MWIGULU ATOA TAMKO MGOMO WA WAFANYABIASHARA - "MIGOMO NDIO INATURUDISHA NYUMA"

  Рет қаралды 21,940

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 110
@alexbujenja2750
@alexbujenja2750 3 ай бұрын
Tatizo ninyi ni wanasiasa maneno matam Utendaji ZERO
@shatonyonge
@shatonyonge 3 ай бұрын
njooni Kenya tuwafunze elimu ya kupambana na hawa watu.
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 3 ай бұрын
Amengea boss wa asiyetaka kulipa kodi aende au ahamie Burundi. Ila ipo day.
@omaryyusuf9405
@omaryyusuf9405 3 ай бұрын
Ondowenii wamachingaa kariakoo unataka kufanya biasharaa kariakoo kodii fremuu
@chingychingy2066
@chingychingy2066 3 ай бұрын
Viongozi wa tz mnatia hasira sana
@ANNAKISIGA-pc5qs
@ANNAKISIGA-pc5qs 3 ай бұрын
We mwinguru kinachoemdelea kemya soon kinakuja huku
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 3 ай бұрын
Tunamkaid mungu aliesema mwanamke sio kiongozi haya ndio madhara yake sahiv kila sekta wizii tu
@amedeustesha5947
@amedeustesha5947 3 ай бұрын
Kwani pesa za kuendesha serikali lazina itoke tuu Kwa mlipakodi. Tunacho taka ni Kodi za watu iwe sehemu tuu ila tuna madini, tunabandari, tuna mbuga, tuna bahari mkiweka usimamizi usio na wizi mbona watanzania watafurahia. Punguzeni pia Mishahara yenu punguzeni safari na misafara ondoeni sherehe za kiserikali zisizo na faida Kwa mtanzania wa kawaida hizo hela mu bust miradi ya serikali
@MOSKTO.tm.
@MOSKTO.tm. 3 ай бұрын
💪🏾
@abec2532
@abec2532 3 ай бұрын
UCHAWA UNAIUA 🇹🇿 TANZANIA
@sawackmlinga
@sawackmlinga 3 ай бұрын
Kila mwaka mnanunua magari Mapya ya kila toleo toka Toyota hamuoni kua ni gharama pia
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 3 ай бұрын
Mizizi ishafika kwenye mwamba urafi wa mali za hii nchi hautaisha nyoka paka haizai ngendere kulen maisha ikiwezekana weken utawala wa kifalme maana ndio mfumo uliopo
@SospeterjohnWasaga
@SospeterjohnWasaga 3 ай бұрын
Hii siyo Tanzania iliyokusudiwa na mwenyezi mungu Tunamadini ya Aina tofauti hapa nchini tunamaziwa makuu tunabandari mbuga na vivutio mbalimbali Mirada ya selikali amblyopia inajiendesha kutokana na malipo ya wanaopata huduma hizo kama hospitali,maj,Tasco umeme,ndege ,meli,vivuko mbali mbali,na miladi mingine ambayo pia lazima Kunafaida inayopatikana kutokana na hiyo miladi, sijaweka mikopo ya mabillion yanayo kopwa nje silikali hiyo hiyo bado inakusanya Kandi mbali mbali kwa watumishi na wafanya biashara wakubwa kwa wadogo Lakin bado nchi inadidimia na maisha ya raia wake yanatia huruma hebu nduguzetu mliopewa dhamana jitafakalini
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 3 ай бұрын
Acha mambo yako sio wote watoto wa mama,mi mtoto wa BABA
@FadhiliMnyonge
@FadhiliMnyonge 3 ай бұрын
Mmesikiliza Ila hamtekelezi
@GilbertJohn-fz6jh
@GilbertJohn-fz6jh 3 ай бұрын
REJECT THE BILL ,TUINGIE KWA BUNGE, tuibe iyo fimbo, na viti
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Hili ni bunge la CCM tu mbunge wa wanainchi alikuwa Mpina basi endelea kutuumiza mtafika mwisho wako mwakani ndiyo utajua nateso unayowapa wanainchi masikini ninyi wabunge wa CCM.
@AdamMhina-uq3mq
@AdamMhina-uq3mq 3 ай бұрын
akuna jipya,,, +254 wanajitambua sana asee
@LizenMaker
@LizenMaker 3 ай бұрын
Kweli
@samvande2002
@samvande2002 3 ай бұрын
Viva kenya youth
@adamukiwelo2882
@adamukiwelo2882 3 ай бұрын
punguzeni matumizi makubwa serikalini hizo gari za m 550 hazitakiwi tumieni rav4.
@tasukutechnologies2573
@tasukutechnologies2573 3 ай бұрын
Siyo kweli TRA vichwa ngumu sana, kama nyinyi mnasikiliza TRA hawasikilizi
@TanganyikaChakupewa
@TanganyikaChakupewa 3 ай бұрын
Kwann huyu jamaaa asiondoke hiyoo nafas
@AgathaJumanne
@AgathaJumanne 3 ай бұрын
Wanaorudisha nyuma sio hao ila ninyinyi baadhi ya viongozi mliopewa Nafasi na hamzitumii kwa masrahi mapana ya Taifa letu na mnafanya hivyo kwaaajili ya Masrahi yenu binafsi
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 3 ай бұрын
Unaongea lugha moja na nani!!Utitiri wa kodi kila kukicha!
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 3 ай бұрын
Mnataka watu wafanye km Kenya muwaue
@AnjelaMwamakula
@AnjelaMwamakula 3 ай бұрын
Yani serekali inatuumiza sana jamani 😂😂😂😂😂
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 3 ай бұрын
Wewe ipo siku yako 😲😲🖍️🤮😂
@IshumiPhilip
@IshumiPhilip 3 ай бұрын
Issue sio kullipa kodi.tunataka kodi iwee rafiki sio mlevi mmoja wa TRA anatoka huko na kubambizkia kodi.nq issue ya VAT inchi nyingi zinatumia single digiti uwezi jenga nchi kwa kutumia kodi kubwa tujifunze kwanchi za Asia
@mashaulirichard
@mashaulirichard 3 ай бұрын
amna waziri apa zipo stor 2
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc 3 ай бұрын
Nchi hainadila ipokamandege iliopotezaa mawasiliano
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 3 ай бұрын
Ww kiongozi korokoro tu kusikiliza sio shida je mmepunguza hizo service lady
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Kwani pesa ambazo raisi anakopa kila siku na wewe Mwigulu mnazipeleka wapi?
@nizarrama225
@nizarrama225 3 ай бұрын
Swali moja kama hizo kodi mnazokusanya zinaenda kutekeleza miradi ya maendeleo ya taifa, je hizo pesa mnazokopa nje zinaenda wapi.?
@geofreybakina6010
@geofreybakina6010 3 ай бұрын
Wakati wenye shibe mnaongea,mungu na huongea na wenye njaa. Uzuri hiyo ni seat ya daladala
@smilemediatz
@smilemediatz 3 ай бұрын
Aisee mnashusha hamshushi tupeni jibu moja maana kila siku mnaongea pumba tu
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 3 ай бұрын
Mtoto wale anatembea na gari la milion 500, na walinzi😢
@RahimAbeid
@RahimAbeid 3 ай бұрын
Kwaiyo bola watu wanyonyeke ili miladi ieende kweli mbona amna uluma na wananchi
@BernardMwakipesile-nq5ze
@BernardMwakipesile-nq5ze 3 ай бұрын
Sasa hivi wananchi wanajielewa sasa hivi anaye tamani kiti ajiaamini pia kukumbana na changamoto za wananchi asije akaanza kulalamika akiwa kwenye kiti
@khadi-z4o
@khadi-z4o 3 ай бұрын
ANATETEYA TONGE YAKETU HAPA BASI.UONGO MTUPU😂
@JosephJoseph-tz8cj
@JosephJoseph-tz8cj 3 ай бұрын
Tulipa kodi
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 3 ай бұрын
Acha tuumie tu maana hatuna akili Kenya shikamoon
@innocentpius8083
@innocentpius8083 3 ай бұрын
Hivi uyu anaongea nin uyu mpka nachukia
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Wewe Mwigulu unataka wafanyabiashara ili wewe biashara zako ziendelee. Sasa hayo makodi uliyowawekea?
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd 3 ай бұрын
Nyie ilitakiwa muongoze wakenya hamjali wanainchi
@AhamedyKibarati
@AhamedyKibarati 3 ай бұрын
Si alisema tuamie Burundi mwambie tutaama mwakani
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 3 ай бұрын
Acha porojo za kizamani na sisi ipo siku tutakinukisha nyiye subirini
@JumaMbaga-sd5yi
@JumaMbaga-sd5yi 3 ай бұрын
Acha porojo nyingi tumesikia hoja zao zijibu
@emmanuelmodest7457
@emmanuelmodest7457 3 ай бұрын
MBONA BAJETI YA MAGARI YENU YA M500 HAISHUSHWI ILI TUPUNGUZE MZIGO KWA WANANCHI WALIPA KODI
@marconzilankoma7581
@marconzilankoma7581 3 ай бұрын
Hakuna kituu
@barakarobert1029
@barakarobert1029 3 ай бұрын
Mwiz ww kumbuka ipo cku yako fala ww kama mnatekeleza miradi why kila cku mnaenda kukopa nje
@KenethKeneth-iz7os
@KenethKeneth-iz7os 3 ай бұрын
😢
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 3 ай бұрын
*mwiguru maana yake ni juuu mbinguni kwa kabila la kisukima mikoa ya kanda ya ziwa Tanzania*
@laizerpello509
@laizerpello509 3 ай бұрын
Unachoongea haingii hata akili Wala haina afya njema kwa wafanyabiashara wetu
@maggiechristopher8817
@maggiechristopher8817 3 ай бұрын
Jambazi mkubwa, peleka u******ge huko. Kodi zinaenda wapi? Pesa za CAG zipo wapi? Mnapiga hela mnawapa mzigo walipa kodi.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 ай бұрын
Wewe ulivyoongeza mia tano kwenye ulimshirikisha? Pumbavu
@Grolia-ux5ds
@Grolia-ux5ds 3 ай бұрын
Mbona huna majibu umebaki na ngonjera
@bernardboniphace1380
@bernardboniphace1380 3 ай бұрын
Yani ilijinga siku likitoka malakani nchi itakua nadila
@thomas-kx4dq
@thomas-kx4dq 3 ай бұрын
Nenda kafungue wewe duka halafu jiwekee Kodi uone
@smilemediatz
@smilemediatz 3 ай бұрын
Mnatusikiliza ila hamtekelizi
@victaboy7273
@victaboy7273 3 ай бұрын
Upumbavu mtupu
@edgarbebwa6112
@edgarbebwa6112 3 ай бұрын
Serikali inawasikiliza matajiri tu wala sio wafanyabiashara wadogowadogo kama wamachinga. Pia acheni uwongo
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 3 ай бұрын
Mjinga tu hy hana llt mwizii
@amospatrick1179
@amospatrick1179 3 ай бұрын
Kama hela unazokusanya zinaenda kwenye miradi ya maendeleo hizo unazokopa zinaenda wapi?
@cassimjohar2663
@cassimjohar2663 3 ай бұрын
Huju jamaa muongo sana msani sana hajali
@justinmashala6944
@justinmashala6944 3 ай бұрын
Kusikiliza bila kutoa majibu ya matatizo ni kazi bure... Fix the problems nyinyi wanasiasa..
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 3 ай бұрын
Tatizo kodi zitumike kiualisia ili mikopo ipungue Magufuli aliweza na Machinga akawapa vitambulisho
@mwanjalimfaume6380
@mwanjalimfaume6380 3 ай бұрын
Punguzeni Matumizi ya Serikali Yamekuwa makubwa mno
@SimonKimathi-w2j
@SimonKimathi-w2j 3 ай бұрын
Mnatokwa povu tu. Unasema mkipunguza vat mtakosa Pesaro za Mirada ilikuwaje mkapitisha sheria za kuwalipa wenza was vio going mkijuwa wazi bad night was ufaika wa Kodiak kupitia kwa wenza wao???? Mnao ngea utumbo tuu
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 3 ай бұрын
Serikali ya tz iangalie na ijifunze kutoka kenya,
@BamBam-q6l
@BamBam-q6l 3 ай бұрын
Jazeni matumbo yenu ila kesho yenu kwa mwenyezi MUNGU mtavuna mlicho kipnd pumbavu zenu na uchaguzi una kuja ss fanyeni km mwaka efumbili na kumi wanachi wagoma kupiga kula nyie kula mnaenda kuchukua kwa wafungwa alf mnasem mmeshinda pumbavu nyie
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Mmekataa kwahiyo muwauwe wafanyabiashara wewe hunaumiza sana wanainchi mbona hamjapunguza hata kitu. Unaumiza wanainchi vibaya sana. Wewe kiburi kinakusumbua sana unaona wanainchi kama watumwa tu. Tangu umekalia uwaziri wa fedha umefurahi kuwakomoa wanainchi.
@user-sr9js6rj5v
@user-sr9js6rj5v 3 ай бұрын
Hao wabunge na wao tunataka wakwate kodi za kutumia mali za umma wao ni kustarehe na kufisadi uchumi wa TZ na firimbi nyingi tu.
@AthumaniMohamed-bj6um
@AthumaniMohamed-bj6um 3 ай бұрын
Yani mnatia hasila kiukweli tufe bila yasiku zetu hivi Kama nikweli lengo lenutulipe kodi tuendeshe nchi yetu hio mikopo mnayo kopa kila siku inaenda wp unajua nyie Yani daaaah
@stanlleysanga113
@stanlleysanga113 3 ай бұрын
Kuna wakat utafika watu watabebwa na ambulance kama wabunge wa kenya Mnaongea maneno mazuri ila utekelezaji zero Kila siku kod zinapanda
@allykassim1120
@allykassim1120 3 ай бұрын
selikali yetu kila kukicha inabuni itatoza vp kodi kwa wananchi sio kubuni vyanzo vingine vya ukusanyaji kukiwa na lasilimali nyingi za nnchi
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 ай бұрын
Maneno ndio hayo hayo kila siku . Hana jipya huyu tundu la choo
@nkafumedia
@nkafumedia 3 ай бұрын
Msenge huyo
@mudub0etz
@mudub0etz 3 ай бұрын
Kuma uyu. Hana p0int
@hellenmassawe7284
@hellenmassawe7284 3 ай бұрын
Toka lini ukasikia kilio Cha wenye njaaa
@deogratiaskatinda9232
@deogratiaskatinda9232 3 ай бұрын
Mtu wa hovyo sana huyu katika nchi yetu
@alexbujenja2750
@alexbujenja2750 3 ай бұрын
Nimeipenda hii hatujatekeleza sababu ya KIBURI😂😂😂😂😂 hapo mwigulu umesema ukweli wako na Serikali yako.
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 3 ай бұрын
Migomo inaturudisha nyuma kivipi wakati wafanyabiashara wamelimbikiziwa kodi lukuki
@NdageKitahama
@NdageKitahama 3 ай бұрын
Yaani ww ilitakiwa ujiuzuru mapema Sana tumekuchoka Sana bac haoni hata aibu nchi Ina rasilimali nyingi lakini mmeshindwa kubuni mbinu mpya za kukusanya Kodi mmebaki kurundikia wananchi makodi Kodi zenyewe wananchi wanalipa alafu zinaibiwa ufisadi umezidi Sana katika mawaziri ww hifai kabisa kuwa waziri
@hibachi9769
@hibachi9769 3 ай бұрын
Huyu ni zao la upinde 🌈
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 3 ай бұрын
Tuombe safari zipungue mabalozi wanafanya Nini sk Moja tuone ameenda na wakulima wadogo
@mukhtarnasser6837
@mukhtarnasser6837 3 ай бұрын
As per said Mr Chemba if VAT FROM 18 % to less , 600 billions will be lessen in budget , so that 500 billions from where will come out to buy Luxury Car for Government people , he is not ready to bring down price OF GOODS, for people if VAT LESS, just playing Politics
@saburikilonzo2593
@saburikilonzo2593 3 ай бұрын
Wabunge hamkatwi Kodi, mnajipandishia mishahara mnavyotaka, Kodi utitiri kuwamaliza wananchi...matokeo yake fedha zinaliwa tuuuuuu. Kulipa kodi kuendane na kubana matumizi kuanzia wabunge na serikali kwa ujumla tuone maendeleo
@chrissmodo5630
@chrissmodo5630 3 ай бұрын
Kodi kwa mfanya biashara tanzania Tra Resen Zima moto Service levi Ushuru wataka Ushuru wa bango la biashara Reseni ya mazao ya misitu Maliasili kwa wale wanauza plywood ,mdf,marine boad,na furniture
@matiredms917
@matiredms917 3 ай бұрын
Nyie sio wawakilishi wa Wananchi. Mliteuliwa na Magufuli na siyo wananchi. Mongo wewe.
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 3 ай бұрын
Mwigulu tatizo lake ni kiongozi wa marakaratasi tu hajui kitu kuhusu wananchi.
@nurunewz103
@nurunewz103 3 ай бұрын
Unaongea kisiasa: kama wewe ni mchumi mbona hautumii “SMART” unapoongea na wafanyabiashara/Bunge?
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 3 ай бұрын
Yaani hapa nimeelewa kuwa wamachinga watolewe kweli hilo soko sio lenu nyie wenye maduka
@ofreyking5975
@ofreyking5975 3 ай бұрын
Kila mwaka mnanunua magari ya garama kubwa yann mnatumia hela nyingi kwa anasa alafu mnakuja kutukamua sisi acheni siasa yafanyien kazi mambo mlioambiwa afu punguzen anasa zenu
@RamadhaniMadanga-ne7jk
@RamadhaniMadanga-ne7jk 3 ай бұрын
Yaaani Tanzania ni kichwa Cha mwenda wazimu
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 3 ай бұрын
Hatuna viongozi hapa
@SelemanChande-bv5ne
@SelemanChande-bv5ne 3 ай бұрын
Maneno ya matumaini tu 😄
@SimonMzigoye
@SimonMzigoye 3 ай бұрын
Maabara nane mlitekeleza makubaliano
@NdageKitahama
@NdageKitahama 3 ай бұрын
Pesa zinakusanywa kwa Kodi zetu nyingi zinaibiwa
@BarakaWiliam-hx9nk
@BarakaWiliam-hx9nk 3 ай бұрын
Mwigulu mwizi tuu
@thomasgabriel588
@thomasgabriel588 3 ай бұрын
Hili lifala kweli
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 3 ай бұрын
254.good County 255.bado sanaaa
@MujuniKamugisha
@MujuniKamugisha 3 ай бұрын
Amia kenya
@mannabu9333
@mannabu9333 3 ай бұрын
Hawa dawa yao 2025 msiwachague tenaaa ccm
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 ай бұрын
Wanazungumzia sana Kodi kwa wafanya biashara lkn hamzungumzii bandali inaingiza shingap au utalii shingap au migodi shingapi Aisee nyie ccm Nyererewaka 1995 alisema wananchi wanataka MABADILIKO WASIPOYAONA NDANI YA CCM WATAYATAFUTA NJE YA CCM
@sebastianmwita-nw9vj
@sebastianmwita-nw9vj 3 ай бұрын
Mwanza service Levi wanadai mpaka Na mahakama ukikutwa hujalipa unahukumiwa kwenda jela je Ni sawa
TRA NDIYO CHANZO CHA HIKI KINACHOENDELEA KARIAKOO
9:23
Wasafi Media
Рет қаралды 19 М.
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 132 МЛН
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 80 М.
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 132 МЛН