Inna lillah wainna ilayhi rajiun Allah awape qaul thabit waliotangulia Na awape subra waliondokewa. Ni njia ya haki wao mbele ss nyuma Allah atupe husnu lkhatma yarabby
@fadhilaramadan51435 жыл бұрын
Innalillah wainnailaih rajiun.
@awatifalghanim11065 жыл бұрын
Jamani Zanzibar hakuna usalama wa barabarani madereva wako careless sana. Wanaendesha OVYOO. Mimi naomba SEREKALI iwafatiliye sana wanoendesha magari kama wandaazimu... ikizidi speed watoleshwe (FINE) alipe PESA hapo ndio watakaa sawa. Hana zakulipa gari izuwiliwe miezi 3 polisi na yeye JELA itakuwa nidhamu barabarani. Asanteni.
@West-side-lt9nb5 жыл бұрын
Hakika sisi ni wa Allah na tutarudi kwake.
@ramadio9685 жыл бұрын
West-side 1990 gali za fumba ziko rafu sana
@sarangeboy90795 жыл бұрын
Kiukwel madereva baaz yao ni wazembe tena sana yani mtu akijua kipga moto tyr nayye dereva mbio nying zilizo kua hazina isaba wala maarifa
@moviesseries99235 жыл бұрын
Allah Atupe kauli Thabit lkn hii njia mara hii zaidi ya watu 7 washakufa
@fadhilaramadan51435 жыл бұрын
Subhanallah
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
Innalilah wainailah rajiun pole sana Allah awaswamehe madhambi yao
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
@@mohammedsaleh2202 In shaa Allah nikutakie usiku mwema
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
@@mohammedsaleh2202 Allah awaswamehe maiti wetu wote awajalie kauli thabit atuswamehe na ss
@mohammedsaleh22025 жыл бұрын
@@zayyatiyussuf9566 asante zayati
@mohammedsaleh22025 жыл бұрын
@@zayyatiyussuf9566 asante zayati
@aliy33035 жыл бұрын
Ameen
@rashid.mwenyezimunguakurin29685 жыл бұрын
serikari uwa wanapuza mambo sana wanachezea maisha yetu
@alirashid17275 жыл бұрын
Innaalillahi wainna ilayhi raajiuun allah awape kaulithaabit.
@w40583 жыл бұрын
Inna Lilaah Wainna Ilayhi Rajiuun madereva hawakomi maana hawafanywi kitu
@salmayusuph345 жыл бұрын
Watatumaliza madereva wawepole walotokezewa na mitihani iyo mungu awape moyo wasubra
@saidrashdy74595 жыл бұрын
Kazi ya mungu haina makosa mungu akujaalie kauli thabib kaka yetu
@samsungjsevenprime57175 жыл бұрын
Poleni sana Mulio pata msiba Allah awajaalie subra
@hadhraally3165 жыл бұрын
In shaa Allah tushapoa hii ni njia sahihi kupita mwaadam mungu atupe subra in shaa Allah
@samsungjsevenprime57175 жыл бұрын
@@hadhraally316 Amin🤲Allah awazidishie subra hiyo ni njia yetu sote ni waja wa Mungu na kwake tutarejea mbele wao nyuma yao ni sisi Allah atujaalie mwisho mwema sote jamii waumini
@AbdulnasirKhamisАй бұрын
Innalillahi wainna ilayhi rajiun allah awape moyo wa subra
@hamishamis99055 жыл бұрын
Innnalllilah wainnaillaih rajiun hakika ss ni wa mungu na kwake tutarejea..
@dazuujuma12115 жыл бұрын
KHUSNUL KHATIMA YAA RABBI POLENI SANA WAFIWA
@nsreenmoafee10645 жыл бұрын
Innallillah wainnaillah ranjuun
@joleenmasha5 жыл бұрын
Jamani jamani mbona yaani ukitoka nyumbani kuenda kununuwa kitunguu ukirudi nyumbani ni ushukuru jamani Duuu
@shamsahaji62025 жыл бұрын
Innalillahi wainna ilayhi raajiiun 😢
@rahmahakim62855 жыл бұрын
Poleni sana
@khamisihaji54465 жыл бұрын
kwa ushaur wangu. serekali ingefanya kwa kila gari la mt binafc linge fungwa sped na likawekwa wastani wa spidi 50 t mwi sho na kila chombo cha moto, kwan 2meshudia kua ajali nying zitokeazo ni kwasabab ya mwendo kasi
@alhamdulillah57965 жыл бұрын
Innalillahi wainna ilayhi rajiun, Allah atupe khusnul khaatima, Amiin. Kwa nn serikali hazijengi njia mbili ya kwenda na kurudi? Au hata kugeuza baadhi ya njia zikawa one way tu. Madereva wazembe, njia nyembamba, majumba na viduka mpaka chini ya barabara.
@khalfansaid70645 жыл бұрын
Askari wakae na torch za kusoma mwendo wa Magari, na pia Alama za barabarani ziwekwe katika barabarani hiyo
@samirnasir27875 жыл бұрын
mbele yao nyuma yetu sisi sote ni wamungu na kwake tutarejea mimi sefu haji alikua shemeji yangu. mungu awalaze mahali pema
@masoudyrashidy90415 жыл бұрын
Innalillah wainnailayhi raajiuun Allah awapokee hali yakua kawaridhia
@huweiy65874 жыл бұрын
Subhana allah 😭
@stonetown5785 жыл бұрын
Innalillahi wainna ilayhi rajiun, Allah awape kauli thabit, ni kweli traffic hakuna njiani labda mwisho wa mwezi kukaa majiani kudai rushwa, unatoka mjini mpaka unafika kisauni hukuti hata askari
@hamad-yu4qs5 жыл бұрын
Innalillah
@mcfrontier43685 жыл бұрын
wapi like z ktv tz
@oparetionmaalum90305 жыл бұрын
Mimi kuchangia hapo siwezimaana ukizingatia barabarazetu ni nyembamba sana Kisha humohumo miguu Vespa gari lazima ajali hazito isha muhudi abadan
@kidaumtumbwi11285 жыл бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajioon. Mimi ningeiomba Serikali waweke Humps (Matuta) barabarani hiyo ndio itakuwa solution.
@hajiyahya83805 жыл бұрын
Wekeni matuta kwenye barabara za mitaa kwani maisha ya watu ni bora sana .
@mimimalsh91394 жыл бұрын
Dereva hajafa??
@nureyna6295 жыл бұрын
Innaalillaah wainnaa ilayhi raajiuun
@intisaarsaid68585 жыл бұрын
Maderva tunalia na nyinyi mimi nahisi dereva akiuwa iyangaliwe kama mwendo ulikuwq mkubwa afungwe watatumaliza.
@salehmustafa55385 жыл бұрын
innallilah wainnaillaihi rajioun mungu awasahe marehem
@MyChannel-gw4bv5 жыл бұрын
Innaa lillaahi wainaa ilayhi raajiun
@samsungjsevenprime57175 жыл бұрын
Maoni yngu mm kuekwa matuta bara barani ni muhimu sana ibakie ajali haina kinga
@faizasaid82625 жыл бұрын
Uyo mkaka namjua yni daa huzuni mungu awasamehe mazambi yao😭😭😭😭😭
@dazuujuma12115 жыл бұрын
Pole mwaya
@saymarsaymar46545 жыл бұрын
Hata na mm namfahamu sana
@abdul-fatahyussuf74395 жыл бұрын
Alogongwa au alogonga
@faizasaid82625 жыл бұрын
Abdul-fatah Yussuf alogongwa seif hajji
@faizasaid82625 жыл бұрын
SAYMAR SAYMAR pole yani jana kma namuona nataka kulala usingizi uliruka mawazo kma namuona mungu amsamehe mazambi yke
@omanseeb86095 жыл бұрын
Ina lilah wain ilah rajiuna
@sabraabdilnasir88265 жыл бұрын
Innalilahy wainailayhirajioun allah awafanyie wepesi
@mohdmussa55875 жыл бұрын
Amin
@omarisuleiman26115 жыл бұрын
Innaa lillaah wainnaa ilayh raajiuun, Allah awape kaul thabit
@muzdatsuleiman31864 ай бұрын
Maskar kazi zao nikupokea posho barabran hawazingatiii usalam wa raia
@muzdatsuleiman31864 ай бұрын
Maskar kazi zao nikupokea posho barabran hawazingatiii usalam wa raia
@yahayaommar1235 жыл бұрын
inna lillahi
@ablatuny54065 жыл бұрын
Innalillah wainnailayhi rajyun subhanallah
@bksaumu60735 жыл бұрын
Kisauni Kama mombasa
@mamycute38425 жыл бұрын
Inna lillahi wainnaa ilayhi raajiu'uun
@bintykonga87065 жыл бұрын
Asilimia kumbwa ya madeva wa unguja hawana leseni wanaendesha kimazoea tu, angalia uwapo bara barman ht usojua kuendesha gari unajionea mtihani tu, wabaneni wasio na leseni
@husseinkonz51925 жыл бұрын
Hao ndio madereva bwege maana hawajali usalama wa wengine
@asiaissa9765 жыл бұрын
Innalillahi wainnailayhi rajiuna
@faizasaid82625 жыл бұрын
Inalilah waina ilahii rajiun
@faizasaid82625 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@fatmakhanii16765 жыл бұрын
Inna lillahi waina ilaihi rajighuun inaumiza sana hakuna aijuae kesho yake
@harounali90575 жыл бұрын
Inna lilahi wainna ilayhi rajiun
@aishasaid57025 жыл бұрын
Inalillahi waina ilayhi rajiuun
@aminasaleh61345 жыл бұрын
innalillah wainnailaihirajiun kwakwel ni mtihan mkubwa dah mung awalaze mahal pema pepon
@aliy33035 жыл бұрын
Tuekeni camera watanyooka tuu km nchi nyengine
@kijonalusay5 жыл бұрын
Innah Lillah Wainnah ilayhi raajiun
@fatmamohamed10995 жыл бұрын
Innalillh wainna ilayh rajiuun
@wadimtwana72865 жыл бұрын
Ajali ni ajali lkn kinachosababisha ajali hasa ni mwendo kasi hakuna chengine serikal iangalie hapo
@zaytunhijja67715 жыл бұрын
😭😭😭😭
@chidiboy58154 жыл бұрын
Hiyo niyo kutowa leseni gari kwa wtu wasio kuwa na ujuzi
@afropanorama47305 жыл бұрын
ajali ndo ajali.ila barabara nazo mbovu mashimo matupu kama bao la kete hujui ukwepe lipi zaidi njia ya kusin
@salmaelhinai8335 жыл бұрын
Innallilahi wainailahi rajioun
@hamidahamida14734 жыл бұрын
Subhanalha. Bismilhah😭
@joharijohn70054 жыл бұрын
Hiyo ndiyo furaha ya serikali munapoongea wanawachora tu
@alakhyhajjbinhassan44965 жыл бұрын
Innalikh Wainna illaykh rajiun
@khamisame47325 жыл бұрын
Kwan serekali wakaeka matut katk maeneo hayo mfano mbon jozani hakun binaadam mbon yameekwa matuta!
@muhidinali81805 жыл бұрын
Tatizo nduguyanguzetu madereva wengi siowote wanadharau kwanini unajua njia intumika kwa vyumba vikubwa na vidogo na hata wanaotembea kwa miguu Kisha unatembea saidi juweni mtaulizwa sikuya qiyam
@wiliampaulo55565 жыл бұрын
Fungeni kamera njiani.!adereva tupunguze mwendo
@theroots27435 жыл бұрын
Kuwaweka polisi ni kuwatengenezea wapewe rushwa2 ufumbuzi wa hayo madereva wanapata leseni za magari na hasa ya abiria kwa kweli hawajafikia viwango vya leseni ya kuweza kupakia abiria hapo inatakiwa hata kuipata leseni hiyo uwe umeipata kwakuweza kuhitimu masomo ambayo. C chini ya udereva wa miaka 5 ya masomo juu ya kuchukua abiria na sheri za kumuogopa mwenda kwa miguu mwenye baiskeli pamoja na chombo cha maringi mawili au kitu chochote kinachotumia bara bara na vile vile kuweza kuzijua alama za njiani kwa watumiaji wa barabara na hasa hao madereva
@sharifissa263 жыл бұрын
Innalillah wainailayhi turjaun
@alikhamisog34225 жыл бұрын
HIV HIZ COMMWENT TUNAZO ANDIKA HUWA ZINA FUATILIWA AU TUNAANDIKA BURE TYUUUUUUUUUU
@aishasaid57025 жыл бұрын
Subhanallah
@samsungoman56265 жыл бұрын
Innalilah wainailaihirajiun
@fatmakhanii16765 жыл бұрын
Inna lillahi waina ilaihi rajighuun inaumiza sana hakuna aijuae kesho yake