This guy is doing a great job. Chapa kazi ndugu yangu. Watching from Johannesburg South Africa 🇿🇦🇨🇩
@user-pu2qr4xk9p Жыл бұрын
Kaka yang Allah akulinde na husda za kila kiumbe Akupe Baraka zote ktk utafutaji wako hongera heshimu kazi yako weka malengo yako ktk kila jambo ❤❤❤❤❤❤❤❤
@maliayatabukachoko2852 Жыл бұрын
Talented and creative police man,well-done,motivation is important to him!
@lulisky13 жыл бұрын
This is so cute, let me share it, so it can go viral, love this.
@venelandakundi633 жыл бұрын
HUYU trafik nampenda kwa sabsbu snapenda sana Kazi yake Hans muda wa longolongo Mungu ambariki sana wakubwa wake wsmkumbuke
@agustino67163 ай бұрын
Namkubar sanae uyu mwambia
@hbh4727 Жыл бұрын
Nice one, he loves his job. Watching från Sweden
@josephkulija2933 жыл бұрын
Kamanda yuko vizuri, kazi nikupe raha siyo karahaa, anastahili kupandishwa cheo. Siyo mtu wa kukimbia kusema nakuandikia.
@danielkanso Жыл бұрын
Huyu mr hana ugomvi na watu yaani haboi Mungu amjalie afiya njema na maisha marefu
@musakibwana45963 ай бұрын
Huyu aachwe hapahapa na pasijengwe flyover. Apandishiwe mshahara tu wasimpe cheo cha kumuweka ofisini. Anatuboreshea cku🤣🤣🤣
@smug34952 жыл бұрын
This is art.
@vincentinimah32727 ай бұрын
Kutoka Nairobi.kazi safi❤
@johnsonzacharia20552 жыл бұрын
Daaaah jamaaa namkubali sna
@dr.alexmagufwa9131 Жыл бұрын
The best traffic police ever!,
@DamasRobert-qm4rv Жыл бұрын
Daaaaah!!.... Mama naomba umuonekee huyu trafc lakini usimtoe barabaran tafadhari.
@tanzanite99442 жыл бұрын
Dah! Huyu Mama Samia amwongeze mshahara maana anaipenda kazi yake.
@eaglecrown11013 жыл бұрын
Wakati mwingine kazi ukiifanya kwa molali inakuwa nyepesi Sana ndicho anachokifanya huyo kamanda
@abdultika95352 жыл бұрын
Ashraf yupo vzr hakika
@sagudamatalu96323 жыл бұрын
Hongera Sana piga kazi kwa moyo wako
@asteriambwei33493 жыл бұрын
Uko vinzuri Sana kazi na mbwembwe zinaendelea hongera traffic uko pow
@kasmirmwaja17333 жыл бұрын
Ni km anafanya mbwembwe lkn yuko kazini na anafanya kazi kubwa sana,hapumziki,akimaliza huku anaruhusu huku,kwahiyo ni kaza ngumu sana na anachoka sana kuwapanga magari hongera kwake
@fortunatusmabina71523 жыл бұрын
Natamani kumuona mzee huyu
@fortunatusmabina71523 жыл бұрын
Anapatikana wapi jaman?
@husseinkarim76633 жыл бұрын
Huyu mueteni kilwa road, uhasibu. Askari wa pale wanajaza magari Hadi 200 ndio wanaruhusu. Unachukua zaidi ya dakika 20 kungojea uruhusiwe. Nilikuwa mombasa askari alikuwa anahessbu magari sawa na dakika 1ama 2 na kuruhusu. Wapewe mafunzo zaidi. Kama hawskai katikati magari yanatembea bila foleni
@user-hl8xm1vg5g3 жыл бұрын
Hi i don't understanding well this language
@ramadhanimtetu72463 жыл бұрын
Afande Huyu Anaipenda Kazi yake jamani hadi raha
@hajihassan54333 жыл бұрын
Tanzania ni nchi isiyokuwa na shape ni Taifa la WAJINGA unaoongezeka, Askari anafanyakazi mbwembwe na molali kujipunguzia stress wapo wataomuona kalewa, wapo waonana aongezwe cheo, wapo wataona afukuzwe kazi. Mimi namuona kalewa motisha ya Mama Samia, Hongera Mhe. Rais.
@myartchronicles89183 жыл бұрын
Huyu alikuaga hivi tangu miaka kadhaa nyuma akiwa pale kwenye mataa ya Sayansi na pale Bamaga hajaanza katika utawala huu.
@twahashabani21693 жыл бұрын
Nimempenda bule yupo vzur
@user-fx9zo1eq4o Жыл бұрын
Huyu askali awe mfano wa kuigwa natamani hata ahamishiwe kwetu Iringa,
@adamsengo18699 күн бұрын
Huyu kweli anaipenda kazi yake
@azizayassin36233 жыл бұрын
Penda kazi yko😆😁😄😄😃😀🤗
@emmanuelmayunga15183 жыл бұрын
😂😂😂apandishwe cheo huyo
@izodnice36593 жыл бұрын
Shua yan. Bigi apu ssana yan.
@violethmtalemwa51903 жыл бұрын
safi sana kamanda wangu
@komutuma1368 Жыл бұрын
namkubal mno yupo mwenge hapo, sa zngne kawe
@SwaleheMbutu-zd9bm10 ай бұрын
Hongera,afande
@SylvestermathiasLuoga6 ай бұрын
Apewe kitengo maalumu cha kufundisha matrafic wengne kisha awe msimamlz mkuuu na apandishwe cheo
@kassim1262 Жыл бұрын
Mda sio mrefu snabadilishwa sekta kisa tu anafanya kazi kwaumakini hii ndio Tnznia.😂😂😂😂
@MarimOmari-gw3te8 ай бұрын
❤❤❤
@Sodea-ej9qg9 ай бұрын
Unajua bangi hukaa kwa kishwa kwa miaka 20😱
@allymarijani6869 Жыл бұрын
HII NDIO KAZI NA WITO SIO UNAMPELEKA MTOTO KWENYE KAZI UNAYOITAKA MZAZI
@evalinemaimu8794 Жыл бұрын
KWA kweli ananipenda kazi yake
@amanisikaponda93183 жыл бұрын
kazi za kijeshi ngumu zinahitaji molali
@melkionpaulhaule2 жыл бұрын
Aje na mnazi mmoja apa kuna bajaji za kivukoni
@OliverRafael-hj3yb8 ай бұрын
Kakaangu maokoto vile tu afu mbili mbili unavupata saa ngap jmn🥱anyway anaipenda Kaz yake
@daudimichael73383 жыл бұрын
Hapo ni mbezi beach tangibovu
@user-xs1fx4ls7h Жыл бұрын
Anda boleh memilih untuk salah satu daripada hadiah di atas
@MichaelOnesmo-fj6dl4 ай бұрын
Ma
@gracecathbert79182 жыл бұрын
Du
@elizabert2591 Жыл бұрын
Uoni kama kalewa?
@janethpallangyo26333 жыл бұрын
😂😂😂😂
@juventjustinianaloyse6640 Жыл бұрын
Siku akigongwa ndo atajua
@ELIPHAZAMON-ex9zc Жыл бұрын
We katka vyot unamuombea mabaya tu kwel ndo mana wachaw mmejaaa kote Mt hajakufanya chochot Kwan umeombee ubya
@jacksonwilson5772 Жыл бұрын
Wew Juvent, siku ya mtu ikifika imefika tu hata awe wapi. Kwahyo kugongwa au kutogongwa ni mipango ya MUNGU tu na ni siku yake ya kugongwa itakuw imefika. Tambua ata wew unaweza kugongwa tu ata kama wew sio traffic.
@masturasudi7394 Жыл бұрын
Shindwa pepo chafu
@ELIPHAZAMON-ex9zc Жыл бұрын
@@masturasudi7394we umbwa kwel unawatakiia wenzako mabaya tu
@masturasudi7394 Жыл бұрын
@@ELIPHAZAMON-ex9zc Sasa mbona unanitukana Mimi nimefanya Nini?
@evarimdecoration42563 жыл бұрын
Huyu hana muda wa kumuandikia mtu....
@azizayassin36233 жыл бұрын
😁😄😃😃😃😀
@hassaniidrissa59162 жыл бұрын
Dish limeyumba nini
@elizabert2591 Жыл бұрын
Ndio wanasababisha ajali alafu .wanakimbia mlevi uyo tunamjua bhanaa
@mosesnmousa55583 жыл бұрын
Anakichaa😅
@elizabert2591 Жыл бұрын
Sio ukichaa katoka bar
@sarachambo2242 жыл бұрын
hana jipya
@salamasaidi6620 Жыл бұрын
Ww una nn sasa😏
@venelandakundi633 жыл бұрын
HUYU trafik nampenda kwa sabsbu snapenda sana Kazi yake Hans muda wa longolongo Mungu ambariki sana wakubwa wake wsmkumbuke