Ivi hizo story za wille Gamba na juma na ured waislam huwa mnazitoa wapi? 😂😂😂😂 Mkitaka kujifunza kuhusu Duni na wapi ilipotoka someni Bible
@namkunarashidi6738 Жыл бұрын
Unataka kumaanishaje kwa mfano
@omaar5693 Жыл бұрын
kumbe wapenda story izo chkuwa hi hapa👇 BALAAM NA PUNDA WAKE, "Yule punda akamwambia Balaamu, Je! Mimi si punda wako, nawe umenipanda maisha yako yote hata leo.." stori kamili kitabu kinaitwa Mwanzo 22
@omaar5693 Жыл бұрын
we hujui tu lakini story nyingi zinatola kwa waisraeli trust me
@ustadhshafiionlinetv Жыл бұрын
@@omaar5693😂😂😂😂
@omaar5693 Жыл бұрын
@@ustadhshafiionlinetv mkuu hawa wakukoment tuwachoeni tujifundishie