Subhana Allah , Allah atusalim salama. Jukumu lipo kwa jamii na serikali. Kwanza serekali itoe dawa ya kutoshaa kumwaga ktk msitu huo ya kuuwa wadudu hatar km hao. Thn wafuate wanajamii wa kijini hcho waungane kwa pmj na kufyeka msitu wte. Wanajamii wataweza kufyeka msitu pindi wakiamni usalama wa maisha yao utakuwepo baada ya dawa kumwaga ktk maeneo hyo. Me nasema hvi kwa sbb nipo nje na chuo nnachosoma kiko maeneo ya shamba kbsa ambpo kabla ya kufunguliwa hki chuo ilikua tu ni poriiii so wadudu wakubwa km hao ilikua ni weng sana sambamba na nyoka lkn kila baada ya muda wanamwaga dawa na Alhamdulillah mpk sasa na In sha Allah iendelee hvi hvi haijawah kutokea madhara yyte
@salimharrasy70474 жыл бұрын
Panahitajika tahadhari sana. Na ufanywe mfumo wa kuwatafuta kitaalam. Anajulikana chatu anapenda mizoga. Wategwe kwa kutumia mizoga. Chatu anapenda kuzonga wanyama wadogo na watoto wadogo. Likitokea hilo kama hamna silaha. Kimbilieni kwenye mdomo wake vuteni chini na juu mlaini sana mara unachanika. Ingawa si rahisi kumpata sehemu ya kichwa huwa anajizonga.
@salumjumaruhaga25134 жыл бұрын
Kitowea Safi sana,we ngosha Acha ushamba
@leylaaliy98524 жыл бұрын
Mh mtihani kuishi kwa hofu na michatu hio Allah awahihifadhi
@ashminaabdalla17654 жыл бұрын
Leyla Aliy m xtk kuoa ahamba
@SaidSeif-d4yАй бұрын
Analiwa huyoooo,, achinjwe agawanwe nyama😮😮😮😮😮
@latenitepiano4 жыл бұрын
Mnge waita wachina wange mchukue na kwenda kutengeneza kitoweo safi sana 🥘! Tena nasikia wana sema ni mtamu sana kwa chai ☕️ 🐍 delicious 😋
@masoudyrashidy90414 жыл бұрын
Poleni sana jamani kwa kweli ni mtihani Allah atatusaidia
@kidjhdf75684 жыл бұрын
Mnatakiwa mueke usafi
@Qadar-vx4gj4 жыл бұрын
Toba... Mara Mamba Mara Chatu
@alihemed77214 жыл бұрын
Mh mtihani ila kama pana mapango hapo na wanaonekana ni wakumbwa hivo bs hapo wapo tena wengi serekali na wanachi wajitolee ili kuwaondoa wadudu kama hao
@awadhirajabu77544 жыл бұрын
Kwakua Nyoka Ni Adui Kwetu Binadamu Nisawa Kabisa Kumuua Hata Mungu Alitupa Ruusa Ya Kuwatwanga Nyoka Mpige Kichwani Isipokua Nawe Binadamu Atakung'ata Kisigino Chako Nyoka Sio Mdudu Mwema Kamwe
@fdhjffdhjfsjdjfjfi94774 жыл бұрын
Muwe na tahadhari kubwa sana hasa wakt wa uck wasijekuleta madhara na watoto pia musiwaachie kuzurura humo kwenye vichaka mungu atawahifadhi inshallah
Ni mtihani mkubwa lkn tujue kuwa hayo. Maeneo chatu wapo assilia. Sasa binaadamu wamevamia lazima tujue kuwa hii dinia sio yetu peke yetu tusheee na viumbe wengine. Miaka ya nyuma ndio ilikuwa makaazi yao jamaani.
@LadoIdris-j9j2 күн бұрын
Ni kwel
@dr.ajeyfemed58954 жыл бұрын
Kwann watu wa mali asili na wizara husika wasifanye animal control kuwataftia sehem wakawapelela kuliko kuwauwa kuna visiwa havikai watu zanzibar wapelekwe huko Tunawahitaji hao wanyama
@mashaali24094 жыл бұрын
Jinsi Naogapa nyoka mfano hao chatu tunawahifadhi kwa matumizi gani kivutio cha utalii au?
@fatmaaly96864 жыл бұрын
Dokta anakuhusu mungu si majina aliesema viumbe hatar viuliwe vipo viumbe hairuhusiwi ila huyu hapana
@issasuleimain29244 жыл бұрын
@@mashaali2409 hao wanaweza kutunzwa sehemu na watu wakalipia kwenda kuwaangalia na serekali ikaingiza kipato na tukapata wataalamu zaidi wa kuwakamata na kuwafuga kusomeshwa tu namna ya kuwatunza
@mussakiziyzi4084 жыл бұрын
Mmmh Hio ni neema kubwa ya kitoweo ktk maeneo yenu Nasema mumebarikiwa
@rasykizanjbari49964 жыл бұрын
Toba mimi tena hapo ningekaa kwa hofu nahic km atapanda juu ya nyumba yngu au mvunguni maana inatisha hiyo sehemu
@hamidyakoub68654 жыл бұрын
Mtihan allah a2nusur n majang hay
@zuberinyenzi19824 жыл бұрын
Ngosha 😆😆
@IlhaamMarshed4 жыл бұрын
Duh Mimi naogopa jamn😫 anaeogopa km mm subscribe kwenye youtube channel yng
@mumzak43454 жыл бұрын
Ukikumbana nae live utafanyaje?
@yussufdjroo14464 жыл бұрын
Cyo P
@aliabdallah51834 жыл бұрын
Hongera kwa wogawako
@suleimanmazrui69424 жыл бұрын
Hao nyoka nirafiki sana Bora muwaogope CCM.
@khamisame55614 жыл бұрын
Subuhan Allah yani hatar zaid
@manyotaskipper57654 жыл бұрын
Basi hapo watalaumiwa CCM
@rizikisalum96784 жыл бұрын
Asa we Ulitaka alaumiwe nani
@aliabdalla92974 жыл бұрын
Ushagonjwa ww
@farhatfatma124 жыл бұрын
Italaumiwa serikali , na ukilaumu serikali maana yake unalaumu chama tawala
@harounali4854 жыл бұрын
Ushauri wangu ni tumieni mbwa wa usasi au wa police kuwa tafuta makaazi yao. Mbwa wana uwezo wa kunusa na ku gunduwa walipo.
@alimaftah76404 жыл бұрын
Umekiona choo cha Ngosha😂😂😂😂😂🤣
@fatmamohammedali43064 жыл бұрын
Hahaha choo
@kingoman78954 жыл бұрын
Ww umekiona hahahah...
@stonetown5784 жыл бұрын
Mwitu mkubwa sana fyekeni kabla athari haikuzidi.
@husnatgamaah13354 жыл бұрын
aiseee nilivyo muoga ningehama huko siku hiyo hiyo uwiiih
@albassambakili37573 жыл бұрын
Mtt wa nyoka uyoo
@ummulkurthumabeid29144 жыл бұрын
Duh hili sio la lishapea mtihn huu anwenza kula mtu jmn tuwe makini
@ramazanikitenge8954 жыл бұрын
Hiyi ni hatari Kabisa
@rahmahakim62854 жыл бұрын
Inatisha kwel
@wadimtwana72864 жыл бұрын
Nani kaleta hao
@amourmtungo6234 жыл бұрын
Na ndio maana nilisema wangeitwa wataalamu kwa ajili ya kuwahifadhi. Chatu hana mwendo wa kasi kama nyoka. Binaadamu tuna akili zaidi ya chatu kwahio sio rahisi kutoroka kama wamehifadhiwa vizuri.
@amourmtungo6234 жыл бұрын
Ilikuwa ni muhimu kuwaita wataalam kwasababu ni muhimu kwa makumbusho na kwa hifadhi ya hao chatu kwa sote watalii na kizazi kijacho. Chatu hana sumu ila kula kwao kwa kipindi kitaalam huitwa “hibernation”. Maana yake mlo wao mmoja huchukua miezi mingi kabla hawajawa na njaa tena. Ni adimu kumbaka mwanadamu sana sana hupenda panya, paa na wanyama wa rahisi kupatikana.
@ahmedmarjeb42704 жыл бұрын
mtamu hyo upate wa kukanga
@IlhaamMarshed4 жыл бұрын
Amour Mtungo kabisa naunga mkono ushauri wako
@IlhaamMarshed4 жыл бұрын
Mtamu huyo chatu duh😞
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Kwa Znz uzembe ulivyojaa mkiwapata waueni hukoo, hakuna mali asili wala mpya. Mjitie kuwaita waje wawachukue baada ya mda ishazidi kupea itoroke........
@ahmedmarjeb42704 жыл бұрын
@@IlhaamMarshed sana akikangwa huwez kumkosa akitokea kapatikana sehemu nishtue nnkupe namba yangu
@afropanorama47304 жыл бұрын
wapo kwenye makaazi yao.sisi binadam ndo tunawafuata kwenye mazingira ya kwa kisingizio cha kujenga
@raiye56214 жыл бұрын
Kila ki2 serekali kateni mamit yaso na umuhimu serekali itafanya mangapi
@masoudmasoud81384 жыл бұрын
Tatizo ujenzi mbovu wakiholela holela kila sehemu inajengwa ni mtihani kwakweli
@muhammedabdalla54964 жыл бұрын
Ni nyumban huko nasikitika kusikia ivyoo nawaombea kwa mungu awanusuru na wadudu wabaya km hao jp saiv sipo visiwan kwetu ila kisauni ni nyumban skuli yake ndio nilio soma toka la kwanza mkimbia kwao mtumwa
@mabrouksaleh24724 жыл бұрын
Ngosha haogopiiiii
@samsungoman56264 жыл бұрын
Nihatari safisheni mazigirayenu
@faahusali46894 жыл бұрын
Uyo bado kinda mamayo yupo apo
@naimamwambe80834 жыл бұрын
Jamaa Ngosha untuangusha kwa nini usiwaite wa China watawatawavuna wote
@asrymohd66904 жыл бұрын
Huu mwaka kiboko January jamaa kasema hajui mwezgani
@husnatgamaah13354 жыл бұрын
kwa vichaka hivyo lazima wawe wengi jipangen mpunguze hayo majani na mamiti yasiyo na msingi
@MahmoudAli-uk8ci4 жыл бұрын
Pelekeni china biashara hio pesa nnje nje
@dr.ajeyfemed58954 жыл бұрын
Ishu ni animal control ilisimsmievwaondoshwe sio kuwapiga silaha waende wahamishwe maeneo mengine
@nasseryahya29194 жыл бұрын
Hv ww una imani gani na viumbe hatari wauliwe 2
@sabrinaislam42004 жыл бұрын
Mdhirikiane wenyewe sio kila kitu serekali
@supumoto68194 жыл бұрын
Kitoweo hicho
@hajiabdalla57724 жыл бұрын
Kateni misitu hayo
@salehhamadi60704 жыл бұрын
Protini nzur iyo
@oparetionmaalum90304 жыл бұрын
Mchizi Safi uo wapelekeeni wachina
@ramadhanisuru18224 жыл бұрын
Msiwauwe maliyasili wako karibun nanyie
@osmanha69154 жыл бұрын
Sinunui tena kiwanja huko kaeni na machatu yenu
@saidismailhamad32294 жыл бұрын
Pumbavu serekali iache kazi ije kuua nyoka so si ata kwa bakoratu unauaa kila ktu eti serikali Kuna Mambo yakuita serikali Ila sio nyoka pekeangu naua ata afike futi 30
@DavidSemu-gu6wp13 күн бұрын
Inategemea jina serikali umelitafsiri vipi maana idara ya misitu nayo NI sehemu ndani ya serikali na nisehemu ya kazi zao na hata kuondoa au kuua wanyama kama mamba tembo na hata nyuki wewe ukisema waache kazi zao unakosea ni sehemu ya kazi zao wewe au unadhani wataitwa mawaziri na wakurugenzi?
@tumabhay85764 жыл бұрын
Kila kt serikali kwani wananchi wa eneo hilo hawawezi kushirikiana na kufanya usafi na kuwauwa au kupelekwa sehemu husika. Mambo mengine mepec si lazima serikali jamani.
@aby21111Ай бұрын
Fumigate.
@rukiamohammed50314 жыл бұрын
Mji umezungukwa na vichaka mno fyeken vichaka hivyo kukiwa hakuna hivyo vichaka hamta ona mdudu yoyote wa Aina hiyo daah mji utafikiri hawakai watu sa serikal iwasaidie nn Zaid ya nyie kujiongeza polen pia daah nimeogopa