Aise jamaa anaishi na wafanyakazi wake kama yy siyo boss safi sana chibu mungu akubaliki sana sana
@mtv68294 жыл бұрын
Hahahahahahaaaa
@rukkysayid66134 жыл бұрын
MashaAllah umeona eeh
@juniorcx01144 жыл бұрын
Ndonamanaa nampenda sna Diamond platinum
@stainasmkoko6044 жыл бұрын
Ndio inavyotakiwa sio unaogopwa kama fisi
@geofreymohamed23594 жыл бұрын
Jimmy busiliye aà
@chusseboywcb28084 жыл бұрын
Wcb hua tunakupiga kwa vitendo tu basi Sio maneno diamond bwana nimtu tafauti sanaaaa mungu nipe moyo wa diamond like kama unamkubaliana nahili
@amanibenjamini96374 жыл бұрын
Sema diamonddddddddd! Simbaaaaaaa! chibuuuuuu! Dangote! This is the meaning of star musician boy.
@saadaalharthi92954 жыл бұрын
Mashallah mmung atakulipa kher
@patriciamwamakula92844 жыл бұрын
Diamond, Mwenyezi Mungu akubariki mwanangu,wewe ni mfano wa kuigwa sana tu,kwa hilo, hio pesa umeitendea haki.
@stellatobias88674 жыл бұрын
Watu kama hawa hotokea mala chache sana kwenye nchi
@wakanaiautomotive4 жыл бұрын
Hongera sana Diamond platinum Allah akuzidishie mara 1000 zaidi ya hapo Wangapi wana sapoti kwa hili alilo lifanya diamond hembu like nyingi hapo china na comment zakutosha 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿
@yusuphujofure80404 жыл бұрын
Kwer
@mwanaishamasanja56854 жыл бұрын
Fundirama wakupaka rangi magari WakanaiTz
@amanafi12884 жыл бұрын
Mondy kuna vitu huwa unapatia sanaa... Hongera kwako kwa kuiunga mkono Serikari yetu chini ya Jemedari wetu 'JPM'.
@rosemarymusanga95754 жыл бұрын
Nani kajua kwa Hoteli hii ya kifahari Simba kwa kweli anajua kujipanga..maendeleo duh.. nipe likes jameni👌👌👌👌
@MWAMALUMBILI4 жыл бұрын
Jambo la kheri Diamond Platinumz. Mungu akikujaalia wekeni vifaa vya I C U. Hapo utaokoa maisha zaidi. Ubarikiwe.
@beladangoteissa31234 жыл бұрын
From congo D.R.C 🇨🇩🇨🇩🇨🇩Tuna kupa ongera sana mtoto waki maniema kwaku ji toleya allah akupe MWISHO mwema
@temesjames88674 жыл бұрын
Hii ni faida ya Ronaldo kuweka mambo yake hadhalani leo hii tunayaona tanzania hii ndio faida ya kuiga kwa mafanikio
@sephaniabetese28834 жыл бұрын
Dah !!! Ukiletwa hapa eti upo kalantini siunapona ty kwa mazingira bila kutumia dawa yoyote , mungu akubaliki sana chibu.
@kalufunyangenyakinyungu50874 жыл бұрын
😂😂😂Kama nawaona wachawi wa maendeleo yake dogo,akina Diva,Mwijaku,H-jimama n.k.
@rubyshamlaha21814 жыл бұрын
Wanajidangnya na kusema uongo 🤣wanajfariji
@mnerostationeries11134 жыл бұрын
H jimama
@johnsilima67894 жыл бұрын
Kalufunyange Nyakinyungu Na Adam mchomvu
@charlessena25974 жыл бұрын
Mi nko Germany Homburg Gleinchenburg, mnaweza like mkitaka kuwa kama Diamond
@ndamayapejr77254 жыл бұрын
Na kwel Kikubwa Kumuomba Mungu tu
@beatreacemsami86114 жыл бұрын
Hongera nyingi sana kwako
@mallumbobaraka4 жыл бұрын
Namkubari Sana Diamond, Na nina jifunza vingi kutoka kwake, kiukwel kwa sisi vijana tuna vingi vya kujifunza kwake, MUNGU ampe maisha marefu, Tanzânia inanufaika na uwepo wake, saluti broh .
@iammusic34044 жыл бұрын
Umeona ee!😭😭😭😍 Mwangaruka👌😂😂😂😍
@mallumbobaraka4 жыл бұрын
kama mtu aliye anza Chini ana haki ya kupongezwa, wasaniii wengine waliishia kupata majina tu, leo wapo hawana kitu, lkn DIAMOND ametendea kazi kipaji chake, naamini Ata Mimi ninanufaika na uwepo wake, maana nyimbo zake, na wasanii wa lebo yake WCB wananikosha Sana, broh ata akiweza kununua TANZANIA anunue tu 🙌🙌🙌👅👅👅👅
@mamunote35074 жыл бұрын
Mashallah Mashallah M.mungu akupe kila la kheri na akuondolee kila zito ligeuke liwe Jepesi kweko Dimond Ukifanya kheri M.mungu akuzidishie Kher ziada
@samirarashid81864 жыл бұрын
Maasha Allah Naseeb mwenyezi Mungu akuzidishiye kwenye umetowa mara millions 🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️
@salhanshimirimana75214 жыл бұрын
Mashaa Allah kaka Yang Allah akupe mwisho mwema inshaa Allah🇧🇮
@mrsramso70194 жыл бұрын
Na tattoo nani atamfuta
@AliOmar-cq4sv4 жыл бұрын
Muhimu n kujutia n kutubu,Allah anampa mwisho mwema au mbaya anaemtaka,sisi n Dua tu so don't judge person Only God
@rukiahamisi39274 жыл бұрын
Watakuelewa tu
@samirarashid81864 жыл бұрын
Ali Omar kabisa
@fatmaaly30564 жыл бұрын
Atoe tatoo ndio apate mwisho mwema unajua ht malaikahaifiki kwani hana tohar hatamoja udhu piahauingii janaba ndio usisema la hamisa zari tanasha wema yote bado yamo
@darkplatnum90064 жыл бұрын
Daaaah sas sjui ni comment vp maaan nimesha zoe kupinga na kuamin ni kiki mda wot emb like kwng maaan sielew ni comment vip
@ramaccr75254 жыл бұрын
haji platnum 😂😂😂
@darkplatnum90064 жыл бұрын
@@ramaccr7525 usichek ndugu ndio hvo unajua kuna watu kweny dunia hii ni wajinga sana tunapenda bisaha hata kitu cha wazi
@iammusic34044 жыл бұрын
@@darkplatnum9006 lol😂😂😂👌🔥
@rubyshamlaha21814 жыл бұрын
Kubali tu
@glorygodwin80434 жыл бұрын
Hahahahahaaa
@victorboneventure5864 жыл бұрын
this is a true Definition of Diamond plutnumz.....May God bless our RR Musician.
@awamhusen10544 жыл бұрын
Imana yigutangurie mwamba
@Kobe_2544 жыл бұрын
Diamond is Diamond . . You're my role model
@josphinedarani62034 жыл бұрын
Diamondi usifikiri misaada yako mungu haoni angalia baraka za mwenyezi mungu vile zinakumiminikia ubarikiwe mondi ramadhani Kareem
@jocelyneinarukundo36554 жыл бұрын
amiin
@ahmedmahamudu41404 жыл бұрын
Amiin
@happynesjeremiah12894 жыл бұрын
Barikiwa sana
@gracemjungu92444 жыл бұрын
Salute kwako Nasibu, Maombi yangu kwa Mungu akuinue zaidi pamoja na uzao wako na akuzidishie moyo wa kuwasaidia wasiojiweza
@iammusic34044 жыл бұрын
Bless u dada U look so wise and kind😍😍😍😭😇 Umenena kwahekima👌
@gracemjungu92444 жыл бұрын
@@iammusic3404 Asante my dia
@tumabhay85764 жыл бұрын
Nassib hongera sana. Wacha wenye wivu wajinyonge to. MUNGU AKUPE KHERI ZAIDI.
@officialmbapeecrian99044 жыл бұрын
Kweli diamond ni baba lao nakuombea mungu akupe maisha marefu 1000000000 shida yako shida yangu, 🤝🤝🤝🙏🙏🙏🙏🙏
@emanuelgavile74744 жыл бұрын
H mama, kaka diva, na mbwa wote endeleeni kumuwaza diamond.
@rubyshamlaha21814 жыл бұрын
🤣washadedi huko
@ForeveryoungNana20194 жыл бұрын
Nimeona watu wakiongea negative kuhusu hili njengo but niwaambie kumiliki mjengo sio mchezo. iwe mbovu ama nzuri unawashinda wenye kukodisha. CONGRATULATIONS SIMBA!!!!!!
@allynassor57224 жыл бұрын
Nassib hongera sana kwa kutoa msaada mkubwa sana kama huu Allah inshallah akupe moyo huu wa kusaidia watu Diamond💪💪💪
@yussuphkazumar62294 жыл бұрын
Diamond Mungu akuzdshie tna saana Allah zd kumbarik diamond
@tp-kh8hl4 жыл бұрын
Hapo kwenye kubarikiwa ungeongeza na jina langu ingependeza zaidi
@yussuphkazumar62294 жыл бұрын
Ucjal ubarkiewe upate wtt mapcha 3
@wizdax92384 жыл бұрын
Yussuph Kazumar jv
@tp-kh8hl4 жыл бұрын
Na hela ya kuwalea!..ndo naongelea!...
@nahyialetomia92844 жыл бұрын
Blessings, it’s a beautiful hotel
@annalupa56804 жыл бұрын
Mungu akuongozee kaka d,,
@stellageorge80674 жыл бұрын
Mungu akulinde na kukuzidishia moyo wa imani
@polloz774 жыл бұрын
Safi sana your inspiration for the young Tanzania and African HINAWEZEKANA hukifanya bidii ya kazi na plan nzuri na management ushauri mzuri wa maendeleo ¦a kumuomba mwenyezi mungu
@kingsilvertz43464 жыл бұрын
Gonga Like Hapa kwa Simba wa WCB
@netzclan93364 жыл бұрын
Wataweza kweli ?😆🤩we ni Baba lao wa 🇹🇿🙌😎💝💝
@simonchristian21654 жыл бұрын
king silrver Tz
@superwomanmwenyeheri.13674 жыл бұрын
Da!! ,hongera Diamond.maisha ya watu wengine nayaona kama naota kiukweli.bidii zoooote nafanya sisongi mbele.meishiwa Mtaji sina,Kodi sna.baada ya mwez 1 hapa Ama zangu ama za mwenye nyumba. MUNGU NILIKUKOSEA WAPI JEHOVAH??? NIP NJIA NA MIMI MUNGU. nazeeka Sna kituuu!!!!
@tazamajefte4 жыл бұрын
YaaAllah mumgu atakusaidiya inshaaAllah
@soozievestergardknudsen43474 жыл бұрын
HAHAHAHA aisee ndimu dah!! Sikumalizi..eti Charles asivunje mlango wa shower
@MS.independent89344 жыл бұрын
WCB chama laoooooo 😂😂😂💪 heshma kwa chibu kawa nyooooosha sn tena sn
@mohamedomar12704 жыл бұрын
Hongera Sana Ndugu, Naseeb,, Nimekubali Sana Uzalendo na Utu ulionao kwa Taifa Lako!
@خسنموس4 жыл бұрын
Simba Mondi bin Laden Dangote Chibu Baba nilan Baba tee Baba dylan Baba naseeb junior Baba lao Diamond platnumz Naseeb abdul Heshima kwake km unamkubali kinoma like hapa
@iammusic34044 жыл бұрын
Umesahau: Chibu Baba Tee
@mohamedngole58074 жыл бұрын
Pmj
@mdashirumbeo.64314 жыл бұрын
Congratulations Mr.Nasib Abdul. ALLAH akufanyie wapesi uende mbele zaidi.
@driftdumper89274 жыл бұрын
Diamond platnum nimemshuhudia anaanza hadi anajua mkubwa!! Kweli nawaelewa kwa nini watu wanamchukia!
@beckybeto37814 жыл бұрын
Mimi simchukii,Kuna wenye wanamchukia
@daimually48654 жыл бұрын
Mmmh usimlazimishe mtu ampende mond hajui kumchukia kwake ndiyo mafanikio ya mond hawajui hao tokea wameanza kumchukia jeee kashuka kateremka kateleza heee hamuwachii ebuuu muacheni mtt wa mwenzenu
@mariammariam63074 жыл бұрын
Double n Gear hao niwajinga tu
@sadikidaudi12234 жыл бұрын
Hongera saana Mond Mungu akujaalie kwanza umeleta Heshima kwa Watangazaji kwasasa wanaheshimika kwenye vituo vyao maana wanaogoga watahamia Wasafi yaani umeleta Mapinduzi ya Burudani .
@ruuspicyasmr16944 жыл бұрын
Ndio maana vischana kama kina tanasha na hamisa vinajifolisha in love mashallah umebarikiwa
@sirielsamweli56884 жыл бұрын
Kama rahisi hivyo nenda na ww,,,,,kajifolishe,,,,na bado watapita wengii kwa Diamond hivyo endelea kuorodhesha majina
@doreencharles53764 жыл бұрын
siriel samweli hahahaaa umeona ee
@manochuu84094 жыл бұрын
Co kujjpendz ww
@manochuu84094 жыл бұрын
Co kujjpendz ww
@bensonmyinga4744 жыл бұрын
Safiiii ASE master
@mashambwana98494 жыл бұрын
Waseme kiki iyoo madomo zege mondi Mungu akutangulie
@mudrikkabubakar81364 жыл бұрын
Plutnumss wekeza kwa vijana ktk kilimo na mifugo broo itawasaidia sana ila hapo pia ni big up
@J4UPro4 жыл бұрын
Mudrikk Abubakar upo sawa
@chidyseif24464 жыл бұрын
Safi sana brother, mungu akupe moyo zaidi, Na uweze kutimiza malengo yako Insha Allah
@ndudulauzisam65454 жыл бұрын
Uo ndio mfano Mzuri Simba WCB Si +254 viongozi Wako na pesa nyingi lakini ulafi tu God bless ya bro
@emilymula6454 жыл бұрын
I don't expect D to read this- but I hope he's got the idea of expanding some rooms by knocking down some walls to make them more pacious...
@omaryhassan95284 жыл бұрын
Mond ukopoa sana mungu akuzidishie ww na ss na mm pia
Diamond jina lako halitasahaulika hata kama mungu akikuchukua ubarikiwe sana🙏🙏🙏🙏
@iammusic34044 жыл бұрын
In Lord's grace he'll not die now or then👌
@subrynerysegerow13234 жыл бұрын
Jaman narud tz tafadhar mniweke quarantine kwenye hotel hii ya chibu 😂😂😂😂nipo chini ya miguu yenu
@roi25544 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@tazamajefte4 жыл бұрын
@@alexmbangwa1120 hhhh
@salamakombo32574 жыл бұрын
Ha haha has Rudi tunakupokea
@m.mmarckus62984 жыл бұрын
Kaaaaaaaa
@thamiyuucute70984 жыл бұрын
@subrynery Segerow..hata mimi naishi zenji ila ntashuka dar😂😂😂😂😂
@pilijuma29134 жыл бұрын
Kaka duuuuuuh.. wew Ni noumaaa yaaaani... Unajua kuwapa presha... Watu Mungu akuongoze Machallah...🙏🙏
@michaelkakuja8934 жыл бұрын
Mungu ni Mungu tu,,,,!!! Ameamua kumtumia Diamond Platinum kuonyesha upendo kwa watanzania haijalishi imani aliyo nayo hakika kwa hili huyu msanii atazidi kufanikiwa maishani mwake kwa uweza wa Mungu.
@annewachira43174 жыл бұрын
Blessings Diamond!!!!!!!!🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@nyamkamawanjara294 жыл бұрын
Mi naomba kazi tu ya u housekeeper hapo tahadhari, nina vyeti vyangu ntaja kuomba kazi,daimond hongera kwa maendeleo
@aminanamoyo834 жыл бұрын
🤣🤣🤣 kabisa mi niko ktk sector ya mahanjumat ukipata nirushie code 🤣🤣
@xophyabdul47824 жыл бұрын
Hata mm niko vizur jikoni ukipata nambie
@yussuphkazumar62294 жыл бұрын
m nko vzr kwnye kufua ila sna vyet😁
@hamisiramadhani69254 жыл бұрын
Peleka CV .. zako usiombe humu kazi
@ranaAli-if3nf4 жыл бұрын
Mimi hata akiniweka jikon kwenye kukorofisha mahanjumati nipo vzr Simbaaaaaa tupe ajira ndugu zako
@charlesstephen96684 жыл бұрын
Naomba nichague jina tu.. iitwe PLATNUM HOTEL
@vivianemanuel28874 жыл бұрын
Umesahau kuweka star💫hapo bro itanoga sana (PLATNUM STAR HOTEL)💰🔥🔥🔥🔥🙏
@sirmwita33514 жыл бұрын
Corona ikiisha nakuja Dar, nikifika lazima nilale hapo nimchangie masikini mwenzangu D
@jumamagaya9454 жыл бұрын
Nakubali
@Bullah_tz4 жыл бұрын
Diamond mungu akuzidishie sana sana asee ww n wakipekee sana . Ukitoa ngoma itoboe mbali sana view ata milliona 800 huko au ata billioon
@shemaya61x9inejulius74 жыл бұрын
Hongera sana brother simbaaaaa!!! Big up sana msanii wetu nomber one east africa
@halimamgeni54564 жыл бұрын
Shemaya Julius zembwela mazoezi muhim mwili umrmzidi boss hio noma
@doctorkisale94304 жыл бұрын
Big up big up big up diamond duniani haijawahi tokea kwa wacheza soka Wala wanamuziki😱😱🙊🙊💪💪💪🤜🤛🤟🤟
@majidgashe75614 жыл бұрын
Anaheshima sana anaita brother maulid
@zuleikhakhamis33034 жыл бұрын
hiyo ndo sifa yake inayowapendeza wengi mana mpk wakubwa zake anawapa heshima zao awasalimia na kuwamkia
@dizzboss75264 жыл бұрын
Na ndo inavotakiwa
@nelsonzakayo4964 жыл бұрын
Ndiyo maulid ni mfanyakazi wake ila ni kaka yake
@fanuelykitambule55424 жыл бұрын
Kabisa maana sio Jambo dogo uwe na pesa alaf ukakubali kujishusha anastail pongez
@juniorcx01144 жыл бұрын
Mungu awe naye
@malilimayenga2614 жыл бұрын
Hongera sana diamond mwenyezi mungu azidi kukupa afya na uzima tele
@adamyusuph86114 жыл бұрын
Safi sana simba nakukubali sana kama nawe unamkubari gonga like apa
@festoottosimkwayi55974 жыл бұрын
All the best May Jah bless you DPlatnumz 👍🏾👍🏾👍🏾
@umojaafrika24474 жыл бұрын
Ninapenda Diamond kutoka Ufaransa. Nadhani ni mtu mkubwa wa Afrika !
@umojaafrika24474 жыл бұрын
@bongo fox motivations Mimi ni kutoka kisiwa kidogo kinaitwa Martinique. Je unajua Martinique ?
@thabithamis89184 жыл бұрын
@bongo fox motivations mii niko Paris wee uko sehemu gani
@kingkibedui50914 жыл бұрын
Mnakuaga waongo nyinyi shenzi sana
@charlessena25974 жыл бұрын
Mi nko Germany Homburg Gleinchenburg
@allyhamadi41834 жыл бұрын
Ufaransa ya buza😂
@ediphonceedward64694 жыл бұрын
Mimi navyo mpenda DIAMOND Mungu ndio anayejua mwoyoni mwangu,sema basi tu anaishi mbari ila namuombea mungu amuongoze ktk riziki zake
@jumahaule61464 жыл бұрын
wewe ndio simba ww ndio diamond mungu akuzidishie daima
@carolshiru43744 жыл бұрын
Mungu akusaidie upate mapenzi ya kweli maana sisi wanawake wengi wetu wako fake sana kwanza wakijua kuna pesa 🙏🙏🙏 wcb 4 ever 😍😍😍😍😍
@fettyothuman35894 жыл бұрын
Chibu baba laoo🔥🔥mungu akuongoze kwa kila jambo🙏🙏
@petrobyaro71024 жыл бұрын
Haya ndo maisha mwenyez MUNGU anapenda tuishi bila kubaguana Yan boss na wafanyakaz wote wapo the same Raha sana keep up bro
@ramamanyama29444 жыл бұрын
Mond Youre The King Youre The Great Youre the Lyon All Names Unastahi Kuitwa Ni Mfano Wakuigwa Na Wote Wanaokuja Hautakiwi Kuchezea Fursa
@iammusic34044 жыл бұрын
👌🙌😍
@happymushi81974 жыл бұрын
Ukweli unajuaga kufanya vtu vya tofauti Diamond Mungu akuzdishie ucku na mchana.
@saumuhassan63654 жыл бұрын
Hongera sana chibu, kila la khery brother
@ussisuleiman51094 жыл бұрын
Nice
@jammomasaai47644 жыл бұрын
ungera
@peterjdaniel38494 жыл бұрын
Mond
@fatumaomary23044 жыл бұрын
Mungu akubarik kaka yang diamond akujaaliee uwe na moyo uwo uwo mpk mwisho wako
@oxyrio12244 жыл бұрын
For the first time diamond bila body guard
@erastongussa23344 жыл бұрын
Hao woote hapo ni mabodyguard tosha ha ha ha a
@mehodjulius43064 жыл бұрын
hairuhusiw mikusanyiko isiyokua ya lazma ssa hapo wote matajr nani ataiba cheni ya simba?
@ericodavido76804 жыл бұрын
Hataki ushamba huo wa harmonize
@tumainikimario33604 жыл бұрын
Bodyguard diamond sio kwamba analindwa mda mwingine ni ubishooo tu na kuwapa vijana ajira
@anthonyfaru99084 жыл бұрын
So what
@preenwa14514 жыл бұрын
Hongera sanaaa ww ndo star wangu ndani na nje ya nchi,,,,inshaalah mungu akuongezee
@iammusic34044 жыл бұрын
Diamond you are the fruitful tree!👌🔥🔥🔥🙌😍
@dadapechi4 жыл бұрын
Libarikiwe tumbo lililokuzaa. Yabarikiwe maziwa uliyonyonya. Ibarikiwe mikono iliyokulea. Barikiwa na kazi za mikono yako Mondi.
@iammusic34044 жыл бұрын
Amen🙏😍
@allanzmcelroy44914 жыл бұрын
More respect Lion👊 gonga like ukimkubali Naseeb
@mandelafrancois73174 жыл бұрын
Ni namuomba diamond ani Sadie kwausadizi wake kwa kuishi kwenye izisiku kwajyiri ni mustar wa dunia nzima sio wa Tanzania peke afunguwe usaidizi wake angarie na sisi tu nao mpenda tu naishi nchi nyingine asante nawaomba watangazajyi munitumikie na penda sana simba wa wawatu babalao mungu akubariki ape utajyiri unao zidi uu unapendo wa mungu thanks Mister diamond l love you for even
Proud to have someone like you in a country! Be blessed @Naseeb
@blandinamnyinga83184 жыл бұрын
my dream is to see him in farming.idea hiyo Nassib (it's called FARM FEED inakuwaje tafuta wataalamu utajua.LIMA/LISHA.
@roi25544 жыл бұрын
point
@razackmfilinge57944 жыл бұрын
Unamaono sana juu ya huyu jamaa kweli mtu kama huyu wa swadaka nirahis sana kusaidia watu ukilima na ukatoa mazao kama swadaka.....kama chakula katka balaa la njaa....inshaallah ipo siku ataingia hku
@blandinamnyinga83184 жыл бұрын
actually it's not totally charity ok guys,anajiingiza kwenye biashara ya kilimo cha mazao ya chakula lkn ndani yake kwa sababu yy anapenda kutoa msaada inakuwa ni rahisi sana kuwasaidia wahitaji kwa kiwango kikubwa kwa vile msaada huo unakuwa unatokea kwenye mashamba yake tofauti na let's say afanye muziki,apate pesa then akanunue chakula ndio asaidie wahitaji na hiyo ni moja ya biashara zenye baraka na mafanikio sana kutokana na vile wanavyokuombea na kumshukuru Mungu wale unaowasaidia,if I had capital that's one of my main dream.sijakata tamaa I hope GOD blesses me one day kwa sababu huko kwetu mashamba yamejaa kama yote na Kama siyo Mimi Basi namuomba Mungu hata mtoto wangu aje aitimize hiyo ndoto in JESUS NAME.
@pendonjoka31404 жыл бұрын
bonge la idea hongera
@elizabethswai17904 жыл бұрын
Safiiii
@kingrasdee4454 жыл бұрын
Big up saana mond mngu akzdshie sjuw wanaokuponda huw inakuaje, lbd n mmb ya jilas2. WCB for evr.
@drnyakiema85814 жыл бұрын
Vip konde gang uko,,, Nae afanye yake😂😂. Maana mwenzake alipanda treni, yeye akapanda ndege . mwenzake katoa hotel , yeye 💣TUNASUBIRI. Mwenzake kalipa kozi za wapangaji 500, Yeye 💣 Tunasubiri.😁😁😁😁😁 Ni mtazamo tu jamani , msinichukie
@JayJaysb4 жыл бұрын
Jamani wa bongo nyinyi😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@123228794 жыл бұрын
Awamu hii atapasuka msamba.
@masharubundevu37654 жыл бұрын
Acha uchonganishi
@sirielsamweli56884 жыл бұрын
Kila jambo kwa wakati wake,,,na mpajiii ni Mungu tu,,,hata yeye atafanya chake kwa kadri Mwenyenzi Mungu atakavyomjaliaaaa
@thomasmasava93134 жыл бұрын
Atavaa jeje buti tuuu
@eliasmarley3124 жыл бұрын
Kutoka UK ,naipenda Tanzania yangu .na ninaamini Siku ikifika ntamuoa mtanzania mwenzangu .hongera saana plutnumz isingekuwa corona najuwa ningekuona Finland
@kyelennbenjamin25184 жыл бұрын
Naombeni number zake diamond niwasiliane naye aelewe kwamba Mimi ni fanatic wake mkubwa kutoka Kenya kijiji cha sultan hamud njiani Mombasa road
@pillyomary61274 жыл бұрын
Mashallah kk angu mungu akufanyie wepesi inshallah kwenye kaz zako upambane kila la khery kwako
@pillyomary61274 жыл бұрын
Nakuangalia kutoka oman kila la khery kk
@amyassyassin79094 жыл бұрын
Bro Maulid Kitenge iko wapi face mask(barkoa)? It's not fair
@mussdossantos64724 жыл бұрын
HE is protected coz wengn wte wamevaa
@sm5tv4 жыл бұрын
Live kabisa sio Fair
@zawadigongo94954 жыл бұрын
Hakika umefanya jambo LA baraka sana! hivyo basis mungu akuzidishie sana hasa msimu huu wa funga ya ramadhani, kama unaungana na Mimi kuwa diamond baba lao abarikiwe gonga like hapa sasaivi
@iammusic34044 жыл бұрын
Amen!🙏😍
@hassaniothumani55014 жыл бұрын
Boss mzungu mpk wafanyakazi wako wana enjoy kabisa
@samirarashid81864 жыл бұрын
Hassani Othmani kabisa
@iammusic34044 жыл бұрын
Ana roho nyeupe
@moshiomarymnyeda89074 жыл бұрын
Boss asemaaa sio Boss kasemaaa WCB for life Boss Mnyamwezi sio kolooo na wala sio kunjaaaa kwa wafanyakazi wake 🙌🙌🙌🙌🙌Fainal ma'al ' usri yusra ( Baada ya shida ni faraja )
@christophermlaponi5344 жыл бұрын
Bado tunamtafuta mganga aliyempa masharti kwamba hapaswi kuoa bali awe anazaa tu na wanawake tofauti tofauti Japokuwa umri wake bado ni mdogo ! Ole wako tukukamate we mganga, karantini yako sijui itakuwaje !! Anyway, ni vema kufurahia mafanikio ya wengine ili ya kwako yaje kwa haraka !!
@ShedyLukton4 жыл бұрын
True huyo mganga ni kiboko
@afidhusultan49674 жыл бұрын
brother nakukubali sana Allah atie wepesi katka kazi ya mikono yako akuwepushe na usuda za wakuombeo mabaya uwenda tutakutana peponi inshaallah
@monassoro54774 жыл бұрын
Kama unamkubali CHIBU GONGA LIKE!!!!
@doreennkini35024 жыл бұрын
Nakupenda sn kakaang mond MUNGU akubariki zaidi ninatumain ipo siku nitakuona
@fatmabby00174 жыл бұрын
Nyc simbaaa mashaAllah ♥️
@rahmaramadhan97734 жыл бұрын
Mashallah hongera Sana zari mlete pls atakupa mawazo mazuri zaidi na kurilax namaisha yenu ilatu utulie tenaaa 😔😔😔😔😔😔😔
@muniraahmed6244 жыл бұрын
Hongera sana brother chibu yr champ big ting 🔥🙌
@volcanomr.overdose64464 жыл бұрын
Congratulations Bro. God bless you even more 🙌. You inspire me a lot. Inshallah 🙏
@learntoearn95884 жыл бұрын
Hongera diamond platinum kwa hatua hii....ila nawakumbusha tu watazamaji kua zile ndizi bora kwa kula na kuvundika kutoka muleba ,zinapatikana hapa abusak africrops ltd kwa bei nafuu....tembelea channel yetu ya abusak africrops news kwa habari zaidi
@mc_mrope4 жыл бұрын
Hongera sana Diamond Platnumz
@reginamatiku37004 жыл бұрын
Ongera bwana
@mrpiman50084 жыл бұрын
Caplo Ahmed Safi sana Umejitahidi. Tazama njia ya hili swali kwa usahihi kuku wa 3 hutaga yai 1 kwa siku kuku 6 hutaga mayai 2 kwa siku kuku 9 hutaga mayai 3 kwa siku kuku 12 hutaga mayai 4 kwa siku Mayai 4 kwa siku × Siku 12 = Mayai 48 kwa siku 12
@jipozeonline39834 жыл бұрын
Eti kwa sasa inafaa kuwa karantin ila sio hotel kwa maana inahtaji maboresho makubwa sana Duh ukiwa na hela banaaa hongera zako Diamond
@ndegejr42184 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@utambevilla95854 жыл бұрын
Hana ela yoyote uyo fukala tu ila ulimbukeni umemjaa