Kutana na Mazuzu Comedy | Akili Zao Wanazijua Wenyewe

  Рет қаралды 67,222

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Wanajulikana kwa uwezo wao wa kukuvunja mbavu kupitia video zao fupi zinazosambaa mitandaoni, leo ni nafasi yako ya kuwafahamu kupitia #CloudsReviews

Пікірлер: 59
@eddybrokalieddybrokali
@eddybrokalieddybrokali Жыл бұрын
kuna laputopu😂😂😂huku kwenye haya mabegi
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Nyie namba moja hamna mpinzani, uigizaji wenu ni tofauti na comedian wengine, rudini tena kama zamani mlipokuwa EAtv .
@habibuahmadiabdallah4280
@habibuahmadiabdallah4280 2 жыл бұрын
Nawakubali mnaweza sana...... Mnaweza ata kumfanya punda acheke.... Ila mm kwa mawazo yangu msitafute stry au kufikiria stry flani ili muifanyie commedy... Maana sty nyingi tayari zimeshafanyiwa commedy na stry nyengne hazina jambo la kujifunza unapotazana... Mm ningeshauri mufanye commedy kuendana na matukio nchini na kuweza kuisadia jamii kujifunza... Au ku rise ishu ambayo watu hawailewi wanahitaji waielewe..... Apo mtaisaidia jamii na nchi kwa ujumla.....
@isayayohana6341
@isayayohana6341 2 жыл бұрын
Aise hawa mijamaa kweli ni mazuzu
@jacksonvalence7365
@jacksonvalence7365 3 жыл бұрын
Huhahhuh mazuzu kwa upyaa na mkate wa buku na buku miatano
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
etiiii kimetuleta ni njaa tu 😄🤣😂😆😄🤣😂
@sadockalfred1710
@sadockalfred1710 3 жыл бұрын
Eti kuna kipindi tunacheka wenyewe nyie noma nawapenda aise
@rogathikaziyamungu9554
@rogathikaziyamungu9554 10 ай бұрын
2023 where are these guys?
@lightnessmmary7935
@lightnessmmary7935 3 жыл бұрын
Upo vizuri mtangazaji tuna kupata vizur
@tonymaster3619
@tonymaster3619 Жыл бұрын
Noma sana
@Ndagoselemani
@Ndagoselemani 3 жыл бұрын
Nimecheka sana jaman
@omaryhossen8908
@omaryhossen8908 3 жыл бұрын
Nawakubar sana
@franciskavyega280
@franciskavyega280 3 жыл бұрын
Ko uku tumekuja kukosa?!...MASAWE bna 😅 hahaha
@fredialfredi202
@fredialfredi202 2 жыл бұрын
Mtangazaji nimekupenda bure
@emmanuelngonda1600
@emmanuelngonda1600 2 жыл бұрын
Mbona hamtoi mpya mazuz vp
@ringoaskali7625
@ringoaskali7625 3 жыл бұрын
Dha nimemmiss sana kiwewe na masawe noma sana hao jamaa
@harounsaid580
@harounsaid580 3 жыл бұрын
Hahahahaa... masaweee
@djmaster4928
@djmaster4928 2 жыл бұрын
Kwani huku tumekuja kukosa 😆😆😆😆😆
@amanimanase5794
@amanimanase5794 3 жыл бұрын
Daah hawa jamaa kitambo nilikuwa nawakubali nooma
@abdaiiyatv7570
@abdaiiyatv7570 3 жыл бұрын
Kichekoooo hatari
@fadhilisec8456
@fadhilisec8456 3 жыл бұрын
Gonga like kama mtangazaji ni kidoti
@alexmlinda9399
@alexmlinda9399 3 жыл бұрын
Kali Sana
@jassontv5366
@jassontv5366 3 жыл бұрын
Sasa nini kimewafanya kurudi pamoja?..............Ni Njaa tu. daah Nimependa ahaahaaaa
@ymusic1299
@ymusic1299 3 жыл бұрын
Hahahahaha nyie ni fireee
@olaissaitoti3550
@olaissaitoti3550 3 жыл бұрын
I love these guys
@njillihotz2785
@njillihotz2785 3 жыл бұрын
Kwa Hawa jamaa hakuna anaewagusa wapo vzr
@khaidariylijonjo5716
@khaidariylijonjo5716 3 жыл бұрын
Eti Mungu ni mnene 😀😀😀
@frankmwampamba166
@frankmwampamba166 3 жыл бұрын
Atar sana
@fridajoseph516
@fridajoseph516 3 жыл бұрын
Nimewamiss sana.
@jowimacosogo9219
@jowimacosogo9219 3 жыл бұрын
I like it
@joanejoel159
@joanejoel159 3 жыл бұрын
Jaman nilikuwa na mtafuta sana masawe oyoooo umenierewaa hahaaaa
@jenynaafya
@jenynaafya 3 жыл бұрын
Fahamu dalili za tezi dume 1.Kukojoa mara kwa mara hasa wakati wa usiku 2.mkojo kutoka kisiri siri 3.mkojo kutoka bila nguvu na kutokuruka mbali. 4.kokosa hamu ya tendo la ndoa na kuishiwa nguvu za kiume. 5.kupata ugumu na maumivu wakati wa kukojoa. Tezi dume isipotibiwa mapema huleta madhara mbalimbali kama 🔸 Upungufu wa nguvu za kiume 🔸 Saratani ya tezi dume 🔸Figo kufeli 🔸Mawe kwenye figo 🔸Kifo Kwa ushauri na tiba 0655523211
@kiwewecomedy
@kiwewecomedy 3 жыл бұрын
Mazuzu is fire
@hendryjoseph5196
@hendryjoseph5196 3 жыл бұрын
Hahaha noma hakuna anao wapta
@abbakarsaidimsigwa871
@abbakarsaidimsigwa871 3 жыл бұрын
masaweeeeee
@veboytz7064
@veboytz7064 3 жыл бұрын
Hahahahaha, hatariii
@hafidhmajaliwa6872
@hafidhmajaliwa6872 3 жыл бұрын
Mazuzu km mazuzu
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 3 жыл бұрын
Mkate wa buku na wabuku mia tano
@evamartin863
@evamartin863 3 жыл бұрын
eti tumekuja kukosa😃😃😃
@moudyhamisi2641
@moudyhamisi2641 3 жыл бұрын
Masawe duh kitambo sana brother
@ngalawekikohingalawekikohi4768
@ngalawekikohingalawekikohi4768 3 жыл бұрын
Mtangazaji kwan wewe kimekuleta nn apa
@jonathanicrisatijonathanic6708
@jonathanicrisatijonathanic6708 3 жыл бұрын
Mucheki Giva akiwa na sitamina ngoma kali sana
@josephelias3004
@josephelias3004 3 жыл бұрын
hahahahahahahahahahh
@simonwoisso1831
@simonwoisso1831 Жыл бұрын
Aggah
@benjaminulanga6749
@benjaminulanga6749 3 жыл бұрын
Dada ilove you unatangaza vzr sana nimekupenda naomba u reply tu nifurahie jmn
@BongoCryptos
@BongoCryptos 3 жыл бұрын
Kakuchinjia baharini😂😂😂
@benjaminulanga6749
@benjaminulanga6749 3 жыл бұрын
@@BongoCryptos ndo ivo tena sina namna
@amanimanase5794
@amanimanase5794 3 жыл бұрын
Host hakuna kitu apo
@dicksonhealthcare3016
@dicksonhealthcare3016 3 жыл бұрын
DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Ni Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege. Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda wassap 0678496912
@mhandoomary7398
@mhandoomary7398 3 жыл бұрын
Ww mtangazaj umefata nn😁😁😁😁
@didaskipe7260
@didaskipe7260 3 жыл бұрын
Et, kama sio njaa zake😀😀
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@dbwaxvevo5780
@dbwaxvevo5780 3 жыл бұрын
macomedi ndo nn sema macomedian
@kefasonivenace4301
@kefasonivenace4301 3 жыл бұрын
Inarushwa clouds au ITV
@winniemmary6900
@winniemmary6900 3 жыл бұрын
CLOUDS TV
@samsonkombe1449
@samsonkombe1449 3 жыл бұрын
@@winniemmary6900 OK
@michaelmickson64
@michaelmickson64 3 жыл бұрын
@@winniemmary6900 inaluswa siku gani na muda gani?
@sanimoclassic1917
@sanimoclassic1917 3 жыл бұрын
Hyu dada hta hajui kutangaza
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
Katangaze wew
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 186 М.
MWALIMU NIKUVALISHE PETE PART 3
11:51
Mweusi Family
Рет қаралды 1,1 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 38 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 31 МЛН
Injili kwa kinyakyusa
9:13
Wilson Ambilikile
Рет қаралды 17 М.
ORIGINO KOMEDI: EP10 WABEBA MIZIGO NA VIONGOZI😤😤 (subscribuni sapoti yenu needed)
5:01
Don't Die Before Your Death - Muniba Mazari #IronLady
38:48
Inspiring Minds
Рет қаралды 5 МЛН
Cheka na uwe na furaha - part 1
3:09
TimesFMTZ
Рет қаралды 824 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 607 М.
TAMAA
10:32
Joti TV
Рет қаралды 531 М.
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 38 МЛН