umemtetea Yesu mbele ya umati wa watu. Andiko linasema atayenionea aibu na Mimi nitamuonea aibu mbele ya baba Yangu! Hakika Mungu azidi kukubariki na kukuinua.
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
Ukimuabudu binadamu mwenzako motoniiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 ай бұрын
Asimame Imara Wakiondoka wanaungua Moto
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 ай бұрын
​@@shabansalee4924na wanamwabudu Muhamad
@japhetthabit9428
@japhetthabit9428 2 жыл бұрын
Dada yangu hatukutumwa tumuaibishe yesu bali tuwaubiri mataifa habari njema kila aaminie ataokoka na kubatizwa na asie amini ataukumiwa, usibishane na walio laaniwa tayari, we ubili injili usishindane na mtu bila ya sababu ikiwa akudhuru Kwa neno lolote.
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Amen
@japhetthabit9428
@japhetthabit9428 2 жыл бұрын
@@fadhilaongezaongeza226 amen ubarikiwe pia
@salomemzungu6388
@salomemzungu6388 2 жыл бұрын
Ooh! yes asiyekubali kushindwa cmshindani.that why hawananga miujiza they just depending from witchcraft if their have problems or troubles,but the thing that i know is i will receive the miracles through my faith na kitu chakushangaza ni wakati kunamashindano ya Christian and Muslim,Muslim hupenda ubishi without the word of God or they Allah.
@japhetthabit9428
@japhetthabit9428 2 жыл бұрын
@@salomemzungu6388 hatukutumwa kushindana bali muhubiri injili, Mathayo 28:19-20
@fatumamnyenze9696
@fatumamnyenze9696 2 жыл бұрын
Wacha kutukana usilamu ww shoga pia ss tunatembeza dini ww ndea ulilaaniwa 👹😡
@theclan9951
@theclan9951 2 жыл бұрын
God I'm your daughter! , I'll never betray you... And I want you to know that am proud to be a Christian 💒
@analyticalguru5851
@analyticalguru5851 2 жыл бұрын
No one needs to know that
@analyticalguru5851
@analyticalguru5851 2 жыл бұрын
God doesn't have children he has only servants if he had children hell would not be existing ok you can't burn your children ok
@Zsdaughter
@Zsdaughter Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/q3jLhJ-VbrqAh6s
@nancymoraa8480
@nancymoraa8480 7 ай бұрын
Amen
@user-xh9su4qc6d
@user-xh9su4qc6d 2 ай бұрын
Poleni sana ma sheikhe zetu mna Kazi kubwa sana kabisa ,,Allah azidi kuwa hifadhi . Ao ku elewa Kwao niku gumu sana kabisaaaa😂😂😂
@rahmamkali2895
@rahmamkali2895 2 жыл бұрын
Alhamdulillah kwa kuzaliwa muislamu 🥰
@zainabuferrous3482
@zainabuferrous3482 2 жыл бұрын
Kabisa
@theshafiqs256
@theshafiqs256 2 жыл бұрын
Alhamdhulillah,uislam ndo njia
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 жыл бұрын
mm nafutilia sana wakrsto hawana hoja n dhahir shaakir kuwa ukrsto n mıpango mıpango tu ya mwanadam na cıo din ya mungu
@reginamwikali2140
@reginamwikali2140 2 жыл бұрын
Hiyo uisilamu ndio uliopotea kabisa
@bedamligo4802
@bedamligo4802 2 жыл бұрын
Imani si kama unavyodhania ndugu yangu
@melisahakatu2512
@melisahakatu2512 2 жыл бұрын
Amina amina wewe shekhe kilichokuleda hapo nini kama hukuchamwa na mwoto wa yesu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Yesu ni nabii hana moto
@salmashukuru7627
@salmashukuru7627 2 жыл бұрын
Masha allah 🌹 namshukur allah baada ya kusilim nipo vizur naupenda uislam ni miaka minne sasa nimekuwa mwislam 💕💕
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Masha Allah Mungu akuhifadhi
@iam_mobam
@iam_mobam 2 жыл бұрын
Woow MUNGU akupe afya our Lovelly
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 2 жыл бұрын
Wow Maa Shaa Allah hongera sana
@shuwehaomar1370
@shuwehaomar1370 2 жыл бұрын
Bora umeijua njia mapema
@sophianyangalio3796
@sophianyangalio3796 2 жыл бұрын
MashaAllah
@josephndungu6805
@josephndungu6805 2 жыл бұрын
Waaaaooow,,, kazi zuri Sheeehe wangu
@josephndungu6805
@josephndungu6805 2 жыл бұрын
Asante sana sheikh salim
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Welcome brother
@maryamemmanuel1880
@maryamemmanuel1880 2 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah hakika hakuna dini ya haki na kweli ispokua uislam
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Dini ya kikristo ndiyo dini ya haki na uhakika
@gestinakuya8117
@gestinakuya8117 2 жыл бұрын
Jamani mimi nawapeni Pole waislamu wote mnabahati mbaya kuzaliwa waislamu ukweli nawambieni
@user-nf1ms4ke5k
@user-nf1ms4ke5k 4 ай бұрын
Tukupe pole wewe uliezaliwa mkiristo, na mnaona WAz kuwa ukristo sio dini.
@husseinfarhiya469
@husseinfarhiya469 2 жыл бұрын
Alhamdulillah am proud to be Muslim walai dini y haki (ukweli)
@sarahmdindile4301
@sarahmdindile4301 2 жыл бұрын
Katika Biblia maneno ya Yesu yanasema , Mimi ndimi njia ya kweli na uzima mtu hawezi kwenda Mbinguni bila kupitia kwake, kama huja mkiri Yesu kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yetu huwezi wewe moja kwa moja ni Jehanum ya moto uwe mkristo au mwislam ipo cku mtakuja kujua na mda utakuwa umeisha naitaman sana siku hiyo.
@husseinfarhiya469
@husseinfarhiya469 2 жыл бұрын
N mm natamani snaaaa ujuwe dini y kweli nia kiislamu walai hakuna mahali bible imesema dini y kweli nia kikristo
@mwanashaali4863
@mwanashaali4863 2 жыл бұрын
Hii njia ya kweli na uzima ndio imewatia tamaa poleni kashike udhu usujudie Mola wako god of the heaven and earth
@mildredkhagali8357
@mildredkhagali8357 2 жыл бұрын
@@mwanashaali4863madiko yanasema usihapa kwa mbingu wala aridhi kwa sababu mbingu ni mahali Pake mtakatifu anapo keti na aridhi ni mahali Pake pa kuweka mikuu ikiwa unamkataha yesu hiyo heven and Erth ni baba yake alihumba sikulaum uko kibofu mungu a akufunguhe macho
@mildredkhagali8357
@mildredkhagali8357 2 жыл бұрын
@@husseinfarhiya469 somo Yohana 6:35-36 wacha kua kibofu yule aliye umba mbingu na aridhi akakuhumba wewe katika tumbo la mama yako ndiye aliye mtumwa yesu Kristo hapa Duniani ili watu wote wamwamini wawache kutenda maovu na mungu alikua na uwezo wa kuzua asisulupishwe lakini alitaka wanayo pinga haki kama wewe wahamini ndio akafa akafufuka.siku ya tatu
@husseinfarhiya469
@husseinfarhiya469 2 жыл бұрын
@@mildredkhagali8357 ww hata hujielewa kabsaaa hakuna chenye umenifunza hapo
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 2 жыл бұрын
MashaAllah masheikhe wetu Allah awabariki kila la kheir na baraka afya njema na umri mrefu muzidi kupigania dini ya haki mbele ya Allah inshaAllah Amiin
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Aameen ameen ameen sote
@hezronkipkazi9933
@hezronkipkazi9933 2 жыл бұрын
Mimi ni mkristo lakini huyu mama hajijui
@hezronkipkazi9933
@hezronkipkazi9933 2 жыл бұрын
naomba kujifunza Quran
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
Amiin yaraby
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
@@hezronkipkazi9933 Inshallah ALLAH akuongoze ingia you tube sikiliza tafsir ya Qur aan inshallah utapata uongofu
@mugabekashindi4111
@mugabekashindi4111 10 ай бұрын
Tumufate yesu jamani alie kufa msalabani kwajili yaku ondoa Zambi zetu Sisi wana adam mimi na kufata yesu wangu nakupenda❤ sana Amen
@marthajovin5905
@marthajovin5905 2 жыл бұрын
Hakuna anaejua anaenda wapi acheni ujinga na hakuna anaejua huko peponi , mnapotosha watu mungu ni mmoja. Tenda wema na ishi katika kweli
@sarahmdindile4301
@sarahmdindile4301 2 жыл бұрын
Sisi wakristo tukifa kama tulimpokea Yesu kristo na kumwamini kuwa bwana na mwokozi wa maisha yetu moja kwa moja tunaingia Mbinguni na kama ulikuwa mkristo na mtenda mabaya moja kwa moja Jehanam
@mahatyussuf1074
@mahatyussuf1074 2 жыл бұрын
Isaya 51:6 Inueni macho yenu mbinguni, mkaitazame nchi chini; maana mbingu zitatoweka kama moshi, Hakuna mbingu unasema mtaenda itakuwa moshi
@mwanashaali4863
@mwanashaali4863 2 жыл бұрын
@@mahatyussuf1074 jibu zuri sana
@jamesmgonda
@jamesmgonda 2 жыл бұрын
Kama ukifa unaenda moja kwa moja ..Yesu atarudi kuchukua akina Nani?? Una Aya kutetea ulichoandika??
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
@@jamesmgonda ww nimchungaji nikupe zawadi ama
@jilloabdul8098
@jilloabdul8098 2 жыл бұрын
MashaAllah may Allah bless you more and give knowledge to spread Islam.
@mshihiliramadhani9088
@mshihiliramadhani9088 2 жыл бұрын
Mashallah amiin
@user-du2fy5sd5u
@user-du2fy5sd5u 8 ай бұрын
MashaAllah TabarakahAllah Allah awape umri muzidi kueneza qalima ya lailaha ila Allah😅
@lynnkyra4101
@lynnkyra4101 2 жыл бұрын
Mtashindana lkn siku inakuja,kila ulimi utamkiri Yesu kuwa bwana na mwokozi wetu.nampenda Yesu wangu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Na usishahau Yesu ni mwisilamu hakuwa mkristo
@lynnkyra4101
@lynnkyra4101 2 жыл бұрын
@@salimdaawah123 Jesus was a jew not a muslim
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
@@lynnkyra4101 Jew tribe or a religion please any evidence
@lynnkyra4101
@lynnkyra4101 2 жыл бұрын
@@salimdaawah123 Jesus was raised as a Jew and remained Jewish and he never intended to create a new religion,,,,, He was neither a Muslim nor a Christian bcoz Islamic religion was introduced in the 7th century by Prophet Muhammad while Jesus came in the 1st century. Christianity was introduced after his death and resurrection.
@lynnkyra4101
@lynnkyra4101 2 жыл бұрын
Kila mtu amini kile anachoamini bible inatufundisha mtu haji kwa baba bila mwana so sisi tunamini kuwa hatuwez kwenda mbinguni bila kumkiri Yesu kristo na kutenda yaliyo mema.na siku ya mwisho Yesu anarudi
@shababygirlshambuwa8388
@shababygirlshambuwa8388 2 жыл бұрын
Takbirrrrrrr waisilamu wenzangu hahahahaha mashallah shekhe
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Allah akbal
@assfzainab912
@assfzainab912 2 жыл бұрын
ALLAH AKBARU
@michaelkiuta1979
@michaelkiuta1979 2 жыл бұрын
Yesu namba moja, mtu hawezi kufika kwa MUNGU kama hatapitia kwa yesu kwanza amin amin utapona asante...............
@damas5665
@damas5665 2 жыл бұрын
Amen
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Mamake Yesu pia alipitia kwa Yesu?????
@saraaudax8138
@saraaudax8138 2 жыл бұрын
Amina
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 Жыл бұрын
Mungu gani uyo!??
@catherinemutindi5031
@catherinemutindi5031 2 жыл бұрын
John 8 verse 12 inasema Mimi ndimi njia kweli na uzima. kando na yesu hamna uzima.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Sijaona mahali inasema kando na Yesu hakuna njia mbona unaongesha bibilia
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 2 жыл бұрын
Bora nimezaliwa ndani ya uislam,maana mkristo huwa anaujua ukweli ila kwakua kajazwa Imani potofu Basi hahami kwenda ktk ukweli
@carendeborah5687
@carendeborah5687 2 жыл бұрын
Maana wewe ndo uliyewaumba ...wewe mtakatifu sana..kumbuka hamna aliyemkamilivu humu duniani unless quaran yakwambia wote ni wakamilivu.
@suzanaamisi
@suzanaamisi 2 жыл бұрын
Kbs 🙏 sisi wa kristo tuna henda mbinguni amen mama ubarikiwe
@alinaalina3089
@alinaalina3089 2 жыл бұрын
Yesu Yesu ndagupenda sana kwenye uko usifiwe
@khadijakitsao5451
@khadijakitsao5451 2 жыл бұрын
Wanalazima aungame vitu zauongo
@susanraphael5894
@susanraphael5894 2 жыл бұрын
Amina wajina
@mohammedamour4930
@mohammedamour4930 2 жыл бұрын
Mbinguni hata ndege zinafika
@bedamligo4802
@bedamligo4802 2 жыл бұрын
@@mohammedamour4930😢mh!
@rehemamjasambu9933
@rehemamjasambu9933 2 жыл бұрын
Mshukuru Allah kwa kukuumba na kuwa muislam maana amekupendelea tumshukuru Kwa kutenda mema
@wanjirubens
@wanjirubens 2 жыл бұрын
i just love how east african coexist with their Difference in Religion without war Not like some Westafrica or middle east countries
@rbagha5280
@rbagha5280 2 жыл бұрын
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
@sifajacky7779
@sifajacky7779 2 жыл бұрын
Alhamdulillah kuona Allah Wetu Mtukufu Subhanah Wataala amenitowa katika giza 🤲🏻
@yohanaazaeli3862
@yohanaazaeli3862 2 жыл бұрын
Weunaenda motoni kasome Vizuri anawadanganya Huyo jamaa na manenoyake
@sifajacky7779
@sifajacky7779 2 жыл бұрын
@@yohanaazaeli3862Usijali kaka. Mwenye kuwa na funguo ya mbingu ao moto ni Allah Subhanah wataala Ya Hayy Ya Qayyum Ya Malik Ya Jabbar.
@jackiewayesu7426
@jackiewayesu7426 2 жыл бұрын
@@sifajacky7779 wewe sio mwarabu dada usiongee lugha ambayo huijui yasemaje Soma Biblia utapata ukweli
@sifajacky7779
@sifajacky7779 2 жыл бұрын
@@jackiewayesu7426 Asante kwa ushauri ila usisahau kuwa na wewe sio mu Israel wala mu Roman. dini zote ziko na walio zianzisha na sisi tukachukuwa uamuzi wa kuchaguwa dini tunayo rizika nayo. na mimi Alhamdulillah nimerizishwa na kuwa Muislam.
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 2 жыл бұрын
@@sifajacky7779 Allah asimamie.imani yako mpka kufa kwako inshallah
@jamalathman6219
@jamalathman6219 2 жыл бұрын
Huyo mama ako na shida ya ufahamu lugha, Allah amuongoze aijue dini yaki uisilamu
@susankushykushy4215
@susankushykushy4215 2 жыл бұрын
Ajuwee aje
@dulleyjuma842
@dulleyjuma842 2 жыл бұрын
Amiiin na wako wengi wasiyojua ALLAH(SWT)AWAONGOZE
@eunicenthenya9125
@eunicenthenya9125 2 жыл бұрын
Well done beautiful lady.Heko👌these fellows need alot.They only criticize the word as a group what of an individual.
@johnmwangi9943
@johnmwangi9943 2 жыл бұрын
I didn't want to comment but I will. We Africans are here urging about foreign religions which even those who brought it are now concentrating on development and well being of their people. I was a Christian but I'm no longer religious, I'm concentrating on doing the right and respecting the law!!
@watene7975
@watene7975 2 жыл бұрын
You're Right be Blessed
@saumukazungu565
@saumukazungu565 2 жыл бұрын
Ukweli nikwamba kati ya hii Dunia tunaomba mungu mmoja tu ispokua vitabu ndo vinakoroga watu
@monaishm9445
@monaishm9445 2 жыл бұрын
Kabsa Mungu moja Mungu ndo anajua achen kuba nanga maneno anae kufa anajua
@nooroman2535
@nooroman2535 2 жыл бұрын
MashaAllah Mashelhk yetu Asante kwa kazi nzuri lnalila wainalilai rajiuni
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Ni msiba sana Allah awaongoze hawa wakristo
@stellah3844
@stellah3844 2 жыл бұрын
@@salimdaawah123 Siyo wote na si kila mtu anaijua bible au Quruan vnzur,,,,,,, Mungu wetu ni mmoja mbona mnasema wakristo hawajielewi kwasababu ya mtu mmoja au watu wachache? Achen hizo bhana.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
@@stellah3844 sawa
@celinemollel766
@celinemollel766 2 жыл бұрын
Namshkuru Mwenyez Mungu kwa lman niliyonayo ktk vitu vya dunia usiwah jaribu kushindana na maandiko
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Ukweli lazima watu waambie hakuna anayeshindana ila ukweli unauma
@celinemollel766
@celinemollel766 2 жыл бұрын
@@salimdaawah123 lakin siku ya mwisho utajisemea pekeako
@jastinisalonimolelijastini7587
@jastinisalonimolelijastini7587 2 жыл бұрын
@@salimdaawah123 nyie waislam mnataka sisi wakristo tukuje upande wenu Lakin mtazubiri sana mungu Atabaki kuwa mungu bwana yesu Asifiwe
@demycratia2567
@demycratia2567 2 жыл бұрын
Binadamu wote waelewe kuwa MUNGU NI mmoja ila mwendako hamkujui
@mohaali1231
@mohaali1231 2 жыл бұрын
Masha Allah Adinul Nasteh
@mamumiyaskitchenvlogs5858
@mamumiyaskitchenvlogs5858 2 жыл бұрын
Maskini Allah awatowe katika kiza. Mswiba wallahi
@mightlybeloved6763
@mightlybeloved6763 2 жыл бұрын
Hilo andiko ambao mumesoma kwanza linawachapa nyi waislamu vile tayari mumekubali kwamba Yesu alikufa na akafufuka. Kama hamuamini alikufa na akafufuka mbona mnaamini sehemu moja ya hio maneno alisema .
@duncanamadi6921
@duncanamadi6921 2 жыл бұрын
Spiritual things are spiritually discerned. The carnal mind cannot comprehend it. Jesus is the Way, the Truth and the Life. No one cometh to the Father except by him(Jesus Christ)
@analyticalguru5851
@analyticalguru5851 2 жыл бұрын
Wewe Wacha kuita akili zetu carnal kama yako iko sawa jibu maswali aliyoulizwa mama huyu ktk vedio kama ww dume jibu na toa dalili sawa mama anapigwa na Matthew pekee 🤣💥
@husseinsheikh6123
@husseinsheikh6123 2 жыл бұрын
Mashaallah jazakallah kheir Sheikh Salim and Sheikh Hassan may Allah gives you good health and long life ❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Aameen ameen ameen all of us
@yusufhabimana4093
@yusufhabimana4093 2 жыл бұрын
sheikhe wew nakukubari nawengine wahadhili
@yusufhabimana4093
@yusufhabimana4093 2 жыл бұрын
allah atawaripa kwakazi mnayoyifanya ngumu bujumbura tunawapata 100%
@yusufhabimana4093
@yusufhabimana4093 2 жыл бұрын
biragusahau d.d habb mazinge
@mjitahidiomary8733
@mjitahidiomary8733 2 жыл бұрын
Nawpenda sana alla atajalia izaahja
@nailejilejimollel7762
@nailejilejimollel7762 2 жыл бұрын
Mungu yupo na anatutetea wakristo amen
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Mungu mgani???
@damas5665
@damas5665 2 жыл бұрын
AMEN
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
@@salimdaawah123 WA Abraham, Issac na Jacob,Wala soo Mungu WA Muhammad WA kuslimisha shetani na majini 😭
@alunasozi5676
@alunasozi5676 2 жыл бұрын
Yn hata iwejeeee mm ntabaki kuwa mkristo Im proud to be christian ,,,
@shohritahodhan-ui1rk
@shohritahodhan-ui1rk Жыл бұрын
Umejibu vizuri mungu ya wahindi kaibiwa
@yusrayushau641
@yusrayushau641 2 жыл бұрын
Mkorogolization! Mungu akuongoze mama
@ashwramashallah7242
@ashwramashallah7242 2 жыл бұрын
Masha'allah tabaraka rahmani ..najivunia kua muslim..alhmdulillah
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 2 жыл бұрын
Mama anajichanganya😅🙌anaulizwa swali hajibu ipasavyo🤝🇹🇿
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Allhamdulillah kuwa Muislam. Allah awaripe pepo mashehe zetu kwa kuwaringania wasiyojua
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Aameen ameen ameen
@andreaotaigo40
@andreaotaigo40 2 жыл бұрын
Yohana 14:6 - Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
@promyomari3192
@promyomari3192 2 жыл бұрын
kweli dungu yangu
@andreaotaigo40
@andreaotaigo40 2 жыл бұрын
@@promyomari3192 ubarikiwe
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 жыл бұрын
@@promyomari3192 Tatizo hamfuati matendo yote ya Yesu, badala yake mnachagua ya kufuata na ya kuacha!
@stephenstevo5799
@stephenstevo5799 2 жыл бұрын
@@fatmazullu4933 kwahivyo unamaanisha nyinyi mnafuata yote na you guys you are perfect that you never sin
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
Hakuna njia nyingine asema Alfa na Omega?
@asiathoya7660
@asiathoya7660 2 жыл бұрын
Yesu wangu ananitosha. Only Jesus is the way to heaven
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
YESU ANAWEZA YOTE APEWE SIFA
@analyticalguru5851
@analyticalguru5851 2 жыл бұрын
Hawezi bila Mungu na yy ndiye kustahiki sifa ona maneno ya bibilia inawaponza wapi mmeona Quran na makosa hukumu ni ya Allah soma dini ya Uislamu na ukristo bila kiburi kwani Hawa wachungaji ni maumbwa Isiah 56: 10 sawa si mm nasema ni bibilia yako unayoamini ok
@mshihiliramadhani9088
@mshihiliramadhani9088 2 жыл бұрын
@@analyticalguru5851 waambie hawaeleweki na wamepotea
@janugabu8099
@janugabu8099 2 жыл бұрын
Nyie wote waisilamu acheni kucheza na Mungu aloe hai mtakufa huo mda ni Bora mkatubu kuliko kupotezza muda hapo kwa kumkebehi Yesu sasa hivi ni mda wakujitakasa hiyo mnaemkebehi atarudi muda so mrefu wanafki nyinyi
@lailatuahmadi6525
@lailatuahmadi6525 2 жыл бұрын
Yan mnachokosea nyie ni ile kumfanya sjui yesu ndio mngu yesu sio mngu ata iweje. Mngu ni mmoja na wala hakuzaa wala hakuzaliwa na hana mshirika ata mmoja. Ndo mana kwa sisi waisalm tunasema hapana mollah apasae kuabudiwa kwa haki ispo allah na hakika mtume mhammad ni mtume wake.
@claudemofi465
@claudemofi465 2 жыл бұрын
Wewe tafuta mwalim Dashi akufunze neno la Mungu achana nauyu mama tafuta kidume mwenzio.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Mwambie atutafute kama yeye kidume
@samikadar
@samikadar 2 жыл бұрын
Sheikh Ngugi. Strong bro InshAllah. Allah SWT Awazidishie nguvu jamaa mko jihad hapo.
@puritynaima7000
@puritynaima7000 2 жыл бұрын
Ss munavunza amri za mung;unahukumu mwenzako kabil ww hujahukumiw;
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 жыл бұрын
Masha Allah, mashekh wetu Allah awape afya njema
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Aamiin amiin amiin pia wewe
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 2 жыл бұрын
Masha allah.watching from Boston USA
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Masha Allah May Almighty Allah bless you and your family and everything you're doing May Almighty Allah put baraka on it
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 2 жыл бұрын
Chicago Illinois! Asalam walaykum warahmatulahi wabarakatuh kaka!
@rukiaismail2569
@rukiaismail2569 Жыл бұрын
The best thing we need to do is to listen and understand.this can guide us
@shamsanassoro9822
@shamsanassoro9822 2 жыл бұрын
MaashaaAllah mashekhe wetu huyo mama hawez kuelewa kamwe,anachoongea hakielewi, najivunia kuwa muislam, ameshindwa huyoooo, uislam nirahaaa
@andreaotaigo40
@andreaotaigo40 2 жыл бұрын
Yesu ndie njia kweli na uzima njooni kwake nyote mpate kuokolewa
@budapest8596
@budapest8596 2 жыл бұрын
Allah awaongowe
@vigilantmystic3734
@vigilantmystic3734 2 жыл бұрын
This is lively.. letting them express their freedom of religion
@maimunafzaka880
@maimunafzaka880 2 жыл бұрын
Babangu alislimu. Nikajipata nimezaliwa muslim... kila siku namuombea dua.. yani nashukuru sana ata siwezi kuimajin ati ningekua mkristo... yani namshukuru Allah kila siku
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Masha Allah ulipata neema ya uisilamu
@Bntv-4928
@Bntv-4928 2 жыл бұрын
Tatizo Huyo Mama Hana uelewa mpaka na Dini husika anayeipambania ,,, huwezi weka hoja ktk masuala ya Dini endapo huna uelewa Mpana.... Uje uulize wap tunapelekwa kwa wale wenye uelewa Mpana....... Ipo hivi ndg zangu waisilam.. sote tulioishi ktk Imani njema na kufuata Yale Mungu anayohitaji tufuate.... Basi tutaenda Peponi/ kwenye mji wa uzima wa milele huko hapana Magonjwa wala taabu ya aina yeyote .... Ndo maana hata hua mnaona wachungaji wanapokua wanafanya mazishi ya mkristo mwenzao ... Nanukuu..... Mungu ametoa na Mungu ametwaa Jina lake lihimidiwe,,,, Mungu na ailaze Roho ya marehemu Mahala pema Peponi.... Kwahyo tutaenda Peponi ... Huyo ndg yetu mama. Kdg hajajibu ilivotakiwa
@anitamwende8329
@anitamwende8329 2 жыл бұрын
Indeed it's the end of the world,wanangu mumekosa maandili,how can you compare the power of God forgetting we are all created by one supreme God, religion will not take you to heaven nor "peponi" may God forgive you ,
@hudaaalhussein3841
@hudaaalhussein3841 2 жыл бұрын
Mungu hkuzaa wala kuzaliwa wala hjafanana na kitu chochote
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Ukweli kabisa
@gettyjusa3352
@gettyjusa3352 2 жыл бұрын
Lakini ana uwezo wa kuwa kila kitu atakacho wala hapimiwi kiwango
@ramzanqarim4977
@ramzanqarim4977 2 жыл бұрын
Huyu mwanamke hataki kujua maana kama hajaelewa jibu anaelezwa anauliza swali lingine sasa atakaa hapo na hatajua alicho jifunza hapo
@imammwangauri9326
@imammwangauri9326 Жыл бұрын
Walimu wangu mungu awajazie kila la heri kwa juhudi mnayo ifanya na malipo yenu mtayapata siku ya malipo
@mrsomeone7728
@mrsomeone7728 2 жыл бұрын
Hakuna mwanaume kama yesu na hakuna mtu yoyote atakuja kua kama Yesu. Hatukatai kuna manabii wa uongo ila ukweli ni kwamba Yesu ni yule yule jana leo na hata milele. Bwana yesu asifiwe.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Eti hakuna mwanaume kama Yesu ulijua aje wakati hata hakuoa
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 2 жыл бұрын
@@salimdaawah123 pole sana mpo kimwili kuliko kiroho zaidi mambo ya rohoni si kitu kwenu
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 жыл бұрын
Mat11:28.Njooni kwangu ninyi nyoote yani pamoja na ninyi mnaobishana hapo, msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha.mnabishania imani ninyi mna Mbingu? huo ubishani ni mzigo utueni kwa Yesu mkae na amani ya Bwana.kubishana huko ni kokosa uhakika wa Imani yako.badilikeni na mjue mnamkosea Mungu.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 жыл бұрын
Hahaaaaa yani mkristo akikosa hoja anaanza hizo
@zarubiambonde8986
@zarubiambonde8986 2 жыл бұрын
Mashaallah ♥naupenda uislam
@biberpriyer330
@biberpriyer330 2 жыл бұрын
Hahha mama amekosa kazi ya kufanya kubishana kwa evidence hawezi akapike vitumbua na kkuuza uji😂😂😂
@motherteresa8469
@motherteresa8469 2 жыл бұрын
Dada ni hivi,new Jerusalem hiko mbinguni, Hakuna njia nyingine ya kwenda mbinguni kumuona Baba hila kupitia kwa yesu Kristo.That new Jerusalem hiyo siku za mwisho itashuka kutoka mbinguni.Ndiyo maskani ya mungu pamoja na wanadamu.Amen.
@vickytanui1158
@vickytanui1158 2 жыл бұрын
Umenena🙏🙏🙏
Wanawake wakikristo wavamia mkutano wa daawah mkuru kwa jenga by sheikh Idris
46:28
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 15 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,3 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
AMANI YA NAFSI - SHEIKH HASSAN AHMED
37:51
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 29 М.
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН