Amen Amen Amen Ubarikiwe sana Mtume wa BWANA hakika shuhuda zimekuwa nyingi za kutuchanganya shetani anatafuta kila siku mbinu yakutupoteza wana wa Mungu Mungu atusaidie sana.
@NellyKombe3 ай бұрын
Amina ubarikiwe sana mtume MUNGU akubariki
@dorcasWawira-k4r3 ай бұрын
Amina kubwa mtume nakupenda Sana kwa kusema ukweli,ushuuda ni Yesu Kristo kufa msalabani na kufufuka ,kwanza kama hakufufuka hatungekuwa wakiristo na maisha haingekuwa na maana kwa sababu tungekufa na basi.Hatungekuwa na tumaini kuu kwamba nasi tutafufiriwa na pia tumaini kuu la uzima wa milele.
@dadafrida92023 ай бұрын
Amina kubwa mtumishi wa Bwana alie teuliwa na Bwana
@everlynemorillo1333 ай бұрын
Very true mtumishi, barikiwa
@leticiamakoye48713 ай бұрын
AMINA
@SamweliMushi-xl9ui3 ай бұрын
AmenAmen
@OwenAkhala3 ай бұрын
Hallelujah Hallelujah Mtume
@AdellaSanga3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@marthanyagabona34223 ай бұрын
Amen, Amen Amen semaa Baba tuponeeee
@doricemrema21773 ай бұрын
Amen Amen
@GodisOne-Yeshua_AnneJeptoo3 ай бұрын
Amen
@pastormalitiushuhuda99653 ай бұрын
Hahaha sema watu wapone, iyo ndiyo kweli, Yesu ndiyo USHUHUDA, utasikia nimeenda mbinguni nakuzimu, Yesu akasema hivi enyi watu muwe makini shetani ana nguvu ya upotevu sana, Mpendeni Mungu sana, penda neno sana kuliko maono maono mtaukumiwa kwa kusema Yesu kasema Mungu kasema, Mungu asemi semi hovyo hivyo, nafunga 40 na Mungu asemi nami ovyo hivyo, utakuta mtu ana kula kila siku alafu kila siku Mungu kasema, jipimeni hizo roho, asante mtume Mali ya Bwana kwa ujumbe huu
@roselynnauma64383 ай бұрын
Nakubaliana na wewe sana sana. Wakristo tupende Mungu sana tena tupende neno na kusoma neno kila siku. Moano za mapepo mara maono za kwenda mbinguni kwa sasa ni too much. Jichunge. Linda imani yako Sawa sawa.
@KizaJacqueline-dw8eh3 ай бұрын
Amen 🙌
@Hellen-gw5cb3 ай бұрын
Hubiri kabisaaa
@Hellen-gw5cb3 ай бұрын
Kuanzia Leo ntabeba ushuhuda wa Yesu
@MamaNyabogi3 ай бұрын
Amen amen.
@mmm41993 ай бұрын
Mariam musa AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
@LidyaPeter-nl9bt3 ай бұрын
amen
@Hellen-gw5cb3 ай бұрын
Hahahahahaaaaaa!!! Waambie Mtume
@HadasaGallant3 ай бұрын
Jamani hii ni injili kama ya Moses Kulola asee
@Mamas-06k3 ай бұрын
Mpaka tumechanganyikiwa kabisaa, hadi tunajiona tunajitahidi bure tu,
@Blessings-q7t3 ай бұрын
HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO LAZIMA TUWE MAKINI HATA KWA POSITION ZA TENDO LA NDOA, MAVAZI NA HATA VYAKULA. BWANA ANATUMIA WATUMISHI WAKE KWA NEEMA TOFAUTI. SASA HIVI DOG STYLE INAKUBALIKA KWa mkristo? Ni vizuri nile nyama ya nguruwe? Ni vizuri nifanane na ulimwengu? Neno linasema haki yetu na izidi haki ya mafarisayo. Romans 12:2
@inviolathaathanas79893 ай бұрын
☝🏾 I agree
@Blessings-q7t3 ай бұрын
@@inviolathaathanas7989 roho mtakatifu hawezi funulia mtu mmoja siri za mbinguni lazima tushuke chini pia tukubali maujumbe za wengine. Hivi utakuwa UNAMTUMIKIA Mungu na shetani. Lazima msimamo dhabiti.