Yaani huyu dada nampenda buree tu, anafanya kazi nziri saana uhamiaji
@temuemanuel46712 жыл бұрын
Safi sana. Ni conference nzuriu
@johnkyashama22992 жыл бұрын
Hongera sana kamishina kwa majibu mazuri mno
@petersangu6404 Жыл бұрын
Kamanda mama unaongoza vyema kikosi Cha Uhamiaji mungu Akulinde Afande
@ramaaman91732 жыл бұрын
Tanzania nia nikwanini munawapawasio raia passport,halafumbona raia wanapatapassport kiugumu jaribuni Kuwa na justice,watanzania wengi nchi za ng,ambo hawana passport wacheni hizo hunaheshimu wagenikuliko raia,tumechoka kilanchi inapendelea raia wake semasisi watanziatuko na moyo wakuheshimu wengine pasipokujua umuhimu wa Mtanzania,tembeeni mujionee nchinyinginezo wanapenda raiawao
@kelvinkiangokipingu3702 жыл бұрын
Mtangazaji unauliza maswali kwa ustaha wa hali ya juu sana hongera
@jameskennedy53342 жыл бұрын
Lakini sisi tunasubuliwa pamoja na pasipot angalieni sana ilo tatizo nikubwa sana huku Zambia
@abubakarmuhammadsaid32442 жыл бұрын
Mtangazaji yupo vizuri sana kuuliza masuali sahihi, lakini Mkuu wa uhamiaji ni mjanja wa kujibu majibu sahihi, lakini pengine huenda ikawa anajibu tu ili kutufumba macho raia na kuwafurahisha mabosi wake.
@ditrammgimba27592 жыл бұрын
Asee kupata passport uhamiaji n shughuli kwakweli moja ile form inasehem nchi gani unataka kusafiri/kwenda then na sababu ya kwenda huko, sasa ikiwa unahitaji passport kama haki yako na huna safari ya hivi karibuni inakua changamoto hapo, mengine mengi wengine wanapata pass baada ya miezi kadhaa na wengine just 7~9 days nafikili hili swala liangaliwe, kama pass ni haki ya kila mtanzania basi mtu akipeleka nyaraka zinazohitajika apatiwe pass yake...kigezo cha unasafiri kwenda wapi na kwa sababu gani kiangaliwe pia ..maana iko ndo kikwazo..ikiwa mtu hana safari anaweza anza kuandika uongo...maana atajaza nini? ama.asipojaza ataulizwa maswali na itaprolong kupata pass
@FrancisMartin2 жыл бұрын
Kiongozi Makini.
@mayrfrimi47592 жыл бұрын
Mama hapo atunyooshee maneno, ukweli ni kwamba mtz akihitaji pass ni lazima aulizwe barua ya mwaliko, sasa huwa tunajiuliza kwamba, haturuhusiwi kuipata ni mpaka tualikwe mahali?? Hapo panatuumiza wa tz wengi.
@ramlazuber60382 жыл бұрын
Mmmmh passport TANZANIA
@gabrielmdem4271 Жыл бұрын
Acha umbra mmmmmm niiniii
@dadaagnes44832 жыл бұрын
hichi kipindi nimekipenda na mtangazaji unauliza maswali vzr
@mjige90882 жыл бұрын
Kuwa na kitambulisho ya taifa sio raia ? Oh my god tunaelekea wapi?
@jimmyjohnson11338 ай бұрын
Maswali mazuri na majibu mazuri
@anuwarmaulid64092 жыл бұрын
Hallo ndugu mtangazaji suala langu je kuna watu wameomba pasport lkn wanapofika seehem husika ya kulipia wanakosea lkn pesa zao ni kwa nini hawarejeshewi ????
@dadaagnes44832 жыл бұрын
nchi za wenzetu ngozi nyeupe kila raia ana passport hata awe mtoto wa mwaka mmoja na sio lazima asafiri ni haki ya kila mtu
@salumntulo15892 жыл бұрын
Hapo kwenye mashinikizo lazima yawepo maana hiyo nafasi kapewa na wenye mamlaka Kwa hiyo lazima aheshimu mabosi wake
@galbabyadh6212 жыл бұрын
Mimi mzaliwa wa tanzania na niko nje ya tanzania nimeibiwa paspoti yangu .. na sasa nataka paspoti vipi taratibu ili nipate paspoti.
@gabrielmdem4271 Жыл бұрын
A swari Gani Hilo kajambe nenda ofisini na huko sikuna ubaroz uliza maswar ya akili
@mjige90882 жыл бұрын
Tanzania should stop South africa method
@mayrfrimi47592 жыл бұрын
Mwandishi usimbane mama sana, kwani hawezi kuwa ofice zote za tz, kwani watendaji mikoani ni shughuli. Utajua kama hujui
@mayrfrimi47592 жыл бұрын
Na hivyo vitambulisho vya taifa ni changa moto
@mayrfrimi47592 жыл бұрын
Kwa tz malipo ya pasport ni ghali sana, kuliko hata Europe. Kwani watanzania wanahela nyingi kushinda wa Europe ndio watuuzie ghali hivyo,?
@mayrfrimi47592 жыл бұрын
Gharama zote bila laki 2 huipati, mama utajua kama hujui
@simonsmithajax2 жыл бұрын
Swala la diaspora halikuzungumziwa nalo lilikuwa ni muhimu tulipenda kulisikia
@ummutaswaufi39802 жыл бұрын
Kwa Nin upatikanaji wa kupata paspot unakuwa mgum hapo uhamiaji Naomba kujua bei za passport mbona tunapigwa hela ndefu sana mara mwisho nimelipia laki 4 Hio ndo bei kweli?
@gabrielmdem4271 Жыл бұрын
Erfu sabaaa
@mjige90882 жыл бұрын
Watanzania wenye asili ya kiarabu , kihindi au kisomali wengine tumezaliwa british tanzania au tanganyika tumezaliwa 50's tuna haki ya uraia?