Majumba mazuri labda yalijengwa na Waarabu ndio wenye juhudi ya utafutaji
@bauchatv-yd4ug Жыл бұрын
Mashallah m nafrah kupaona nyumbn kabisa nilipo zaliwa nikasoma Hadi nimeondoka nikiwa mtu mzim Leo hii napaona mashallah me nmefrah sn
@pandumakame6421 Жыл бұрын
Je unaenda kutembea au mkataa kwao
@khamisjuma2947 Жыл бұрын
Umaskini wa pemba umetengenezwa kusudi ni mpango maalum kwenye vikao maalum hamjajua tu mpaka leo
@noffalsalim Жыл бұрын
Kwani umasikini ni pba tu. Zanzibar mzima ni umasikini
@jumamkali8307 Жыл бұрын
Nenda na mtambe bs au mkoa wa kaskikazi
@nasrimswaki4824 Жыл бұрын
naam inabidi nimefike uko shehe wangu
@fatmasaid9765 Жыл бұрын
Mashaallah Alhamdulillah kwa kuiyona mkoani
@mohamededdi7527 Жыл бұрын
Me too. Kwenu nini? Me kwetu chake. Niko Dublin Ireland.
@fatmasaid9765 Жыл бұрын
@@mohamededdi7527 na mm kwetu chake na konde
@mohamededdi7527 Жыл бұрын
Unaishi wapi Fatma?
@fatmasaid9765 Жыл бұрын
@@mohamededdi7527 Naishi oman
@mohamededdi7527 Жыл бұрын
Ok, umeolewa?
@pandumakame6421 Жыл бұрын
Tumefikisha pabaya na ccm nikienda pemba huwa nasikitika sana japo mm sio mpemba
@maryamalli9090 Жыл бұрын
Tatizo wapemba wenyewe wanakukimbia kwao unategemea itajengwa na Nani? Na wao ndio wafanyabiashara wakubwa
@pandumakame6421 Жыл бұрын
@@maryamalli9090 ww ushawahi kuenda pemba serekali imekutupa zamani na inakubaguwa miradi yte mikubwa unguja njaa ilikuepo hata mm sikai hy kibandari km chochoro