Sawa sawa mzee wetu tuletee maendeleo ulioyapanga sasa
@hassanally5114 жыл бұрын
Fanya kazi Mzee wetu
@namirihamisi38994 жыл бұрын
Huyu mzee amepigania sana tangu 85 enzi ya chama kimoja bora amepata hii nafasi amalize kazi yake vizuri astahafu vizuri ili apate hesgma yake mungu akuongoze upate kumaliza vizuri kazi yako na uwe na historiya safi.
@aishamuhammad77854 жыл бұрын
Kwani si mara ya kwanza kupewa hio nafasi na hajaridhika?
@namirihamisi38994 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 Najua aliwahi kuwa waziri kiongozi akaona hautoshi pale alipoteuliwa Marehemu hayati Edrisa abdull wakil nombe ndipo alipoonyesha hisia zake aliposusia uwaziri kiongozi na kutaka ile nafasi ya marehemu Edirisa ya uraisi akaanza vurugu na ndio mara yake ya kwanza akawekwa kizuizini pale utaani pemba.
@namirihamisi38994 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 Najua aliwahi kuwa waziri kiongozi akaona hautoshi pale alipoteuliwa Marehemu hayati Edrisa abdull wakil nombe ndipo alipoonyesha hisia zake aliposusia uwaziri kiongozi na kutaka ile nafasi ya marehemu Edirisa ya uraisi akaanza vurugu na ndio mara yake ya kwanza akawekwa kizuizini pale utaani pemba.
@namirihamisi38994 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 yaani alikuwa na ndoto ya kutaka uraisi miaka si chini ya 35
@saidabdala49804 жыл бұрын
@@namirihamisi3899 NAFASI zenu zinakuseteni lakini UKWELI mnaujuwa. Huyu ni chaguwo la wazanzibar tangu 95. HUWO ndio UKWELI..hata tochi haitaki kumurika.
@KS-iw7qv4 жыл бұрын
Mi ninachoona Maalim ni kuwa anaitafuta khatma njema kwa ZANZIBAR akiwa hai...... GOOD....Maalim you are THE LEGEND...... Na la pili Hussein Mwinyi Ukimtizama kwa upeo wa sura yake hana Unafik...Anaoneka ana Nia njema Ya kuwaunganisha Wazanzibari na Maendeleo ya kweli......
@margarethorgenes48744 жыл бұрын
Umejibu vizuri uko vizuri Babu. Komaaaaaa kamanda.
@suleimanseif32904 жыл бұрын
Maalim nakukubali sana tupo pamoja sana
@rayhanchunu77794 жыл бұрын
Asalam Aleykum Hongereni wewe na rais Mwinyi In Sha Allah atakuwa na nyinyi. Ushaur wangu ni kuwa ili muendelee : 1) kusiewe na biashara ya pombe po pote Zanziba. 2) madawa ya kulewa ya dhibitiwe kote Zanzibar waalimu wa dini na msimsmu washirikishwe. 3) kamari ys aina yo yote iwe marufuku. 4) mavazi yawe kwa nidhamu ya kiislamu. 5) wanawake wanaojiuza watafutiwe miradi. 6) yatima na wasiokiweza wasaidiwe na viongozi na matajiiri kusaidia mtoto moja kumsomesha na kumtunza zin Sha Allah atafanya wepesi. 7) mashekhe waliofungwa huko bara wapeni uhuru wao na fanyeni kazi nao. Wasaidie katika kujenga tabia njema na nyinyi kuleta maendeleo mnaweza nyie wote wawili mnahuruma. Namiomba Allah awassifie. AMIN YA RABBI
@ebrahimosman54774 жыл бұрын
Maalim fanya kz usijal kila kitu kitasimama inshaa Allah🙏🙏🙏
Ujio wa Hussein mwinyi ni tofauti na ule wa babuali, babuali alikua kama zuzu kwenye serikali
@mohamedmohemed64594 жыл бұрын
Bufuru La Dafu
@jamaalhassan41024 жыл бұрын
Hakika mze Huyu Babu ali machavu alikuwa Zuzu wakupindukiy
@kassimomar75894 жыл бұрын
Mh mtoto wa Simba hawezi kuwa na ukali wa ngo,mbe
@zuhuramuhanga54004 жыл бұрын
Cyo msukule lkn
@rukiasalum6314 жыл бұрын
Swadaktaaa
@hajimakame10624 жыл бұрын
Maalimu umechemsha apo umeandaa mandamano kupinga uchaguzi leo hii umekubali
@eenpaard39154 жыл бұрын
Zanzibar yetu mpya mungu ajaalie mafanikio makubwa kabisa kisiwa chetu
@kiri58074 жыл бұрын
Kweli kususa imetuathiri mara ilopita. Na tumeona mengi yanafanyika tukiwa nje ya serekali na hatuko tayari mara hii tutakula sahani 1 inshaallah.
@fatmamohammedali43064 жыл бұрын
Maalim nimefurahishwa na uamuzi wako ulipo tupo tupiganie tulionyimwa vitambulisho vya Mzanzibar ili nasi tuvipate
@mariyammariyam10264 жыл бұрын
Mshuri Watolewe mashekhe wetu wa muwamsho
@abdusuleiman98504 жыл бұрын
Maalim nakukubali sana ipo cku utakuwa rais hatujakuchoka chadema wataelewatu
@mgeniali9414 жыл бұрын
Asante baba tumefurah kwa siku yajana kama ulioapishwa kua rais ulipo tupo mungu ataleta kila la kheri act oyeeee
@Oman-tt1hn4 жыл бұрын
Maalim kila lakheri nikutakie mafanikio mema katika kuijenga ZANZIBAR yetu lkn wale mashekhe walio kuweko ndani kwa muda mrefu sasa watolewe laasihivo hapana liwalo hapo maana kuna watu wamedhulumiwa kuwekwa ndani tena pia ni wasemaji wadini ya Allah kwaiyo maalim mashekhe wa uwamsho tunataka wawe huru
@ahmadseif72414 жыл бұрын
Ulipo tupo
@husseinawadh40094 жыл бұрын
Duh 🙄 kawaruka chadema, kweli msaliti hana haya!
@ahmedalbalooshi85184 жыл бұрын
Hussein,fuatilia yanayosemwa na jaribu kufahamu..
@munasuleyman31594 жыл бұрын
Usaliti wake nini
@saifysaid75564 жыл бұрын
Hata mzee wako alimsaliti mama ako pumbavu ww
@jarsjam88944 жыл бұрын
Tengezeni hospitali kwanza
@jamesbantom70524 жыл бұрын
Kashayumba maalim
@khamisjuma50464 жыл бұрын
Act wazalendo and chandema nidugu. Tuyamalize kiugwana lissu and shangazi nyiyi niwa tetezi watu wa Tanzania
@jamesbantom70524 жыл бұрын
Tatizo la wanasiasa wetu awasimamii kauli zao wanabadilika badilika ukirejea history tangu mfumo wa vyama vingi ulipo anzishwa wamekuwa vigeugeu kwa sana
@pettywilliam44924 жыл бұрын
Huna lolote uchu wa madaraka
@aliebrahim94234 жыл бұрын
Nimekufahamu sana.
@aliebrahim94234 жыл бұрын
Yaani wacha nikae kimya maana naweza kuongea vibaya ila tulilifahamu vizuri tamko lenu na Chadema mara baada ya uchaguzi.Ilifika hatua mkamuondoa Membe asiwe mgombea wenu wa urais ila leo unasema jambo la utafauti.
@AhmedAli-gh1lm4 жыл бұрын
Maalim na genge lako mnadhalilika. Hakuna lolote jema litalopatikana ila nyinyi mnaounga juhudi ndio mtapata maslahi yenu binafsi. Yaani baada ya mauwaji, mateso, raia kuumizwa na kutiwa vilema vya maisha, wanawake kurepiwa na kunajisiwa leo munakaa kitako na kula sahani moja na maharamia na wauwaji hawa eti kwa kisingizio cha 'Maslahi mapana ya Nchi'. Semeni tu ni kwa maslahi yenu binafsi viongozi. Laiti mngelifanya kura ya maoni kuwauliza wafuasi wa ACT khasa Pemba asilimia 90 hawaungi mkono usaliti huu. Mnawapa nguvu madhalim wa CCM na watandelea kufanya hivi uchaguzi hadi uchaguzi kwa sababu wanajua kuwa mwisho wa siku mutakaa kitako mule pamoja. Ushauri wangu ni kuwa badala ya kuungana na wauwaji hawa iilikuwa patafutwe njia mbadala ya kuwatoa madarakani CCM by any other means necessary.
@ashamaruhani36124 жыл бұрын
Gebu pendekeza basi njia mbadala ni km ipi kwa mfano
@arafaqueen66034 жыл бұрын
Huenda kuungana Kwake mara hii ndio ikaondosha yote yaliotendeka nyuma. Kabla na baada ya uchaguzi. Cc binanadamu tuna Vision ila Mungu ndie ajuwae kutatokea nini. Kamuamini mwinyi ila hawezi kuusoma moyo wake.
@pungwem43064 жыл бұрын
Hiyo ni sihasa ya akili kubwa na uzalendo mkubwa. Zanzibari kwanza na Tanzanai kwanza tena na Afrika mbele ya yote. Hongera sana makamu wa rais
@zainazaina6854 жыл бұрын
Sisi binadam lazma tukisema tukumbuke kuwa kila kitu anapanga Mungu ss ni watekelezaji tu
@aishanassor81304 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣nimechekaaa eti speedy yangu sku zote haijawahi kua ndgo
@abdulrahmansalim97734 жыл бұрын
😷😷😷💘
@ibrahimaziz71584 жыл бұрын
Hii ndio ule mwisho wa hadithi za zamani akaishi raha mustarehe
@iddypandu42854 жыл бұрын
😀😀😀😀
@jkOmar20244 жыл бұрын
Dah... Unanikumbusha mbali 😁😁😁😁😁😁😁😍
@haidarymidevu62184 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 haya maneno mnayatolea wp hahahahahhaah
@fatmamucha44194 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@jamilambarouk47464 жыл бұрын
😂 😂 😂
@AhmedAli-gh1lm4 жыл бұрын
Yaanani jamani tayari tumeshasahau yaliyotokea 2010. Historia hii inajirejea. 2010 tulikuwepo pahala kama hapa, serikali ya umoja wa kitaifa, miafaja na maridhiano. Tumeona nini kimetokea baadaye. Ukweli ni kuwa CCM ni wanafiki, hawana nia ya dhati ya maridhiano, wanajaribu kukidhi matakwa ya kikatiba tu lakini inaonesha wazi kuwa hawana dhamira ya dhati juu ya kujenga umoja wa Wazanzibari. Hata njia aliyotumia 'raisi' kuwataka ACT walete majina mawili ya wawakilishi na jina la Makamo wa Raisi utaona ni kama kaamrisha tu hivi na si kwa njia ya hekima au unyenyekevu. Yaani ilikuwa awaite ACT wakae kitako kwa mazungumzo washauriane njia bora ya kutibu makovu ya uchaguzi, aombe radhi kwa yaliyotokea kisha waendeshe serikali ya SUK kwa moyo wa dhati kwa kuwaleta Wazanzibari pamoja na kuwaletea maendeleo wanayoyatafuta. Spirit hii yote imekosekana. Huu ni usanii uleule wa mwaka 2010. Tusubiri uchaguzi wa 2025 mtakuja kushudia maovu zaidi ya mwaka huu. Mark my words!
@zubeirsalum1284 жыл бұрын
Aaa balahau kushakua makamo wa kwanza wa raisi haya tuwakilishe
@Anonymous000184 жыл бұрын
I feel sorry for chadema
@aliebrahim94234 жыл бұрын
I feel sorry for Act
@salummzee97394 жыл бұрын
Hapo zaman za kali wajukuu wng ikuwepo mfalme na wanawe 20 mfamle alikuwa mtumzima sana aliwaita wanawe watafutie mchumba ilikuowa wapate kuendeleza ufalme ktk kuchumbia kaka yao mkubwa alikosa mchumba wote ndugu zake walipata, akawashawishi musiende kuowa,basi vijana wakaingia pomu hawakuenda mfalme asisubiria wajukuu kwa wanawe ghafla mfalme akafi alipo kufutu kaka mkubwa aitisha kikao baba amekufa kwaio tutekelezen wasio alio wacha baba kwakuwa ndugu zake wamasha enda posa zaman kwa Falme jiran ilipo rudia tena wakajikuta wamekosa Yeye km mkubwa hakugoma akaenda kuowa kwa shangwe na vigere gere kawacha Ndugu zake wanatamba dunia,,ila baba mfamle aliwahusia watoto wake kabla hujafa tahadhrin ns kaka yenye Ana roho mamba
@jamesbantom70524 жыл бұрын
Hii safari mwisho kuwa makamo wa tatu tu maana we acha tu
@sadajuma97224 жыл бұрын
Usimuhukumu mtu wa kuhukumu ni Mungu pekee kama ni mnafiki kwa hio muachie mungu ndie mjuzi wa kila kitu kwani sisi tuna madhaifu mangapi hakuna mkamilifu isupokua Mungu na Hajaamua maalim kwa sababu hi mujibu wa katiba
@ahmedalbalooshi85184 жыл бұрын
Sada Juma,waachie waseme yaliyo moyoni mwao ila kama ulivosema Allah ndie hakimu
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Mliwahukumu sana CCM na serikali ndio mana watu wanakuchoreni🤣🤣🤣 Mlifikia mpaka kusema wafanyakazi wote wa serikali ya ccm ni makafiri na wanakwenda motoni. Sasa imekuaje?
@salehabdallah41144 жыл бұрын
Huyu mzee ukiachia mapungufu yake bado atabaki kua hazina yetu tunahitaji znz ya maridhiano
@munasuleyman31594 жыл бұрын
Naam
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Huyo atabaki kua hazina kwenu alokutoeni akili. Lkn kwa wenye akili wanamuona ni mjanja mjanja fulani anaejali tumbo lake kuliko chochote.
@allysalim24974 жыл бұрын
Kwani ana mapungufu huyuuu!
@nassorsaid93594 жыл бұрын
Tunaihitaji singapur ya Africa mashariki sasa
@abdulqareemseif90504 жыл бұрын
Kwa ilani ya chama gani ?
@awatifalghanim11064 жыл бұрын
Mungu IBARIKI Zanzibar na watu wake. Amin.
@mohamedsheikh66184 жыл бұрын
Usijali lakini kumbuka msbadiliko ni wewe au ya naanza na wewe, tunaweza kuanza na hata vitambulisho vya mzanzibar kwanza ili walio-nje wasigeuzwe akimbizi tu jipange inawezekana ukazi basi tena wakaazi waende tu
@mohamedsheikh66184 жыл бұрын
Inawezekana tu jipange mabadiliko ya naanza na wewe, mjomba hilo mbona very easy watu 1.5milion aaa hata huyo tajir anaemiliki meli analiweza hilo, shida ukweli nauaminifu, kujiamini kujitoa mhanga huku ukijielewa
@abdulmakatarivo41854 жыл бұрын
Act wazalemdo mmetusaliti
@mamamuu82174 жыл бұрын
Umeshaingia madarakani tuone maendeleo sio Jambo jengine,na Pemba tuyaone madiliko maana mumeiweka nyuma kama mkia ,we maalim utufute machozi Kwa maendeleo ya Pemba sio maneno, tumepoteza watu wetu wengi Sana Kwa kutaka haki na usawa,Kwa hio hatutaki story. Isiwe uko unguja Tu Pemba ukaisahau kumbuka ndikonulikotoka usije ukalewa madaraka
@jayblack43134 жыл бұрын
Let's go baba
@omarmuhammed89874 жыл бұрын
Kuna koment nying humu wanasema ulipo tupo ila na mm nawaambia popote mlipo MUNGU nayae yupo na nyinyi km nyinyi mpo na seifu MUNGU yupo na nyinyi pole sana kwa kujisahau othman maalim anasema hakuna kitu kibaya kwa muislam kama kujisahau au kutojitambua kutojielewa yey ni nan na anatoka wap na anaenda wap
@khamisissakhamis86274 жыл бұрын
Piga kazi Mali sefu Sharif
@abeidabdallah24384 жыл бұрын
Ss wananch tunahitaji maendeleo mazur na ktk maendeleo hyo ni mashekhe wetu kuwapambania kutoka kule waliko
@ghanimaali45074 жыл бұрын
ss tunataka maendeleo hatutaki chama jembe nend a salama
@fidelludemwa29434 жыл бұрын
Naona kanyoa nyele
@farhatsleiman46724 жыл бұрын
Mbona wamekuweka makamo wa kwanza wa raisi vp apo
@stoperclassick69964 жыл бұрын
Kwani apo mwanzo alikua nani huyu mtu anajukumu mbele ya allah kesho ataenda kueleza bila shaka na yinyi raiya fanyeni mambo yenye kupendeza mungu angalau mtu unakufa lakin unajua umetanguliza nini hizi siasa matokeo yake ndo tunayaona tumepoteza nguvu kazi kibao damu imemwagiga bdo watu watuskiiii jamn mumeroga sibureee
@sahlomar63974 жыл бұрын
Jitahidi kulisemea suala la mashekhe wetu na 2025 uchaguzi uwe na tume huru tena tupige kura siku 1 tu
@mohamedsheikh66184 жыл бұрын
Kama nchi huru ni vyema kupiga kura kwa mda wetu kama kweli kuna nia safi ya uchaguzi na wa Tanzania watachagua keawakatiwao
@manyotaskipper57654 жыл бұрын
MACHO YAKE YANAONA AIBU MAALI HATAKI KUMTAZAMA MWANDISHI HII NI ALAMA YA MTU MNAFKI.....
@zuhuramuhanga54004 жыл бұрын
Mwongo ww malimu akihojiwa hiyo ni huluka yake huwa hamtizami mtu ni mtu mwenye hekma hizo ni dalili zake
@manyotaskipper57654 жыл бұрын
@@zuhuramuhanga5400 hekma angewaambia MUENDE MICHENZANI MKAANDAMANE muumizwe,Hekma zilikuwa zamani sasa hv anazeeka VIBAYA
Mnawaza kula tu angalia kichwa sio tumbo, kwa akili yako umri wa hamad pale alivyo anatamaa gani ya kujilimbikizia, kama hakufanya hapo mwanzo afanye sasa kwa kutaka nini jiongeze mambo Hayo wenyewe ni hao wakuja wanaojimilikisha ardhi watu ambao kwa asili hawana lolote kwasababu sio wenyeji akina mjomba sefu eeiiiidiy
@zuhuraali90694 жыл бұрын
@@mohamedsheikh6618 tamaa ya kujilimbikizia mali anayo, kwani hana familia akawaachia acha upoyoyo huo hakuna mtu asietaka mali wakati anagombania ukubwa
@mohamedsheikh66184 жыл бұрын
@@zuhuraali9069 mnamateso kwenye nafsi zenu na ndo maana viongozi wenu wengi ni wezi tu kwa mawazo kama hayo ya kwenu, usibebe dhamana ya kuwapangia maisha wengine kila utakachopata hakitatosha uibe ya kwako, mkeo, watt, wajukuu badae wao wakaee tu waifanye kazi dunia haitaenda, take care mimi mbulule tu lakini ukikosa mimba ukimwi utapata, bado upo
@ashasalim59674 жыл бұрын
Maalim endelea kutusomesha
@nazfatyabdallah10414 жыл бұрын
Nimekufaham wakoww ushaurit xuwamuz
@husseinawadh40094 жыл бұрын
Hapana sio kweli. Wanachama wengi wamekasirika na hawakupenda
@fahwizzytz23204 жыл бұрын
hatukujua lengo ndo man tulkasrika but now tumemuelew tumefurah sanaa kususia hakun mana
@ahmedalbalooshi85184 жыл бұрын
Baada ya kipindi watapenda
@saifysaid75564 жыл бұрын
Huyu hussein ndo hao ccm walonuna mwalimu kukubali kuwa makamo
@jamilambarouk47464 жыл бұрын
Walonuna niwale makapuku
@yaserhamdun3754 жыл бұрын
Ww Mzee umejiaibisha snaa aisee, na umeonesha ulivyo vaa ngozi ya kondoo
@abdallahissaka29814 жыл бұрын
A
@zuhuraali90694 жыл бұрын
Mm ninachokuomba maalim kitu 1 ni kuhusu wale waliokufa kwa ajili yako walioacha wajane na mayatima kwa upande wa wajane uwaowe waishi kama mama Awena na kwa upande wa watoto uwapeleke waliko wanao na wao wapunguze machungu ya kufiwa na baba yao
@omarmuhammed89874 жыл бұрын
Duhh yan wew ndio mwandaazim kuzid yaan wamkumbusha sefu juu ya wale wajinga waliokufa kwaajili yke . Wasubir tu adhabu mbele ya mola wao maana walikua wanamtii sefu kuliko mola wao hya sefu ombi hilo unaombwa et uwape haki zao haki ipo mbele ya MUNGU sio kwa mnafiki huyo
@samsonhaule33734 жыл бұрын
Kula Bata BaBa, Wengine kama Nyumbu, Ulipo wapo.
@AP-uk3mq4 жыл бұрын
Hujielewi Zulu baba ako aliekufunza kuburuzwa.
@fatmahamad93144 жыл бұрын
Hamna lolote
@sebaskibiki48364 жыл бұрын
Kama huna chochote huweziona lolote
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Kweli hawana lolote ni kuulisha watu tu.
@mohamedsheikh66184 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 Acheni upuuzi kataza wanaoua wasiue watu si kulaumu wanaouliwa, hivi anaedai chake anahukumiwa kifo na anaemdai au anaua Ana kichaa na haki ya kuua, ninyi wengine mhh majanga
@rayurayan5434 жыл бұрын
@@mohamedsheikh6618 tunaka mashe wetu
@rayurayan5434 жыл бұрын
Lini mashe watatolewa
@shadyabakari34974 жыл бұрын
Siasa mchezo mchafu
@ibrahimovicmovic40784 жыл бұрын
Umeona eeeheee
@awatifalghanim11064 жыл бұрын
Anao ujuwa huo mchezo basi ni mchezo mzuri SANA... TUU
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
@@awatifalghanim1106, wanaoujua ni viongozi lkn kwa mbwa wa usasi wote kwao ni mchezo mchafu mana mwisho wao nikilio
@ukhtyalpha13444 жыл бұрын
Kusema kweli wewe ndio Rais lakini choyo chao tu hakuna asojuwa na huo ndio ukweli maana wao wameapa kwa mpinzani hapewei na khasa wewe ila time will tell
@mgenimohd49234 жыл бұрын
Yuda mzee
@lilianmakwati52284 жыл бұрын
Nyie pigeni Kelele tu
@ibrahimaziz71584 жыл бұрын
Hhhhhh
@issaal-busaidi44794 жыл бұрын
ulipo tupo
@ramadhaniabdi95304 жыл бұрын
Sasa Wanagombana Wenyewe Kwa Wenyewe Leo Chadema Sio Wenzenu Achen Umalaya Wa Kisiasa
@yussufhussein19544 жыл бұрын
Hata mke na mume hugombana mwisho wanaelewana mambo yangoso hayo
@ramadhaniabdi95304 жыл бұрын
@@yussufhussein1954 Aya Sio Ya Ngoswe Aya Ya MaalimSeif Jitu Lenye Tamaa Na Madaraka
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
@@ramadhaniabdi9530, kweli huyu mzee yupo tayari kuua kwa madaraka. Kuulisha wenziwe, ccm madhalimu, makafiri, watu wa motoni.....ssa na yy anauogelea huo moto na hata hajali wakati anafupa mdomoni.
@ramadhaniabdi95304 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 Uhakika Aswa Maneno Yako
@SalmaSalma-ed6sn4 жыл бұрын
Maalim umetuangusha
@mohammedseph79524 жыл бұрын
Nyanyuka
@jamilambarouk47464 жыл бұрын
😂 😂 😂
@allysultani56174 жыл бұрын
Mnafiki mkubwa
@binyassin67564 жыл бұрын
Ah tushayumizishwa sas tubaki kufata kundi tu
@ahmedjack41354 жыл бұрын
oyooo ww mzee ni mnafikii tuuu si ulisema hiyo ni serikali ya kidhwalimu ww muongo tuuu huna jipya
@lilianmakwati52284 жыл бұрын
Na ww pia ni mnafiki
@Dalaman104 жыл бұрын
Kwani uongo? Kufanya kazi pamoja hakujafuta udhalim wao. Wamedhulumu na wameua. Ila hussein mwinyi katuonyesha utendaji mzuri wa kazi mara tu alipoingia madarakani. Waloyatenda watajibu kwa Allah halijaisha hilo. Shein na genge lake watajibu mbele ya mungu
Zaytun....nakama ataahidiwa uraisi lkn atuulishe sote basi yupo tayari. Na laitani km waunguja tungekua wajinga km.....saa hii tungekua tunalia km jamaa zetu halafu yy yule anapita na kimuri muri akitucheka kipembe.
@jamilambarouk47464 жыл бұрын
Kimurimuri raha 😂
@hajiabdalla57724 жыл бұрын
Maalim usisikilize pamoja la wananch . Sie tunataka zanzibar ijengwe kama vile ulivokuwa unataka zanzibar iwe kama singapore japo kuwa wewe na kamat yako ni CCM .ujanja to mulikuwa munawazinguwa washabik wenu na kuwachangisha mapesa ila powa tunataka maendeleo ili zanzibar mujenge majumba ya kisasa
@abasamwame65834 жыл бұрын
Maalim mim sikusamehe kwa kushiriana na watu wa dhuluma na hakika unajua kwamba watu walipigwa,waliuwawa,waliiibiwa Mali zao,walibakwa nawe na unaungana nao hatukusamehe tena
@ahmedalbalooshi85184 жыл бұрын
Abbasam,Hayo ni kweli lakini tusubiri tuone mambo yendavo. Inawezekana huu uwamuzi unaweza kuleta faraja kwa waathirika.
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Mkiambiwa yy mwenyewe dhalimu mnapinga. Ndio myaone! Sisi waunguja hatudanganyi huyo mana tunamjua vzr tangu kipindi cha Nyerere alikua kitimbakwiri kamchongea Aboud Jumbe, akifukuzisha waunguja makazini na kujaza jamaa zake.......mpaka kwenye kusoma alikua akiwapa scholarship jamaa zake tu waunguja anawabagua.